JIFUNZE FL STUDIO KWA DK 3 ! ( fl studio tutorials )
Вставка
- Опубліковано 9 гру 2024
- Watch this fl studio tutorial to leard how to use fl studio in just two minutes only
you will learn where to start when you open fl studio for the first time and some basic skills and technique
that will hellp you to start making beats
Katika tutorial hii ya fl studio utajifunza jinsi ya kutumia fl studio kwa dakika mbili tu utaweza kuelewa
ni mambo gan ya msingi ya kuzingatia pale unapo fungua fl studio kwa mara ya kwanza
WhatsApp group: chat.whatsapp....
website: aronbeatz07.wi...
facebook: / aroncademy-10225707838...
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#shorts
#jifunzeflstudio #kutengenezabeat #flstudiotutorial
Kama umependa video hii tupe support yako kwa Kusubscribe , Kulike na Kushare video zetu kwa wengine Ahsante !!!
Bigup
Thanks spark
Nakukubali sana kaka
Pamoja Sana brother
You should be using English following you from Zambia
Worry not brother soon we will upload English subtitles
Unaweza kutuonesha jinsi yaku download plungs naku install plz
video zake zinakuja soon zina maelezo kuhusu jinsi ya kuadd plugins na kuadd samples endelea kutupa support yako kwa kusubscribe na kushare video zetu kwa wengine
@@Aroncademy nasubiri kwa hamu
Usijali brother zipo tayar zitaruka wiki ijayo