Jinsi ya Kutafuta Key ya Msanii na Kutengeneza Beats
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Watch this fl studio tutorial learn how to find the key of a song when your in studio
trying to make music also in this tutorial you will learn some techniques used to find key on
fl studio when making chord progression and beats
Katika tutorial hii utajifunza jinsi ya kutafuta key ya vocal pale unapo taka kutengeneza beat
pia utajifunza jinsi ya juu ya vocal kavu pamoja na mbinu mbali mbali
za kutengeneza beat katika fl studio
WhatsApp group: chat.whatsapp....
facebook: / aroncademy-10225707838...
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#Aroncademy #findingkeyofsong #kutengenezabeat
Kama umejifunza kitu usisahau ku subscribe , kucomment , kulike na kushare kwa wengine wajifunze
.....
Tafuta mfumo mwingine wa maelekezo huu sijaelewa kabisa
Ahsante kwa ushauri
Kwaio unashauri tutumie mfumogani wa maelezo
noma sana bloody
👊👊👊👊nakubal sana kaka
Thanks brother
Kaka Aron mbn uko kimya sana, tunamis darasa kutoka kwako mkuu
KImy broo
Unaweza kuelekeza jinsi ya kifany beat inasound kam ipo chin yan kam sana sana beat za Gachi
Mwanangu mettah😂😂😂
Nime jifunz kitu
Thanks brother
Kaka rudiiiiiii tunadanganywa saaana
Usijali muda sio mrefu tutarejea
Teacher......
Niambie brother
Salute bro
Thanks brother
Nimejifunza bro
Ahsante
Kaka Aron fanya review ya Ali kiba jealous ft mayorkun please
Tuatajitahid tufanye brother thanks kwa ushauri
Kaka Arony hapo umenikuna big up my brother
Thanks brother nakubali sana
Thanks broo.... you deserve my sub bro
Ahsante kwa support
Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ticha
Thanks brother
Kaka uko vizuri sana kwenye kufundisha nimependa San ving nimepata ambavyo vilikuwa changamoto kwangu
Ahsante endelea kutufuatilia
Da! Ubunifu wa hatareeeee
thanks brother
keep up the good work Alive
Darasa toshAa ila tunaomba na mafunzo ya singeli kaka..
Big up bro 🙏🎶
Thanks brother
Kalii hii Aron 🔥🔥🔥🎵🎙️
Thanks brother
Group LA whatsapp limejaa bro, na Mm nilikuwa nahaja ya kujiunga
Can u pliz show how zigo rmx was made luv ya channel
👴👴👴✔️
iyo drum umeipigaje mkuu
Tutaonesha katika video ijayo
Unawezaje kutafuta temple inayoendana
Unajaribisha na kusikiliza au unaweza kutumia software za kutambua tempo ya audio
Kaka
Naam
@@Aroncademy tumemiss tutorial zako kaka😥
Soon tutarejea hewani kuna mambo mengi sana yanakuja
@@Aroncademy poa kaka Aron tunakusubil
Hi? Naeza pata FL STUDIO
Ndio