TUNAPASWA KUSHUKURU
Вставка
- Опубліковано 2 жов 2024
- Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga kutoka Parokia ya Familia Takatifu - Njiro , Arusha, Jimbo kuu katoliki la Arusha wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu wa shukrani unaoitwa TUNAPASWA KUSHUKURU. Wimbo huu umetungwa na Angelo Kitosi na Kurekodiwa na studio za RAJO Productions - Arusha.
Please support: www.patreon.co...
Kwa mawasiliano na kwaya hii, tumia namba
Please support: www.patreon.com/bePatron?u=77044884
Aar
Ea
Saa
Trf
Kppopjjk
Kama Unahisi Huu wimbo Unafikisha ujumbe vilivyo... Naomba Uwache hapa likes..ziwe nyingi baada ya miaka 45 watoto wetu wakumbuke kulikuwa na kikundi kiitwacho Rajo Productions..Live Long Rajo Productions🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
May God bless you
Kwaya
Kwaya
Amen
Umetisha Sana tu umewatendea haki wahehe 😜😜
Nimeipenda sauti ya solo😍🥳kuskia wimbo huu baada ya misa ni baraka kweli🙏🏽Tumshukuru Mungu daima🙏🏽🙏🏽
Asante sana Mike. May God bless you
@@rajopro😊😊😊😊
Powerful song 🎉🎉🎉🎉 we are reminded to he grateful for all God has granted us
Wimbo wenye kuponya, kusifu, kumtukuza Mungu kwa pamoja! Hongera kwa wote walioufanikisha, Mola awazidishie❤️❤️
Catholec🎉
Napenda sana wimbo huu.Kila asubuhi Lazima nisikilize na kuuimba.Mkatoliki daima kutoka Kenya🙏🙏Mungu anatupenda daima
I put this comment here so after a month or a year when someone likes it it reminds of this beautiful song
I second you wholeheartedly 🙏
Utukufu apewe mungu kweli..wimbo huu unanitia nguvu...kazi nzuri sana
Mpo vizuri mbarikiwe sana nimejifunza kitu napaswa kushukuru kwa kila jambo kwa mungu
Mungu akubariki sana Giftcious
Wewe Ray mambo yako yanatisha!😀😀😀
Kazi safi, wanakwaya wanapendeza, mcheza kinanda anang’aa!!! Soloist naye hatuongei mambo yake!😃🔥🔥
May God lift you higher uendelee kutibu mioyo yetu kwa nyimbo tamu kama hizi.
Hongereni sana kwa wote waliofanikisha kazi hii.👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ubarikiwe sana Anastacia, Asante kwa compliment yako. Hongera pia kwa kazi safi unazofanya
🔥🔥🔥
Ann si nimekutafuta kwa hii group sijakuona😁😁 nimengoja ujitokeze na aka sauti yako taaamu
Was waiting for this🔥
Tunaomba nota zake
Am proud to be catholic,this song really touches my heart 🙏🙏
Rajo. Your productions are all the time in my selections. May the lord give you more experience and energy to continue blessing us with new releases.
The song's message is so amazing ❤️ thanks to all choir members,keep blessing people.
A m watching from Canada ❤ wow happy 🔥🔥🔥🔥
Can you please translate l am not Kenyan
Ray to the world...may God accomplish what He has started in you Ray...much love from Kenya.
Amen. May God Bless you Christine
@@rajopro mungu
I am very much uplifted by this song, listening almost daily.
Mkatoliki damu.
I'm proud to be a catholic and I am touched by this song ! God bless you .
Sending love from Kenya
Nicely done piece with beautiful message. The first time I listened to it, I was going questioning God but this song blessed me
My favorite ❤️bila kusikia hii wimbo (amenitendea) I can not sleep , let's God open our ways kuitia hii wimbo ,love it mwaaaaaaa💪💪💪🙏
Nyimbo kama hizi zapaswa kuuzwa kwenye Phamacies, zatibu mara moja! kazi njema kaka.
Asanteni sana Free star Productions. Mungu azibariki kazi zenu pia. Comment yako imenichekesha sana
@@rajopro 😂 Pamoja.
🤣🤣🤣Weee... By the way it is true😀
Yachekesha
Kweli
I'm proud of being a catholic 🥰,I'm blessed with this song
I started with a certifacate,then Diploma and now i have enrolled a degree.Of course am here to Thank the Almighty God🙏🙏.Thank you my big God ,your daughter is happy
This is exactly my story.. Glory be to God 🙏🏽
Congratulations God is great when you believe in him
Thanks to God
my story too
Feeling blessed, through thick and thin let us always give thanks to almighty God.
Am proud to be a Catholic
Really wonderful work, it's inspiring, souls uplifting and entertaining, God will surely bless and keep you
Watching from Kenya be blessed Rajo for the good work and the whole choir
Proud to be a Catholic from my childhood till now God is indeed powerful 🙏🙏🙏
If Kenyan can sing a song like this ,tunaweza kwenda sisi sote mbinguni , am proud to be a Catholic ❤️❤️💪
Amen but know
"Karama sio wokovu"
Pround to be a Catholic too dear
Tanzanians sang this Arusha Parish
Kazi nzuri
Proud to see my choir reaching out to the world. Glory to God🙏🙏🙏🙏
The song is for me....I love the message from this song...I have all reasons to thank God regardless of ups and downs....God your daughter is grateful
Wimbo mzur sn una mafundisho yakujifunza mmpendeza sn mungu awabariki kwa kipaji mlichobarikiwa
Kwa kweli sauti iliyo nyooka na kuitanisi masikioni hadi mioyoni..bali kuburudika ujumbe umeeleweka..asante,kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Asanteni kwa nyimbo nzuri sana.
Bwana Yesu Kristo asifiwe milele na milele!!
❤ I love this song I'm a Protestant but this song ministers to me. I pray that the Lord will bring us all Christians genuinely back to him and cause there to be unity in his body the church.
Am proud to be a Catholic,I always listen to this song every morning...it blesses me alot 🙏🙏
A
L
')v?lb
Happy for you,am a Catholic too,am Richy Luo married to kamba I feel so blessed my sister.
Nawapendaaa wapendwa katika kristo
Nawakaribiaha pia katika account yangu ya you tube 🥳.Kuna mambo mambo mazuri
Pround Catholics dear
Woow i love the song and God you had a reason for giving me a catholic man
Nawatch huu wimbo mpaka machozi ya furaha yanitiririka, hongera sana guys may God protect you.
Kazi Kali kinyamaaaaa big up Sana ray ,tumaini swai #rajoproduction
Shukrani sana Dingii
AM AN SDA BUT I CANT STOP LISTERNING TO THIS SONG....UTUKUFU APEWE MUNGU MILELEEEE......AMEN
Am an SDA but this song is my anthem l really love it as it bless me everyday in this world of ours
Amen
Wimbo huu ni matokeo ya damu ya Mwokozi Yesu alipomwambia Mtume Petro amempa mamlaka duniani na uongozi wa kanisa lake Katoliki hadi hadi mbinguni Yuko nasi Wakatoliki kwa njia ya Roho Mtakatifu.Mungu awabariki na awazidie.
Me too
thanks
Being a Catholic is such a happiness.... watching from Kenya🇰🇪🇰🇪...the movements for me😅🙏🙏
Can't get enough of this song 🙏🙏
And don't know how many times I have listened to this song. Lyrics and the beats ziko top.🥰
Your voices never disappoint may God bless you lots of love from Kenya
Tunapaswa kumshukuru mungu
Asante sana Kellen, Mungu akubarki sana
Pia nyinyi....
Proud to be a catholic Tanzanian songs hunifariji sana
i'm proud to be a catholic. mmmmh your voices are very beautiful i wish to be among of this choir
Its always on replay, it raises my spirit at all times...thank you God,...bless this sweet vocals
Best song sofar
Watching from Washington DC, Marekani
Kazi nzuri Ray.... Msalimu mdogo wako Colman, nimesoma nae Lyamungo. Big up bro
Barikiwa sana Dennis. Salamu zimefika
Kazi nzuri brother chami.. nafrah walau unatuwakilisha vyema wana kibosho hasa kwa upande wa kumtukuza mungu kama hivi.. mm jirani yako bhn nimemaliza ushirika na mdogo wako colman..
good
AWARDS
song title:Good
Costumes:excellent
Dance and movement:uniform
Dramatizing:well done
Smile:99%
Slow motion:fair
Setting:excellent
Quality:10,000
May the blessings of God always follow you guys,may God see you throughout your endeavours and continue uplifting you guys🙏👏😍🥰❤🌹🤝💝💞💓💕😘👍💪👌🔥
Asante sana Immaculate
Goodmorning Sana Toka Morogoro Tanzania. ..Mungu Awabariki. JUENI MNABARIKIWA SANA KAZI YA MUNGU INAPOFANYWA KWA UMAKINI..BILA TAMAA YA FEDHA WALA MAPASIWEDI..NIMEICHUKUA TAYARI KUMWIMBIA MUNGU MANENO YA SHUKRANI PAMOJA NANYI...MUNGU AWABARIKI NA KUWALINDA AWAANGAZIE NURU ZA USO WAKE NA KUWAFADHILI AWAINULIE USO WAKE NA KUWAPA AMANI. ..JINA LA BWANA YEHOVA MUNGU LIKAE JÙU YENU KILA MUMUIMBIAPO WIMBO MPYA NA ZABURI. ..KAMA DAUDI
Well organized 👌
Thank you Jolie
Ni kweli nyimbo nzuri na inamaanisha kushukuru zaidi
La meilleure chasson pour moi qui me pousse à une véritable conversion pour m'attacher à Jésus Christ notre Sauveur.
Que la Gloire soit rendue à Dieu. Félicitations à vous tous et que Dieu vous bénisse abondamment et augmente en vous le talent musical
Wooowowow,,, what a great job!! I am proud to be catholic and i have never been tired of listening to this beautiful song!! Hongera wana kwaya kwa Wimbo mzuri, Hongera nyingi sana kwa mtunzi na kwa Soloist! Nawapenda sana Mbarikiwe.
Pokeeni salamu kutoka Kenya.
Am not a Catholic but I like the song so much,,utukufu apewe Mungu milele
stay blessed
Hello jemima. You are smart 😊
Ray, hii for sure hii imeweza, it looks cool lakini its hitting mpaka kwa roho ndani, frm the intro, I had to laugh as I rewind thrice to see vile hizo titles zinasongeshwa, its just wow, was looking for something new only to see something that was cooked and served during the day, very beautifully, wait mpaka kwa behind the scenes you made sure everything is just awesome. Keep it there, and coz of this you got another sub, who is feeling how am feeling nikiskiza kwa ear phones, beat by beat eenheee
Thank you Sue. Mungu akubariki sana
My best friend passed on holding on to this song every morning ❤
Nabarikiwa sana na huu wimbo, kazi nzuri sana, kwaya nzuri pia studio sahihi na yenye ubora unaojitosheleza, big up.
Hongeren sana ety 💕😋 Mungu awabariki then next year mtoe tena etyeee... Nawapendeni nyoteeeee 👊✊💘💕😘😘big up to y'all 😃👍✌️
Asante sana Donatila. Tuombe uzima, itatoka nyingine
@@rajopro Amina sanaaaaa 😃👍
Hizi album zote nazihitaji Roy, waezanitumia kwa email yangu ama nawezakuzipoata aje, huku kenya haziko kaka, kazi mzuri sana ndugu
Halafu creativity iko kwa kiwango nyingine, kazi mzuri, haki Mola akubariki sana Roy, unafanya kazi mzuri
Shukrani sana ndugu yangu
Oooh My God ❤️❤️❤️Am speechless my lovely Bro Rajo wooow!!!Hii doz ni kali sana....Mungu apokee hizi sifa na Utukufu kwa kuwa Yeye pekee ndio anastahili🙏🙏🙏
Nawapenda wote ♥️♥️♥️
Thank you Mumy. Be blessed
@@rajopro Thank you Broo for your Blessings
Wimbo mzuri. hongera kwenu kwa uimbaji mwema. ujumbe safi
I really like the sound of the song, feel blessed
Love from Germany,feeling like flying all the way to join you guys. Be blessed so abundantly. Kazi ya Mungu iendelee daima. Proud Catholic forever,❣️🙏😇🔥🔥🔥🔥
💗💗💗💗💗💗🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu atutie wepesi wa kuona matatizo ya mbeleni
Kaz ya mungu iwe endelevu milele na milele
My favourite song can't go a day without listening to this song,I feel so blessed,thank you brother, watching from Kenya
Wimbo ukiwa na 90K views nilisema utafikisha 1M in three months to come that was May,2022. I was right just 3weeks after nakutana na 400k imagine baada ya miezi mitatu. Ninawafurahia sana. Mungu awabariki wote. Na PONGEZI SANA PIA KWA MTUNZI KITOSI.Ameitemdea haki sana melody ya kihehe. UTUKUFU MWA MUNGU JUU.
Shukrani sana Lucia
I appreciate your work RAJO PRODUCTIONS. Siku zote video zenu ni creative, zinavutia sana kutazama.
Each and every morning I listen this song wimbo huu n ufunguo wa moyo wangu barikiweni sana 🙏 🙏🙏🙏 I love this mmmmmmwah
Had missed you guys😍😍much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪✅✅
Vocals✅
Moves✅
Sound✅
Instruments✅
Code✅
Location ✅
Song message✅
I thank God for you guys🙏🙏🙏
Silver Media Tv. your comment says it all. Be blassed
M/mungu awabariki sana wimbo mzuri na unaujumbe mzuri sana
0
Ujumbe wa wimbo, mpangilio wa sauti, mavazi na style ya kucheza vyote ni safi sana. Ni wimbo mzuri Sana, hongera kwa mtunzi na wahusika wote.
Shukrani sana Yovina
Wimbo mtamu sana
Mimi nautaka mwenye anao anitumie
Hakika safi saaaaana
🎉🎉
What a prayer! Thank you for allowing us to connect with the Almighty through this song. Be blessed forever!
Kazi nzuri sana😊😊💯💖🙏🏻
Timeamka vizuri timeamka na afya njema tunapaswa kumrudishia mwenyezi mungu sifa amina
The soloist and keyboard guys on point.Well done all the singers
Dah!! Mm ni mpenz wa bongo flavour lakini Wimbo kama huu cwezi nikaupita bila kuwa nao, Nyimbo inavutia sana 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana Christopher
utunzi Bora video Bora produuza Nora viva kwakipajichenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️♥️
Ni mzur sana unavuta wat kumkumbuka hata kama wanapitia hali nhumu kiasi gani🙏🙏💕💖💞
Bravo guys,,,this song is one of my favourite n it blesses my heart each day.hongera...👍👍👍
Feeling the blessing from this song and the whole team. Much love to tou guys. Proudly being a Catholic.
Wow am blessed with this song alot be blessed always my brothers and sisters.......🙏🙏🙏🌹
Am not a Catholic but this song makes me dance anyways
Mubarikiwe kundi nzima, kweli Mungu ndiye wa kushukuriwa🙏
Amina nyimbo nzur mungu lalkuzidishie kaka
nazidi kubarikiwa na wimbo huu kwa kasi ya ajabu, may the Almighty God bless you abundantly and I'm looking forward for my holiday in my beautiful country Tanzania
Tanzania nakupenda Sana
I love this song so much,,,,,,congratulations rajo pro,,,,,,,,mzidi kuenda far,🙏
So awesome, nyie huu wimbo ni mzuri na hivi unamelody ya kihehe Fulani ivi yaani acha kabisa, I can't stop listening ❣️❣️
Gratiana ubarikiwe sana na Mungu
Haijalishi ninayopitia kwa sasa,nakushuku Mungu wangu siku zote.
The song is so amazing, may God bless you all,,, it has a message
Thanks for giving me a reason to smile and thank God 🙏 always.may God bless you abundantly and give you all you need to preach His gospel..much love❤️ from great land of Kenya🇰🇪 KEEP MOVING💪💪
Aaaaah rajo rajo 🔥 ....leo umeamua
Kazi safi broo ...pongezi choir .....live long rajo ❤ 💪 💪 💪
My friend from Nairobi. Shukrani sana Kipchumba
Aisee bro. Bila unafki you are just alone in your circle. Natumai wimbo wangu wa kwanza kurekodiwa utakuwa ni supa. You are my role model too tangu mimina na makuburi. My prayer is to see you making wonders all the time. May the almighty be with you and bless you for touching our hearts. Katoliki itakuwa imara kama ukiendelea na kulinda ubora wa nyimbo zetu za kikatoliki. Mungu hatokusahau hata kidogo.
Asante sana One Gospel record kwa ujumbe wa kutia moyo. Ubarikiwe sana
Mimi ni muimbaji kutoka parokiya mutakatifu augustin kwenyi lubumbashi Dr congo. Can i have scores for this song please? Ili tupate djifunza n'a kuimba.
Asante
Kweli tunapashwa kushukuru. Huu wimbo ni nzuri sana. Nimejazwa nilipo isikiliza nikiwa kwenyi car yangu. Mubarikiwe ndugu.
Kushukuru Mungu kila wakati ni ya maana sana.
Happy of my catholic church ,,my faith good song
Hongereni wapendwa na Mungu aendelee kuwapa Nguvu muendelee kuimba nyimbo zake. 🙏sana Waalimu wote. Kazi iendelee.
May God Bless you Jennifer
My subscription was not in vain!!....mnabariki sana kwa sauti taaamu. May God continue walking this journey of faith with you.Keep strong, keep praising our Dad in heaven
May God bless you Mary
Asanten Sana kwa kazi nzuri,,Much congrats kwa Bro Ray na Swai,,,keep it up.
Asante sana Joseph
@@rajopro tunakosa nyimbo za taratibu za tafakari bro,,itapendeza mkifanya na za namna hiyo
Mungu awape nguvu ktk uinjirishaji mmeimba vizuri hongereni
good blended voices----Kudos Rajo Ufunguo
Bravo bravo💥👌👌👌👌🌟🇰🇪🇰🇪Mko sawa.Ahsanteni.
Nawapenda sana Kenya. Asante Shepherd
The sweetness of being a Catholic...♥️
Amen. be blessed
God bless you for this beautiful somg
I dont care about being Catholic or Ethan but the message from the song is beautiful and Prophetic thank you 🙏🏾
Great job
Amina Amina mungu apewe sifa milele na milele
Radio Maria always sings this song every morning, thankyou doing what pleases God,+254
❤❤❤nimewapenda bule ty....Mungu awe nanyi Ameeen....!!!!
Wonderful song...yainua kweli
Not a Catholic but I like this song so much
Much love from Kenya, nawapenda Sana, Neema nyingi mnapofanya KAZI ya uinjilishaji
Shukrani sana Samuel
Hakika tunapaswa kushukuru
Barikiwa sana Lusajo
From nyumbani kwetu kigoma 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏