ASANTE YESU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Kwaya ya Mtakatifu Maria Magdalena kutoka kigango cha Mtakatifu Luka Mwinjili,Olmatejo Parokia ya Roho Mtakatifu - Ngarenaro Arusha.Wanatukaribisha kushiriki kutazama na Kusikiliza wimbo huu wa Kumshukuru Mungu.Wimbo huu ni utunzi wake Ray Ufunguo. Audio na video vimefanywa na RAJO Productions. Please support www.patreon.co...
    #rajoproductions #miminaneema #rajoproductions #asanteyesu

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.