MAFUTA 5 YA KUONDOA MICHIRIZI MWILINI/how to remove stretch marks @Thisisdayanar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • je unatafuta mafuta mazuri ya kuondoa michrizi mwilini
    video hii itaenda kukuonesha mafuta mazuri ya kuondoa michirizi na mda gani wa kupaka, umuhimu wa kupaka mafuta ya kuondoa michirizi.haya mafuta ni kwa aina zote za ngozi bila kuichubua na pia haijalishi ni mwanaume au mwanamke.
    #sensitiveskin #skincare #michirizi
    Disclaimer
    Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
    bonyeza link hii kuangalia video ya kulainisha miguu na kuondoa magaga
    • JINSI YA KULAINISHA MI...
    Jinsi ya kutunza nywele kavu na zilizokatika
    • JINSI YA KUTUNZA NYWEL...
    Mafuta mazuri kwa ngozi zenye mafuta mengi
    • MAFUTA MAZURI KWA NGOZ...
    Jinsi ya kufanya face steaming
    • UMUHIMU/JINSI YA KUFAN...
    ijue aine ya ngozi yako ili kutibu chunusi haraka..bonyeza link
    • FAHAMU AINA YA NGOZI Y...
    #chunusi #dawayachunusi #beutyandlifestyle
    #swahilination
    #swahilianimation
    swahilikatuni,katunizakiswahili2021,madoa,acneskin,oilyskin ,mafutayachunusi,ngoziyamafuta,jinsi ya kutibu chunusi sugu,Tanzania youtuber,
    ,ondoamadoa ,urembo ,ngozi ,ngozilaini ,carrymastory ,chunusinamadoa ,makeup ,acne ,nyweleasili ,afya ,mafutayanywele ,katunikiswahili ,katuni ,wasafi ,wemasepetu ,urembo ,punguza kitambi,afya,asili,ireneuwoya ,bongofleva,tanzaniayoutuber ,nyweleasili ,bongo1media ,millardayo ,tanzaniacomedy ,eatv ,style,diamondplatnamz,wasafi media,mashamsham ,bongofleva,madoa ,mapenzi ,tanzania travel,zanzibar tanzania,tanzaniamovies ,kiswahili ,bongomovies swahilicomedy,dizzimonline

КОМЕНТАРІ • 33

  • @hoperiwa1629
    @hoperiwa1629 Місяць тому +1

    Misina mimba 😂ila nimetumia mafuta hayo yakaniletea mishirizi mapajani niatr

  • @laylamohamed5015
    @laylamohamed5015 Рік тому +1

    Ahsante kipenzi ubarkiwe

  • @EysherSuleiman
    @EysherSuleiman Рік тому

    Habari dada naomba kuliza me nimweupe na ngozi yangu nilain nikipaka mfuta mazito naungua chini ya macho yaani yanakua meusi unaweza kuniambia yapi yananfaa

  • @jumajohanakanga986
    @jumajohanakanga986 Рік тому

    Mimi nina swali palmers coco butter unaweza ukatumia ukiwa unajipaka mafuta ya carolight ikiwa imechangwanywa na movate??

  • @venansiazambi2652
    @venansiazambi2652 Рік тому +3

    Yan me nime jifungua had cjitaman michiliz kwenye tumbo daah 😭 Asante

  • @SalhaDidas
    @SalhaDidas 3 місяці тому

    Nashkuru me nimetumia bio oil saiv niko vzr

  • @salmanshimirimana3938
    @salmanshimirimana3938 Рік тому +1

    Mimi naomba uniambie tu body lotion for sensitive skin mimi kila nilichanganya serum kwenye lotion inaniletea michirizi na white dots kwenye miguu

    • @Dayanar_skincaretips
      @Dayanar_skincaretips  Рік тому

      Tumia American dream cocoa butter

    • @iddahravity9369
      @iddahravity9369 Рік тому

      Ukiacha weka serum utapona

    • @annaakwilini2446
      @annaakwilini2446 Рік тому

      @@iddahravity9369 yaani unamaanisha asiweke serum au
      Mm nimuhanga kama huyo jamani

    • @sarahjames5493
      @sarahjames5493 Рік тому

      Jiepushe kutumia mafuta yenye hydroquinon yanaleta michiriz kabla ya kununua loshen soma ingredient zake

  • @rahuumkiwendu9582
    @rahuumkiwendu9582 Рік тому

    Unaweza kutumia mwili mzima au kwenye michiriz tu please naomba unijib 🙏

  • @jumajohanakanga986
    @jumajohanakanga986 Рік тому

    Yaani mimi nilinunua hiyo losheni ambayo insitwa stretch marks na nikaambiwa nichanganye na bio oil but axijapungua hata kidogo ajabu n kwamba iko kwenye miguu hata siwezi kuvaa nguo fupi daah😥😥

    • @sarahjames5493
      @sarahjames5493 Рік тому

      Jarb kuangalia mafuta au loshen unayotumia labd inaweza ikawa inaleta michrz kwy unaweza kutumia dawa af bado loshen yako inaendelea kuleta huwez kupona

  • @HelenCharles-ze6vl
    @HelenCharles-ze6vl 8 місяців тому

    Habri yako dada unapatikana wapi nahitaji sh gapi

  • @aikammari1267
    @aikammari1267 Рік тому

    Natumia kwanza oil au nachanganya

  • @JoycePeter-n3o
    @JoycePeter-n3o 3 місяці тому

    Hayo mafuta ya michiriz shingp

  • @rosemaryenyagato
    @rosemaryenyagato Місяць тому

    Munapatikana wapi

  • @ZulfaHussein-p6d
    @ZulfaHussein-p6d 7 місяців тому

    Kama nimejifungua nayo yanaondoa

  • @MarthaEssrome
    @MarthaEssrome Рік тому

    Shingap hayoo mafta mmi ninamichiliz ila sjazaa

  • @MathayoSamwely
    @MathayoSamwely 5 місяців тому

    Nausea dwa yamichilizi

  • @hindukasimu525
    @hindukasimu525 2 місяці тому

    Mimi nina michirzi ya loshen mapajani

  • @HappyRizik-ud1tv
    @HappyRizik-ud1tv Рік тому

    Shi ngpi

  • @Evarinfaustin
    @Evarinfaustin 3 місяці тому

    Hayo mafuta ya michirizi shingap

  • @TinnahVicent-hv8lp
    @TinnahVicent-hv8lp Рік тому

    Bei gani

  • @Evarinfaustin
    @Evarinfaustin 3 місяці тому

    Maan me nina michiziri ya mimba

  • @AishaBakari-gz7vj
    @AishaBakari-gz7vj 5 місяців тому

    Naomba namba ako

  • @JoycePeter-n3o
    @JoycePeter-n3o 3 місяці тому

    Nayaptaj

  • @fatihiyadossa375
    @fatihiyadossa375 Рік тому

    Bei gan naomba no zko bc

  • @Xx_ruby_llyn
    @Xx_ruby_llyn Рік тому

    Shingp

  • @alexathuman5616
    @alexathuman5616 5 місяців тому

    ᵀᵃʲᵃ ⁿᵃ ᵇᵉⁱ