Jinsi ya kuwa producer 2024 ( Music Producer )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @Aroncademy
    @Aroncademy  3 роки тому +1

    Kama umependa video hii tupe support yako kwa Kusubscribe , Kulike na Kushare video zetu kwa wengine Ahsante !!!

  • @jsimpleclasic3661
    @jsimpleclasic3661 3 роки тому +2

    Ndugu nakushukuru Sana kwa kututia nguvu maproducer chipukizi

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Ahsante Sana J simple

    • @jsimpleclasic3661
      @jsimpleclasic3661 3 роки тому +2

      Sawa Sasa Kuna kitu naitaji nukijuwe zaidi vp tunaweza kupata mawasiloano ndugu?

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Usijali kaka unaweza kugusa link kwenye description kujiunga na group letu la watsup

  • @SonWalker-zd2xg
    @SonWalker-zd2xg 4 місяці тому

    Kaka nahitaji sana kujifunza sjui hata nasaidikaje

  • @Heartbrown1
    @Heartbrown1 3 роки тому +2

    Saf

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 роки тому

    Nakukubali sana Aron

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Ahsante Sana Mwanza beat tupo pamoja

  • @Tinoshootit
    @Tinoshootit 3 роки тому

    Nashukuru Sana bro

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Ahsante brother tupo pamoja

  • @gakipresident5804
    @gakipresident5804 3 роки тому +1

    Kaka naomba zako hapo

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Kuna link kwenye description brother gusa kujiunga na group letu la watsup

    • @mafujotv2238
      @mafujotv2238 3 роки тому +1

      @@Aroncademy 0747126100 niunge WhatsApp

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      @@mafujotv2238 link ipo kwenye description brother

    • @gelvasjkankosha5774
      @gelvasjkankosha5774 3 роки тому +1

      Nimekupenda bule broo unatupa moyo 2nao jifunza

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Ahsante Sana brother

  • @nyaky_fighter
    @nyaky_fighter 3 роки тому

    Haipingwi kaka

  • @djdjadjaaravibeatz9186
    @djdjadjaaravibeatz9186 2 роки тому

    Na itaji namba yako

  • @EmmanuelMweyo
    @EmmanuelMweyo Рік тому

    Naitaji kujifunza uproduce naitaji unifundishe naomba mawasiliano yako

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  8 місяців тому

      Kwa bahati mbaya hatuna darasa maalum unaweza kujifunza kupitia channel hii na kama utakuwa na maswali wasiliana nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii au unaweza jiunga na ma group yetu kwaajili ya kubadilishana mawazo na producers wengine ahsante

  • @bestshamba6037
    @bestshamba6037 3 роки тому

    Nakbal kak

  • @givenrich5961
    @givenrich5961 3 роки тому +1

    nina ndoto kubwa mnooo kuja kuwa producer mkubwa duniani...

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Hongera sana brother Mungu akusimamie katika hilo

    • @ExpeditoKibange-hm1br
      @ExpeditoKibange-hm1br Рік тому

      Nimekwelewa sana broo ila ni likuwa Naomba app ya FL studio