Harmonize Harmonize - Sandakalawe Amapiano Beat remake Fl studio
Вставка
- Опубліковано 5 гру 2024
- Watch this fl studio tutorial learn how to make amapiano beats used by harmonize in sandakalawe
Also you will learn different tips and tricks use in creating amapiano beat
Katika tutorial hii uta jifunza jinsi ya kutengeneza beat ya amapiano ilio tumiwa na harmonize
kwenye wimbo wa sandakalawe
pia utajifunza mbinu mbali zinazo tumika wakati wa kutengeneza beat kwente fl studio
WhatsApp group: chat.whatsapp....
facebook: / aroncademy-10225707838...
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#amapianoflstudio #Harmonizesandakalawe #flstudioremakes #Aroncademy
Kama kuna kitu umejifunza usisahau kulike, kucomment na kushare kwa wengine pia ili wajifunze
....
Great kaka unajua🥳🥳
Daaaa naomba ntumie plug
Amaizing
Nashukuru sana
we jamaa we 👐
Thanks brother
Mawazo- Anzisha mpango wa kuuza Sample package kwa bei nafuu 💪🏼
Ahsante kwa ushauri Brother kuna pack tunaiandaa mda ukifika tutatoa utaratibu jinsi ya kupata
Many people need Diamond iyo beat remake
naomba ufanye remake ya shetta hatufanani nao tafadhal bro💙
Good
Thanks
Kali 🔥🔥🎵🎵🎵
Thanks brother
Hujawahi ku disappoint
Thanks brother
Vp bro mzm
mzma mambo vip
Nakubali broo
Pamoja Sana brother
Fireeeeeee
Thanks Brother
Yeah nakubal mzee
@@nyaky_fighter pamoja brother
Mi ningependanikushauri kitu kidogo kwa producers wanaoanza kujifunza wape mafunzo ya kufanya creation sio remakes itawasaidia sana by the way unafanya kazi nzuri sana.
Thanks brother huwa tunafanya vyote kwenye channel yetu kuna Aina zote za video
Bless you
Thanks brother
aise bro endelea kua unatoa reamke ila naomba upige tena ngoma Monicentrozone ft Jux - My Life
Sawa brother tutajitahid tufanye hivo
mkali oky
Thanks
Kweli unamafundisho mazuri ila tunaomba wakati unatoa mafubdisho pia plugn unazotumia utuoneshe uko kwenye kutufundisha
Usijali brother tutajitahid tufanye hivyo kwenye video nyingine
Itakua poa
Thanks
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks Brother
🙏🙏
Thanks brother
uko na instagrame brother
Yes brother link hii
instagram.com/aroncademy/
Yoo kaka hii ni bass gani umetumia hapa
Flp please 🙏
Uko wapi kaka ukimyaaaaa
Muda sio mrefu tutarejea
Niunge kwa group kaka 0655132336
Gusa link kwenye description brother