Flavour ft Diamond Platnumz and Fally Ipupa - Berna Reloaded Instrumental Fl studio remake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @jbforc2100
    @jbforc2100 3 роки тому +5

    Wakwanza kwenye comment... bro nakubali sana .... basi nipeni like zenu kama una mkubali ....big up my Brother

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Hahah Umetisha sana brother nakubali sana

    • @jbforc2100
      @jbforc2100 3 роки тому +1

      Nipe number zako tufanye kazi kaka...

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Cheki kwenye description kuna link ya watsup

  • @nyaky_fighter
    @nyaky_fighter 3 роки тому +3

    Safi sana boss ni ♨️♨️

  • @mrchazzy6551
    @mrchazzy6551 3 роки тому +4

    Brother Aron big up Sana me ni fan wako mkubwa na pia najifunza kutengeneza beat.

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Nashukuru sana kaka tupo pamoja

  • @avinjason7032
    @avinjason7032 3 роки тому +2

    Vizuri bro, naisubiri iyo video utakayoonyesha jinsi ya kupiga brass

  • @ismaahmohammad335
    @ismaahmohammad335 3 роки тому +2

    duuuh mwanang nakukubl kinom uko vizur yaan tayar umesha remake umetisha mwana

  • @lennyafrikah
    @lennyafrikah Рік тому

    boss nimeku subscribe maana production uko vizuri asante kwa mafunzo naomba zako tafadhali

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  8 місяців тому

      Ahsante sana gusa link kwenye description kujiunga na group letu la watsap

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 роки тому +2

    Note yangu itakaa hapa na nyingine hapa ... Baada ya hapo nitamalizia na hzi mbili ,😂😂😂😂🤣🤣🤣 hua unanivuruga sana kaka

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      Hahah usijali brother next time itabid tuboreshe

  • @kibokotv727
    @kibokotv727 3 роки тому +1

    Bro kwan studio kubwa azikuoni au?

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 роки тому

      One day tutaonekana brother

  • @agskymade
    @agskymade 2 роки тому

    Oga speak English

  • @Flowzexclusive
    @Flowzexclusive 4 місяці тому

    Speak English, not all of us understand your language