- 106
- 219 625
Aroncademy
Tanzania
Приєднався 24 кві 2017
No matter where you are in your music production career or where you want to go, we can help you to reach your dreams
Follow us on
facebook : web. Aroncademy-102257078382850
Instagram : aroncademy
Follow us on
facebook : web. Aroncademy-102257078382850
Instagram : aroncademy
Jinsi ya Kutafuta Key ya Msanii na Kutengeneza Beats
Watch this fl studio tutorial learn how to find the key of a song when your in studio
trying to make music also in this tutorial you will learn some techniques used to find key on
fl studio when making chord progression and beats
Katika tutorial hii utajifunza jinsi ya kutafuta key ya vocal pale unapo taka kutengeneza beat
pia utajifunza jinsi ya juu ya vocal kavu pamoja na mbinu mbali mbali
za kutengeneza beat katika fl studio
WhatsApp group: chat.whatsapp.com/DXIkeyPjvCJCPrFylDs3h9
facebook: web. Aroncademy-102257078382850
Instagram: aroncademy
Twitter: aronbeatz
#Aroncademy #findingkeyofsong #kutengenezabeat
trying to make music also in this tutorial you will learn some techniques used to find key on
fl studio when making chord progression and beats
Katika tutorial hii utajifunza jinsi ya kutafuta key ya vocal pale unapo taka kutengeneza beat
pia utajifunza jinsi ya juu ya vocal kavu pamoja na mbinu mbali mbali
za kutengeneza beat katika fl studio
WhatsApp group: chat.whatsapp.com/DXIkeyPjvCJCPrFylDs3h9
facebook: web. Aroncademy-102257078382850
Instagram: aroncademy
Twitter: aronbeatz
#Aroncademy #findingkeyofsong #kutengenezabeat
Переглядів: 5 443
Відео
Harmonize Harmonize - Sandakalawe Amapiano Beat remake Fl studio
Переглядів 9 тис.3 роки тому
Watch this fl studio tutorial learn how to make amapiano beats used by harmonize in sandakalawe Also you will learn different tips and tricks use in creating amapiano beat Katika tutorial hii uta jifunza jinsi ya kutengeneza beat ya amapiano ilio tumiwa na harmonize kwenye wimbo wa sandakalawe pia utajifunza mbinu mbali zinazo tumika wakati wa kutengeneza beat kwente fl studio WhatsApp group: c...
Diamond Platnumz - Kamata Instrumental Fl studio Remake
Переглядів 3,5 тис.3 роки тому
Watch this fl studio tutorial learn how to make one of diamond platnumz songs Kamata .The song was produced by S2kizzy and mixed and mastered by Lizer classic from WCB wasafi under wasafi records Also you will learn some different tips and tricks to make beat on fl studio Katika video hii utajifunza jinsi ya utengeneza beat ya kamata ilio fanywa na Diamond Platnumz Chini ya producer S2kizzy na ...
Flavour ft Diamond Platnumz and Fally Ipupa - Berna Reloaded Instrumental Fl studio remake
Переглядів 3,4 тис.3 роки тому
Whatch this fl studio tutorial learn how to remake Berna Reloaded perfomed by Flavour ft Diamond Platnumz and Fally Ipupa Also you will learn some tips and tricks used when you making beats on fl studio Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya Berna Reloaded ilio imbwa na Flavour ft Diamond Platnumz pamoja na Fally Ipupa Pia utajifunza mbinu mbali mbali zinazo tumika kutengeneza...
What is Mastering a Song : Maana ya Mastering
Переглядів 8033 роки тому
Watch this Mastering tutorial learn the concept of audio mastering and the secret behind it to get high quality song Katika video hii utajifunza maana ya mastering na mambo yalio nyuma ya mastering ili kuweza kupata mastering nzuri yenye ubora WhatsApp group: chat.whatsapp.com/DXIkeyPjvCJCPrFylDs3h9 facebook: web. Aroncademy-102257078382850 Instagram: aroncademy Twitt...
Alikiba x Abdukiba x K2ga x Tommy Flavour - Ndombolo Instrumental fl studio remake
Переглядів 1,8 тис.3 роки тому
Watch this fl studio tutorial learn how to make Alikiba ft Abdukiba,K2ga and Tommy Flavour Ndombolo beat produced by yogo beats and Swabri, Also you will learn some different techniques when making beat on fl studio Katika video hii ya fl studio uttajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya alikiba akiwa na Abdukiba,K2ga na Tommy Flavour pia utajifubnza mbinu mbali mbali zinazo tumika katika utengen...
Jinsi ya kuchop na kusample wimbo na kutengeneza beat kama s2kizzy
Переглядів 6 тис.3 роки тому
Watch this fl studio tutorial learn how to chop and sample some parts of any song to create your own beat idea like s2kizzy .Also you will learn some cool tricks for sample choping and making beats on fl studio Katika video hii utajifunza jinsi ya kuchop na kusample sehemu ya wimbo na kutengeneza beat nyingine kama ambavyo producer s2kizzy amefanya kwenye nyimbo ya pumzi ya mwisho ya vanessa md...
Jinsi ya Kufanya Mixing ya Beat
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
Watch this fl studio tutorial learn four stages of beat mixing,Also you will learn some of the techniques used in vocal mixing and plugins used in mixing katika video hii utajifunza hatua za kufuata wakati wa kufamya mixing ya beat au mixing ya vocals pia utajifunza plugin mbali mbali zinazo tumika katika kila hatua ya mixing WhatsApp group: chat.whatsapp.com/DXIkeyPjvCJCPrFylDs3h9 facebook: we...
beat arrangement tutorial : jinsi ya kupanga beat kwenye fl studio
Переглядів 3,3 тис.3 роки тому
Watch this fl studio tutorial learn how to create beat arrangement to form full song on fl studio. Also you will learn some beat arrangement tips and song arrangement techniques in fl studio Katika video hii uta jifunza jinsi ya kupanga beat katika fl studio pamoja na mbinu mbali mbali zinazo tumiaka kupanga beat ili kupata mpangilio mzuri wa wimbo pia utajifunza vitu vitakavyo kurahisishia kup...
What is Mixing in Music : Maana ya Mixing
Переглядів 6073 роки тому
Whatch this Mixing tutorial learn the meaning of Mixing and the secret behind Mixing in Music also you will learn defferent types of Beat Mixing and Vocal Mixing Katika video hii utajifunza maana ya Mixing na mambo yalio jificha kuhusu Mixing pia utajifunza hatua mbali mbali za kupitia ili kupata Mixing nzuri ya Beat na Vocal WhatsApp group: chat.whatsapp.com/DXIkeyPjvCJCPrFylDs3h9 facebook: we...
Harmonize ft Awilo Longomba & H baba - Attitude Instrumental Beat Remake Fl studio
Переглядів 2,3 тис.3 роки тому
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya Attitude ilio fanywa na msanii kutoka konde gang music Harmonize akiwa na H baba na Awilo Longomba pia utajifunza mbinu mbali mbali zinazo tumuka kutengeneza beat za Afrobeat , Beat za sebene na beat za bongo fleva katika fl studio Watch this fl studio tutorial learn how to remake Harmonize ft Awilo Longomba & H baba - Attitude instrument...
Jinsi ya kutengeneza Beat ya Juju ya Rayvanny Ft Zlatan Ibile Kwenye Fl studio
Переглядів 1 тис.3 роки тому
Rayvanny Ft Zlatan Ibile - Juju instrumental beat remake fl studio Katika video hii utaifunza jinsi ya kuyengeneza beat ya juju ilio fanywa na Rayvanny akiwa na Zlatan Ibile wimbo huu ni moja kati ya nyimbo zinazo patikana katika album mpya ya rayvanny inayo itwa sound of africa audio ya rayvanny juju ilifanyika chini ya producer S2kizzy katika studio za pluto republic na kufanyiwa mixing and m...
Jinsi ya Kutengeneza Beat ya Anjella ft Harmonize kama prod by Abbah ( fl studio tutorial )
Переглядів 2,2 тис.3 роки тому
Katika hii video utajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya anjella kutoka konde gang akiwa ameshirikiana na Harmonize kwenye wimbo unao itwa kama ulio tengenezwa na Abbah process katika studio za Abbah Music pia utajifunza mbinu mbali mbali zinazo tumika Kutengeneza Beat za bongo flava pamoja na jinsi ya kudesign sound ili kuweza kupata sound inayo endana na beat ulio itengeneza WhatsApp group: c...
JINSI YA KUINSTALL VST PLUGINS NDANI YA FL STUDIO 20
Переглядів 1,4 тис.3 роки тому
How to install plugins on FL Studio 20 Watch this fl studio tutorial learn how to install vst plugins on fl studio also you will understand what to consider before installing vst plugins on fl studio this technique will work in any version of fl studio from fl studio 12 to fl studio 20 Katika video hii utajifunza jinsi ya kuongeza vst plugins katika fl studio pia utajifunza mambo mbali mbali ya...
JINSI YA KUONGEZA SAMPLES NA DRUM KITS KATIKA FL STUDIO
Переглядів 7863 роки тому
Watch this fl studio tutorial learn how to add drum kits samples on fl studio also you will understand what to consider before adding samples on fl studio this technique will work in any version of fl studio from fl studio 12 to fl studio 20 Katika video hii utajifunza jinsi ya kuongeza samples na drum kits katika fl studio pia utajifunza mambo mbali mbali ya kuzingatia kabla ya kuadd samples k...
JIFUNZE FL STUDIO KWA DK 3 ! ( fl studio tutorials )
Переглядів 6963 роки тому
JIFUNZE FL STUDIO KWA DK 3 ! ( fl studio tutorials )
Rayvanny Ft Innoss'B - Kelebe Instrumental fl studio beat remake
Переглядів 1,9 тис.3 роки тому
Rayvanny Ft Innoss'B - Kelebe Instrumental fl studio beat remake
Ipi ni program nzuri ya kutengeneza beat ( best daw 2021 )
Переглядів 1,2 тис.3 роки тому
Ipi ni program nzuri ya kutengeneza beat ( best daw 2021 )
Jinsi ya kuwa producer 2024 ( Music Producer )
Переглядів 2,5 тис.3 роки тому
Jinsi ya kuwa producer 2024 ( Music Producer )
Rayvanny - Kiuno Instrumental fl studio beat remake
Переглядів 2,9 тис.3 роки тому
Rayvanny - Kiuno Instrumental fl studio beat remake
how to install midi chord pack in ableton live ( Aroncademy Midi Pack )
Переглядів 2,3 тис.3 роки тому
how to install midi chord pack in ableton live ( Aroncademy Midi Pack )
how to install midi chord pack in pro tools ( Aroncademy Midi Pack )
Переглядів 5313 роки тому
how to install midi chord pack in pro tools ( Aroncademy Midi Pack )
how to install midi chord pack Studio one Aroncademy Midi Pack
Переглядів 1,5 тис.3 роки тому
how to install midi chord pack Studio one Aroncademy Midi Pack
how to install midi chord pack fl studio Aroncademy Midi Pack
Переглядів 6 тис.3 роки тому
how to install midi chord pack fl studio Aroncademy Midi Pack
Baba Levo Ft Diamond Platnumz - Shusha Instrumental Beat Remake fl studio
Переглядів 2,5 тис.3 роки тому
Baba Levo Ft Diamond Platnumz - Shusha Instrumental Beat Remake fl studio
How to Download Aroncademy Free Midi Chord Progression Pack
Переглядів 7443 роки тому
How to Download Aroncademy Free Midi Chord Progression Pack
Free Midi Chord Pack || Aroncademy Free Midi Packs Fl Studio || 1000 Subscribers Celebration
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
Free Midi Chord Pack || Aroncademy Free Midi Packs Fl Studio || 1000 Subscribers Celebration
Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide - Waah Instrumental Fl studio Beat Remake
Переглядів 9 тис.4 роки тому
Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide - Waah Instrumental Fl studio Beat Remake
Mbosso - Fall Instrumental beat remake fl studio
Переглядів 3,7 тис.4 роки тому
Mbosso - Fall Instrumental beat remake fl studio
Harmonize - Ushamba Instrumental beat fl studio
Переглядів 2,2 тис.4 роки тому
Harmonize - Ushamba Instrumental beat fl studio
Namba broo ndo muhimu
hapa kwenye ableton live aseee ASANTE SANA KWA HERUFI KUBWA
Samahan bro mm na ndo najfunza fl Swal langu nikwamba natumia kinanda yamaha nikonect kina diley sjajua shida nn
Nifunze bro
Noma saana
Noma
Kaka nahitaji sana kujifunza sjui hata nasaidikaje
Speak English, not all of us understand your language
Hv
Yes I agree
Flp please 🙏
why is the title and description in english and yet the video is not??
weka namba yako mm nataka kuongea nawewe
Kaka vip izo stemp za beat naziitaji unanisaidiaje
Add me please
Nakukubali sana teacher
Tupo pamoja
Beat zaahina izo zina itwaje kk
Ni moja ya aina za sebene
Uko vizuri sanaaa
Ahsante
goat
Thanks
Kaka uko vizuri sana kwenye kufundisha nimependa San ving nimepata ambavyo vilikuwa changamoto kwangu
Ahsante endelea kutufuatilia
Nimejifunza bro Asante 🤲 Ila swali langu Kuna uwezekano kupata plug ins kutoka kwako
Uwezekano upo ila nakushauri uwe na uwezo wa kuzitafuta mwenyewe kwakuwa plugins zinatoka kilasiku hivyo ukijua kuzipata huta hangaika
Nimejifunza bro
Ahsante
Cool
Thanks
🔥🔥tupe moja ya bado sana by lava lava
Usijali tutajitahidi kufanya hivyo
Thanks broo.... you deserve my sub bro
Ahsante kwa support
Kk hivi kwani chenjing zinapatikana wap au unatengeneza mwenyewe
Sijaelewa vizuri unaweza kunifafanulia zaidi ?
Me hua najifunza hapa kila siku
Ahsante
thankyou
Thanks
Legend
Thanks
Baba Asante
Ahsante
Good
Thanks
Kakaa daaah!! Nasoma kwa Tutorial zako naelewa san kakaaa sema kimy mbona bro wangu
Tutarejea muda si mrefu
Kakaa daaah!! Nasoma kwa Tutorial zako naelewa san kakaaa sema kimy mbona bro wangu
Ahsante kwa support muda sio mrefu tutarejea
Naitaji kujifunza uproduce naitaji unifundishe naomba mawasiliano yako
Kwa bahati mbaya hatuna darasa maalum unaweza kujifunza kupitia channel hii na kama utakuwa na maswali wasiliana nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii au unaweza jiunga na ma group yetu kwaajili ya kubadilishana mawazo na producers wengine ahsante
Umetisha sana
Ahsante
Broo, Nimejifunza kwa Tutorial zako nimeelewa sana kaka shukurani sana. Kakaa rudi basi uendelee kutufundisha bs boss wetu
Ahsante kwa support muda sio mrefu tutarejea
Unawezaje kutafuta temple inayoendana
Unajaribisha na kusikiliza au unaweza kutumia software za kutambua tempo ya audio
Kaka rudiiiiiii tunadanganywa saaana
Usijali muda sio mrefu tutarejea
Kaka
Naam
@@Aroncademy tumemiss tutorial zako kaka😥
Soon tutarejea hewani kuna mambo mengi sana yanakuja
@@Aroncademy poa kaka Aron tunakusubil
Uko wapi kaka ukimyaaaaa
Muda sio mrefu tutarejea
niunge whatsap
Gusa link kwenye description
boss nimeku subscribe maana production uko vizuri asante kwa mafunzo naomba zako tafadhali
Ahsante sana gusa link kwenye description kujiunga na group letu la watsap
mbona hauelekezi namna ya kukopi na kupest?
Unaweza pitia video ilio elezea jinsi ya kutumia fl studio
pro
Naam
Hello bro mimi ni mgeni katika channel yako nilikuwa nataka kuji funza namna ya kupigia kinanda
Kwasasa hatuna aina hiyo ya mafunzo ahsante kwa kutu support
Força mano estamos junto, preciso do seu produção pra mi gostei muito.
Thanks
Hi? Naeza pata FL STUDIO
Ndio
Sana brooo
Ahsante
Bro I've been watching all your tutorial bro you talk too much
Thanks so how do you want us to do ?