is am good ❤I have 😊my head with the same ❤😊❤and I have been ❤with the last 😊❤❤❤and the 😊❤❤and ❤and the ❤❤❤❤❤❤the ❤of the 😊❤and 😊of ❤and ❤And the other one ❤
Sikia aa sikia Bwana, Sikia aa sikia Bwana sauti yangu Sikia aa sikia leo Sikia aa sikia Bwana sauti yangu. Hii sauti inabeba hisia zangu Zilizomo moyoni mwangu sikia Bwana sauti yangu Naeleza furaha niliyo nayo Na hamu ya kukushukuru sikia Bwana sauti yangu. Nakufunulia moyo wangu uko wazi, Nakumiminia, sifa na tenzi Mwenyezi, Napiga kelele usikie Bwana sauti yangu Sikia aa sikia Bwana ( Mungu we) Sikia aa sikia Bwana sauti ya moyo, Moyo,moyo, wangu moyo, moyo, moyo ha ha- // k i i t i k i o // Nimejua ya kwamba - wewe ni Mungu kila wakati Naona wazi kwamba - wewe ni Mungu kila wakati Kwenye furaha - wewe ni Mungu kila wakati Na kwenye magumu bado- wewe ni Mungu kila wakati Haupungui neno - wewe ni Mungu kila wakatii // m a s h a i r i // Hukutaka raha zinipe kiburi - aeee eee ukanipimia. Na taabu ziliponishambulia - - ukafungua (Bwana) mlango nikatoka salama. Na vipaji ona hukunipa vyote - aaee eee ukanipimia. Ingawaje nilipoweka juhudi - ukafungua( Bwana) mlango nikatoka salama. Sikuumbwa msafi kama ulivyo, aaee eee ukanipimia. Hata hivyo dhambi iliponisonga, ukafungua ( Bwana) mlango nikatoka salama. // h i t i m i s h o // Yeyeyeye yeyeyeyeye yeyeyeyeyeeeeee Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele- Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele. Nakuja nimebeba shangwe, na chereko Nakuja nimebeba kinanda watu wakuimbie- Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele. Nakuja nimebeba sifa kukupamba nakuja nimebeba maua jama watu wakutukuze- Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Maana utukufu ni wako milele na milele. Milele na milele, milele na milele, milele na milele,milele ni Mungu wa pekee...*5 * (Bass) Wewe ni Mungu, wewe ni Bwana, we ni mwema, utabaki Mungu X2 * ( Tenor) wewe ni wa kwanza ni Mungu weee, wewe ni wa mwisho eee Unaitwa Alfa ni Mungu wee, wewe ni Omega eee
Hakika wewe ni Mungu kila wakati, In 2008 I lost my elder sister, In 2010 I lost my husband, Yes, I was left under care of our 2 girls, The youngest being 11 months. Now my first born is in campus pursuing degree in IT Naona wazi kwamba..... wewe ni Mungu kila wakati
Wimbo unaougawa moyo wangu vipandevipande,niliugua kidonda mguuni kwa mda wa miaka miwili.Dawa zote za hospital sindano na vidonge kila nilipojitahid kutibu kidonda kilizid kuongezeka na kuvuja maji mda wote.niliamua kutoka dar es salaam na kurudi nyumbani.nilikuta flash yenye huu wimbo.Nilikuwa najifungia sitting room huku nikilia na kuimba huu wimbo.Ndan ya mwez mmoja kidonda kilikauka na kupona kabsa hadi leo.Kwa kweli nipo hapa kueleza furaha niliyonayo na hamu ya kukushukuru!! sikia Bwana saut yangu!!
Nakumbushwa wakati wangu Wa high school 1998_2001,nilikaa nyumbani Miaka mbili juu ya frees but Mungu Ni Nani alifunulia walimu wangu milango wakanichangia pesa for late registration wakanitafuta HM Na nikaregistiwa,picha ya yote I came out successful though sikuendelea Na cjui kilui but I thank God for opening the door for me,
This song reminds me of my 10yrs struggling in the Campus in search of my first degree of civil engineering, from 2012 to 2022, I had to drop out of school due to financial constraints when my only sister who used to support the family lost her job after miss understanding between her and her boss, whom he rejected his proposal to marry her. The following year I dropped out of school, all my hopes were dented. God later rewarded me double. I HAVE MY DEGREE PLUS CONTRACT.
Whoever composed this song was inspired by the holy spirit. The song reminds me of my 20 years in jail (prison). This was the time I cried to God to listen to my voice of agony. He finally heard my voice and cleared my long term tears.
Wimbo huu, niliusikiliza sana pale nilipofanyiwa hila. Nilihamishwa kituo kipya cha kazi kwa fitina. Baada ya kuwa natabia ya kulia na kusikiliza wimbo huo, nilihamishwa tena na kupata fedha nyingi, nikanunua na gari. Hakika Mungu yupo.
Walalala! Eeeiii!!! Niseme nini tena! Yeyeyeyeyeyeyeyeee! Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia maana ufalme ni wako! Amina. The beats! The voices! Ooh God 🙏. Sikiaa sikia bwana satu ya Moyo wangu. Wewe ni Mungu kila wakati. Ukafungua milango nikatoka salama kutoka Kwa mtego wa adui wangu, ooh wewe ni Mungu kila wakati.
Mungu Baba nakushukuru kwa ajili ya waimbaji wako kwa Sifa na vinanda umewapa mdomo wanaitumia vema kwa Sifa zako pokea Baba yangu na Mungu wangu wewe ni Mungu na utabaki Mungu umemtwaa mwanangu wa kwanza nimelia mno kwa kuwa ni binaadamu sikukamilika nalia hata Sasa lakini utabaki Mungu umemchukua kiumbe wako utakabaki kuwa Mungu naona utukufu wako kila siku itwayo leo kupitia viumbe wako mwanangu Joseph upumzike kwa Amani ya Kristo Mileke Amina.
Every time I listen to this song tears keep rolling down my cheeks as it reminds me of my late bro( he was more than that) died not ailing from any sickness, it was after my internship n had secured my first job of which I promised him to get him a present for he stood with me unfortunately didn't give him because he died two days after the conversation . After the burial the same month I lost my job, stayed under my elder sister's care, depressed almost lost my faith in God, I asked Him many questions now that I felt lost. Thanks to my family for being there for me whenever I felt low, thanks to the Mighty I got a different job after one year
Was so down after Kajiado County misbehaved with my pay since 2016. They are still hiding my files and pay. 😢i still tell God to sikia sauti yangu and touch the hearts of merciless procurement staff of Kajiado County. My God sikia sauti yangu and talk to each individual denying my payment. I cry to you day and night and I know you are God all the time. Very encouring song to my Soul when am this down. I play it everyday. God sikia my cries from my feelings and deep in my heart. Amen
I remember 2016 nipata accident gari iliisha but mimi sikumia mungu yuko natafuta cha kutolea mungu sina but heshima ni sawa,,,,,milele na milele wewe ni mungu
am hereafter the mwingi choir accident,this is da last song they sang happily not knowing what was before them,kweli we ni mungu kila wakati,may their souls continue to rest in eternal peace,
this song has a special place in my heart. when my wife left me in january 2021 because of things beyond human understanding ,this song gave me hope. i moved on and now i have something to smile about.
After eight years looking for a degree in the university,God finally did it in 2022. Deferments due to financial challenges,mental health and conspicuous missing units. Mungu alinitendea🙏
St Cecilia Mwingi Diocese, Kenyachose to sing this beautiful song before they perished yesterday in a tragic road accident. 23 lives lost God hear their cry and receive them in your Kingdom
Wimbo mzuri Tena sana....naupenda huwa unanikubusha Sana ile choir ya mwingi wenye waliagamia ktk endiu river...may their souls continue resting in peace...
I remember the year 2022 when i was admitted in mtrh for almost a month,i thought i was going to die but this song always gave me hope each day.today ,2024...listening to it in good health,I really thank God,am grateful.
Thank you Lord for bringing my family this far,,it's only you Lord 🙏🙏 u fed,clothed en loved us when the whole relatives abandoned us when dad passed,, people told us we will never successed en now we have 3 degrees en we are hoping for more,,may glory be to God
Kwaya hii... Africa mashariki na kati mnajua... Mungu awabariki saana katika utendaji kaz wenu..... Nakumbuka Dominika ya 12 tarehe 25/6/2023 📌 pale Manzese dar es saalaaam parokia ya moyo mtakatifu wa yesu mbele ya father Faustin kamugisha(PhD) mliupiga mwingi.. Kaz ya mola uhakika mliifanya... 🤞🤞🤞👋👋👋👋 Mungu awabariki wana makuburi
Huu Wimbo unamajibu ya wazi kwa Mungu wangu nilipata ajali nikawa wa kulala ndani tu siijui asubuhi wala usiku, ni kitandani tu na mtoto wa miezi minne naye akaachishwa kunyonya sikuwa naweza hata mbeba ni wakulalia mgongo tu, nilimuamba Mungu nafasi hata ya kuweza kukaa tu kwenye Wheel chair lakini akaniongezea vyote sasa natembea na mwanangu amekua kwa nguvu zake acha niseme Matendo ya Mungu yanatisha sana na HII SAUTI INABEBA HISIA ZANGU ZILIZOMO MOYONI MWANGU SIKIA BWANA HII SAUTI YANGU, NAELEZA FURAHA NILIYONAYO NA HAMU YA KUKUSHUKURU SIKIA BWANA SAUTI YANGU❤❤❤❤❤ KUKUSHUKURU SIKIA BWANA
This song will always remind me of my friends and choir members of st Cecilia Mwingi who died at river Enziu... may they continue resting in peace 🕊️🕊️
Reading the comments here make me love You Lord even more , I Love You Lord , thank you for the gift of life 🙏 thank you for my family kweli wewe ni Mungu kila wakati
Our brothers who died in the river sang this song, to remind us even in their passing God will still be God. May they continue to rest in Eternal peace
2024,who's here?
Me
And me😎
Me I'm from TikTok
Huyo jamaa wa trumpet ako sawa sana ❤❤ I can't get enough of this God bless you all 🙏
is am good ❤I have 😊my head with the same ❤😊❤and I have been ❤with the last 😊❤❤❤and the 😊❤❤and ❤and the ❤❤❤❤❤❤the ❤of the 😊❤and 😊of ❤and ❤And the other one ❤
Kama mwaka 2023 bado upo na huu wimbo weka like hapa .
Kama ni moja wapo unapenda nyimbo za makuburi gonga like apa
St veronica K. South Nairobi tuko ndani
Walio farijikaaa na kupata amani ya bwana kwa pamoja tulike hapa
2016 my husband passed away.this song comforted me
kama unajua we ni mkatoliki gonga like👍👍👍❤️❤️
Sikia aa sikia Bwana,
Sikia aa sikia Bwana sauti yangu
Sikia aa sikia leo
Sikia aa sikia Bwana sauti yangu.
Hii sauti inabeba hisia zangu
Zilizomo moyoni mwangu sikia Bwana sauti yangu
Naeleza furaha niliyo nayo
Na hamu ya kukushukuru sikia Bwana sauti yangu.
Nakufunulia moyo wangu uko wazi,
Nakumiminia, sifa na tenzi Mwenyezi,
Napiga kelele usikie Bwana sauti yangu
Sikia aa sikia Bwana ( Mungu we)
Sikia aa sikia Bwana sauti ya moyo,
Moyo,moyo, wangu moyo, moyo, moyo ha ha-
// k i i t i k i o //
Nimejua ya kwamba - wewe ni Mungu kila wakati
Naona wazi kwamba - wewe ni Mungu kila wakati
Kwenye furaha - wewe ni Mungu kila wakati
Na kwenye magumu bado- wewe ni Mungu kila wakati
Haupungui neno - wewe ni Mungu kila wakatii
// m a s h a i r i //
Hukutaka raha zinipe kiburi -
aeee eee ukanipimia.
Na taabu ziliponishambulia - -
ukafungua (Bwana) mlango nikatoka salama.
Na vipaji ona hukunipa vyote -
aaee eee ukanipimia.
Ingawaje nilipoweka juhudi -
ukafungua( Bwana) mlango nikatoka salama.
Sikuumbwa msafi kama ulivyo,
aaee eee ukanipimia.
Hata hivyo dhambi iliponisonga,
ukafungua ( Bwana) mlango nikatoka salama.
// h i t i m i s h o //
Yeyeyeye yeyeyeyeye yeyeyeyeyeeeeee
Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia
Maana utukufu ni wako milele na milele-
Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia
Maana utukufu ni wako milele na milele.
Nakuja nimebeba shangwe, na chereko
Nakuja nimebeba kinanda watu wakuimbie-
Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia
Maana utukufu ni wako milele na milele.
Nakuja nimebeba sifa kukupamba
nakuja nimebeba maua jama watu wakutukuze-
Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia
Maana utukufu ni wako milele na milele.
Milele na milele, milele na milele,
milele na milele,milele ni Mungu wa pekee...*5
* (Bass) Wewe ni Mungu, wewe ni Bwana,
we ni mwema, utabaki Mungu X2
* ( Tenor) wewe ni wa kwanza ni Mungu weee, wewe ni wa mwisho eee
Unaitwa Alfa ni Mungu wee, wewe ni Omega eee
Thanks for the lyrics. Barikiwa sana sana.
Asante kwa kuyaandika haya maneno
Asante sana Kwa kutupa maneno ya wimbo huu wenye upako wa ajabu.
Barikiwa mnoooo
thanks
Kama Huy mwaka wa 2024 bado ingarik n1 kwa mimi
Hakika wewe ni Mungu kila wakati, In 2008 I lost my elder sister, In 2010 I lost my husband, Yes, I was left under care of our 2 girls, The youngest being 11 months. Now my first born is in campus pursuing degree in IT
Naona wazi kwamba..... wewe ni Mungu kila wakati
pole dada mungu akutie nguvu.
Sorry for the loss Ann remember you are a woman of substance your name (Ann) says it all
@@jasintamutua3302 Thanks darling. Happy new year in advance
@@ruthmwendemunyoki8322 Asante sana. Happy new year in advance
Keep the faith
Tunaosikiliza wimbo huu 2024 November
This is the song that inspired me to join priesthood now I have finished my philosophy and I have joined novitiate in Ghana. God bless this choir
May God continue accompanying you in your priesthood journey.
May God Bless you
Ubarikiwe sana kwa damu thamini ya Kristu katika mwezi ya damu yake + Neno li msalaba ni nguvu wa Mungu
Mungu akawe nawe Fr
Good news.
Are you ordained a priest by now yet ??
May OUR LORD accompany you always , always.
Wimbo unaougawa moyo wangu vipandevipande,niliugua kidonda mguuni kwa mda wa miaka miwili.Dawa zote za hospital sindano na vidonge kila nilipojitahid kutibu kidonda kilizid kuongezeka na kuvuja maji mda wote.niliamua kutoka dar es salaam na kurudi nyumbani.nilikuta flash yenye huu wimbo.Nilikuwa najifungia sitting room huku nikilia na kuimba huu wimbo.Ndan ya mwez mmoja kidonda kilikauka na kupona kabsa hadi leo.Kwa kweli nipo hapa kueleza furaha niliyonayo na hamu ya kukushukuru!! sikia Bwana saut yangu!!
Kwakweli hakika wewe ni MUNGU kila wakati naona na ninazidi kukuona na kujuwa kuwa wewe ni MUNGU kila wakati
Mungu yupo kilawakati tumuombapo na anatenda
Wimbo tamu
Amina
Amen
Wapi likes za jamaa wa keyboard
Inaitwa organ dada
Inspiring
Actually all the instrumentalists are👍👍
Nabarikiwa sana na kwa hii,kama nawe unabairkiwa na kwa ya KMK makuburi gonga like hapa
Waliokiliza huu wimbo 2023 gonga like najivunia kuwa mkatoliki
Nakumbushwa wakati wangu Wa high school 1998_2001,nilikaa nyumbani Miaka mbili juu ya frees but Mungu Ni Nani alifunulia walimu wangu milango wakanichangia pesa for late registration wakanitafuta HM Na nikaregistiwa,picha ya yote I came out successful though sikuendelea Na cjui kilui but I thank God for opening the door for me,
Praise and Glory be to His name.
Glory be to god
Proud to be catholic..if ur proud like❤
Wakatolik tujuane hapa
This song reminds me of my 10yrs struggling in the Campus in search of my first degree of civil engineering, from 2012 to 2022, I had to drop out of school due to financial constraints when my only sister who used to support the family lost her job after miss understanding between her and her boss, whom he rejected his proposal to marry her. The following year I dropped out of school, all my hopes were dented. God later rewarded me double. I HAVE MY DEGREE PLUS CONTRACT.
Praise God 😭🙏
Glory to God
God is always honest!
Praise The Lord
Glory
Whoever composed this song was inspired by the holy spirit. The song reminds me of my 20 years in jail (prison). This was the time I cried to God to listen to my voice of agony. He finally heard my voice and cleared my long term tears.
Oooooh! So sorry but may God continue blessing you
We thank God
May God continue blessing you
Ooh pole for that may God bless you
Omg sorry ok… come here for hugs 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗❤️. God will definitely restored all the lost years Amen 🙏
Nani Ako hapa leo sept13 kuangalia hii nymbo ya Bwana Yenye utukufu na Upako baraka ndani yake likes zenu tafadhali nijue nipo nanyu❤❤❤❤
KUTOKA CONGO NA
DUNIA NZIMA TUJUANE CATHOLIC CHURCH ⛪️ ASANTE 🙏🙏🙏
I sang this song throughout an interview until I was confirmed CEO.Its my song of victory
Congratulations. May praise be given to the Almighty God. Amen
Nipe kazi 😂
Glory be to God almight
kiukweli utabakia kuwa MUNGU tuu na uhalisia wako ni MUNGU tuu peke yako wewe ndiwe kila kitu katika maisha yetu
Wimbo huu, niliusikiliza sana pale nilipofanyiwa hila. Nilihamishwa kituo kipya cha kazi kwa fitina. Baada ya kuwa natabia ya kulia na kusikiliza wimbo huo, nilihamishwa tena na kupata fedha nyingi, nikanunua na gari.
Hakika Mungu yupo.
Hizo ndio njia za MUNGU na ndio maana alisema shukuruni kwa kila jambo!! Uzidi kubarikiwa
Walalala! Eeeiii!!! Niseme nini tena! Yeyeyeyeyeyeyeyeee! Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia maana ufalme ni wako! Amina. The beats! The voices! Ooh God 🙏. Sikiaa sikia bwana satu ya Moyo wangu. Wewe ni Mungu kila wakati. Ukafungua milango nikatoka salama kutoka Kwa mtego wa adui wangu, ooh wewe ni Mungu kila wakati.
MUNGU ni mwema
🙏
Hio beat no Kali.......climax!weuh!
Mm hii wimbo hunifanye nione nothing so ever in this world hushinda Mungu
Tunao upenda huu wimbo siku zote tujuane❤💒🙏
Bwana Yesu nakuomba uwasindikize mke na watoto wangu Tanzania, ili wafike salama katika damu ya Yesu kristu, Amen
Mungu Baba nakushukuru kwa ajili ya waimbaji wako kwa Sifa na vinanda umewapa mdomo wanaitumia vema kwa Sifa zako pokea Baba yangu na Mungu wangu wewe ni Mungu na utabaki Mungu umemtwaa mwanangu wa kwanza nimelia mno kwa kuwa ni binaadamu sikukamilika nalia hata Sasa lakini utabaki Mungu umemchukua kiumbe wako utakabaki kuwa Mungu naona utukufu wako kila siku itwayo leo kupitia viumbe wako mwanangu Joseph upumzike kwa Amani ya Kristo Mileke Amina.
2025 naomba nibariki mimi nafamilia yangu
Every time I listen to this song tears keep rolling down my cheeks as it reminds me of my late bro( he was more than that) died not ailing from any sickness, it was after my internship n had secured my first job of which I promised him to get him a present for he stood with me unfortunately didn't give him because he died two days after the conversation . After the burial the same month I lost my job, stayed under my elder sister's care, depressed almost lost my faith in God, I asked Him many questions now that I felt lost. Thanks to my family for being there for me whenever I felt low, thanks to the Mighty I got a different job after one year
Thanks to God who gave u such a nice song
@@josephinemutungi amazing message
All happens for the Glory of God
Was so down after Kajiado County misbehaved with my pay since 2016. They are still hiding my files and pay. 😢i still tell God to sikia sauti yangu and touch the hearts of merciless procurement staff of Kajiado County. My God sikia sauti yangu and talk to each individual denying my payment. I cry to you day and night and I know you are God all the time. Very encouring song to my Soul when am this down. I play it everyday. God sikia my cries from my feelings and deep in my heart. Amen
GLORY BE TO GOD what a testimony surely he is a MIGHTY GOD
To our beloved souls that perished in a river in MWINGI bridge floods. May there souls rest in eternal peace 🙌😪😪
😭 May they RIP
They rehearsed this divine vibe..may their souls rest in eternal peace
May They RiP 😭😭😭
Amen
Amen
Proud to be catholic am here 2024
kwa kweli nabarikiwa kupitia wimbo huu. Mwenyezi Mungu awabariki sana Kwaya ya Mtakatifu Kizito kutoka Parokia yetu ya Makuburi.
Tanzanian singers never cease to amaze.What a piece.!May God bless you
Amen
I remember 2016 nipata accident gari iliisha but mimi sikumia mungu yuko natafuta cha kutolea mungu sina but heshima ni sawa,,,,,milele na milele wewe ni mungu
This song deserves a million likes. I have listened to it more than 1000 times.
They sing with passion
Amina
am hereafter the mwingi choir accident,this is da last song they sang happily not knowing what was before them,kweli we ni mungu kila wakati,may their souls continue to rest in eternal peace,
Amen 🙏🙌
Amen
Daah hii kwaya huwa inaimba htr tok mwaka 2007 naickia hii kwaya n noma
Those who came here after our friends died in River Enziu leave a like or type RIP. May God rest their souls in eternal peace 🙏😢
🙏🙏
Rip. They did sing this song
2021 wewe ni Mungu,gonga like
Mungu awabariki Mt Kizito
Wapo Radio wamenifanya nifike kwenye huu wimbo nimeusikia mara moja tuu nikaupenda, Mukasa ni mwandishi mzuri sana aisee Mungu aendelee kumbariki.
Kama umepata faraja kama Mimi gonga like
Nafarijika kila nisikilzapo huu wimbo,,, (naviipaji mbona hakunipa vyote )napenda sana ujumbe huu Mungu awabariki
Hakika nafarijika kwa hu wimbo mungu ni mwema
Wewe ni mungu kila wakat
Hii sauti inabeba hisia zangu zilizoko moyoni oh nimeipenda hapo
❤❤❤❤❤❤
My mother's favorite song during her last days battling cancer. She listened and believed to the end. I miss her.
Pole sana may she rest in eternal peace
You might think that you lost but trust me you have someone who was close to you in heaven, close to God.
pole sana bro take heart, yeye ni mungu kila wakati
So sorry, may she rest in peace
May God rest your mum's soul. My condolences to you. God be praised in all situations
Mimi napenda huo wimbo ❤
wewe ni Mungu kila wakati🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏
Mungu ambariki sana mtunzi wa wimbo huu. Awabariki waimbaji na wote mnaobarikiwa na wimbo huu. Amina 🙏🏼
this song has a special place in my heart. when my wife left me in january 2021 because of things beyond human understanding ,this song gave me hope. i moved on and now i have something to smile about.
I love this song
Amen
That's the spirit my brother
Wow.God is good all the time.. keep smiling and trusting him
Amen,,He is a God of many chances....May he deliver my soul
Wewe ni Mungu kila wakati..
Proudly Catholic...every time I listen to this hymn I can't stop crying knowing God abundant grace
Indeed 🙏
Just a week ago I got to know the song
But is all I have
Naipenda sana loman catholic
5:17 Ninapata faraja sana ninapo sikia huu wimbo. Kweli ni tenzi za sifa kwa Mungu.
21_12_2024
Wewe ni Mungu kila wakati😊
After eight years looking for a degree in the university,God finally did it in 2022. Deferments due to financial challenges,mental health and conspicuous missing units. Mungu alinitendea🙏
Kwa Kweli wewe ni Mungu kila wakati🙏🙏🙏
Wewe ni Mungu kila wakati..I can attest to this after being sick since 2017 now 2023 am completely healed..beautiful song
God is good every time 🎉🎉🎉i
Thanks for his healing, May his NAME be praised
Bwana apewe sifa shukrani kwa waimbaji hawa
St Cecilia Mwingi Diocese, Kenyachose to sing this beautiful song before they perished yesterday in a tragic road accident. 23 lives lost God hear their cry and receive them in your Kingdom
May their souls rest in peace
Utajiri wa katoliki
I'm a choir member of a catholic church in Zimbabwe ,i feel blessed with the song ,now i know how to sing it
Huu wimbo mwenye alitoa abarikiwe sana
Hatasio mukatholika ,wimbo unaneno la Mungi lazima uvitiee
Tujuane tunao icheki hii nyimbo 2020
Cette chanson est vraiment impeccable. Qu'elle soit bénie la personne qui l' a réalisée. Elle a un don spécial.
Mie hapaaaa! Mungu na atubariki na kuttuangazia Nuru ya uso wake.
Nyimbo bado ipo hot
Alikililililililili! Am still here in 2023 with st. Kizito choir. Amen
wewe ni Mungu
Wow my all time favourite proud to be Catholic
Who is here in this 2021 to say thanks to God for enabling to see this 2021..wacha mungu aitwe mungu
Amen. Aksante kwa nyimbo nzuri sana za masifu
Proud to be a Catholic 👍🏽
2024... proud to be catholic..this song inspire me every day...... if wewe ni mkatoliki just say hi
Wimbo mzuri Tena sana....naupenda huwa unanikubusha Sana ile choir ya mwingi wenye waliagamia ktk endiu river...may their souls continue resting in peace...
Hakika Mungu anatupitisha pale wanaposema hatutoki ktk shida
Whatever challenges I face daily in my life, God will always be God. Acha Mungu aitwe Mungu.
wimbo huu kwa kweli unanibariki sana kila nikiusikiliza hasa nikiwa na huzuni najikuta nafarijika
I remember the year 2022 when i was admitted in mtrh for almost a month,i thought i was going to die but this song always gave me hope each day.today ,2024...listening to it in good health,I really thank God,am grateful.
Kwa huu umbali imegharimu mkono wa mungu
Not a Catholic, but the blessings from your songs touch my veins Glory to God
Kwakweli pongezi kwao,waliimba sana
Thank you Lord for bringing my family this far,,it's only you Lord 🙏🙏 u fed,clothed en loved us when the whole relatives abandoned us when dad passed,, people told us we will never successed en now we have 3 degrees en we are hoping for more,,may glory be to God
Mimi si mkatoliki lakini wimbo huu ninaupenda sana Tena siku haiwezi pita bila kuusikiliza huu wimbo.
Nimebarikiwa sana na huu wingu Mungu wambinguni Awatunze kwa ajili yangu ❤❤❤🎉
Hata kwenye magumu wewe ni Mungu kila wakati
Kwaya hii... Africa mashariki na kati mnajua... Mungu awabariki saana katika utendaji kaz wenu..... Nakumbuka Dominika ya 12 tarehe 25/6/2023 📌 pale Manzese dar es saalaaam parokia ya moyo mtakatifu wa yesu mbele ya father Faustin kamugisha(PhD) mliupiga mwingi.. Kaz ya mola uhakika mliifanya... 🤞🤞🤞👋👋👋👋 Mungu awabariki wana makuburi
Wewe ni Mungu Kila wakati
Nani anaona mwanaume ako kwa mlima feeling the song in his bones. These pple are enjoying evrybit
Huu Wimbo unamajibu ya wazi kwa Mungu wangu nilipata ajali nikawa wa kulala ndani tu siijui asubuhi wala usiku, ni kitandani tu na mtoto wa miezi minne naye akaachishwa kunyonya sikuwa naweza hata mbeba ni wakulalia mgongo tu, nilimuamba Mungu nafasi hata ya kuweza kukaa tu kwenye Wheel chair lakini akaniongezea vyote sasa natembea na mwanangu amekua kwa nguvu zake acha niseme Matendo ya Mungu yanatisha sana na HII SAUTI INABEBA HISIA ZANGU ZILIZOMO MOYONI MWANGU SIKIA BWANA HII SAUTI YANGU, NAELEZA FURAHA NILIYONAYO NA HAMU YA KUKUSHUKURU SIKIA BWANA SAUTI YANGU❤❤❤❤❤
KUKUSHUKURU SIKIA BWANA
Namshuku Sana Mungu wetu kwa kubarikiwa kupitia sauti za wateule wake. Sifa na utukufu ni kwa Yeyye aliyewawezesha kuwa Kama mlivyo. Mbarikiwe Sana!
Hakika wewe ni mungu kila wakati
This song will always remind me of my friends and choir members of st Cecilia Mwingi who died at river Enziu... may they continue resting in peace 🕊️🕊️
They sang this song before dying 😭😭😭💔💔💔 kweli kifo haichagui na Wala hakibagui. Sote pia tutaenda Njia hiyo hiyo 🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏😭
@@marianandisi1641 aki, the more i listen to this song it remind me of the choir.
May they countinue resting in peace Amen 🙏🙏🙏
May God continue giving u strength
St Cecilia Choir Mwingi 😭😭😭😭, whenever i listen to this song the Enziu river tragedy comes fresh in my mind may the souls of those angels rip.
Ukweli sana
Keyboard hoyeee🎉🎉🎉
Reading the comments here make me love You Lord even more , I Love You Lord , thank you for the gift of life 🙏 thank you for my family kweli wewe ni Mungu kila wakati
Kabisa ni Mungu kila wakati.
Waoo sauti ya pili tujuane
Kweli haupungui neno kila wakati !!
It's true that n Mungu kila wakita it makes me to remember 2023 when I was in Nairobi yenye nilipitia bt according to God am happy today
Our brothers who died in the river sang this song, to remind us even in their passing God will still be God.
May they continue to rest in Eternal peace
Akika wewe ndie baba yetu wewe ndie mungu milele na milele .....glory be to GOD...may those souls rest in eternal peace
Very true 👍
Amen
Amen
Huu wimbo unaugusa sanaaa moyo wangu jamani kwakweli mungu awaweke ❤❤❤
This song reminds when when I was jobless I got one and my contract was terminated unceremoniously back to jobless. But mungu atabaki kua mungu. 🙏
Yeye ni Mungu kila wakati... He will see you through.
God listened to my cry and prayers. I am starting a new job in a better company. I will trust in God always
@@daisywangila4144 amina
Ninabarikiwa na nyimbo kwaya makuburi