@@Aroncademy Sawa nasema hivyo kwa sababu wengine tumekuwa na wewe since day one hadi sasa account yetu, darassa letu linazidi kuwa kubwa nakupendwa na watu wengii kwa kazi nzuri ya ubunifu, siku moja tusuprise kwa Free FLP hata wa beat mbili tu . Tutashukuru sana sisi wanafunzi tunaotegemea ujuzi na ubunifu wako.
Kama umependa video hii tupe support yako kwa Kusubscribe , Kulike na Kushare video zetu kwa wengine Ahsante !!!
mwanafunzi wako ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Kabisa unaweza
Thanks brother
Nakubal sana mkali
Pamoja sana bro
Noma
Thanks brother
Asante bro nimekuelewa xana nilikuwa naomba ufanye marudio ya beat nyimbo ya HARMONIZE WAPO nitashukuru xana
Usijali kaka tutajitahidi tufanye hivo
mwanafunzi wake hapa ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Dah nakubal sana aisee
Pamoja Sana blood
your are the best
Thanks brother
nzuri hii bro.uko vzur
Nashukuru sana kaka
mwanafunzi wake hapa ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Nilijua tu big up. Sanaa kakaaaaaaa
Nakubali sana brother
mwanafunzi wake hapa ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Umetisha sana kaka
Nashukuru sana brother
Pamoja sana bro, endelea kutisha na sisi tunaendelea kukupa support
Nashukuru sana brother
Mi naomba ufanye remake ya alikiba na otile in love inanikosha
usijali kaka tutai post soon
You are the best Man, and the first to remake this.
Thanks much brother
mwanafunzi wake hapa ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Força mano estamos junto, preciso do seu produção pra mi gostei muito.
Thanks
Kali
Thanks blood
Hio moto bro...shukran
Pamoja bro
naomba ufanye remake ya wimbo wa young d mbutika mana zile drums mle selew zmepugwaje
Usijali kaka tutajitahid tufanye mapema
nahtaji nijfunze kuproduce kutoka kwako bro.nsaidie
Usijali kaka gusa link kwenye description kujiunga na group letu la watsup
asantekaka by G.izengo gospel
Tupo pamoja brother
mwanafunzi wake hapa ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Noma Sana hyo cnea ya bati inapatkana kweny plug ya fl au ya kudownload
Ni sample ya kawaida bro
broo broo naomba utufundishe jinsi ya kuweka beat liwe linaanza kwa saund ya chin kisha huku ikienda juu sorr naomba
usijali brother soon tutafanya ivo
Wangapi tumelost
hahah lakini sio sana
Genius
Thanks bro nakubali
mwanafunzi wake hapa ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Bro Tutorial zako zko vzur keep it up,, respect on you.we are waiting for also rap beats remakes
Usijali brother labda unapendekeza beat gan ya rap tuifanye
@@Aroncademy moni centrozone nyimbo inaitwa maelekezo ,
Sawa brother tutajitahidi tufanyie kaz hili
@@Aroncademy thx bro for response
Pamoja sana blood
nice saana aroncademy
ipo vizurii saaana big up
+255768571732
Thanks brother
Beat zaahina izo zina itwaje kk
Ni moja ya aina za sebene
Fuguwa account ya UA-cam yama beats bro please🙏🙏
Usijali brother tunashukuru kwa ushaur wako tutajitahidi tuufanyie kazi mapema
uki fugula unihambiye bro
Usijali bro
Okay
🙏🙏
Kaka ni bass Gani hio?
Nmetumia modo bass bro
Uko faster sana kaka had Raha....
thanks brother
Mwanafunzi wako hapa ua-cam.com/video/9-7zmMCFCW8/v-deo.html
Free FLP
Tunaandaa utaratibu mzuri wa kuzipata
@@Aroncademy Sawa nasema hivyo kwa sababu wengine tumekuwa na wewe since day one hadi sasa account yetu, darassa letu linazidi kuwa kubwa nakupendwa na watu wengii kwa kazi nzuri ya ubunifu, siku moja tusuprise kwa Free FLP hata wa beat mbili tu . Tutashukuru sana sisi wanafunzi tunaotegemea ujuzi na ubunifu wako.
Usijali brother tupo pamoja soon utaona surprise
Mzee tueke free FL studio data tupate madini hayo
Usijali kaka tunaandaa utaratibu wa kupata data na sample tulizo tumia
kwa plugin vst,fl studio 12&20.8 0783281962
pamoja sana mr
Bro I've been watching all your tutorial bro you talk too much
Thanks so how do you want us to do ?