Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

LOTION 5 ZA KUNG’ARISHA NA KUONDOA MADOA KWA WATU WEUSI/best body lotion for dark skin tone

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2023
  • je unatamani kung'arisha na kulainisha ngozi yako bila kuichubua?
    video hii itaenda kukuonesha lotion na mafuta mazuri ya kupaka ilikung'arisha ngozi yako bila kuichubua.hizi lotion ni nzuri kwa ajili ya watu weuPE haijalishi ni mwanaume au mwanamke.
    #chunusi #bodylotion #howtotreatacne
    Disclaimer
    Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
    bonyeza link hii kuangalia video ya kulainisha miguu na kuondoa magaga
    • JINSI YA KULAINISHA MI...
    Jinsi ya kutunza nywele kavu na zilizokatika
    • JINSI YA KUTUNZA NYWEL...
    Mafuta mazuri kwa ngozi zenye mafuta mengi
    • MAFUTA MAZURI KWA NGOZ...
    Jinsi ya kufanya face steaming
    • UMUHIMU/JINSI YA KUFAN...
    ijue aine ya ngozi yako ili kutibu chunusi haraka..bonyeza link
    • FAHAMU AINA YA NGOZI Y...
    #chunusi #dawayachunusi #beutyandlifestyle
    #swahilination
    #swahilianimation
    swahilikatuni,katunizakiswahili2021,madoa,acneskin,oilyskin ,mafutayachunusi,ngoziyamafuta,jinsi ya kutibu chunusi sugu,Tanzania youtuber,
    ,ondoamadoa ,urembo ,ngozi ,ngozilaini ,carrymastory ,chunusinamadoa ,makeup ,acne ,nyweleasili ,afya ,mafutayanywele ,katunikiswahili ,katuni ,wasafi ,wemasepetu ,urembo ,punguza kitambi,afya,asili,ireneuwoya ,bongofleva,tanzaniayoutuber ,nyweleasili ,bongo1media ,millardayo ,tanzaniacomedy ,eatv ,style,diamondplatnamz,wasafi media,mashamsham ,bongofleva,madoa ,mapenzi ,tanzania travel,zanzibar tanzania,tanzaniamovies ,kiswahili ,bongomovies swahilicomedy,dizzimonline

КОМЕНТАРІ • 46

  • @AmbroseProspar
    @AmbroseProspar 3 місяці тому +6

    Tutumie mafuta gani usoni maana umesema hizo lotion sio nzuri usoni Kama wewe unatumia nn usoni mbona uko soft sana

  • @matildajulius7754
    @matildajulius7754 9 місяців тому +4

    Somo ni zuri umesema hayafai kwa usoni tuambie basi wewe unapaka aina gani ya mafuta usoni mbona uko vizuri? Pia naomba namba yako ya simu

  • @marymule-p7y
    @marymule-p7y 22 дні тому

    Uso wangu Ni oily na Una chunusi which is the best creamed yenye haibleach

  • @Rose-nw6ml710
    @Rose-nw6ml710 2 місяці тому +1

    Muone kwanza subiri ayo ma lotion chemikali zikuharibu uso ndo utakapo elewa acha ujinga

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 3 місяці тому +1

    Dada unatakiwa unapofundisha uwe nazo hapo utuoneshe km wanavyofanya wenzio.

  • @RukiaVuaiAli
    @RukiaVuaiAli 3 місяці тому

    Nimeitafuta sana madukani kariakoo limon body lotion ila sijaipata kwa ngozi nyeupe na ya mafuta nitaipata wapi?

  • @kanezaadidja6038
    @kanezaadidja6038 Рік тому +1

    Iyo olay nimeitafuta sana sijaipata naweza kuipata wapiii mimi nipo burundi

  • @mariambetela-pp5ev
    @mariambetela-pp5ev 2 місяці тому

    Nimekubali zipo vizur

  • @janethzacharia7967
    @janethzacharia7967 7 місяців тому

    Mi natumia pawpaw ila imenipa sugu nataka niiache ila nataman niwe na karangi kamoja chocolate iv ipi itanifaa mi mweusi wa kat

  • @tabithasizya
    @tabithasizya Рік тому +4

    Kwa wewe unatumia nini uson, maana uko vizuri. Mimi uso wangu unamafuta

  • @user-qs3bo1yu2k
    @user-qs3bo1yu2k Рік тому

    Habari dada naomba kuliza me nimweupe na ngozi yangu nilain nilipaka mafuta mazito na ungua chini ya macho yaani kunakua kweus

  • @AminaAthuman-ko3qk
    @AminaAthuman-ko3qk 11 місяців тому

    Naomba elezea bc na loshen ya perfect Glow carrot

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 7 місяців тому

    Nashukuru nimetumia Vaseline cocoa glow nangozi nzur saaaanaa inavutia

    • @HusnaBakari-gj2ku
      @HusnaBakari-gj2ku 4 місяці тому

      Kwan kuna vaseline pekeake na kuna vaseline cocoa glow

  • @dianamkombe8767
    @dianamkombe8767 Рік тому +2

    Mimi nilikua mwrusi nikapaka mafuta ya caretone kwa sasa ni mjamzito na nimetoka chunus nyingi, ngozi yangu inamafuta mengi, je nifanyaje kutibu chunus na mabaka.

  • @GraceWilson-ou4lc
    @GraceWilson-ou4lc 9 місяців тому

    Je mafuta Yako yanapatikana maduka yyte ya vipodoz

  • @IkTheBoy
    @IkTheBoy 5 місяців тому

    Kwani hayo mafuta ni kwa wanawake tuu?

  • @mansamahmoud3958
    @mansamahmoud3958 25 днів тому

    We ni mrembo dada

  • @andersonmzo5893
    @andersonmzo5893 5 місяців тому

    Nitumie namba yako dada unipe ushauri samshani

  • @adventinamussa884
    @adventinamussa884 4 місяці тому

    Naomba namba ya sm dada

  • @AmbroseProspar
    @AmbroseProspar 3 місяці тому

    Umesema tusitumie usoni wewe unapaka Nini usoni maana na mm huwa nasumbuliwa na chunusi

  • @salmanshimirimana3938
    @salmanshimirimana3938 Рік тому +3

    Mimi nimeharibika mwili michirizi,madoa meupe mwilini nitumie lotion ipi?

  • @wadauwasizoni
    @wadauwasizoni 4 місяці тому

    Zipo wapi comment

  • @GiznesWilla
    @GiznesWilla 3 місяці тому

    Hio corx shingp

  • @user-ze8kf1cs7r
    @user-ze8kf1cs7r 11 місяців тому

    Somo Zur dada

  • @shellangozi6165
    @shellangozi6165 Рік тому +1

    Mim ni mweuc na ngozi ya ya mafta kdg..natumia Nivea je shea butter na cocoa butter ipi ni nzr kwng

    • @AdelinaMfugale-xl1wz
      @AdelinaMfugale-xl1wz 10 місяців тому

      Nivea inasaidia au mana na mm hvohvo

    • @ReginaMosha
      @ReginaMosha 4 місяці тому

      Hello unapatikana wapi nahitaji lotion nipe namba yako

  • @user-cd2kl7kr7s
    @user-cd2kl7kr7s Рік тому

    Wewe unapaka mafuta gani

  • @PRISCAGIDION-jh9hf
    @PRISCAGIDION-jh9hf 9 місяців тому

    Usoni unatumia nini

  • @user-gr9fl8us4m
    @user-gr9fl8us4m 3 місяці тому

    Naomba namba yako

  • @andersonmzo5893
    @andersonmzo5893 5 місяців тому

    Nisadie namba yako

  • @noelamarwa9327
    @noelamarwa9327 5 місяців тому

    Dada naitaj je naipataje

  • @user-vz5uf6ml6c
    @user-vz5uf6ml6c 6 місяців тому

    Vipi kuhusu lotion ya rube kwa watu weus

  • @roseboay4077
    @roseboay4077 Рік тому +4

    Mamy jibu bac jmn mie Nina hitaj jmn