Harmonize ft Awilo Longomba & H baba - Attitude Instrumental Beat Remake Fl studio
Вставка
- Опубліковано 4 гру 2024
- Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya Attitude ilio fanywa na
msanii kutoka konde gang music Harmonize akiwa na H baba na Awilo Longomba pia utajifunza mbinu mbali
mbali zinazo tumuka kutengeneza beat za Afrobeat , Beat za sebene na beat za bongo fleva katika fl studio
Watch this fl studio tutorial learn how to remake Harmonize ft Awilo Longomba & H baba - Attitude instrumental
beat on fl studio also you will learn diffent types of tricks used when making bongo fleva beats
Afrobeats and sebene on fl studio
WhatsApp group: chat.whatsapp....
facebook: / aroncademy-10225707838...
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#beatremaketutorial #harmonize
Jamaa anajuaaa👍👍
Thanks brother
Umetisha bro
Thanks brother
Sawa bro
Thanks brother
Naitaji kujifunza bro
Karibu sana brother
Anapatika wap Na malipo je?
Kwasasa bado hatuja anza huduma ya kufundisha darasa halisi
Teacher
Niambie brother
Arrangement ndo matter
Tutajitahid tuoneshe kwenye video nyingine ahsante kwa mchango wako
Showshow mpaka mwisho
Nakubali Sana Mr
Tupo pa1 mwamba
Nakubali brother
@@Aroncademy naomba nitumie namba zako
Kwenye description kuna link ya group la watsupp
wewe ni master bana leta number yako
Thanks brother gusa link kwenye description kujiunga na group letu la watsup au mitandao yetu ya kijamii
Group limejaa niad bas0627261175
Link ipo kwenye description apo brother
@@Aroncademy group full limejaa man
Ntakuadd mtu akileft brother
@@Aroncademy poa pamoja
🙏🙏
Tupo pa1 mwamba
thanks bro