Wimbo huu wanifariji kweli. Jamani sichoki kuusikiliza kamwe. Mungu fungua sikio lako usikie Sauti ya kilio changu na ufungue macho yako uone kilio changu. Ujumbe mzito kweliiiii kwetu sisi tulio safarini. I love those minor keys.....very moving and emotional.. Mungu nimetenda maovu mengi nisamehe...usiangalie udhaifu wangu...zaburi 51.... Naomba Kama meneno ya wimbo huu jameni
Mwl Limila, Mungu mwenye huruma isiyo na kikomo, aitizame kazi hii nzuri, na akufutie madeni ya madhaifu yako yote, na akustahilishe tuzo kuu ya uzima wa milele Amina
Nimeungalia zaidi ya mara tano saut tamu maneno yametamkwa vzr sololist ananikosha nasikia machoz yanajaa Mungu awainue kwa viwango vingine from lebanon
Asante sana ndugu kwakutupa moyo sisi wakatoliki nami naifurahia sana kwaya yetu wanavyomsifu Mungu kwawimbo wao wanyakati zakwarezma nanyakatizavilio.
Huu wimbo unanikumbusha kujiandaa kila wakati ili niitwapo na baba wa mbinguni niwe tayari. Naamini mtunzi huyo alifuniliwa vitu fulani kwenye huu utunzi wake hakika unanibariki.
Kila nikisikia wimbo huu nahisi kubarikiwa sana mimi pamoja na familia yangu, mwenyezi Mungu awabariki sana wote waliondaa wimbo huu maana tunabarikiwa bure kwa upendo wa Mungu akawe msaada kwetu na wimbo huu ukawe uongozi kwa maombi yetu kila siku. Amina
tear of joy, tears of comfort when listening, this song is a Prayer that many of us can resonate with, this life we face tribulations but in the end, it will be joy when we embrace Jesus in Glory Forever!! It's 2022 now, May this song Heal Souls and Lead us closer to God always!
I really don't know what driven the composer of the song to giving out such a powerful message...have been listening to the song normally until I listened when in spirit and the song is just a blessing 🙏🙏
Pole sana BMM na Kanisa kwa Ujumla kwa kuondokewa na Mwl Steven Limila, mtunzi wa wimbo huu. Kaka Limila, ulikua unatuaga katika huu utunzi. Tangulia ukituombea
I never tire listening to this song. Any time anywhere. It is the hope in us as Christians that we have a Father and we shall go back to him and rejoice in eternity. This song is a blessing in the sense it diffuses the fear of death. In Christ we win over the powers of "Ibilisi". Kwaya ya Bikira Maria..mubarikiwe sana na sana na zaidi
Rest in Peace Limila. May the Good God grant your soul eternal peace. Forever your compositions will remain with us forever in our memories. Very touching song and proud to be a Catholic. RIP
Katika matesohaya,na katika dhiki hizi nitakuwanawe mwokozi wa moyowangu🙏❤❤❤naamini wewe bwana utatuponya na huu ugonjwa wa Corona virus wewe ndiwe musaada wawanyonge.
Pumziko la Milele Umpe Eeh Bwana, Steven Limila (Composer & Organist) Malaika wa Mungu wakupokee Mbinguni, umeacha kazi nzuri sana na tutakuenzi kwa hili.
Mimi sio mkatoliki lakini napenda nyimbo zao sana mbarikiwe
❤
Amina… ubarikiwe pia🙏🏻
Asante karibu sana katorik❤
Amina ubarikiwe😮😮😮
Amin saaan
Jamani wakatoliki mpo?
Najivunia kuwa mkatoliki
Asanteni sana kwaya mbarikiwe
Jennifer Mlingi tupo kabisa, wimbo mzuri sana.
Tupo habari yakwako jamani
Jennifer Mlingi aayaa
Aminaaaa
@@deboratagalile409 amen
Please wenye wanaitazama nyuma yangu niwekee like...
Sweet song kabisa
Wimbo mzr sana,Mungu ampokee mtunz mbngun afurah pamoja na Malaika
Nitumie
😍😍😍😍😍
niko hapa
Very touching and spiritual song...Mungu awabarikini washiriki wote na kila mmoja anayeutazama wimbo huu.
Very inspiring song,can't stop watching the video.
Amen
Nawepia
The pianist 🎉🎉🎉🎉🎉
I was borne Catholic,and will die Catholic...I love my Catholic..
Hongereni sana kwa kuimba vzr na mungu awabariki sana
Hongereni wimbo mzuri sana,umetulia. Ndo raha ya kuwa mkatoliki.
Umeonaeee
Nimefalijika Sana kwa wimbo huu hongereni Sana wanakwaya hawa
Hongeren sana katoriki naipenda
Nabarikiwa sana nyimbo hii
Yaan we km ni mkatoliki alafu hautafakar vitu vizuri km iv ni bora ukaacha ukristo wako
Wimbo huu wanifariji kweli. Jamani sichoki kuusikiliza kamwe. Mungu fungua sikio lako usikie Sauti ya kilio changu na ufungue macho yako uone kilio changu. Ujumbe mzito kweliiiii kwetu sisi tulio safarini. I love those minor keys.....very moving and emotional.. Mungu nimetenda maovu mengi nisamehe...usiangalie udhaifu wangu...zaburi 51.... Naomba Kama meneno ya wimbo huu jameni
Nasikia Aman Sana ninaposikiliza hii kwaya
Naamini wewe Bwana ndiwe uwezaye kuniondolea haya maumivu ya moyo wangu,
Nakuomba wewe Bwana,tazama mateso yangu usiutazame udhaifu wa Moyo Wangu
Endelea jamani
Mwl Limila, Mungu mwenye huruma isiyo na kikomo, aitizame kazi hii nzuri, na akufutie madeni ya madhaifu yako yote, na akustahilishe tuzo kuu ya uzima wa milele
Amina
Joseph Lang'o Ameen
Hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Mungu aipokee roho yake mahali pale panapostahili. Ameeen
AMINA
JAY'S STUDIOS Kwa kweli Mungu mwenyehuruma ampe pumziko la milele,
Kwa kweli Mungu amsamehe madhambi yake
i proudly my Catholic faith! Good song may Lord Jesus Bless all
mungu wa bariki wakatoliki wote duniani haswa wa Tanzania, Dar es salaam... Amina🙏
Amen, akubariki na wewe.
RIP Steve...forever we will remember you...your composition was just an encouraging piece that inspires alot
Pumzika kwa Amani kaka Steve hakika Mungu akupe taji la ushindi kwa hili na uwe mwimbaji bora hata mbinguni
Hakika nifundisho tosha kabisa
Mtunzi wa huu wimbo Bado angali yupo,na kama Ako,Mungu na azidi kukubariki zaidi na zaidi
Hngera sana wimbo uchoki kusikiliza
Yani mm siyo mkatoliki lakin kwenye nyimbo zao napenda
Ndo maana najivunia kuwa mkatoliki. Wimbo mzuri sana wa kufariji. Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mwalimu Steve Limila mahali pema peponi.
Nafurahi nikiona vijana wanamuimbia mungu wakaka wazuri wadada wazuri wanatenga muda wa mazoezi ya kwaya me ni nani nishindwe
Dar kila nikitazama wimbo huu manenoyake na uyo mtoto ananiliza naipenda
Am not a Catholic but am blessed by this song Gob bless the singers
Ooooj Thaks, where you are?
Ppppm
Wherever you are , whoever you are, we love you,simply cauz you are one of us united with Christ
Nimeungalia zaidi ya mara tano saut tamu maneno yametamkwa vzr sololist ananikosha nasikia machoz yanajaa Mungu awainue kwa viwango vingine from lebanon
Amen
Amina
Huu wimbo nautazama kila mala ila sichoki Mungu waongezee ufundi wazidi kutuletea vitu vizuri kama hivi.
pumzika kwa Amani shujaa wa Imani Katoliki
RIP Lucy ngussa hii nyimbo kwenye msiba wa dada nililia sana
Asante sana ndugu kwakutupa moyo sisi wakatoliki nami naifurahia sana kwaya yetu wanavyomsifu Mungu kwawimbo wao wanyakati zakwarezma nanyakatizavilio.
Aseèh napenda hii kwayaaa 🎉❤❤
I love Catholic songs though am a Presbyterian.
Aminaaa
A song by one of greatest and respected Catholic music Composer in Tanzania. RIP Steven Limila
Mungi wetu umrehemu mtunzi wa wimbo huu na umpe pumziko la amani. Wabariki waimbaji walioshiriki naye ktk wimbo huu mzuri unaogusa mioyo ya wengi
Huu wimbo unanikumbusha kujiandaa kila wakati ili niitwapo na baba wa mbinguni niwe tayari. Naamini mtunzi huyo alifuniliwa vitu fulani kwenye huu utunzi wake hakika unanibariki.
Kila nikisikia wimbo huu nahisi kubarikiwa sana mimi pamoja na familia yangu, mwenyezi Mungu awabariki sana wote waliondaa wimbo huu maana tunabarikiwa bure kwa upendo wa Mungu akawe msaada kwetu na wimbo huu ukawe uongozi kwa maombi yetu kila siku. Amina
Huu wimbo n mzuri san coz kila niamkapo n lzm niusikilize pia nawap pole wote kwa kuondokew n mwalimu wa kwaya hii.
Na amini wewe bwana ndiye unaweza kuniondolea mateso haya. Bwana wangu sikia sauti yangu, 2samehe makosa yetu 2ongoze
tear of joy, tears of comfort when listening, this song is a Prayer that many of us can resonate with, this life we face tribulations but in the end, it will be joy when we embrace Jesus in Glory Forever!! It's 2022 now, May this song Heal Souls and Lead us closer to God always!
God answer the prayers of your heart this year and forever
Amen
Many blessings and prosperity follow to us all
Amen
what does the song talk about I loved from the Day I first listened it
Amen. May this be my prayer too
Z
Ahsante Mungu kwa kunipa nafasi ya kusikiliza wimbo huu. Najihisi kufarijika kiitikio kinanitia nguvu ya kukua kiroho. KRISTO TUMAINI LETU
the phone specifications. ×.,
Pumzika kwa amani ndugu,ukumbusho umetuachia......
Hakika alitunga na waloimba waliutendea haki kabisa
Mungu azidi kuwaongezea ujuzi wakue delea kutosha nyimbo,jioni njema.
Listening from Nairobi, its an amazing composition!!!! Steve Limila, may your soul rest in eternal peace.
Amen
Rip Steve lamila
Amina
@@perpetua6676 l
Ukristo ni kuamini katika yesu
R.I.P we will meet you next life! We love you but Jesus love you too much!!!
Nimebarikiwa sana na huu wimbo Mungu awabariki waimbaji Mungu mpokee katika ufalme wako kaka Steven limila apumzike kwa amina
Proud Christian, proud Catholic 🔥🔥
Mungu awabariki sanaaaaa, naitumia hii nyimbo kwenye vitu vingi sanaaaaa
Hakika
Wanifariji Sana huu wimbo
Bwana niongoze mbingun kwa Mungu Baba milele yote.
Mwenyezi akupe pumziko la milele Amina mtunzi na mwalimu wa wimbo huu tutakukumbuka daima
Hakika nikama alijua lililokua mbele yake eeeh MUNGU umpokee mbinguni
Love much this song ....🙏🙏🙏🙏🙏
wimbo unaoleta tumaini kwa wasio na tumaini.Tubarikiwe sisi sote🙏🙏🙏🙏
Mmmmefanya kitu cha tofaut sana nawaombeen mfike mbali nakumwimbia bwana
Hongereni sana tunabarikiwa mnooo
I really don't know what driven the composer of the song to giving out such a powerful message...have been listening to the song normally until I listened when in spirit and the song is just a blessing 🙏🙏
Pole sana BMM na Kanisa kwa Ujumla kwa kuondokewa na Mwl Steven Limila, mtunzi wa wimbo huu. Kaka Limila, ulikua unatuaga katika huu utunzi. Tangulia ukituombea
hongereni kwa sauti nzuri mungu awabariki name mzidi kuwa name moyo huo huo
Cant get enough of this song, tears flowing freely....I feel blessed all the time.
Wimbo pendwaaa wa roho yangu
Mbarikiwe sana wimbo huu unanifariji sana kwani hakika bwana ajua maumivu tunayopitia
I love this song its my always my morning glory, Atukuzwe baba mwana na roho mtakatifu Amen
Amina 🙏
Unfortunate the composer has passed away...
,Amina
@@bonifacereginald9990 may his soul rest in eternal peace
Amen kipenzi
Hakika wimbo huu unatia simanzi kubwa na majonzi eee MUNGU wangu!!!
Najisikia jamani na furaha kwa kusikiliza nyimbo ya dini yangu jamani hongera kwa Nazi nzuri mungu awabariki
Barikiweni sana nyimbo nzuri sana inahudhunisha nainatia moyo
One of the greatest pieces I have ever come across in catholic music. My first time listening to it and I just can't get enough. God bless
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ najivunia kuwa mkatolik
I never tire listening to this song. Any time anywhere. It is the hope in us as Christians that we have a Father and we shall go back to him and rejoice in eternity. This song is a blessing in the sense it diffuses the fear of death. In Christ we win over the powers of "Ibilisi". Kwaya ya Bikira Maria..mubarikiwe sana na sana na zaidi
Baraka tele 😢😢😢😢nasikia kufarijiwa moyoni mwangu
Proud to be a Catholic...
Ee mwenyezi mungu usiutazeme udhaifu wangu,sikia kilio changu
Amazing song. From Kenya apumzike kwa Amani Steve Limila. Raha ya kuwa mkatoliki
this song always consoles my heart 😢
Jamani mmenibariki sanaaa kwa uu wimbo sins zawadi yakuwapa nawaombea Sana'a Mungu awabariki,
Kwa kweli huu wimbo hunibariki sana
I can never get enough of hii wimbo.💯🥰Asante yesu. Ni tamu sana🥰
Wimbo mtamu sana
raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie Steve apumzike kwa amani Amina
Thinking of my mortality! This is on another level. Forgive me Lord. One of my most favorite songs been listening to it since it came out!
Dah naupenda sana wimbo huu , I love my Catholic.
Wimbo mtamu jamani unabariki mioyo ya wengi mungu na awabariki
Wimbo huu nausikiliza leo January 22 2023
Sawa,ijapo hiyo hauna date d'expiration ni wa Mungu
Sawa,ijapo hiyo hauna date d'expiration ni wa Mungu
mashairi ya huu wimbo ni maombi tosha kwa mwanadamu
This song always leads me to praying the rosary.
Najivunia kuwa mkristo mkatoliki napata Raha San, good song
Mwalimu Steve...... Umetutangulia nyuma yako twaja.... tutaimba sote mbinguni...... pumzika kwa amani
Proud to be catholic ❤
Leo tumeanza kwarezima ya mwaka 2021 wimbo huu unaujumbe mzuri unanitafakarisha na kunisogeza karibu na Mungu🙏
Wimbo unavuta hisia sana mbarikiwe jamani🙏🙏
Rest in Peace Limila. May the Good God grant your soul eternal peace. Forever your compositions will remain with us forever in our memories. Very touching song and proud to be a Catholic. RIP
Mungu akulaze mahala pema peponi amina.... Daima tutazidi kukumbuka milele yote..
My top favorite song. Naiskiza more than 5 times a day. continue with the good work and may God continue blessing you all
Its my best too
Wooo!!
Tunaomba faraja yako katika hili Mungu wetu,peke yetu hatuwezi.Roho ya marehemu kaka steven Limila ipate rehema kwa Mungu,ipumzike kwa amani ,amina.
Utuhurumie EeMungu wangu🙏
Pumziko la milele umjalie ee Bwana. Malaika wa Mungu wakupokee mbinguni na uendelee na kazi hii nzuri
Huu wimbo unanipa imani sana
Woooooooow,wimbo mtamu Sana,nikiusikiza naona Roho mtakatifu akishuka.Hongereni Sana muliohusika . God bless your voices 🙏🙏🙏 praise God forever
Asante
Katika matesohaya,na katika dhiki hizi nitakuwanawe mwokozi wa moyowangu🙏❤❤❤naamini wewe bwana utatuponya na huu ugonjwa wa Corona virus wewe ndiwe musaada wawanyonge.
Nice song en am proud to be a catholic may God bless this choir in order for them to continue praising his name through nice songs like this 🙏🙏🙏🙏
Kweli mmejipanga hongera sana wimbo mtamu kama divai
Pumziko la Milele Umpe Eeh Bwana, Steven Limila (Composer & Organist) Malaika wa Mungu wakupokee Mbinguni, umeacha kazi nzuri sana na tutakuenzi kwa hili.
Rip mwl Limila tutakukumbka milele Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako na mwisho ufike kwake mbinguni Amina
Stay with me O Lord... very inspiring
Nice song though I can't hear the language but Catholic is Catholic
Amina amina Rc imani yetu
Mungu awabariki sana.
watching from Rome.... mungu akuangazie mwanga wa milele ndugu Limila
Oh mon Jésus écoute la prière de tes enfants
❤😊🎉 nice song katoliki ❤❤❤❤ and 🎉🎉🎉😊
Aiseee nmeutafuta huu wimbo mpaka nmeupata naskiaje raha kusikiliza nahisi mwili wote unasisimka kila nikiusikiliza daaah
Hakika mnasafisha mioyo yetu wala sio mavazi
I like this prayer-song.It really puts in prayer mood even at workplace.🙏
2023... wimbo unanibariki sana
Am blessed by this beautiful song...lots of love from Kenya 🇰🇪