Habari yako dad mim nahitaj mafut mazur yakuondoa virashaz vidogdog uson pia uso wang una mafut kweny paj la uso na puan nimeambiw nitumie lotion ya always young je n nzur?
Dada nipo dar hizo rosheni ulizotaja hapo nimetafutaa kalibia madukaa 10 na ila nimezikosaa halafu nimaduka makubwa kwani zinasehemu yakee maalimuu auu
Abari zako dada naomba utufundishe au utuambie lotion inayopakwa usoni .
Habari yako dad mim nahitaj mafut mazur yakuondoa virashaz vidogdog uson pia uso wang una mafut kweny paj la uso na puan nimeambiw nitumie lotion ya always young je n nzur?
habar dear vp hyo lotion ya always young imekusaidia tatzo lako
Habar dada naomba unisaidie kila. Losheni ambayo naipaka napata weusi inanikata
Dada nmependa rangi yako unapaka nini
What if I use copy lotion am black
Dada nina chunus nipake lotion gani make m mweusi sitaki ya kuchubua
Nahitaji loshen ya kuondoa makunyazi na kulainisha bila kuwa mweupe nazipataje?
😢dada fanya vedio ya remedies za miguuu soft huko chini ) feet na kwa wayo
Dada nataka kuondoa vpele na muwasho usoni Nina ngozi ya mafuta mengi
Me ngoz yang ina mafuta na Natak kutumia extra clair ya lemon je itanisaidia
Dada nipo dar hizo rosheni ulizotaja hapo nimetafutaa kalibia madukaa 10 na ila nimezikosaa halafu nimaduka makubwa kwani zinasehemu yakee maalimuu auu
Nenda kwenye maduka makubha maa
Naomba mafuta mazuri nibaki na ranging yng nyeusi
Minaomb nitajie lang nzur km ww mimweus
Mm nimepanda ngozi yako unatumia mafuta gani
Nisaidie jmn namimi ngozi yangu iwevizur Kama wew
Radiant inapatikana wapi maana Mwanza haipo kabisa kwenye Maduka yote
Na unaweza pata hadi kwa uso ama.
Naitaji mafuta ya kufanya niwe na rangi moja tu
Kila nikiona ngozi yako inanivutia n nzur
Dada mm uso wangu Ni wa mafuta nitumie nn
Tumia gentle magic
Nataka ya mwili mzma
Iyo radiant inafaa kwa ngozi kavu au mafuta
Hello.dada Mimi ninatatinzo la chunusi , ambazo ,nimeambiwa nitumie sabuni ya Asante ukwaju, lakini Bado hazijaisha,je nitumie Nini, maana sizipendi.
paka mafita ya mgando ya mwalobaini mi ndo mafita yangu ya usoni, ni buku, yanatoa chunus
Naitaji lotion isiyo chubua
Dada, nahitaji lotion ya kupaka usoni isiyochubua
Sorry lotion ya vasseline cocoa radiant inachubua au haichubui
Ngozi yangu ni ya mafuta,Ina vichunusi visivyoisha naomb kujua ntumie mafta gan
Video inakuja soon
Nice
Dada nisaidie no ako
Mimi nina uso wa mafuta nahitaji mafuta ya mtu mweupe nitumie lotion ipi?
Nitatengeneza video soon
Mimi ni maji ya kunde ninataka losheni nxuli zaidi ngozi yangu ni ngum
@@helenkazoya1936 vaseline radiant
Mimi naitaka nipo ilala naipataje
Nisaidie no ako dada
Mimi nachunusi naomba msaada
Wwe unatumia mafuta gni umependeza
Yanauzwa shingap
Hi
Nambie unapaka ipi wew
Dad una rangi nzuri unatumia mafuta gan?
Na usoni je
Unasikia wewe unatumia rosheni gani tupe ushuhuda kupitia ww
Nambie za usoni
Dada Mimi Niko mwanza nyanguge nahitaji nitaipataje?
In ipi
Jmn natak no yako dada
Na hitaji number yako dear
Tayari
Oky
Sasa