MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi
Вставка
- Опубліковано 17 тра 2024
- Karibu kutazama wimbo maalum wenye kuelezea tunu za imani thabiti ya Kanisa Katoliki uitwao MKATOLIKI kutoka kwaya ya Mt. Secilia Makuburi. Najivunia kuzaliwa na kubatizwa ndani ya KANISA, MOJA, TAKATIFU, KATOLIKI LA MITUME lililoenea ulimwenguni kote. Ewe mkatoliki JIVUNIE IMANI YAKO.
#gospelmusic #catholicchurch #choir #music #newmusic #gospel #worshipmusic #vatican #tanzania #love #catholicism
WIMBO: MKATOLIKI.
WAIMBAJI: MT. SECILIA - MAKUBURI.
MTUNZI: EMIL SHAYO.
ORGANIST: A. J. MYONGA.
AUDIO: GLS PRO.
VIDEO: MDETE TM.
SUBSCRIBE, SHARE, LIKE AND COMMENT
Sina shaka nitathibutu kusema huu utakuwa wimbo bora wa Kwaya Mwaka 2024 ukanda wa Afrika mashariki na Kati
Kabisaaaa
Kaka hili goma ni balaaa na nusu ....au basi Wacha nikapige kayamba
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri vionjo tofauti ujumbe wa kijasiri.
Mama anaeonekana kuanzia dak 1 sek 7 kaupiga mwingi hapo.
MUNGU ATUTIE NGUVU WANAUKWAKATA WOTE NA WOTE DUNIANI
Tayari majirani wanajifunza jinsi ya kuleta shindano 😂
Tafadhali nota yake itapatikana vipi
Aliyeletwa na ticktock hadi huku
Kumbe tuko wengi,, my faith my pride
😅😅
Najivunia kuwa mkatoriki❤️❤️❤️
Najivunia ukatoliki wangu mpka kufa kwangu ❤❤
Pongezi nyingi kwenu👏👏🎉
Kanisa ni Moja Na Takatifu,,,, acha nijivunie kuwa Mkatoliki
Najivunia kuwa Mkatoliki
Najivunia kuwa mkristo mkatoliki, mbarikiwe sana kazi nzuriiii 🙏🙏🙏
Hongera sana Shayo kwa utunzi mxuri wa wimbo huu mtamu
Naomba huu wimbo uwe wimbo wa Taifa la Katoliki ❤❤❤najisikia raha kusikiliza
Wale wamefika huku kutoka TikTok gather here😂😂😂Amazing Work Makuburi God bless
✋
Mungu naomba unisaidie niilinde Imani yangu kuwa mkatoliki ninajivunia sana hasa pale ninapompokea Yesu wa Ekaristi . Mungu naomba uwarudishe wale wote wanaokimbiakimbia hawajui zawadi iliyoko katika kanisa katoliki. Hongereni sana wana kwaya Mungu awabariki sanaaaaa 🎉
Kazi safi sana wangwana ❤
NINAWEZA NIKAWA MTU NILIEUSIKILIZA MARA NYINGI ZAIDI MPAKA SASA
Uongo, Mimi ndio nimesikiliza sana mpaka Leo na narudi jioni na kesho na milele. Najivunia kuwa mkatoliki ❤
Am proudly catholic from Mombasa Kenya, wimbo mtamu wa kulienzi kanisa.. Mbarikiwe wanakwaya na mtunzi wa Wimbo Kwa jumla
Sijui nimerudi mara ya ngapi kuutazama na kuusikiliza wimbo huu ❤nimeupenda sana. Mimi mkatoliki
Daaaah HV kunamtu anamawazo yakuhama ukatoliki nakuenda kutapatapa kwingine. Mungu tuimarishe wakatoliki wotee🎉❤🎉🎉
Nimesikiliza wimbo huu tena na tena. HONGERENI SAANA NDUGU ZANGU.
Nimependa wazo la kurekodi eneo ambalo wamisionari wa kwanza walileta kanisa kama ujumbe wa wimbo unavyosema... Hongereni
Ni kati ya Dini ambayo wanajiamini sanah... Kwasababu wanajua wapo kwenye mchongo wa uhakika wa kwenda mbinguni.... Wakatoliki safiiiii ..... Wimbo ni mzuri ... Najivunia kuwa Mkatoliki....
Tunajivunia sotee
Najivunia kiukweli nyimbo nzur sana
A nice worship song. Indeed daima najivunia kuwa mkatoliki.
Wimbo mzuri sana hakika najivunia Imani yangu katoliki❤️🙏🙏🙏
Hakika napaswa kujivunia ka Iman yangu na kusimama imara kuitetea mbarikiwe Mt sesilia🙏🙏🙏
TikTok imenileta huku.. Najivunia kuwa Mkatoliki❤
mkatoliki daima...
Wowow ni nzuri mnoooo Aloyce sio kwa tabasam hilo’ hakika najivunia kuwa mkatoliki
mimi mkatholiki kweli najivunia sana sana utunzi mzuri sana hongereni wana cecilia
Hongera sana kwa wimbo mzuri sana
Wimbo mtamu saana. Najivunia kuwa mkatoliki.
Aseeeeeee huu Wimbo ni bonge la wimbo yaani sichoki kuusikiliza aseeeeee mimi MKATOLIKI huu ni wimbo bora 2024
Mmeupiga mwingi cesilia makuburi..ndo.msingi wetu
Hakika wimbo n mzuri sana Mungu àzid kuwabariki, najivunia kuwa mkatoriki
Hongereni sana Mt. Secilia Makuburi, kwa kweli mmenikosha sana.
Najivua ukatoliki ❤mimi ni mkatoliki na nitaishi ukatokeki maishani wangu ,,,,ukatoleki ndio msingi wa imani
hakika
An amazing song. Proud to be a Catholic
This song Awwww🥰💥💥💥 hongereni sana
Hongereni wimbo mzuri sana🎉🎉
Msingi wa imani yetu..nimezaliwa kwenye moja
Merci Seigneur Dieu pour ces moments forts de chants de louanges. Quelle magnifique choristes Amen
Nawashukuru sana nyote Kwa matashi mema....tumuombe Mungu atujaalie afya na uhai....tuipende Imani yetu, tujivunie Imani yetu
Deserves to be a Catholic anthem...a song for diminishing faithfuls to listen. I can't just stop listening to it since the first day it was out. God bless you all for this angelic song❤❤❤❤
Aliyetunga huu wimbo 🙌🙌🌹🌹
It is one, Holy, Catholic and Apostolic. And we are Universal. #DaimaMkatoliki
Nice song...... watching 🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Nimebatizwa kwenye kanisa Moja. Najivunia kuwa Mkristo Mkatoliki.
❤❤❤❤
🔥🔥
hakika
❤❤
Najivunia Mkatoliki 📌
Wow! sweet voices❤️❤️niliusikia ikabidi nicram nisearch na keshaupata nafurahi utunzi wenu mwema.BARIKIWENI
Najivunia sana kuwa Mkatoliki
Raha sana kuwa mkatoliki
Hakika tunajivunia kuwa mkatoliki
I’m proud to be catholic ❤
Kaz nzur utume mwema
Najivunia kua mkatoliki
AMINIA KWAYA NZURI SANA HII
Mimi mkatoriki❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nikiusikiliza najikuta natembea kifua mbele l'm proud to be a Catholic bwana
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
From TABORA,
Da Melania nakuona, nimewamiss sana! Wimbo sichoki kuuzililiza masikioni mwangu! Hakika mmevunja rekodi miss you Dears!
Wakatoliki oyee ❤❤❤ Mungu alilinde kanisa katoliki ulimwenguni mwote
wow 🥰nice song mkatoleki daima
Najivunia kuwa mkatoliki.
HELLO MEMBERS OF ST SECILIA CHOIR , thank you , thank you very much for giving us this song .
To many of us OUR CATHOLIC FAITH , is OUR FIRST IDENTITY .
We feel BLESSED to so and are very proud of it .
May OUR LORD bless you always .
Najivunia sana kuwa mkatoliki na namwomba mungu baba anitie imani thabiti ilinimtukuze yeye milele yote
Congratulations 🎉 yaani this is super beautiful! Very proud to be a Catholic! This is a beautiful song🎵 lovely voices. Greetings from USA!🎉 I listen to you daily.
na directar apewe mauwa kwa kwendan na mazingiraa hekalu limejibu na limendan na wimbo amina sana🙏🙏🙏
Wow! proudly catholic button>>>> awesome piece
Proud to be a Catholic
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Mmetisha sana❤
Proud to be a Catholic...
Mungu ni mkuu
Tulinde Imani yetu, Mimi Mkatoliki Damu kutoka Mombasa kongowea 🇰🇪🇰🇪
Kila siku nauskiliza zaidi ya moja❤❤mtunzi wa wimbo wanakwaya wote kwa ujumla, Mungu awabariki sana, wimbo unagusa mpaka basi❤❤❤
Asanteni sana Mt. Secilia Makuburi, mmeliheshimisha kanisa kwa huu utunzi. Mmeanzisha mwendo na kuonesha njia. Big up sana
Kazi safii 🎉 can't have enough of the replays. Kanisa ni moja.
Hongereni sana Mungu awabariki Kwa kazi nzuri hahika najivunia kuwa mkatolik❤❤❤
Daaah jamani niseme nin bwana nitamke neno gani kinywani kwa huu wimbo mmetisha sanaaaa hongereni mnoooooooo🙏🙏
Hongereni sana❤
Father mungu amuongoze sana homilia zake n safi sana mungu amtangulie Ana penda sana viwawa... Father big up tu pamoja sana magomeni on fire
Naiman papa Ana he a huu wimbo huko Vatican cty
Najivunia kuwa mkatoriki 💪💪
Cette grande joie, me pousse à pleurer, très fière de ma foi, très fière d'être catholique
Mim mkatoliki❤❤❤
Am proud to be Catholic 🎉♥️
Najivunia kiwa mkatoliki kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume .Mungu Asante sana. Yesu nifuche kwenye madonda yako ili shetani asinidhuru maana najua anaumia sana tena ana kisasi na mimi lakini najua Yesu na Maria wako uoande wangu chini ya ukinzi salama wa my guardian angel. Asante Mungu tena na tena
Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume!🙏🙏🙏🔥🔥🔥
Nice
Mcatholic simama amen 🙏 pressed
❤❤❤❤❤🎉 nimewlewa alooo
Nice one 👍
Mungu awabariki sana, Ujumbe wa kijasiri
Mama anaeonekana dak1sek 7 kaupiga mwingi mno.
MUNGU ATUTIE NGUVU WANAUKWAKATA NA WOTE DUNIANI.
Wakuu Wangu sana na wanaThomas member. Kz nzr vijana mmeupiga mwingi. Mungu azidi kutusimamia na kutuingoza tufanye zaidi ya hapa. Wimbo mazuri sana nimeikubali kwel kweli
mimi mkatoliki daima asante kwa kutukubusha haya, very well composed reminding us of our faith in the catholic regim. May God bless this team and the composer as well. Nimezaliwa mimi mkatoliki.
Hongeren namuon dada tedy
Shangazi yangu huyo😂😂😂❤
Beautiful song. Sung with all the enthusiasm. Well done brothers and sisters . 🎉🎉🎉🎉. Proud to be a Catholic.
Kweli uwe wimbo wa taifa mm mkatoliki safi sana waimbaji pamoja na mtunzi kwa kazi nzuri❤😂😂😂
Huu wimbo unanibariki
Wimbo ni mtamu na Bora Sana.Mbarikiwe Sana.
Love it and am proud catholic
🎉🎉🎉🎉 I see Eng. Dr Mabulla appreciate my father❤❤❤❤❤