Dayanar skincaretips
Dayanar skincaretips
  • 37
  • 530 560
LOTION ZA KUONDOA WEUSI KWAPANI,MAPAJANI NA KUKUPA RANGI MOJA/BEST LOTIONS FOR AN EVEN SKINTONE
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua?
video hii itaenda kukuonesha lotion nzuri za kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu wote haijalishi ni mwanaume au mwanamke.haya mafuta yanafaa ngozi za aina zote ikiwemo ngozi kavu,ngozi mchanganyiko,ngozi za kawaida na ngozi za mafuta mengi,hizi lotion zinaenda kuondoa weusi chini ya kwapa,mapajani,magotini na kukupa rangi moja mwili mzma
#bestlotion #skincaretips #howtotreatacne
Disclaimer
Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
bonyeza link hii kuangalia video ya kulainisha miguu na kuondoa magaga
ua-cam.com/video/Yb49UQzALRk/v-deo.html
Jinsi ya kutunza nywele kavu na zilizokatika
ua-cam.com/video/9nNOlx2861o/v-deo.html
Mafuta mazuri kwa ngozi zenye mafuta mengi
ua-cam.com/video/AsnKFGdlzAQ/v-deo.html
Jinsi ya kufanya face steaming
ua-cam.com/video/eOmgNVjtcm4/v-deo.html
ijue aine ya ngozi yako ili kutibu chunusi haraka..bonyeza link
ua-cam.com/video/3Xqle_Z_5EI/v-deo.html
#chunusi #dawayachunusi #beutyandlifestyle
#swahilination
jinsi ya kuondoa michirizi,jinsi ya kupunguza unene,jinsi ya kupunguza tumbo,jinsi ya kuondoa madoa,how to treat acne,products for oilyskin ,mafuta ya kutibu chunusi,ngozi mafuta,jinsi ya kuondoa makunyazi,Tanzania youtuber,
,mashamsham ,urembo ,ngozi ,ngozilaini ,carrymastory ,chunusinamadoa ,how to apply makeup ,jinsi ya kutunza nyweleasili ,babalevo,wasafimedia, ,mafutayanywele ,katunikiswahili ,katuni ,wasafi ,cook with wemasepetu ,punguza kitambi,jinsi ya kupika chapati,diko na monalisa,ireneuwoya ,bongofleva top hits,tanzaniayoutuber ,best lotion for whitening your body,bongo1media ,millardayo ,tanzaniacomedy ,lotion nzuri kwa watu weusi ,juma lokole,diamondplatnamz,wasafi media,serum ya vitamin c,bongofleva,best serums for skin,mapenzi ,tanzania travel,zanzibar tanzania,tanzaniamovies ,kiswahili ,bongomovies swahilicomedy,dizzimonline
Переглядів: 11 569

Відео

VITAMIN C SERUM KWA KUONDOA MADOA NA KUNGARISHA NGOZI/Vitamin c serum for glowing skin
Переглядів 12 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha serum nzuri za kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu wote haijalishi ni mwanaume au mwanamke.hiya mafuta yanafaa ngozi za aina zote ikiwemo ngozi kavu,ngozi mchanganyiko,ngozi za kawaida na ngozi za mafuta mengi #chunusi #urembo #howtotreatacne Disclaim...
SETI ZA MAFUTA KUONDOA MAKUNYAZI,MADOA NA KUNGARISHA NGOZI /best moisturizer for glowing skin
Переглядів 5 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha lotion na mafuta mazuri ya kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu wote haijalishi ni mwanaume au mwanamke.hiya mafuta yanafaa ngozi za aina zote ikiwemo ngozi kavu,ngozi mchanganyiko,ngozi za kawaida na ngozi za mafuta mengi #chunusi #urembo #howtotreata...
MAFUTA 5 MAZURI KWA WATU WENYE CHUNUSI NA KWA NGOZI ZA MAFUTA/best moisturizer for oily skin
Переглядів 51 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha lotion na mafuta mazuri ya kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu weuPE haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #chunusi #urembo #howtotreatacne Disclaimer Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa...
SABUNI 5 NZURI ZA KUNGÁRISHA NGOZI YAKO NA KUONDOA MADOA MWILINI/bodywash for glowing skin
Переглядів 23 тис.Рік тому
je unatafuta sabuni nzuri ya kuondoa madoa mwilini na kungarisha ngozi video hii itaenda kukuonesha sabuni 5 muhimu za kuondoa madoa,mabaka na kungarisha ngozi na kuondoa bakteria mwilini .hizi sabuni ni kwa aina zote za ngozi bila kuichubua na pia haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #chunusi #skincare #afya sabuni 5 nzuri za kungarisha ngozi yako na kuondoa madoa mwilini.this is dayanar Discla...
JINSI YA KUTUMIA LOTION YA FAIR AND WHITE KUNGÁRISHA NGOZI NA KUTIBU CHUNUSI @Thisisdayanar
Переглядів 5 тис.Рік тому
je unatafuta mafuta mazuri ya kuondoa madoa mwilini na kungarisha ngozi video hii itaenda kukuonesha mafuta ya fair and white ya kuondoa madoa,mabaka na kungarisha ngozi jinsi ya kupaka na kutumia mafuta ya fair and white .haya mafuta ni kwa aina zote za ngozi bila kuichubua na pia haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #sensitiveskin #skincare #fairandwhite Disclaimer Video zote kwenye hii channe...
MAFUTA 5 YA KUONDOA MICHIRIZI MWILINI/how to remove stretch marks @Thisisdayanar
Переглядів 12 тис.Рік тому
je unatafuta mafuta mazuri ya kuondoa michrizi mwilini video hii itaenda kukuonesha mafuta mazuri ya kuondoa michirizi na mda gani wa kupaka, umuhimu wa kupaka mafuta ya kuondoa michirizi.haya mafuta ni kwa aina zote za ngozi bila kuichubua na pia haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #sensitiveskin #skincare #michirizi Disclaimer Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa ...
MAFUTA 5 YA SUNSCREEN KWA AJILI YA AINA ZOTE ZA NGOZI/sunscreen products for oily skin
Переглядів 11 тис.Рік тому
je unatafuta sunscreen nzuri kutokana na aina ya ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha sunscreen nzuri za kupaka ili kulinda ngozi yako dhidi ya mionzi ya jua,mda gani wa kupaka sunscreen na umuhimu wa kupaka sunscreen.hizi sunscreen ni kwa aina zote za ngozi bila kuichubua.hizi sunscreen ni nzuri kwa ajili ya ngozi zote na pia haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #sensitiveski...
SCRUB NZURI ZA KUONDOA MADOA NA KUNG’ARISHA NGOZI/best body scrub for glowing skin
Переглядів 10 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha scrub nzuri za kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya ngozi zote na pia haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #lotion #skincare #scrub Disclaimer Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.h...
LOTION 5 ZA KUNG’ARISHA NA KUONDOA MADOA KWA WATU WEUSI/best body lotion for dark skin tone
Переглядів 38 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha lotion na mafuta mazuri ya kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu weuPE haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #chunusi #bodylotion #howtotreatacne Disclaimer Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazo...
LOTION 5 NZURI ZA KUNG’ARISHA NA KUONDOA MADOA/best body cream for dark marks
Переглядів 12 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha lotion na mafuta mazuri ya kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu weuPE haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #chunusi #bodylotion #howtotreatacne Disclaimer Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazo...
LOTION 5 NZURI KWA WATU WEUSI/zina ng'arisha na kulainisha ngozi bila kuchubua rangi yako
Переглядів 35 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha lotion na mafuta mazuri ya kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu weuPE haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #chunusi #bodylotion #howtotreatacne Disclaimer Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazo...
LOTION 5 KWA WATU WEUPE NA FAIRSKIN KUNG’ARISHA NA KUONDOA MABAKA
Переглядів 17 тис.Рік тому
je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua? video hii itaenda kukuonesha lotion na mafuta mazuri ya kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu weuPE haijalishi ni mwanaume au mwanamke. #lotion #mafuta #melaninpoppin Disclaimer Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa n...
SABABU MUHIMU KWA NINI HAUPONI CHUNUSI
Переглядів 3,1 тис.2 роки тому
SABABU MUHIMU KWA NINI HAUPONI CHUNUSI
MAFUTA MAZURI YA KUTIBU CHUNUSI
Переглядів 9 тис.2 роки тому
MAFUTA MAZURI YA KUTIBU CHUNUSI
SERUM NZURI ZA KUNG'ARISHA NGOZI , KUONDOA MADOA USONI NA MAKUNYAZI/Best serums for skincare
Переглядів 23 тис.3 роки тому
SERUM NZURI ZA KUNG'ARISHA NGOZI , KUONDOA MADOA USONI NA MAKUNYAZI/Best serums for skincare
SABUNI 5 ZA KUTIBU CHUNUSI/ZINAFAA KWA AINA ZOTE ZA NGOZI/best bar soap to heal acne
Переглядів 25 тис.3 роки тому
SABUNI 5 ZA KUTIBU CHUNUSI/ZINAFAA KWA AINA ZOTE ZA NGOZI/best bar soap to heal acne
MAFUTA YA KUCHANGANYA NA LOTION ILI KUNG'ARISHA NGOZI, KUONDOA MADOA NA KUTIBU CHUNUSI
Переглядів 16 тис.3 роки тому
MAFUTA YA KUCHANGANYA NA LOTION ILI KUNG'ARISHA NGOZI, KUONDOA MADOA NA KUTIBU CHUNUSI
LOTION 8 NZURI KWA WATU WEUSI/zina ng'arisha na kulainisha ngozi bila kuchubua rangi yako
Переглядів 63 тис.3 роки тому
LOTION 8 NZURI KWA WATU WEUSI/zina ng'arisha na kulainisha ngozi bila kuchubua rangi yako
JINSI YA KUTAKATISHA MENO NA KUONDOA HARUFU MBAYA MDOMONI/TEETH WHITENING
Переглядів 4,8 тис.3 роки тому
JINSI YA KUTAKATISHA MENO NA KUONDOA HARUFU MBAYA MDOMONI/TEETH WHITENING
JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA LIMAO;Huondoa madoa,chunusi na kung'arisha ngozi/lemon oil
Переглядів 7 тис.3 роки тому
JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA LIMAO;Huondoa madoa,chunusi na kung'arisha ngozi/lemon oil
JINSI YA KUTENGENEZA SCRUB YA KAHAWA;HUONDOA MICHIRIZI,MADOA NA KUNG'ARISHA NGOZI/coffee scrub
Переглядів 37 тис.3 роки тому
JINSI YA KUTENGENEZA SCRUB YA KAHAWA;HUONDOA MICHIRIZI,MADOA NA KUNG'ARISHA NGOZI/coffee scrub
JINSI KUTUMIA KITUNGUU KUKUZA NYWELE HARAKA;how to make onion oil for hair growth
Переглядів 6973 роки тому
JINSI KUTUMIA KITUNGUU KUKUZA NYWELE HARAKA;how to make onion oil for hair growth
UMUHIMU/JINSI YA KUFANYA FACE STEAMING ILI KUTIBU CHUNUSI HARAKA
Переглядів 1,8 тис.3 роки тому
UMUHIMU/JINSI YA KUFANYA FACE STEAMING ILI KUTIBU CHUNUSI HARAKA
MAFUTA MAZURI KWA NGOZI ZENYE MAFUTA MENGI/Tibu chunusi haraka/the best moisturizer for oily skin
Переглядів 29 тис.3 роки тому
MAFUTA MAZURI KWA NGOZI ZENYE MAFUTA MENGI/Tibu chunusi haraka/the best moisturizer for oily skin
JINSI YA KUTUNZA NYWELE ZILIZOKATIKA,NYEPESI NA KAVU/hair care and tips
Переглядів 8643 роки тому
JINSI YA KUTUNZA NYWELE ZILIZOKATIKA,NYEPESI NA KAVU/hair care and tips
JUISI YA KUPUNGUZA UNENE NA TUMBO NDANI YA WIKI MBILI/How to Lose weight using apple cider vinegar
Переглядів 4,5 тис.3 роки тому
JUISI YA KUPUNGUZA UNENE NA TUMBO NDANI YA WIKI MBILI/How to Lose weight using apple cider vinegar
MASK 5 ASILI ZA KUPUNGUZA MAFUTA USONI,KUNG'ARISHA NGOZI NA KUTIBU CHUNUSI
Переглядів 5 тис.3 роки тому
MASK 5 ASILI ZA KUPUNGUZA MAFUTA USONI,KUNG'ARISHA NGOZI NA KUTIBU CHUNUSI
FAHAMU NJIA MBILI ZA KUSAFISHA MAKEUP KIURAHISI
Переглядів 6943 роки тому
FAHAMU NJIA MBILI ZA KUSAFISHA MAKEUP KIURAHISI
JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA KUPUNGUZA TUMBO NA UZITO|DETOX JUICE FOR WEIGHT LOSS
Переглядів 16 тис.3 роки тому
JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA KUPUNGUZA TUMBO NA UZITO|DETOX JUICE FOR WEIGHT LOSS

КОМЕНТАРІ

  • @RatifaRajabu
    @RatifaRajabu День тому

    dada nahitaji hiyo lotion ya skinsucces

  • @BetildaKabululu
    @BetildaKabululu 5 днів тому

    Wewe unapaka nini nataka niwe na rangi kama yako

  • @KHadijaSaid-l3m
    @KHadijaSaid-l3m 5 днів тому

    Tafadhali nakuomba unisaidie

  • @KHadijaSaid-l3m
    @KHadijaSaid-l3m 5 днів тому

    Mimi rangi yangu ina madoa usoni nina pimples sana

  • @KHadijaSaid-l3m
    @KHadijaSaid-l3m 5 днів тому

    Mimi pia nimetumia lotion nyingi lakini sijapata matokeo mazuri tafadhali nisaidie

  • @asinamussa1156
    @asinamussa1156 5 днів тому

    Shingp seram

  • @ShugweHusna
    @ShugweHusna 5 днів тому

    Dada mi nina swali kwasasa natumiya mkorogo ila nataka niache naweza kutumiya lotion ipi ili niwe mweusi na weuse wa chocolate?

  • @VickymaukyMauky
    @VickymaukyMauky 6 днів тому

    Dada mimi nina rangi kama yako naomba unielekeze face cream nzuri na losheni ya mwilini na mm nipendeze kama ww jmn

  • @ShahmaaShahmaa
    @ShahmaaShahmaa 6 днів тому

    Yeah twapenda unatulimisha ss uson tunapaka nn mana unasema tusipake usoni tupe elimu yauso ssa

  • @JudyThadeo
    @JudyThadeo 10 днів тому

    Naomb namba ako

  • @JudyThadeo
    @JudyThadeo 10 днів тому

    Unauza sh ngapi? Nayataka

  • @AjibAjib-k7t
    @AjibAjib-k7t 11 днів тому

    Dadà namb yàkooo?¿?¿?

  • @AjibAjib-k7t
    @AjibAjib-k7t 11 днів тому

    Namba yako dada unapatikana wàpí na hayó mafut

  • @EdwardGodfrey-p9x
    @EdwardGodfrey-p9x 13 днів тому

    Wewe hupaka mafuta gani

  • @SpecimenNestory
    @SpecimenNestory 14 днів тому

    Hlw, napenda san ushauri wako ila me nina tatizo la chunusi nilkuw naomba mawasiliano tafadhari

  • @WinifridaFidelis
    @WinifridaFidelis 16 днів тому

    Jiwe umelipata wapi

  • @HonorataKishimba
    @HonorataKishimba 17 днів тому

    Dada ninashida na mafuta napateje

  • @merryjackmarryjack6013
    @merryjackmarryjack6013 18 днів тому

    Iljaman msaada mi ngozi yangu mapajan vidoa doa au niceme ngozi ya kuku

  • @GraceNgowi-m3e
    @GraceNgowi-m3e 19 днів тому

    Naomba namba zako my dr

  • @rosemarywilliam4264
    @rosemarywilliam4264 19 днів тому

    Honger sana dada etu kwa ushauri mzuri ❤❤❤❤

  • @NgerezaWinfredy-n1b
    @NgerezaWinfredy-n1b 20 днів тому

    Tupe na face cream nzuri

  • @KABULAMAGANGA-je9sz
    @KABULAMAGANGA-je9sz 23 дні тому

    Sorry lotion ya vasseline cocoa radiant inachubua au haichubui

  • @MatridaNjile
    @MatridaNjile 29 днів тому

    Q7 zipo aina nying je nitajuaje ipi inafaaa kwa sisi weupe

  • @EvelinePhilipo
    @EvelinePhilipo Місяць тому

    Mimi nimweupe la kinininamafuta mengi nachunusi nisaidie

  • @Sabrinaomary-k7h
    @Sabrinaomary-k7h Місяць тому

    Mm nimeshahangaika sana niambie sabuni nzuri ya kutumia pamoja na mafuta yk Nina ngozi ya mafuta na chunusi nyingi please nisaidie

  • @agnethalipambila3704
    @agnethalipambila3704 Місяць тому

    Naomba mafuta mazuri nibaki na ranging yng nyeusi

  • @deboraelias3333
    @deboraelias3333 Місяць тому

    Mm napaka American Dream vipi ni serum ipi nzuri jaman

  • @Deborhjohn
    @Deborhjohn Місяць тому

    Naomb namb yako dada

  • @Safinaharunarashidi
    @Safinaharunarashidi Місяць тому

    Mini natafuta sabuni nzuri yabei rahisi

  • @AnneWambasi
    @AnneWambasi Місяць тому

    Thanks

  • @IreneCremece
    @IreneCremece Місяць тому

    We unatumia mafuta gani

  • @IreneCremece
    @IreneCremece Місяць тому

    Dada jamni unapatikana wapi

  • @safiaabdallah-g2r
    @safiaabdallah-g2r Місяць тому

    Mbon mie haufanyik jaman mguu mgum

  • @LatifaWilliam-ng8hr
    @LatifaWilliam-ng8hr Місяць тому

    Dad tuma ayo mafuta kweny coment

  • @HawaWambura
    @HawaWambura Місяць тому

    Dada nitumie namba yako ninashida ya ngonzi

  • @FelistaAntony
    @FelistaAntony Місяць тому

    Shilingi ngapi

  • @Ashleytz-i4o
    @Ashleytz-i4o Місяць тому

    Jamani me natumiah rinju na serum ya vitamin c lakn naon natoka vipele uson

  • @MillicentMoraashMongeri-s8p
    @MillicentMoraashMongeri-s8p Місяць тому

    Mm naeza jipaka gani plz nko n madoa doa uso

  • @Esterchacha-jo9mn
    @Esterchacha-jo9mn Місяць тому

    Tunaomba namba zako baba

  • @SophiaGideon
    @SophiaGideon Місяць тому

    Kama huna scrub unatumia nn??

  • @HawaWambura
    @HawaWambura Місяць тому

    Dada Mimi nasugu nitumie nini

  • @rosemaryenyagato
    @rosemaryenyagato Місяць тому

    Munapatikana wapi

  • @InnocentShayo-q8q
    @InnocentShayo-q8q Місяць тому

    mm ni mweup lkn nina chunusi na madoa naomb unisaidie

  • @olipahpaul6692
    @olipahpaul6692 Місяць тому

    Vp goldie ni nzur

  • @hoperiwa1629
    @hoperiwa1629 Місяць тому

    Misina mimba 😂ila nimetumia mafuta hayo yakaniletea mishirizi mapajani niatr

  • @MagrethMgalla
    @MagrethMgalla 2 місяці тому

    Mimi Kila nikipaka mafuta napata MBA usoni tu sijui nitumie kitu gani! Na haya mafuta yanapatikana wapi Ambayo umeyaelezea

  • @olipahpaul6692
    @olipahpaul6692 2 місяці тому

    Ni lotion gan nzuri kwa combination skin

  • @olipahpaul6692
    @olipahpaul6692 2 місяці тому

    Nijibu comment pls

  • @olipahpaul6692
    @olipahpaul6692 2 місяці тому

    Ni sabuni gan nzuri kwa combination skin

  • @olipahpaul6692
    @olipahpaul6692 2 місяці тому

    Jibu coment basi pls