NAKUKARIBISHA YESU (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- Kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na Shahidi kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Sombetini Arusha wanakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wa Ekaristi uitwao Nakukaribisha Yesu utunzi wake Ray Ufunguo.Wimbo huu umerekodiwa katika studio za RAJO Productions.
Tunamshukuru sana Fr. Teilo M Lwande AJ. kwa kufanya English subtittles. Huu ni wimbo ulio bora wenye maneno matamu na tunaalikwa kushiriki ili tuweze kupata Neema za Mungu. Tunapoendelea kutafakari, Mungu aweze ku mimina neema katika maisha yetu na mwisho wa siku tuyaache maisha ya kale na tuwe wapya. Bwana unibadili niweze kuishi kadiri ya njia zako.
Tuatakapoyashuhudia matendo makuu ya Mungu, basi Tumpigie Mungu Kelele za shangwe ili Sifa na Utukufu virudi kwa Mungu.
#miminaneema #bwanaunibadili #rajoproductions #kwayakatoliki #gospelmusic
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
Thunk you very good
Qwqq
@@jeanlumbu3434 0
Amn
@@jeanlumbu3434😊😊😊😊
Tunakukaribisha utushibishe na kutunywesha 2025 ❤❤❤🎉
Hakika najivunia kuzaliwa mkatoliki.
Napenda huu wimbo
Kazi yenu sio BURE MBELE ZA MUNGU
Naupenda sana huu wimbo
GOD IS REAL
Anyone watching this song in 2024? .It is so touching.
Jesus welcome to my heart and stay with me always🙏
I'm here in oct 2🎉🎉❤❤❤❤
Everything about being a Catholic is just right. Asanteni waimbaji kwa kutangaza Injili ya Bwana kwa sauti nzuri na maneno matamu. Awabariki Mungu mwenyezi Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Amina Sana👍🏼
Amina
Amen 🙏
Amina
Amen .
Wimbo huu unanifariji sana
Kwa hali hii nani anaweza kunihamisha dini? ? Hakika najivunia kuwa mkatoriki ni dini ambayo huwa haifananishwi na madhehebu mengine iwe kwenye nyimbo hata kwenye biblia, Mungu awabariki sana.
Yesu hakuleta dini wala dhehebu, Yesu alikuja ili tuokoke tu.
Unaweza ukabaki kwenye dini na dhehebu lako unalolipenda ila uombe kwa Jina la Yesu tu, sio kuwaomba marehemu watakatifu ..... Watuombee!
Tumepewa Jina la Yesu tu linatosha.
Hivyo unakua mwanafunzi wa siri Wa Yesu kwa kuomba na kuamini Jina la Yesu tu.
Mawazo yako kama yangu
@@healingsschool4630 Unaweza kuthibitisha kuwa watakatifu hawawezi kumuombea mtu? Usiingilie majukumu yasiyokuhusu anayeweza kuthibitisha ni Mungu na anayeomba. Usihukumu usije ukahukumiwa.
Huo ni upagani mkubwa, tunajivunia ukristo... Dini ni mpango WA mwanadamu kumtafuta Mungu Bali wokovu ni mpango WA Mungu kumtafuta mwanadamu.... Soma biblia ndugu
Namuona na baba wa mpako yupo ataki shida
Shemeji wewe na huyo Mzungu mweusi mmefanya mavitus marvelous.the song is amazing the video quality wacha kabisa na keyboarding blended well in it Makes our Eucharistic King :Ainuliwe milele.kazi njema mbarikiwe hadi mshangae baraka mtugawie na sis
Mungu ashukuriwe... Ubarikiwe sana Mapendo.
Muzuri SAAAAAAAANA
hongera sana kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na shahidi, Parokia MoYo Mt wa Yesu. Mbarikiwe sana tunawapata vyema hapa Uganda
Je suis fière de ma religion catholique .
Ray Ufunguo hongera kwa utunzi mzuri wa wimbo wa Ekaristi unaotukumbusha utukufu na ukuu ulioka katika fumbo hilo takatifu,na pia hongereni sana waimbaji ,mcheza kinanda Swai F.T pamoja na Rajo production kwa uandaaji mzuri mlioufanya Mungu aendelee kuinuliwa na kutukuzwa milele
Asante sana Rafiki yetu, John Mtui. Uzidi kubarikiwa sana
Huu wimbo uniguza sana, Asante waimbaji utunzi mzuri zaidi. Neema neema mnapoendelea kutumkia mwili wa kristo.
MUNGU ni mwema! Utukufu wake unadhihilika happ!
Hongera waimbaji mko vizuri
I recently joined catholic church , and I've started receiving the holy eaucharist and I don't think anything will ever take me away from This church
You are most welcome to Christ in the Eucharist. This is is home. God bless you.
Jiishi Nyumbani.
Welcome home
Most welcome dear❤❤❤❤🎉
Your most welcome to the Holy church❤️🙏@@DesmondMusoba
Wimbo mzuri saaana.....! Hongereni sana waimbaji, mtunzi na RAJO PRODUCTIONS kwa kutusaidia kumkaribisha Bwana Yesu mioyoni mwetu kwa njia ya uimbaji mtakatifu. Mungu awabariki sana
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Aksanteni sana
mnaweza kunisukumia nyimbo hilo kwa nota nipo Rwanda nawatazama tena tunawapenda sana
Bwana unibadili niweze kuishi kadiri ya njia zako
choir ya katoliki ingekuwa inapeleka watu binguni wengi tungefika
Ee, mungu ahsante Kwa uinjilishaji huu uliomzuri sanaaaa. Kanisa moja takatifu katoliki
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Nafarijika sana naposikia nyimbo kama izi kweri ni baraka
Bless sanah 🎉🎉🎉
Swafi sana Rey Kwa utunzi kuntu na upigaji wa Swaiba wangu Huyo jamaaaaa aiseeeeee pongezi Rajo production
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Nakukaribisha Yesu wangu ukae moyoni mwangu, Bwana , Nakukaribisha Yesu wangu Chakula chenye uzima..... ❤❤ 0:18
Mwimbo huu una ujumbe kamili wa fumbo la utatu mtakatifu na juu ya uwepo wa Mungu. Hakuna dhehebu lo lote la Kikiristo ambapo Utatu mtakatifu unafafanuliwa vizuri kama katika Ukatoliki. Uwepo wa Mungu haufananishi na cho chote. Well done!
Sombetini to the world 💥wimbo mzuri,mavazi mazuri,sauti nzuri, nabarikiwa sana
Ubarikiwe sana Anneh....
Ray Ufunguo/Rajo kazi zenu zinaztubariki sana. Keep it up! Mara kwa natazama nyimbo zenu pasipo kuchoka! Nyimbo zenu kama vile Wewe Bwana Nguvu Zangu Nakupenda sana, Mawazo ninayowawazia ni tamu sana aisee. Mbarkiwe
Bonface hapa kutoka Kenya. Mimi husikiza huu wimbo kila siku kitu cha kwanza nikiingia ofisini. Kazi safi sana.
So encouraging, good voice uniformity, simple, very standardized, good musical beats, good musical tone, so inspiring and meditative. God deserves all these beauties ❤!
Kazi nzuri sana Muemdelee kbarikiwa
Kazi nzuri sana Muendelee kubarikiwa
Nyimbo nzuri sana
Safi sana
Wimbo mzuri sana......unapaswa kuimbwa dkk mbili kabla ya kwenda kukomunika ili kila mmoja atafakari kisha tujongee mezani.
Keep it up Ray. Mungu azidi kukutumia utuinjilishe zaidi.
kazi nzuri sana jamani. Hongereni wanakwaya. Hongera RAJO kwa kazi zilizotukuka.
Napenda kuisikiliza sana hii nyimbo najiona mwenye fahari kuwa mkatorik mmeinjilisha vyema
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Sichokagi kusikiliza wimbo mzuri sana💟💓
Dear stranger may God hear and answer your secret prayers
jamani wimbo huu mzuli sana unanikumbusha kaka yangu
Mmepungukiwa uwokovu tu, kwa mavazi mmenibaliki saaaana.
Unamaanisha nini wamepungukiwa wokovu?
Yesu karbu moyoni mwangu unishibishe
Am aproud to be a Roman Catholiki.
Hongereni sana wanakwaya wote, waalimu wote, Organist na wote waliowezesha video nzuri namna hii kukuza Imani yetu.
Mungu awabariki nyote.
Kazi nzuri sana Ray ufunguo... Mungu akujalie neema na Baraka uzidi kumtumikia. 👌👌👌
kwangu mimi huu ndio wimbo bora wa mwaka. kama mimi binadamu nimebarikiwa hivi kwa wimbo huu, je vipi huyu anayeimbiwa (Mungu). hongereni sana wote mliohusika, ubunifu, sauti, vyombo, mavazi na mandhari ya video ni nzuri sana. Naamini mmebarikiwa sio ninyi tuu bali hadi vizazi vyenu.
Amen, Ubarikiwe zaidi Titus
Nafurahi kuwa mkristo nasikiliza hiii nyimbo npo Congo kwa Sasa
ila hili song likipigwa club linaloga kwel lin mizuka asaaa
Wimbo mtamu!!! weeee!!!! Exellent work,,, am just enjoying everything,,,from harmony to the sweet sound from the organ!!! Hongera waimbaji, mchezaji kinanda uko sawa kabisa!
Hongereni waimbaji Mungu azidi kuwaongoza vemaa
@@restipaul4286 KABISAA!!
@@CAMTECHCOMMUNICATION amina
Oduor you’re here too
@@akinyimildred9851 yes Mildred.
2024 still wtchng GOD bllss
Hongereni sana waimbaji
I discovered this song today.And ave listened to it for almost 100times on high rotation.i feel the holy spirit soothing me.I just cant have enough of it.
Aisee aisee kumbe imekuwa hivi tena...hongera sana Mr rajo big up bro aisee nakuvulia kofia ur the best my bro...mnyonge mnyongen haki yake mpeni..
Hongeren sana sombetin Mungu awabariki sana jaman
Tumshukuru Mungu. Ubarikiwe sana Lawrence.
@@rajopro safi sana...mmeweka subtitle lkn maandishi hayaonekani vizuri...bold pls...asante RAJO
Wimbo mzuri sanaa
Jamani ukilisito nilaha sana najivunia kuwa mukristo
Safi sana kazi nzri sana pongez Kwa mtunzi na waimbaji safi mno organist 👊🙏
Some songs have a way of calming and uplifting one's spirit almost instantly. This right here is one of them. Pongezi
Awesomeness
99
@@naomyopapa9130 pppp l
Waooo ncye one
@@lucychege9250 Thanks Lucy 👍🙏
Hongereni
Hongera Sana mkuu wangu kazi nzur kwa mungu imebarikiwa hongera pia organist huwa namkubali Sna Swayi
Safi Sana kamanda
Sichoki kusikiliza honger sana...
Nyimbo Tami sana
Wimbo Mzuri sana, mtamu sana huwezi kuchoka kuusikiliza. Wanakwaya mlipendeza sana wote. Hongera sana mtunzi wa wimbo, big up sana kwa Organist.
Mungu ujitwalie Utukufu katika uimbaji wetu...Sisi ni vyombo tuu umetupa neema yakukutumika katika kukuimbia ..Pokea sifa yote. Tunza mioyo yetu tukumbuke thamani ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu tukukaribishe kwa moyo safi.
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Binafsi najivunia ukatoliki
mwenyez mungu wajazie hazina zako hapa dunian na huko mbinguni mt boniphace kwakuitangaza injili kwa njia ya uimbaji asanteni sana nyimbo nzuri
\
Awesome... Mungu azidi kukusimamia Mwl. Ray Ufunguo na Rajo Production kwa kuzidi kumtukuza kwa Kwaya Safi...
Ubarikiwe sana Arnold.
Hasante kwa utume
Nakukaribisha Yesu wangu😘😘😘
Ray you gonna kill us one day with this kind of extreme quality... no room for mistake..PERFECT🔥🔥🔥🔥
God is good... Thank you Evans
@@rajopro how can I get the music sheet ..?
@@rajopro naitaji maelezo kiasi kuhusu recording nipo kenya na natamani kurecord roja... 0708488877 what'saap
someone help me say awesome Ray!!!!!🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sanaa kwa wanakwaya ya Mt Boniface. Kazi nzuri sana.. nawamis sana nakuzidi kuwaombea baraka tele
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe ua-cam.com/video/UWbuppK_p78/v-deo.html
Happy and ablessed lent
Kama kawaida yako Rajooooooo sasa si mchezo na utunzi niwako mwenyewe. Hongera Sana mkuu
Tunamshukuru sana Mungu. Ubarikkwe sana rafiki yangu Fridolinus.
Such a Beautiful song!!!!! na bado kuna watu wanadislike! Kweli kuna watu na viatu duniani!
Wow❤❤❤ I love it here
Nimefurahia nyimbo hizi zwa shangwe sana, asante na talaka tele kwa Rajo production, like like like from Germany
Hellenkwamboka Kenya najienjoy nikwa Saudia wimbo mtamu kama mimi mkatholic nafuraha ndani ya moyo wangu
When Theology, Liturgy, Music, Inspiration, Art and determination meet! Ahsanteni sana kwa kazi nzuri. Mungu awabariki.
What a message.. Asante sana Jerome. Mungu akubariki sana
@@rajopro xlx
@@rajopro hpvooklh l ,,
⁹j
Emma
Ni mzuri Sana ambao una ujumbe pia unabirudisha ukiwa unauimba hata pia KWa kuusikiliza, nmependa sana
❤my favorite of all times. Aki sijui nisemeje ninavyo kipenda hichi kibao. Mungu amwongezee maarifa mtunzi wa huu wimbo. Nakupenda buree❤❤❤
Tanzania singers will never disappoint.
That's a blessing 🔥♥️♥️
Mnajituma kwa kiasi ambacho mnastahili kusifiwa kwa kazi zenu nzuri. Hongereni mno.
I have no more words than to say #RAJO PRODUCTIONS and all singers stay blessed
Thank you Anthony
Changuo langu cku zote
Kuna Siku Rajo Utaniua na Hizii Nkonky
UTUSHIBISHE KWA CHAKULA CHA UZIMA. ASANTENI SANA WANAKWAYA WA MTAKATIFU BONIFACE ASKOFU NA SHAHIDI
Quality video, quality audio na ujumbe mzuuriii pongezi kwenu producers na wanakwayaa
Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Shukran kwa nyimbo nzuri Rajo production na wanakwaya. Mimi mkenya nimefurahia wimbo wenu. Mungu awabariki🙏
Sichoki kuusikiliza hongereni sana na Mungu atukuzwe Milele
Mungu awajaze nguvu ya kumuimbia Siku zote maishani mwenu
Huu wimbo unafanya naona kristu. ..hongera kwa uimbaji nzuri...this is so nice
Hakika mungu ni mwema mwili wako unanishibisha sintaweza kuhama dini😍🥰🥰🌹💛🎶🎶🎶🎵
Frankly speaking ,Kaz nzuri sana @Rajo always nakuamini sina hofu na kazi zako
Kibao saafi...Mungu awabariki
This is great. Mtakatifu Augustino alisema "Aimbae vizuri husali mara mbili." Kwa hakika hii kwaya imebarikiwa. Mavazi nadhifu na uimbaji mzuri sana. Hongera na Mungu azidi kuwabariki
Kwelii najivunia kuwa mkatoriki,, namshukuru Mungu wetu,, kwa maana kila hatua ninayokwendanayo yeye hunilinda, aimenii
Hata ukiniambia nihame katorki kwandoa kisa we mzur Kaka utaenda pekeako nauzur wako utaniacha
Awesome job! Ray kanyangia hapo kaka. Voices well blending n balanced too. In need of music score of the same. Mungu na awabariki sana.
Amina mbarikiwe wimbo mzr sana
Hongeraa saaana RAJO kwa utunzi makini na production ya viwango vya juu hasa quality ya video🙌
Asante sana George. Ubarikiwe sana.
@@rajopro Aminaaaa uendelee kufanya mambo makubwa kwa mziki wetu wa kikatoliki
Niaibishwe kwa chakula cha uzima uninyweshe kinywaji safi cha roho.
KAZI NZURI SANA SANA SANA KUANZIA UTUNZI MPK UKAMILISHO WAKE.... HONGERENI MNO NA MUNGU ABARIKI SANA MAJITOLEO YENU