JINSI YA KUTUMIA LOTION YA FAIR AND WHITE KUNGÁRISHA NGOZI NA KUTIBU CHUNUSI @Thisisdayanar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2023
  • je unatafuta mafuta mazuri ya kuondoa madoa mwilini na kungarisha ngozi
    video hii itaenda kukuonesha mafuta ya fair and white ya kuondoa madoa,mabaka na kungarisha ngozi jinsi ya kupaka na kutumia mafuta ya fair and white .haya mafuta ni kwa aina zote za ngozi bila kuichubua na pia haijalishi ni mwanaume au mwanamke.
    #sensitiveskin #skincare #fairandwhite
    Disclaimer
    Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
    bonyeza link hii kuangalia video ya kulainisha miguu na kuondoa magaga
    • JINSI YA KULAINISHA MI...
    Jinsi ya kutunza nywele kavu na zilizokatika
    • JINSI YA KUTUNZA NYWEL...
    Mafuta mazuri kwa ngozi zenye mafuta mengi
    • MAFUTA MAZURI KWA NGOZ...
    Jinsi ya kufanya face steaming
    • UMUHIMU/JINSI YA KUFAN...
    ijue aine ya ngozi yako ili kutibu chunusi haraka..bonyeza link
    • FAHAMU AINA YA NGOZI Y...
    #chunusi #dawayachunusi #beutyandlifestyle
    #swahilination
    #swahilianimation
    swahilikatuni,katunizakiswahili2021,madoa,acneskin,oilyskin ,mafutayachunusi,ngoziyamafuta,jinsi ya kutibu chunusi sugu,Tanzania youtuber,
    ,ondoamadoa ,urembo ,ngozi ,ngozilaini ,carrymastory ,chunusinamadoa ,makeup ,acne ,nyweleasili ,afya ,mafutayanywele ,katunikiswahili ,katuni ,wasafi ,wemasepetu ,urembo ,punguza kitambi,afya,asili,ireneuwoya ,bongofleva,tanzaniayoutuber ,nyweleasili ,bongo1media ,millardayo ,tanzaniacomedy ,eatv ,style,diamondplatnamz,wasafi media,mashamsham ,bongofleva,madoa ,mapenzi ,tanzania travel,zanzibar tanzania,tanzaniamovies ,kiswahili ,bongomovies swahilicomedy,dizzimonline

КОМЕНТАРІ • 18

  • @user-rl8ft3cu2q
    @user-rl8ft3cu2q 6 днів тому

    bei gan

  • @zaharaIssa-ww5uq
    @zaharaIssa-ww5uq Рік тому

    Asante dada kwa ushaur..

  • @asmaabdullah2884
    @asmaabdullah2884 Рік тому +2

    Samahani mpendwa naombaunisaidie mm nina rangi ya maji ya kunde laki ngozi yangu niya mafuta naomba unisaidie nipake fafutagani, moisturiser gan usoni na ina chunusi pia
    Nakingine dada mwili huwa nina rangi mbili mbili wakuta hapa mweusi sanaa napengie niko sawa mfn shingoni na nyuma ya magoti ndio ninaweisimwingi kuliko mwili mzima na🙏🙏🙏sana kwamadarasayako

    • @asmaabdullah2884
      @asmaabdullah2884 Рік тому

      Hivyo naombaunishauri nitumie nn iliniweze kuwa na rangi moja mpendwa

  • @clementinamabena5699
    @clementinamabena5699 Місяць тому

    Ndo kwanza inaniletea mabaka

  • @sarahjames5493
    @sarahjames5493 Рік тому

    Asante mamy

  • @GefcenBenasko
    @GefcenBenasko 20 днів тому

    Mi nataka kutoa weusi kweny mapaj

  • @joycedaudi-cd1kl
    @joycedaudi-cd1kl Рік тому

    Samahan dada. Fair and white oil gold imebadili langi Kwa ajili ya jua Yan imekuwa ya njano ety inafaa kutumika

  • @NicoleJerop-dr7hg
    @NicoleJerop-dr7hg 3 місяці тому

    Hi fair and white 2 ukitumia alafu huone mabadiliko then uwache utarejesha rangi ya awali ama?

  • @vickyjerry7162
    @vickyjerry7162 Рік тому

    Dda me nakupenda kwa kutupa mafuta mazuri maana me ni mweusi

  • @allanjuvenary4421
    @allanjuvenary4421 7 місяців тому

    Nipo mwanza naipataje hii nisaidie kumpata wakala wa hizi bidhaa za f&w tafadhari

  • @zannachrischen791
    @zannachrischen791 Рік тому

    Iyo f and w ya blue uliyo iongelea mwishon ina chubua?

  • @lindavalentino3729
    @lindavalentino3729 3 місяці тому

    Fair and white Kuna imeandikwa 123 zote kwenye chupa moja hii imekaaje

  • @GefcenBenasko
    @GefcenBenasko 20 днів тому

    Naomba namba zako

  • @AgathaNemes-lq5bj
    @AgathaNemes-lq5bj 11 місяців тому

    Unapatikana wapi nitumie namba zako

  • @CandyZuberi
    @CandyZuberi Місяць тому

    WWE wapata ipi

  • @catiimbuu3249
    @catiimbuu3249 Рік тому

    Me naomba namba zako mamy

  • @madamaisha1641
    @madamaisha1641 Рік тому

    Anti tunaomba namba zako