FAHAMU NJIA MBILI ZA KUSAFISHA MAKEUP KIURAHISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Habari wapendwa
    kwenye video hii ninawaonesha jinsi ya kusafisha makeup kwanzia mwanzo mpaka mwisho.niwaonesha njia rahisi na salama ambayo itaacha ngozi yako ikiwa safi na yenye afya.njia hii inasaidia kuzuia chunusi na makovu usoni
    Enjoy the video...
    #makeup101 #mafutayanazi #chunusinamadoa
    Disclaimer
    Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
    bonyeza link hii kuangalia video ya kulainisha miguu na kuondoa magaga
    • JINSI YA KULAINISHA MI...
    ijue aine ya ngozi yako ili kutibu chunusi haraka..bonyeza link
    • FAHAMU AINA YA NGOZI Y...
    #chunusi #eggvaselinemask #madoa
    #ondoamadoa #urembo #ngozi #ngozilaini #eggmask #chunusinamadoa #makeup #acne #nyweleasili #maskasilia #makeupyauso #urembo#beuty #tanzaniayoutuber#wasafi#diamondplatnamz#wemasepetu

КОМЕНТАРІ • 6

  • @MissKyeniVlogs
    @MissKyeniVlogs 3 роки тому +1

    Loving this! Really well explained and I love listening to your swahili 💕

  • @fatumamselem810
    @fatumamselem810 Рік тому +1

    Asante ww ni mwl nimekuwa karibu nawe Kwa ushauri wako na nimeona mafanikio kutokana na mafunzo unayotoa nafuatilia sana hatua Kwa hatua

  • @haikamauki5033
    @haikamauki5033 3 роки тому

    Nice nimejifunza asante

  • @haikamauki5033
    @haikamauki5033 3 роки тому

    Asante nimejifunza