Kwa wale wanao taka kujua guiter ilio karibu zaid na alio piga s2kizzy wanaweza tumia preset inaitwa STR ELEC GUITER 50"S NUC inapatikana kwenye plugin ya morphine bank ya strings
Tuletee amapiano ya harmo ... Kaka ... 😅😅😅😅 Nakaa mkao wakujifnza afu pia wakat mwingine jarb kua unatuletea kipnd cha full lesson ya instrumental tofaut tofaut ... Yan sio skeleton namaanisha unafnya tutorial afu inakua katika epsodes mpka mixng.... Kwa njia hiyo tutafka mbal sana ...
Kwa wale wanao taka kujua guiter ilio karibu zaid na alio piga s2kizzy wanaweza tumia preset inaitwa STR ELEC GUITER 50"S NUC inapatikana kwenye plugin ya morphine bank ya strings
Nakubal mzee
Pamoja Sana brother
....pamoja sana
Nakubal brother
Amaizing
Thanks Greez
Big up bro
Thanks Brother
So amazing 🙏🙏
Thanks brother
Kama kuna kitu umejifunza usisahau kulike, kucomment na kushare kwa wengine pia ili wajifunze
....
Vp br unaweza tuonesha jins yaku pat key ya mwmbaj
Usijali brother Kuna video inakuja
Nimepoteza bundle I say...
Sijakuelew brother
Nimeipenda Aron Ila ningependa nipate link yako ya cubase5 ukifanya mixing na mastering
Bado hatujaanza ku upload video za mixing ya vocal ila ndio tupo episode za mwanzo za mixing kwa ujumla unaweza pitia playlist ya mixing kutazama zaid
Tulikua tunaenda sawa ghafla umeenda mbio kwenye piano ukanipoteza,,,sasa Ayo ndio mafunzo kweli ....!!!!
Pole brother but unaweza ku copy io piano katika pianoroll yako
Teacher hyo bass ni plugin gan mzee
Io ni fruity dx 10 brother
Aaaa ok
Fanya basi beat ya harmonize hi mpya
Usijali brother tunaifanyia kazi
Eeh fanya Ivo
Eeh fanya Ivo
Sawa brother endelea kutufuatilia
Niko pamoja nawewe sana Ani sana kaka
Utaratibu ni uleule😂😂😂😂contro B unanikosha kinoma darasa linanoga
Hahah nakubali sana brother
bro najifunza sana kupitia kwako unapatikana wap kaka
Thanks brother kwasas tunapatkana kahama
Tuletee amapiano ya harmo ... Kaka ... 😅😅😅😅 Nakaa mkao wakujifnza afu pia wakat mwingine jarb kua unatuletea kipnd cha full lesson ya instrumental tofaut tofaut ... Yan sio skeleton namaanisha unafnya tutorial afu inakua katika epsodes mpka mixng.... Kwa njia hiyo tutafka mbal sana ...
Ahsante kwa ushaur brother tutajitahid tuufanyie kaz mapema