JINSI YA KUONGEZA SAMPLES NA DRUM KITS KATIKA FL STUDIO
Вставка
- Опубліковано 9 гру 2024
- Watch this fl studio tutorial learn how to add drum kits samples on fl studio also you will
understand what to consider before adding samples on fl studio this technique will work in
any version of fl studio from fl studio 12 to fl studio 20
Katika video hii utajifunza jinsi ya kuongeza samples na drum kits katika fl studio
pia utajifunza mambo mbali mbali ya kuzingatia kabla ya kuadd samples katika fl studio
mbinu hii inafanya kazi katika vesrsion zote za fl studio kuanzia fl studio 12 had fl studio 20
DOWNLOAD FREE DRUM KITS SAMPLES : cymatics.fm/bl...
WhatsApp group: chat.whatsapp....
website: aronbeatz07.wi...
facebook: / aroncademy-10225707838... Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#shorts
Kama umependa video hii tupe support yako kwa Kusubscribe , Kulike na Kushare video zetu kwa wengine Ahsante !!!
Kiufupi sana na umeeleweka✊
Thanks brother
👍👍👍👍👍
Thanks brother
naomba uelekeze vizuri jinsi ya kui kuistall plugin za vinanda kwenye fl 12 au 20 mana naona inakubali hpersonic pekeake ila nexus,purity, ravity na nyingine zinaenda ila ukifungua program hazionekani hata ukiscan
video inakuja soon brother endelea kutufuatilia na kushare video zetu kwa wengine
Respect