beat arrangement tutorial : jinsi ya kupanga beat kwenye fl studio
Вставка
- Опубліковано 8 гру 2024
- Watch this fl studio tutorial learn how to create beat arrangement to form full song
on fl studio. Also you will learn some beat arrangement tips and song arrangement techniques in fl studio
Katika video hii uta jifunza jinsi ya kupanga beat katika fl studio pamoja na mbinu mbali mbali zinazo tumiaka kupanga
beat ili kupata mpangilio mzuri wa wimbo pia utajifunza vitu vitakavyo kurahisishia kupanga beat ndani ya fl studio
Subscribe mwanza beats on youtube : / @erevukatv
follow mwanza beats on instagram : / mwanza_beats
WhatsApp group: chat.whatsapp....
facebook: / aroncademy-10225707838...
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#songarrangement #beatarrangementtutorial
Kama umejifunza kitu katika video hii usisahau ku subscribe na kulike video hii
......
Naelewa kaka
Pamoja Sana brother
Tishaaa sanaaa
nakukubali mzee baba
Pamoja Sana Mr
Shukrani kaka kwa Darasa lako Ahsante kwa kunichagua mimi Thank u so much nimejifnza sana
Nashukuru Sana brother pia thanks kwa kuniruhusu nitumie mali yako
pro
Naam
Kazi tamu sana mkuu..naweza kupata mawasiliano yako kaka
Ahsante kaka unaweza gusa link kwenye description kujiunga na group letu la watsup au kuwasiliana nasi kupitia mitandao ya kijamii
Poa
Thanks
Kaka nataka kuni saidiya sample Nexus
Jiunge na group la watsapp kwa msaada zaid