Jinsi ya kutengeneza Beat ya Juju ya Rayvanny Ft Zlatan Ibile Kwenye Fl studio
Вставка
- Опубліковано 5 гру 2024
- Rayvanny Ft Zlatan Ibile - Juju instrumental beat remake fl studio
Katika video hii utaifunza jinsi ya kuyengeneza beat ya juju ilio fanywa na Rayvanny akiwa na
Zlatan Ibile wimbo huu ni moja kati ya nyimbo zinazo patikana katika album mpya ya rayvanny inayo itwa
sound of africa audio ya rayvanny juju ilifanyika chini ya producer S2kizzy katika studio za pluto republic na kufanyiwa
mixing and mastering na producer lizer classic katika studio za wasafi records
Pia katika viodeo hii utajifunza mbinu mbali mbali za kutengeneza drum grooves za afrobeats na bongo fleva
WhatsApp group: chat.whatsapp....
facebook: / aroncademy-10225707838...
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#rayvannysoundofafrica #Rayvanny #ZlatanIbile #S2kizzy #lizerclassic
Kama umependa video hii tupe support yako kwa Kusubscribe , Kulike na Kushare video zetu kwa wengine Ahsante !!!
Uko vizuri kaka ila ni vizuri ukawa unatuonesha ni vst zp umetumia na uzifungua ili tuone sample unazochagua kwenye hzo plugin..nadhan itatusaidia kujifunza zaidi
Usijali brother tutajitahid tufanye kwenye video zijazo
Sikupingi kaka show kal
Pamoja sana brother
Nakubal
🙏🙏
Fundi kama Fundi ... Hiv hua ukowp ....
Kwasasa tupo kahama brother
Injinia panga beats yani remake piga yote hadi jinsi arrangement walivofanya
Sawa brother tutajitahid tuwe tuna maliza kwenye video zijazo