Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Inaelezwa vizuri sana mm ni mweupe ila nmwfifia kwa jua je hiyo ammerka crem utani saidia pia ni sh ngapi kwa seti nzima
Dada mimi nina rangi kama yako naomba unielekeze face cream nzuri na losheni ya mwilini na mm nipendeze kama ww jmn
Tafadhali nakuomba unisaidie
Nimependa unavyoelezea vizuri 😊❤
Asantee ❤️
@@Dayanar_skincaretips habari uko vizuri naomb namba naitaji kesho
Mimi ni mweupe natakiwa nipake mafuta yapi dada ya kuondoa uwesi chin ya macho na kwapan😊
Dada unarudia rudia sana maelezo
Mimi rangi yangu ina madoa usoni nina pimples sana
Q7 zipo aina nying je nitajuaje ipi inafaaa kwa sisi weupe
Mimi naomba uniambie lation ambayo itanisadia kungarisha na kuondoa sugu
Asante sana kwa kutufahamisha
😊😊
Naipateje
@@saraseleman4368 kwa maduka ya vipodozi
Dada ninaomba unielekeze mafuta mazur yakutumia
Asante san dada mm ni natural fair skin Nimekuwa naogopa hiyo American dream kwasababu hiyo cocoa butter , will buy it🤗
Inafaa pia kwa fair skin
Lemon body lotion Una we za kupaka uson
Naomba namba yako dada nikutafute
Yanaitwaje
Vipi, inachubua?
Ni rotion gani mtu mweupe atumie kama ana madoa chini ya macho
Dada samahanii mm ni mweupe n ninamadoa usoni nitumie loshen gani
Hiyo amercan dream haifanyi lolote nimeitumia mm na rafiki yangu hatujaona lolote
Hata mm nimetumia pia ni ya kawaida tuu
Asante kwa kututaarifu wengine watajifunza
Mm pia jamani
Bei kubwa lakin hakuna kitu nimeitumia
mtaalamu wangu ni wewe 😂😂 sina mtaalamu mimi ufanye uwe unanielekeza napata wapi coz natumia mgando nataka rotion nzuri
Nina ngozi kavu American dream ya lemon inanifaa
Ww unatumia mafuta gani dada......
Mimi natumia ya watu weusi 😃
@@Dayanar_skincaretipshabr mm ngozi yangu inamafuta natoka chunusi mabaka mabaka rosheni ngnani hitanifaa
Dada naomba nambayako
Kuna lotion ya Dela ...inan'garisha bila kuchubua
Nina ngozi yafuta American inafaa
Mm hiyo kojic imenifanya nimekuwa mweusi
hiyo q7 ni bei gan
na mm nataka kujua
Elf7500 wengine wanauza elf10
Q7 zipo.aina nying.jaman natumia ip
Inaelezwa vizuri sana mm ni mweupe ila nmwfifia kwa jua je hiyo ammerka crem utani saidia pia ni sh ngapi kwa seti nzima
Dada mimi nina rangi kama yako naomba unielekeze face cream nzuri na losheni ya mwilini na mm nipendeze kama ww jmn
Tafadhali nakuomba unisaidie
Nimependa unavyoelezea vizuri 😊❤
Asantee ❤️
@@Dayanar_skincaretips habari uko vizuri naomb namba naitaji kesho
Mimi ni mweupe natakiwa nipake mafuta yapi dada ya kuondoa uwesi chin ya macho na kwapan😊
Dada unarudia rudia sana maelezo
Mimi rangi yangu ina madoa usoni nina pimples sana
Q7 zipo aina nying je nitajuaje ipi inafaaa kwa sisi weupe
Mimi naomba uniambie lation ambayo itanisadia kungarisha na kuondoa sugu
Asante sana kwa kutufahamisha
😊😊
Naipateje
@@saraseleman4368 kwa maduka ya vipodozi
Dada ninaomba unielekeze mafuta mazur yakutumia
Asante san dada mm ni natural fair skin
Nimekuwa naogopa hiyo American dream kwasababu hiyo cocoa butter , will buy it🤗