Jinsi ya Kufanya Mixing ya Beat

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @Aroncademy
    @Aroncademy  3 роки тому +1

    Kama kunakitu umejifunza usisahau kulike kucomment na kushare video hii kwa wengine

  • @JoshuaEsrom
    @JoshuaEsrom 3 місяці тому

    Noma saana

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 роки тому +2

    U never disappoint dude,👍👍👍👍

  • @nyaky_fighter
    @nyaky_fighter 3 роки тому +1

    Yeah yeah nakubali mzeee

  • @QvoIce411
    @QvoIce411 3 роки тому +1

    💯💯💯💯💥💥💥💥

  • @djbaddest255
    @djbaddest255 3 роки тому +2

    Safy bro apo tunasubiri mix and mastering ya vocal in fl studio na kurekodii kabisa

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому +1

      Usijali brother ndio tushaianza series ya mixing

  • @moyo...heartack7878
    @moyo...heartack7878 Рік тому

    Nimejifunza bro Asante 🤲
    Ila swali langu Kuna uwezekano kupata plug ins kutoka kwako

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  8 місяців тому

      Uwezekano upo ila nakushauri uwe na uwezo wa kuzitafuta mwenyewe kwakuwa plugins zinatoka kilasiku hivyo ukijua kuzipata huta hangaika

  • @samuelakili4942
    @samuelakili4942 3 роки тому +1

    Asante sn. Ila br mm nina tatizo, Nikitaka save beat aikubali sijui km kosa nini bro naomb msahada wako

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Itakuwa unatumia trial version jaribu kupata version ambayo sio trial

    • @samuelakili4942
      @samuelakili4942 3 роки тому +1

      @@Aroncademypoa br nime shukur kwa ushaur

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Thanks brother