SERUM NZURI ZA KUNG'ARISHA NGOZI , KUONDOA MADOA USONI NA MAKUNYAZI/Best serums for skincare

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 вер 2021
  • Habari..je unasumbuliwa na chunusi kwa mda mrefu na umejaribu njia zote bila mafanikio .kwenye hii video nakuelezea sabuni nzuri zitakazo weza kutibu chunusi zako haraka na kuondoa madoa usoni
    #chunusi #urembo #sabuniya
    Disclaimer
    Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
    bonyeza link hii kuangalia video ya kulainisha miguu na kuondoa magaga
    • JINSI YA KULAINISHA MI...
    Jinsi ya kutunza nywele kavu na zilizokatika
    • JINSI YA KUTUNZA NYWEL...
    Mafuta mazuri kwa ngozi zenye mafuta mengi
    • MAFUTA MAZURI KWA NGOZ...
    Jinsi ya kufanya face steaming
    • UMUHIMU/JINSI YA KUFAN...
    ijue aine ya ngozi yako ili kutibu chunusi haraka..bonyeza link
    • FAHAMU AINA YA NGOZI Y...
    #chunusi #dawayachunusi #beutyandlifestyle
    #swahilination
    #swahilianimation
    #swahilikatuni #katunizakiswahili2021 #madoa#acneskin #oilyskin #mafutayachunusi #ngoziyamafuta
    #ondoamadoa #urembo #ngozi #ngozilaini #carrymastory #chunusinamadoa #makeup #acne #nyweleasili #afya #mafutayanywele #katunikiswahili #katuni #wasafi #wemasepetu #urembo #kitambi#afya#asili#ireneuwoya #bongofleva#tanzaniayoutuber #nyweleasili #bongo1media #millardayo #tanzaniacomedy #eatv #style#diamondplatnamz#wasafi #bongofleva#madoa #mapenzi #tanzania #tanzaniamovies #kiswahili #bongomovies #swahilicomedy#dizzimonline

КОМЕНТАРІ • 49

  • @halimaibrahim1915
    @halimaibrahim1915 2 роки тому +2

    Asantee sana

  • @happinessmakua3737
    @happinessmakua3737 Рік тому

    nimekuelewa sana sana! asante

  • @AngelSamwel-bm8ov
    @AngelSamwel-bm8ov 26 днів тому

    Hiyo vtamn c ceram bei gn? Je naweza ichanganya kwa rotion?

  • @marrygicho4050
    @marrygicho4050 2 роки тому +1

    Sawa sawa ,niko na ngozi kama yako nishauri nitumie nini ningae kaa wewe

  • @danielsangiwa5106
    @danielsangiwa5106 2 роки тому +3

    Hongera kwa kutuelimisha

  • @roseemanuel2495
    @roseemanuel2495 2 роки тому +2

    Ingekuwa poa basi kama hayo mafuta utujulishe mikoani ipo kwenye cosmetic vipi? Au tutumie ipi kama mbadala?

  • @hamisanurdin6619
    @hamisanurdin6619 3 місяці тому +1

    Weka namba yko y simu mbon ujiamini

  • @mariadeusi9330
    @mariadeusi9330 2 роки тому +3

    Dada naomba namba yako bac ninatatizo lagozi goziyangu inamafuta Sana

  • @munirahiddy963
    @munirahiddy963 2 роки тому +2

    Dada naomba unambie sabun nzr y kutoa chunus n cream nzr y kutoa chunus

  • @annethycyprian3520
    @annethycyprian3520 2 роки тому +2

    Dada hiyo botwaa naweza kutumia na serum yeyote????

  • @zaidiakagambo6100
    @zaidiakagambo6100 Рік тому

    Naweza zitumia zote Kwa pamoja
    Nasema hivyo naweza kukosa wakati niliyotumia mwanzo imeisha.nikenda Dukani ikakosa Basi nikitumia moja wapo haiwi mbaya

  • @chiristinamlenza518
    @chiristinamlenza518 Рік тому

    Bei gani

  • @upendolaurent5737
    @upendolaurent5737 2 роки тому +3

    Asante sana madem kwa kutufunzq but mimi nilikuwa nina
    Je nikitumia serum napaka pamoja na cream nitayo tumia au natumia kwa muda tofauti

    • @Dayanar_skincaretips
      @Dayanar_skincaretips  2 роки тому +1

      Baada ya kupaka serum unapaka na cream yako hapohapo..karibu sana!

    • @upendolaurent5737
      @upendolaurent5737 2 роки тому

      @@Dayanar_skincaretips asante sana dada naomba tuelimishe kuhusu cream nzuri pls mmy thanks

    • @zaitunjuma870
      @zaitunjuma870 10 місяців тому

      @@Dayanar_skincaretipsvip km ukichanganya na loshen ya kawai2 iyo seramu jee inafa

  • @tatumwaipape7763
    @tatumwaipape7763 2 роки тому +1

    Tuoneshe mpangilio wa kutumia km unatumia vyote ivyoo

  • @kelvinkibasa2006
    @kelvinkibasa2006 2 місяці тому

    Dada kama ukitumia serum kuna haja pia ya kutumia moisturiser

  • @SalomeSwalehe-gz6wm
    @SalomeSwalehe-gz6wm 14 днів тому

    Ni shingapi vitamin c

  • @zenangalika4050
    @zenangalika4050 2 роки тому +1

    Asante dada mm uso wangu unamafuta sana
    Natafuta hyo set ya iunik sijapata ombi naweza ipata wap

  • @happinessmakua3737
    @happinessmakua3737 Рік тому

    ni lazima kutumia zote kwa pamoja??na kama ninatumia aloe jelly ya Dr c tuna na cream yake natakiwa nianze kupaka nn?

  • @user-ds5qs3wt4p
    @user-ds5qs3wt4p 2 місяці тому

    Hizo serum unapaka zote kwa pamoja

  • @user-xs6pg9hd2i
    @user-xs6pg9hd2i 3 місяці тому

    Je Vitamin c serum inaweza kuondoa vitundu usoni

  • @rhodamushumbusi7609
    @rhodamushumbusi7609 2 роки тому

    Asante dad Kwa elim nzur ila unaweza paka celam na lotion Kwa pamoja py naomba namba zako Kwa ushaur zaid my

  • @angelleonard9871
    @angelleonard9871 11 місяців тому

    Nitajuaje kama ni original dr rashes serum

  • @mwasityomary1536
    @mwasityomary1536 Рік тому

    Nmetumia disaar vitamin c serum na imenitoa upele mdogo mdog usoni shida ni nini hasa

  • @beatricesumaye9695
    @beatricesumaye9695 2 роки тому

    Mpnz wangu c ungetupa hata namba zako tuwez kuuliza hata maswal yenye kupata majibu

  • @user-tn7tn5nq8r
    @user-tn7tn5nq8r 4 місяці тому

    Me nauliz hizi serum hazina kemikali?

  • @zubedamathias9416
    @zubedamathias9416 Рік тому

    Me natumia mafut ya cocopup je nichanganyie nin ili Ning ae

  • @rehemaboazi6918
    @rehemaboazi6918 2 роки тому

    Abari zako naomba kujuwa je unaweza kuchanganya kwamfano mafuta ya jojoba na serum ya vitamin c na roition unijibu tafazari.

  • @agnestemba6119
    @agnestemba6119 3 місяці тому

    Napaka kila siku

  • @benedictajoseph417
    @benedictajoseph417 Рік тому

    Sh. Ngap

  • @levinathomas8992
    @levinathomas8992 4 місяці тому

    serum ya dianaa ikoje

  • @maryvomo4217
    @maryvomo4217 2 роки тому +5

    Naomba kujua vzr matumizi ya serum na km inaweza kuchanganywa na rosheni

  • @mrchipanha2384
    @mrchipanha2384 2 роки тому +1

    Naomba namba yako

  • @leeleehy3923
    @leeleehy3923 Рік тому

    Hizo serum hazichubui??

  • @marrygicho4050
    @marrygicho4050 2 роки тому +6

    Kuna mpangilio wakutumia hayo mafuta?kama labda unatumia serum, tonner na cream?

  • @ruqayahcharles6491
    @ruqayahcharles6491 Рік тому

    Hzo serum hazchubui lkn

  • @dativadominick2448
    @dativadominick2448 Рік тому

    Ninamafuta unanishaur nitumie ip na ninamakovu pia

  • @mwanumwanu1513
    @mwanumwanu1513 Рік тому

    Inatumika mchana au usiku?

  • @mariammlosi6984
    @mariammlosi6984 Рік тому

    Nahitaji napataje

  • @BeatriceSangu
    @BeatriceSangu 27 днів тому

    Ntmie namb yako whatsap

  • @regnjohn9847
    @regnjohn9847 Рік тому

    Shingap

  • @AngelSamwel-bm8ov
    @AngelSamwel-bm8ov 26 днів тому

    Hiyo vtamn c ceram bei gn? Je naweza ichanganya kwa rotion?