MAFUTA MAZURI YA KUTIBU CHUNUSI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 січ 2022
  • Habari..je unasumbuliwa na chunusi kwa mda mrefu na umejaribu njia zote bila mafanikio .kwenye hii video nakuelezea mafuta mazuri yatakayo weza kutibu chunusi zako haraka na kuondoa madoa usoni
    #chunusi #urembo #mafutayachunusi
    MAFUTA NILIYO TAJA
    Clin cap
    Benzac AC,5
    Himalaya pimple Clear
    PanOXLY
    Cera ve
    Soft n White gel acne
    Botuoer Anti acne
    Disclaimer
    Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
    bonyeza link hii kuangalia video ya kulainisha miguu na kuondoa magaga
    • JINSI YA KULAINISHA MI...
    Jinsi ya kutunza nywele kavu na zilizokatika
    • JINSI YA KUTUNZA NYWEL...
    Mafuta mazuri kwa ngozi zenye mafuta mengi
    • MAFUTA MAZURI KWA NGOZ...
    Jinsi ya kufanya face steaming
    • UMUHIMU/JINSI YA KUFAN...
    ijue aine ya ngozi yako ili kutibu chunusi haraka..bonyeza link
    • FAHAMU AINA YA NGOZI Y...
    #chunusi #dawayachunusi #beutyandlifestyle
    #swahilination
    #swahilianimation
    #swahilikatuni #katunizakiswahili2021 #madoa#acneskin #oilyskin #mafutayachunusi #ngoziyamafuta
    #ondoamadoa #urembo #ngozi #ngozilaini #carrymastory #chunusinamadoa #makeup #acne #nyweleasili #afya #mafutayanywele #katunikiswahili #katuni #wasafi #wemasepetu #urembo #kitambi#afya#asili#ireneuwoya #bongofleva#tanzaniayoutuber #nyweleasili #bongo1media #millardayo #tanzaniacomedy #eatv #style#diamondplatnamz#wasafi #bongofleva#madoa #mapenzi #tanzania #tanzaniamovies #kiswahili #bongomovies #swahilicomedy#dizzimonline

КОМЕНТАРІ • 33

  • @VanessaNyagawa
    @VanessaNyagawa Місяць тому

    Habari dada me uso wangu ni wamafuta na ninasumbuliwa na chunusi mda mrefu sana co nilikuwa naomba ushauri nipake mafuta gan kati ya hayo uloyasema

  • @DansonMssa
    @DansonMssa Місяць тому

    Nimafuta gan ya nawez tibu chunusi.

  • @user-mi3to9kx8h
    @user-mi3to9kx8h 5 місяців тому

    Mambo dada mm nasumbiliea na chunusi Sanaa Tena Sanaa nataka dawa nishashoka

  • @hildahilda5992
    @hildahilda5992 Місяць тому

    Makovu je

  • @user-zn1ff3pq6o
    @user-zn1ff3pq6o 6 місяців тому

    Nimependa San somo lako m n mkaz wa mbeya nilikuw naomba unielekez napataje ayo mafuta make ninachunusi mpk cio pw

  • @allychongwe2629
    @allychongwe2629 16 днів тому

    Dada za wewe tuma namba basi tufanye mawasiliano

  • @AshaAlly-tv3gn
    @AshaAlly-tv3gn Рік тому

    Dada ake habar
    Samahan hayo ya mwisho naomba uniandikie jina lake

  • @mamakanandi9793
    @mamakanandi9793 Рік тому

    Tunaomba naomba kwa mawasiliano

  • @RehemaMoraa-bw3eo
    @RehemaMoraa-bw3eo 3 місяці тому

    Uso. Yangu ni mbaya na pimorisi

  • @ashurakibindo7671
    @ashurakibindo7671 2 роки тому

    Siju nitayapata wapi

  • @hazlatmajidi5191
    @hazlatmajidi5191 2 роки тому

    Hello mamy naomba ushauri nimenunua lotion ya fair white je ni mazur?ya carrot

  • @clemensiamussa8787
    @clemensiamussa8787 Рік тому

    Je, naweza nikapaka serum ya TEA TREE RELIEF SERUM alf kwa juu nikapaka hayo mafuta ya CLIN-CAP na ikafanya kazi

  • @annethycyprian3520
    @annethycyprian3520 2 роки тому +1

    Kwan hiyo botwaa zipo za aina ngapi mbon hyo box lake kma green

  • @angeldeogratius3773
    @angeldeogratius3773 2 роки тому +2

    Oyo mafuta ulio taja mwisho yanapatkana wp

  • @user-cv9is5ev2k
    @user-cv9is5ev2k 5 місяців тому

    Naomba namba yako

  • @mamakanandi9793
    @mamakanandi9793 Рік тому

    Naomba namba

  • @user-zn1ff3pq6o
    @user-zn1ff3pq6o 6 місяців тому

    Naomb namb yako dad

  • @ahamadyahamady2799
    @ahamadyahamady2799 2 роки тому +1

    Habari dada
    Dada Mimi uso wangu Niwamafuta sanaaa na ninachusi mno nametumia dawa nyingi lakini inashindikana hapa siku za karibu niliona crip yako uloongelea T3 mycin nilinunua lkn tangu nimeeza kupaka namemaliza week Sasa lkn ndio Kwanza natokwa na chunusi kubwa kubwa naomba nisaidie nifanye nn nimechoka na hi sura

    • @Dayanar_skincaretips
      @Dayanar_skincaretips  2 роки тому

      Pole sana..sijajua ngozi yako ni ya aina gani kwaiyo jaribu kutafuta mafuta yanayoendana na ngozi yako

    • @mosweaty5886
      @mosweaty5886 2 роки тому

      Mambo,nikupe ushauri tuuu dear,ukitumia kitu jaribu kutumia mpaka kiiishe,then utapata matokeo mazuri mnooo

    • @ahamadyahamady2799
      @ahamadyahamady2799 2 роки тому

      @@mosweaty5886 Asante kwa ushauri wako my dear nitaufanyia kazi

    • @irenelema5772
      @irenelema5772 2 роки тому +1

      Hayomafuta yaliyotumia ww nimenunua ila nimeupe kama maji is nimazito je nisawa

  • @queencharlessubscribed1300
    @queencharlessubscribed1300 2 роки тому

    Naomba namba yako

  • @user-zn1ff3pq6o
    @user-zn1ff3pq6o 6 місяців тому

    Naomb namb yako dad

  • @user-zn1ff3pq6o
    @user-zn1ff3pq6o 6 місяців тому

    Naomb namb yako dad

  • @ashurakibindo7671
    @ashurakibindo7671 2 роки тому

    Naomba namba yako