hakika bernard mukasa.,mungu akuweke miaka mingimingi, hakika wewe ni hazina kubwa kwa kanisa katoliki,tunakuomba kwa uwezo wako tengeneza au ibua warithi wako kuendeleza karama hiii kubwa. mungu awabariki wanabukoba.🎉
Nilifunzwa kuwa mkatoliki na mama yangu mkubwa na ndiye aliyenileya nikiwa mdogo. Aliupenda sana huu wimbo nikiwa na miaka mitano. Mpaka sasa nina miaka 34. Nimeukumbuka juzi tarehe 4 mwezi huu. Sikujuwa kama kumbukumbu zangu zilikuwa namshukuru kwa maisha yake kwangu na pia kwa maisha yake hapa duniani. Tarehe 8 ameaga dunia na leo tumempumzisha kwenye nyumba yake ya milele. Asante Mungu kwa maisha yake kwa kunikuza kimwili na kiroho 😤😤
Wimbo huu unabeba ujumbe wa shukrani Kwa zawadi ya maisha ya Mhashamu Baba Askofu Kilaini anayeimba kwa hisia kali katika maadhimisho ya Jubilee yake ya miaka 50 ya upadre. Hongera sana Baba.. na hasa ubeti wa "changamoto nilizopitia" namwona Baba anashika kichwa....inanikumbusha uhalisia wake. Hongera sana Baba, hongera sana Bwana Bernad Mukasa na wanakwaya wote!
Benard Mkasa,hekima ya wazazi wako Mzee Wlllia na Mama Revina Mkasa,wanavyoipenda dini.Benard ubarikiwe na familia yako.Mungu aeatunze,wimbo mzuri sana.
Kiukweli nimemwaga machozi ya furaha. Hongera sana mwalimu Bernard Mukasa, Mungu akuongezeye nguvu tele. Hongereni pia kwa wana kwaya wote. Kazi nzuri sana
Hongera Baba Askofu Kilaini Mungu azidi kukubariki kwa kazi yako ya kutuongoza sisi kondoo wa Mungu. Pia pongezi sana ndugu Benard Mukasa kwa kipaji ulichopewa na Mungu uzidi kutuinjilisha.
Wimbo mzuri sana, naweza sikiliza hata mara 10 kwa siku. Mhashamu askofu Kilain umeuvaa uhusika vilivyo. Mbarikiwe wote mliohusika kuanzia mtunzi, mpiga kinanda , ngoma , wanakwaya nk
Hata mwenyezi mungu anajivunia watu kama mkasa, tunamshukuru mungu kwa zawadi ya uwepo wa mkasa hapa ulimwenguni, na azidi kumbariki awezeshe wengine, hongereni kwaya yote kwa ujumla ni ibada ya kweli.
Asante Mungu kwa kipaji cha Mukasa..Askofu Kilaini you're the best..nakumbuka utoto wangu ukiwa askofu mkuu msaidizi jimbo kuu la DSM late 90's..ulifanya kazi kubwa mno katika jimbo..umeuvaa uhusika katika huu wimbo.Mungu azidi kukutunza..Hongereni wanakwaya Bukoba mpo juu mmeutendea haki wimbo...kuanzia mavazi,sauti,mandhari..So proud of you all..God bless❤
Hakika nyimbo nyimbo hii imegusa watu wengi kwa jinsi ilivyopigwa vizuri na ilivyodansiwa vyema kwa Kiutukufu sana wa wa KIMUNGU umegusa wengi hasa mimi naomba uendelee kufunguliwa ktk douwiloding tukiwa popote unatupatia kutafakari leo nakuta umezuiliwa nimeuzunika ponyeni Roho kwa tenzi Kama hii Asante Mungu katika sifa Unashuka na kutuponya mbarikiwe sana
Nyimbo nzuri sana jamani nimesikiliza zaidi ya mara kumi...nimebarikiwa sana na nyimbo hii. Kati kati ya safari changamoto kubwa nilipitia,lakini kwa wema wako ukanivusha nikavuka salama🙏🙏🙏
Kati ya nyimbo za kushukuru ninazozipenda huu wimbo ni wa kwanza, maana naweza kuusikiliza huu wimbo siku nzima bila kubadilisha wimbo mwingine. Mbarikiwe sana wanakwaya pamoja na mtunzi hakika mmeutendea haki
Nlifukuzwa seminary form 3 kuingia form iv! Wala sikuonewa nlikua mtundu. Nkaenda makumira sec kumalizia form iv. Nlipomaliza mtian wa form iv mwaka 2003 nliiimba huu. Wimbo pamoja na ule wa mwendo nimeumaliza vita nimevishinda
Wimbo mzuli sana, ingawa umebeba ujumbe kwa ajili ya kumbukizi ya Askofu Kilaini, ila umenigusa saaaaaaana mtunzi na waimbaji yooote M. Mungu awabaliki.
And all those that are /have listened, commented may the Lord God of mercy atubariki, atunehemie , na wote wahusika , Mungu awazidishie wema wake 🙏🙏🙏❤️❤️
hakika bernard mukasa.,mungu akuweke miaka mingimingi, hakika wewe ni hazina kubwa kwa kanisa katoliki,tunakuomba kwa uwezo wako tengeneza au ibua warithi wako kuendeleza karama hiii kubwa. mungu awabariki wanabukoba.🎉
Kadri ninavyousikiliza mwili unasisimka❤
Mungu ambariki mtunzi na kwaya hii bila kumsahau Baba Askofu Kilaini
Proud to be a Catholic Bernard Mukasa Mungu azidi kukulinda kazi yako ni njema
...Proud of being catholic ...wimbo mzuri sana kwakweli jaman, be blessed ...ila nataman sku moja nikutane na mukasa nipige nae hata picha tu
Nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoriki la mitume..
Niseme nini ee Bwana?🤲
Nilifunzwa kuwa mkatoliki na mama yangu mkubwa na ndiye aliyenileya nikiwa mdogo. Aliupenda sana huu wimbo nikiwa na miaka mitano. Mpaka sasa nina miaka 34. Nimeukumbuka juzi tarehe 4 mwezi huu. Sikujuwa kama kumbukumbu zangu zilikuwa namshukuru kwa maisha yake kwangu na pia kwa maisha yake hapa duniani. Tarehe 8 ameaga dunia na leo tumempumzisha kwenye nyumba yake ya milele.
Asante Mungu kwa maisha yake kwa kunikuza kimwili na kiroho 😤😤
Pole sana. Astarehe kwa amani
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo
Pole sana dear, Mungu ampokee katika utukufu wake mbinguni ❤
6:11 ❤😢😢
❤
❤@@josephlango5591
Wimbo huu unabeba ujumbe wa shukrani Kwa zawadi ya maisha ya Mhashamu Baba Askofu Kilaini anayeimba kwa hisia kali katika maadhimisho ya Jubilee yake ya miaka 50 ya upadre. Hongera sana Baba.. na hasa ubeti wa "changamoto nilizopitia" namwona Baba anashika kichwa....inanikumbusha uhalisia wake. Hongera sana Baba, hongera sana Bwana Bernad Mukasa na wanakwaya wote!
Asante sana kwa wimbo huu mm niliuimba nilipotoka ulinzi wa amani kongo mt mikael kawe
Mungu akupe amani ipitayo amani
Nakumbuka sana Ile siku na gwanda zenu
🔥🔥
Barikiwa Nassoro
Benard Mkasa,hekima ya wazazi wako Mzee Wlllia na Mama Revina Mkasa,wanavyoipenda dini.Benard ubarikiwe na familia yako.Mungu aeatunze,wimbo mzuri sana.
Aksante waimbaji.Nimebariki kupitia hii nyimbo. Bwana awabariki.
I sang this song after I lost my son back in 2022 I want to Thank God blessed me with a son 2023..Niseme tu bwana Mungu Wangu Asante Nakushukuru
❤
Benard Mkasa kazi unayoifanya ya uinjilishaji malipo yako mikononi mwa Mungu, hakika Mungu akubariki na uzao wako. Wimbo una maudhui mazito sana.
Moja ya tungo bora kabisa za Mukasa. Safi sana
Benard ni mtunzi hodari
Hàkika wimbo huu unatuongoza hata sisi kumwambia Mungu asante. At 58, I really appreciate the unrestricted love from My good God.
Daima nitaiishia imani KATOLIKI milele na milele
Hakika tuseme nini kwa mungu mapito nimengi lakini anatuvusha tunashukuru Sana 🙏🙏🙏🙏😢
Nimeguswa Sana na huu wimbo kulinga na mapito niliyopitia
Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
Napenda Baba wimbo huu umemjaa hkika umeibeba safari yke ya wito
Hzi nyimbo hatuwez zipata kupitia boomplay music
I thank God for my late dad ,we lost him in May 2013. This song reminds me how it feels to have a parent .
Kiukweli nimemwaga machozi ya furaha. Hongera sana mwalimu Bernard Mukasa, Mungu akuongezeye nguvu tele. Hongereni pia kwa wana kwaya wote. Kazi nzuri sana
Nawapa vyema wanyumbani nikiwa kenya jirani yangu kalaudi w kyelima nakuona
Hongera baba Kilaini naona hisia Kali ktk wimbo Huu.
Hongera Baba Askofu Kilaini Mungu azidi kukubariki kwa kazi yako ya kutuongoza sisi kondoo wa Mungu. Pia pongezi sana ndugu Benard Mukasa kwa kipaji ulichopewa na Mungu uzidi kutuinjilisha.
Wimbo mzuri sana, naweza sikiliza hata mara 10 kwa siku. Mhashamu askofu Kilain umeuvaa uhusika vilivyo. Mbarikiwe wote mliohusika kuanzia mtunzi, mpiga kinanda , ngoma , wanakwaya nk
Mm nikiingia tu you tube lazima niwepo huku.kwasiku labda mara 30 inafika,afu usiku nauweka nakesha na huu wimbo
Tunabarikiwa sana🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana na mungu awabariki
Huu wimbo unagusa mioyo ya watu, safi sana mtunzi na wanakwaya wote,bila kumsahau Askofu wetu Baba Methodius Kilaini.
Wimbo mzuri nasikiliza natafakari mpaka machozi yananitoka,Mungu awabariki Kwa kutufikishia ujumbe mzuri wa tafakari,Askofu kilaini🙌🙌
My daily song!! The Bishop is amazing I tell you!!
Proud to be a Catholic! Nice song Mungu awabariki sana
Really
Nitunu za kanisa katoliki, mungu asante
So proudly to be CATHOLIC
Hata mwenyezi mungu anajivunia watu kama mkasa, tunamshukuru mungu kwa zawadi ya uwepo wa mkasa hapa ulimwenguni, na azidi kumbariki awezeshe wengine, hongereni kwaya yote kwa ujumla ni ibada ya kweli.
Asante Mungu kwa kipaji cha Mukasa..Askofu Kilaini you're the best..nakumbuka utoto wangu ukiwa askofu mkuu msaidizi jimbo kuu la DSM late 90's..ulifanya kazi kubwa mno katika jimbo..umeuvaa uhusika katika huu wimbo.Mungu azidi kukutunza..Hongereni wanakwaya Bukoba mpo juu mmeutendea haki wimbo...kuanzia mavazi,sauti,mandhari..So proud of you all..God bless❤
WE,,,,Kiswahili
Nice to hear from you niseme Nini bwana thank you may God bless u mniombee pia Mimi Niko chuo Cha mziki arusha
Smart song,inanipa nguvu hasa hapa Mandera mpakani mwa Somalia
Hakika nyimbo nyimbo hii imegusa watu wengi kwa jinsi ilivyopigwa vizuri na ilivyodansiwa vyema kwa Kiutukufu sana wa wa KIMUNGU umegusa wengi hasa mimi naomba uendelee kufunguliwa ktk douwiloding tukiwa popote unatupatia kutafakari leo nakuta umezuiliwa nimeuzunika ponyeni Roho kwa tenzi Kama hii Asante Mungu katika sifa Unashuka na kutuponya mbarikiwe sana
Wow! Sauti zimepangwa zikapangikwa.Mungu awape afya nzuli mzidi tena na tena
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I love this song , here in mbeya but am from South Africa,
Askofu Kilaini mungu akupe miaka mingi🎉
Kazi nzuri mwalimu mkasa pongezi wote na baba askofu kwa wimbo huu bora
Safi sana mungu awalinde zaidi mzidi kutuinjirisha Kwa nyimbo nzuri kama huu
Asante ubarikiwe umeniokoa Sana jaman mungu amfikishe mbali zaid my dear friend neema umesharudi
Nyimbo nzuri sana jamani nimesikiliza zaidi ya mara kumi...nimebarikiwa sana na nyimbo hii. Kati kati ya safari changamoto kubwa nilipitia,lakini kwa wema wako ukanivusha nikavuka salama🙏🙏🙏
Hongereni sanaa Wanakwaya kutoka Bukoba
Hakika am proud to be catholic,,ujumbe mzur kwe
Hongereni sana Wana Mt. Don Bosco Kwa kazi nxurii😍😍😍Mungu awabariki sana.🙏🙏🙏
Bernad Mukasa na kapotive nzima mnafanya kazi nzuri ya utume Mungu awabaliki sana wimbo mzuri I a'm proud to be roman Catholic ☺️☺️
The bishop! wow! he must be in charge of liturgy. The song itself, wah, for real, asante mungu nakushukuru!
Nyimbo inabariki na kusisimua mbarikiwe wainjilist wote muendee kutupatia nyimbo nzur zaidi
Naupenda Sana wimbo huu unanifariji nimetoka mbali na maisha yangu
Kati ya nyimbo za kushukuru ninazozipenda huu wimbo ni wa kwanza, maana naweza kuusikiliza huu wimbo siku nzima bila kubadilisha wimbo mwingine. Mbarikiwe sana wanakwaya pamoja na mtunzi hakika mmeutendea haki
Nimependezewa nawimbo naommba notazake
I'm clocking 50 yrs now..... Niseme nini basi kwa Mungu? Nami nimepita milima na mabonde ya kutosha tu. Niseme tu Bwana Mungu Asante nakushukuru.
Hatukati tamaaa kusikiliza mungu awabariki sana🎉 wapendwa
Askofu anayefikika kabisa.
Hakika Mungu ni mwema kila wakati yatupasa kushukuru bila kuchoka.
Wimbo umebeba ujumbe mzito sana
Mungu awabariki sana KMK kwa kutuinjilisha
If you're here in 2090.... remember i was here in 2024
Mi maneno yameniishia ila mukasa we mwamba sana nataka sana nikuone kwa macho yangu we king bless you boy and you family much respect brother mukasa
In love with this Hymn. Webale munonga Mukasa!
Roho yangu imefurahishwa na uimbaji wenyu zaidi, nyimbo tamu na zenye uinjilishaji mkubwa. Proud to be catholic
Amen
Get addiction to this song najipata nikiimba zaidi ya mara 10 kwa siku mbarikiweni sana kwa kazi nzuri👏👏👏
Mungu akubariki Bernad mkassa. Asante sana❤❤❤
Kwakweli niseme nini, Mungu wangu sina cha kusema bali Mungu wangu nakushukuru kwa ukarimu wote ulio nitendea. Na Barikiwa sana na huu wimbo 🙏
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri,Mungu aendelee kukubariki Benard Mukasa kwa kazi nzuri
8:47 9:48 9:48 ahsnteni mbarikiwe sana watu wa mungu mwimbo mzuri sna na mungu awape nguvu aman na baraka za kumtumikia yeye daima
Wimbo mzuri sana
Wimbo nzuri sanaaa Mungu awabariki Sanaaa... Nimepata ujumbe nzuri kutoka kwenu
A great song 🎉
May God always bless you and keep you. Amen.
Asanteni Sana wanakwaya kwa utume wenu. IAM proud to be a Catholic
Nicely done! Asante ndugu Mkasa. Hongera Bab Askofu Kilaini!
Huyu baba mungu aendelee kumbariki ,nyimbo zake Ni maudhui tosha ,wapo na wengine waje wasijifiche Ni kipaji tosha .
The bit hits differently ❤️It both touches the heart 🎉
Amina wimbo huu umenibariki sans mpaka nimetokwa na machozi ya furaha
Jaman imenibarik Sana mungu aendelee kuwalinda nakuwabariki waimbaji Hawa..
The song elevates me every time I listen to it. This is God given straight from heaven. God bless you all.
Baba Askofu ubarikiwe Sana. Ujaliwe utume mwema baba
Kweri kabisa Niseme Nini ni wimbo mzuri OYee Askof KILAHINi kwa kuimba wimbo huu mzuri Mbarikiwe sana wahimbaji kwa nyimbo nzuri.
Your bishop is having a blast, well done
good staff. God bless you guys
Kapotive you are the best. Nawakubari sana na sio mimi tu bali watu wengi
❤❤ Wimbo Mzuri sana Hongera kwa waimbaji
I love this song to the moon and back 💕 ❤️ 💛 💖 💓
hongereni sana jaman kwa kumuimbia Askofu wetu vizuri sana
Hongereni Sana wanna bukoba furaha kw a kweli nawatakia uinjilishaji na utume mwema was kwaya
Hakika ni wimbo mzuri mno
Huu wimbo nimeusikiliza usiku kucha na kukumbuka makuu ya mungu nimelia kwafuraha kubwa nashukuru katika yote#hakuna lisilo wezekanda kwa mungu
Mungu akutunze daima kwaajili ya utukufu wake 🤲 uendelee kumtumikia Mungu zaidi Mwl Benard Mukasa
Nlifukuzwa seminary form 3 kuingia form iv! Wala sikuonewa nlikua mtundu. Nkaenda makumira sec kumalizia form iv. Nlipomaliza mtian wa form iv mwaka 2003 nliiimba huu. Wimbo pamoja na ule wa mwendo nimeumaliza vita nimevishinda
Nahuyu mzee kwa unyenyekevu wa kukubali ajimwage hivi mbele na wanakwaya ni muujiza. Nitaomba wimbo huu ùwe maalumu kwa waimbaji wetu na wtu woke
Kweli huwa nabarikiwa sana nawimbo huo mahalum wa jubile ya baba kilaini
PROUD TO BE A CATHOLIC
Mungu akuongoze vema mwalimu unajua, tunajivunia pitia nyimbo zako za uinjilishaji kanisa katoliki hakika mungu akubariki sana
Mm namshukuru mungu kunipa uponyaji kwenye operation yzote 5 nilizofanyiwa
Wimbo mzuri Sana. Hongereni👏👏👏👏👏
This song really blessed me❤❤❤
Najivunia kuwa mkatoriki huu wimb unanipa falaja kila uibwapo amina
Huo wimbo umenigusa sana zile mapito na chagamoto za maisha nimepita,mungu hawabariki sana
Oh my Baba asikofu mwimbaji mungu akubaliki Baba pamoja na choir hogera very sweet song🎉🎉🎉
Mungu awabariki Kwa kutuimbia wimbo mzuri
Wimbo mzuli sana, ingawa umebeba ujumbe kwa ajili ya kumbukizi ya Askofu Kilaini, ila umenigusa saaaaaaana mtunzi na waimbaji yooote M. Mungu awabaliki.
Askofu kilaini,man of the match,
Kiufupi hongereni sana waimbaji ,mmeimba vizuri sana
And all those that are /have listened, commented may the Lord God of mercy atubariki, atunehemie , na wote wahusika , Mungu awazidishie wema wake 🙏🙏🙏❤️❤️
Hello i am watching from USA nawapenda wote 💕
Hongera Sana kwa wimbo mzuri wajina wangu