Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 тра 2020
  • Wimbo uliotungwa naye Felician Albert Nyundo (FAN) +... Wimbo ulioimbwa na kujulikana na wengi miaka kadhaa iliyopita na hata sasa bado unapendwa na walio wengi. Kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na Shahidi kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Sombetini, Jimbo kuu Katoliki la Arusha, wanatushirikisha wimbo huu na wanatualika tumwimbie Mungu na tumpigie Kelele za shangwe.Ni Maneno Matamu kabisa kwa anayependa kumsifu Mungu. Tumwimbie Mungu wetu, naye ata Mimina neema zake katika maisha yetu. Ni neema ya Mungu inayotufanya tuwe tulivyo hivyo tushiriki kikamilifu katika kumwimbia. Bwana unibadili niweze kuacha yote nikutumikie wewe, niweze kukuimbia wewe wimbo ulio bora, niweze kuwa miongoni mwa wateule wako.Karibuni sasa muweze kusikiliza na kutazama.Kwa watakaopenda kuwasiliana na kwaya hii, tumieni namba +255 754 628 685 au +255 754 759 428#kwayakatoliki #mimina neema #bwanaunibadili #manenomatamu

КОМЕНТАРІ • 652

  • @martinmuthuitito4844
    @martinmuthuitito4844 2 місяці тому +14

    I put this comment here so after a month or a year when someone likes it it reminds me of this beautiful song

  • @sofialinus8241
    @sofialinus8241 4 роки тому +156

    Unyenyekevu100%
    Utulivu100%
    Mavazi100%
    Najivunia kuwa Catholic
    Kazi nzuri, ujumbe mzuri nabarikiwa Sana🙏🙏🙏

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 3 роки тому +16

    Mwimbieni Mungu kelele za shangwe nchi yote imbeni utukufu wake,tukuzeni sifa zake Mungu mkuu......matendo yako yanatisha kama niniiiiiiiii tukuzeni sifa zake Mungu Mkuu.Nyimbi hii ukiimbwa kanisani,kanisa lote linalipuka kwa shangwee hasa watu wazima wa miaka ya nyuma lazima waimbe.Naziomba kwaya zijaribu kuimba nyimbo zinazoweza kuibwa na kanisa lote.Mubarikiwe wanakwaya kwa wimbo huu

  • @fr.andrewwerungaflp2910
    @fr.andrewwerungaflp2910 3 роки тому +88

    I remember attending Mass at St. John the Evangelist Church, Langa'ta Nairobi as a young seminarian. Even in the next life I will still proud to be a Catholic, and a Catholic priest for that matter. God bless your beautiful voices.

  • @janet4real.47
    @janet4real.47 3 роки тому +44

    May God Bless everyone who listens to this beautiful song.Amen🙏

  • @cleophasomondi5475
    @cleophasomondi5475 4 роки тому +206

    Likes za Kuwakilisha Kenya zije...

  • @vckybayyo6671
    @vckybayyo6671 3 роки тому +14

    Naipenda dini yangu Roman Catholic Jimbo la Arusha,parokia ya sombetini😘😘😘

  • @st.camillusspecializedclin8775
    @st.camillusspecializedclin8775 3 роки тому +16

    I had never get tired listening to this song... Sometimes I even shed tears, Matendo ya Mungu Ni makuu daima... Mbarikiwe Sana sana

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 4 роки тому +72

    Mimi ni msabato naufurahia saana uimbaji huu maana unanibariki na kunifanya ni focus kwenye ujumbe zaidi. Mungu wa mbinguni akawabariki na kuwainua mpaka mshangae 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
    Sauti zote zinasikika
    Grab your earphone , thank me later 🤗
    Mtukuzeni sifa zake Mungu mkuuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @MadaMamatu
    @MadaMamatu 2 місяці тому

    I'm malawian but l love this songs from TZ

  • @geraldinabakalalile5325
    @geraldinabakalalile5325 Рік тому +3

    Hakika hakuna kama Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo

  • @jacklinedavid1549
    @jacklinedavid1549 3 роки тому +13

    Was reading the Bible n found out this song is from psalms 66 (zaburi 66) no wonder i love it so much 😇

  • @fidelenzambimana6980
    @fidelenzambimana6980 4 роки тому +8

    Mimi ni murundi .Nabarikiwa sana nanyimbo nzuri kama hizi .Hongereni sana waTanzania.Tumsifu Yesu Kristu

  • @meresinantibakakazi1722
    @meresinantibakakazi1722 3 роки тому +4

    Wakatoriki wote tumsifu yesu kristo

  • @melkiorymarandu1850
    @melkiorymarandu1850 4 роки тому +4

    Hivi kwa nyimbo kama hizi, nzuri namna hii, hivi bado utaniambia shetani bado yupo, kweli? Atakuwa amekimbilia mbali mno hata hataki kuzisikia hizi sauti. Hakika Mungu ametamalaki. Mr.Tumaini, hai Meku, hongera kwa Kinanda murua.

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 3 місяці тому +2

    TYK Wimbo huu nimeanza kuusikia mwaka 1996 you can imagine nikiwa mdogo sana lakini hadi leo sichoki kuusikiliza...Hakika Mungu wetu ni mkuu na matendo yake yanatisha.

  • @lawrencesilas3050
    @lawrencesilas3050 4 роки тому +5

    Hakika kazi nzur hongeren sombetin marafik zangu...hongera rajo production wimbo ni mzur na unanikumbusha mbal sana

  • @ednadaniel3026
    @ednadaniel3026 4 роки тому +4

    Kazi nzuri waimmbajii wazuri hakii najivunia ukatoliki wangu💥💥💥💥

  • @qorropeter1359
    @qorropeter1359 4 роки тому +12

    Mko juu sana kwaya ya mt boniface sombetini, mungu azidi kuwainua kwenye uimbaji wenu, namwona Hugo akidunda big up, mwambieni Mungu matendo yake yanatisha km nn,
    Rajo ni production ni noma big up

  • @neemabernad4329
    @neemabernad4329 2 роки тому +3

    Inanibariki sana hii nyimbo najikuta namtukuza Mungu na ukuu wake ni MKUU.🥰🙏

  • @msokasgallery8323
    @msokasgallery8323 4 роки тому +12

    Safi sana waimbaji, mmeutendea haki wimbo! Hongera na kwenu RAJO PRODUCTIONS, you always do the best Ray. You are simply the best brother, better than all the rest. God bless you more.

  • @annehpascal976
    @annehpascal976 4 роки тому +20

    Rajo Mungu aendelee kukutumia kueneza injili yake.Ina bariki sana kuona kazi ya mungu inapambwa na kutengenezwa kwa ujuzi mkubwa,hongereni pia familia ya mt. Boniface kwa kazi nzuri hakika mmefanya vizuri mungu awabariki nyote.

  • @gracewamaitha7382
    @gracewamaitha7382 4 роки тому +4

    Utukufu wako Mungu n mkuu ,tukuzeni sifa zake Mungu mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nicaschuma9652
    @nicaschuma9652 4 роки тому +5

    Woyooooo..Bonge la production.. Big up kijana Swai kwa kupiga Kinanda kizuri cha kikatoliki.

  • @andrewmsunga9425
    @andrewmsunga9425 4 роки тому +3

    kila ninapousikia huu wimbo mwili unanisisimka, Mungu amrehemu mtunzi mwalimu F.A NYUNDO

  • @angiegathoni1620
    @angiegathoni1620 3 роки тому +4

    Ninayoweza sema kwa sasa, mungu nimekuona,nimeuona mkono wako. Mama Maria, asante kwa kuniombea. Nimeiona miujiza. Mungu matendo yako yanatisha,Asante,ndio ipo tu moyoni mwangu.Mungu assante.

  • @kahwaicatherine3805
    @kahwaicatherine3805 Рік тому

    Wimbo mzuri sana wakumshukuru Mungu. Naupenda sana.

  • @faustaseki5350
    @faustaseki5350 4 роки тому +4

    Kwakweli wimbo mmeutendea haki, Roho wa Mungu awe nanyi daima, na mdumu katika UTUME. Barikiwa nyote

  • @remmymuema8871
    @remmymuema8871 3 роки тому +16

    Best version of this song ever! My mother in Heaven, Tuzidi kumpigia Mungu kelele za shangwe... May you continue rejoicing and singing for the Lord as you enjoy paradise. St Cecilia patron saint of all singers, be our pillar in praise and worship now and forever more... Ahimidiwe sana Mungu Mkuu!!!

    • @kanakaseoful
      @kanakaseoful 3 роки тому

      Amen..may our mother continue resting with the angels..dearly missed

    • @remmymuema8871
      @remmymuema8871 2 роки тому

      @@kanakaseoful Amen!

  • @KarugabaWilson
    @KarugabaWilson 12 днів тому +3

    2024 bado tunasikia?

  • @fr.Josephat-SharingGodsLove
    @fr.Josephat-SharingGodsLove 2 роки тому

    Hongereni..tuendelee kumsifu Mungu kwa Shangwe

  • @sophiachaula4825
    @sophiachaula4825 3 роки тому +3

    Najivunia kuwa mkatholic nawapenda sana waimbaji mko vizuri utulivu asilimia Mia, Mungu awabariki

  • @emanuelumbe6320
    @emanuelumbe6320 4 роки тому +5

    Hongereni sanaaaaa, huu wimbo nimeutafuta mda mrefu sana hatimae nimeupata , asanteni mbarikwe

  • @pascalshiwa8876
    @pascalshiwa8876 4 роки тому +6

    Ee mungu wangu. Nibariki nawimbo huu mtakatifu. Proud to be catholic

  • @vincentmarvin9210
    @vincentmarvin9210 4 роки тому +10

    Maneno matamu sana na wimbo unabariki sana

  • @yudakitengesondanu808
    @yudakitengesondanu808 4 роки тому +4

    hongereni sana watoto wangu kazi nzuri mmno Mungu azidi kuwaimarisha siku hadi siku ili injili yake isonge mbele

  • @alfredibrahim7085
    @alfredibrahim7085 2 роки тому

    Huu wimbo mmeutendea haki sichoki kuusikiliza mbarikiwa sana

  • @tempochoir
    @tempochoir 7 місяців тому

    Nimerudia kuangalia mara nyingi hongereni sana mmefanya vizuri mno.

  • @ScholasticaMayomba
    @ScholasticaMayomba 8 днів тому

    Very nice Catholic song listeaning keep it up ❤❤❤❤

  • @naomimuli474
    @naomimuli474 3 роки тому +10

    Among my best Catholic hits, God bless your good job&your efforts.

  • @elizabethmwikali7873
    @elizabethmwikali7873 4 роки тому +4

    Sauti tamu mafazi nzuri unyenyekevu ...utaratibu mzuri.. MUNGU azindi kuwabariki

  • @Nayi2012
    @Nayi2012 4 роки тому +14

    Asante sana for this beautiful, inspirational rendition!! Thank you so much for keeping us going during UK lockdown.

  • @consolatandinda8887
    @consolatandinda8887 9 місяців тому +1

    awwww ❤️ ❤️ 💕 🙌👏
    Zaburi 66:1-8
    [1]Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
    [2]Imbeni utukufu wa jina lake,
    Tukuzeni sifa zake.
    [3]Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini!
    Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako,
    Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.
    [4]Nchi yote itakusujudia na kukuimbia,
    Naam, italiimbia jina lako.
    [5]Njoni yatazameni matendo ya Mungu;
    Hutisha kwa mambo awatendayo wanadamu;
    [6]Aligeuza bahari ikawa nchi kavu;
    Katika mto walivuka kwa miguu;
    Huko ndiko mlikomfurahia.
    [7]Atawala kwa uweza wake milele;
    Macho yake yanaangalia mataifa;
    Waasio wasijitukuze nafsi zao.
    [8]Enyi mataifa, mtukuzeni Mungu wetu,
    Itangazeni sauti ya sifa zake;

  • @dennismlula5019
    @dennismlula5019 Рік тому

    Matendo ya MUNGU wetu kweli ni makuu!

  • @AmosiKalunde
    @AmosiKalunde 6 місяців тому +2

    SIYO NYIMBO ZA MASEBENE, MAJASHO, HIZI NDIZO NYIMBO ZA IBADA BE BLESSED SAAAANA

  • @godwinojiambo9764
    @godwinojiambo9764 2 роки тому +5

    Thank you for leading us in kumwimbia Bwana kelele za shangwe 😍😍🇰🇪🇰🇪

  • @victorololo9902
    @victorololo9902 3 місяці тому +1

    nostalgic inanirudisha Kanisa la Bikira Mama wa shime Makupa.....naskia harufu tamu ya ubani

  • @susanldohlchodo4589
    @susanldohlchodo4589 3 роки тому +10

    Matendo Yake yatisha sana..
    I felt the presence of the Holy Spirit when listening to this annointed song..Utukuzwe na Uhimidiwe ee Mungu🙏🏼🙏🏼

  • @oliverwabwire2836
    @oliverwabwire2836 3 роки тому +3

    Njooni tazameni , matendo ya Mungu.......tukuzeni sifa zake Mungu Mkuu! This choir is one of God's own miracles, wonderful song!

  • @helenasulesule2163
    @helenasulesule2163 4 роки тому +4

    Hongereni sana kwautume wenu mwenyezi mungu awabariki sana

  • @deogratiusassey8910
    @deogratiusassey8910 4 роки тому +4

    Da safi sana kaka! rajo unatisha mzeeeee!

  • @user-dw1ic8vy2s
    @user-dw1ic8vy2s 2 місяці тому

    ❤ mungu a wabarik sana naniko namiss maombi nakuimba Kwa eklezia

  • @julianabusera4555
    @julianabusera4555 Місяць тому

    God is good all the days of my life Amen

  • @petrokapinga2201
    @petrokapinga2201 4 роки тому +2

    Piga kelele Mwambieni Mungu Matendo Yako yanatisha kama nini Mbarikiwe sana sna kwa kazi nzuri

  • @sofiamauwa7146
    @sofiamauwa7146 3 роки тому +2

    Mungu awabariki kwa wimbo huu nzuri na wenye kumsifu mungu.salamu ziwafikie mlipo.from congo Kinshasa.

  • @salustianndonye3155
    @salustianndonye3155 2 роки тому +2

    I think it is my 100th time to listen to this beautiful song!

  • @dennismurage970
    @dennismurage970 4 роки тому +4

    Wooow wooooow wooow i just like this, nice creativity @Rajo production 👌👌

  • @fl11737
    @fl11737 4 роки тому +3

    Wimbo mtamu, sauti nyororo hakika
    Mbarikiwe kwa kazi nzuri munayoifanya🙏🙏

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 3 місяці тому +1

    Hongereni sana wanakwaya mmeutendea haki na mmependeza sana ❤

  • @pianamkai4620
    @pianamkai4620 5 місяців тому

    Inanikumbusha xul,, st francis🙏🙏🙏🙏😘😘😍

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 3 роки тому

    Amen God is greater
    Anaye sema catholic hatuna Prise and worship aendelee kujidanganya hivyohivyo nafsi yake

  • @charlesmartine3467
    @charlesmartine3467 3 роки тому +3

    Munamuimbia Mungu vizuri sana

  • @anithakisaka6767
    @anithakisaka6767 4 роки тому +4

    Hongeren wana Boniface mpo juu sanaaaa

  • @rokizenaufunguo9953
    @rokizenaufunguo9953 4 роки тому +4

    Hujawahi Fanya makosa Rajo hongera broo

    • @rajopro
      @rajopro  4 роки тому +2

      Asante sana....

    • @gettoboytz4879
      @gettoboytz4879 4 роки тому

      KAKA RAJO NAOMBA NAMBA YAKO 0713060003 NAPATIKANA MOSHI ASNTE PLZ

    • @rajopro
      @rajopro  4 роки тому

      @@gettoboytz4879 0758988827

  • @josephambrose2215
    @josephambrose2215 Рік тому

    Safi sanaa, hongera kwaya na waandaaiji🙏🙏🤔

  • @jennifertemba2837
    @jennifertemba2837 4 роки тому +9

    Hongeren sana mungu awabarki mmeimba vizur mno

  • @fredfidelis1067
    @fredfidelis1067 4 роки тому +3

    Mimi sio wa dunia hii .... I like this song deadly

  • @muchunofrank1326
    @muchunofrank1326 4 роки тому +4

    Wimbo mzuri, kuna haja pia ya kurudia nyimbo nyingine za zamani

  • @NkomokomoMedia
    @NkomokomoMedia 4 роки тому +3

    Asanten kwa kutukumbusha enzi zileeeeee pongez pia kwa injinia Mpiga Kinanda namkubali kinoumaaaaaa sana
    Saluti Rajo production

  • @anoasisoftranquillity5773
    @anoasisoftranquillity5773 4 роки тому +9

    I pass by here daily to listen to this song. I can't get enough from it. For all who took part in producinging such a glorious song, be blessed all

  • @victoriamefya6287
    @victoriamefya6287 Місяць тому

    🙏Mwambieni Mungu matendo yake yanatisha Kama nini

  • @phoebea8061
    @phoebea8061 4 роки тому +2

    Matendo yako yanatisha kama nini Mungu mkuu! Halleluhya

  • @carolinechitere6948
    @carolinechitere6948 3 роки тому +3

    Wimbo mzuri,Sauti tamu na zakupendeza sana.

  • @paulmziba1060
    @paulmziba1060 4 роки тому +3

    Kazi nzuri mno hataree....
    .hongera sana kwa waimbaji na studio

  • @bbylai3359
    @bbylai3359 4 роки тому +2

    Hakika kweli mungu ni mkuu,kazi nzuri sana na nawapenda wote mlioshiriki kwa moyo🥰🥰🥰🥰🥰

  • @cayusoginga
    @cayusoginga 3 місяці тому

    Congratulations for a job well done 👍✅

  • @hellennjau5546
    @hellennjau5546 2 роки тому +2

    When I feel bad.... This song it's making me happy 😘💕💞❤️❤️❤️❤️❤️❤️💃💃💃💃💃❤️

  • @maureennyakweba732
    @maureennyakweba732 2 роки тому

    Sauti nzuri kweli, tumusifu mungu .

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana watumishi wako hawa kwa kulitanganza jina lako kwa nyimbo mama bikira maria yesu kristor wangu uwa simamie katika imani

  • @berthalyimo6216
    @berthalyimo6216 2 роки тому +1

    Hatimae nimeupata huu wimbo baada ya kuutafuta kwa mda mrefu!!!

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 4 роки тому +5

    am proud to be a catholic ever mmeinjilisha vyemaaaa

  • @janethmwacha5208
    @janethmwacha5208 4 роки тому +4

    jamani kwa kweli mmeimbaaaaa,atukuzwe mungu milele na milele matendo yake yanatisha kama nini hakika ni mkuu

  • @gervasshepi6351
    @gervasshepi6351 4 роки тому +2

    Moja ya nyimbo nilizowahi kuzipenda na imedumu kwa muda sana

  • @editamujuni94
    @editamujuni94 Рік тому

    Ukuu wake ni mkuu sana na njia zake ni kuu

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 4 роки тому +3

    Kweli ukifikiria matendo ya Mungu yanatisha sana!

  • @mapachunyi4830
    @mapachunyi4830 4 роки тому +6

    You are doing great RAJO,,,keep it up.

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 4 роки тому +4

    Oyooooo kumekucha 😍😍😍 sauti imetulia uwiiiiii meuwa Sana😘😘😘

    • @jonathankimai8474
      @jonathankimai8474 3 роки тому

      A very nice,composed thanksgiving song,Ive never and will never get enough of this song.It cools my spirit.

  • @veronicakioko4520
    @veronicakioko4520 8 місяців тому +1

    Huu wimbo hakika unahifadhi amani katika nyoyo zetu.pongezi Sana.

  • @evansmutuma909
    @evansmutuma909 2 роки тому +2

    Have listened to it since last night.....now 54th time listening to it...can't get enough of it!

  • @damianjames320
    @damianjames320 Рік тому

    Jamaniii mpiga kinanda ubarkiwe sana pamoja na wanakwaya wote 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @raylaurent4389
    @raylaurent4389 4 роки тому +11

    Hakika matendo yako yanatisha kama nini... Tutakutukuza daima Mungu mkuu..
    Asanteee sana kaka Ray Ufunguo..
    Salaam kutoka Berlin Ujerumani....

  • @kay3558
    @kay3558 3 роки тому +4

    One of the best tunes of all time🔥🔥🔥... Can never get enough of it

  • @ogerotheibelius8028
    @ogerotheibelius8028 Місяць тому

    Hongera .Good composition. Keep it up❤❤❤❤

  • @justinawanjiku926
    @justinawanjiku926 4 роки тому +18

    One of my favorite songs...proud to be a catholic 😍

  • @marymacharia9627
    @marymacharia9627 2 роки тому +1

    Waooooo,matendo ya mungu yanatisha kama nini

  • @phyliskiboit1744
    @phyliskiboit1744 9 днів тому +1

    I real love the song

  • @bettyetanga1907
    @bettyetanga1907 4 роки тому +4

    Amazing studio ...Rajo production may GOD bless ur work

  • @jastinmbinda5926
    @jastinmbinda5926 3 роки тому +1

    Rajo mbarikiwe sana kwa kazi zenu zuri sana

  • @nicholasnyaga7965
    @nicholasnyaga7965 4 роки тому +13

    I just love this song, I can listen to it over and over again, it really blesses me. Almighty God be glorified forever

  • @felisianlissu6878
    @felisianlissu6878 4 роки тому +2

    Safi sana kwa wimbo mzur wenzetu wa Sombetini, big up sana Mwl na mpiga kinanda