Naipenda kanisa langu katolik ya mitume maaskofu mapadre watawa na waamin kwa ujumla mung tuzidishie imani tuweze kumkiri yesu kristo adharan kam watakatifu wako
Hongera sana mpiga vigelegele ni maajabu ya Mungu kumpa sauti inayopanda na kushuka kwa mtiririko mzuri. Neema ziwatiririkie na furaha tele maishani mwenu waimbaji wote
Nyie usijekuta sabato ndio kwaya kuu itayaoimba kule mbinguni , hakika wanaimba vizuri mno kwa utulivu wa hali ya juu , Mungu awabariki sana kwa kumtumikia 🙏
Jaman mrudi tena parokia Manzese-Dar es saalaaam moyo mtakatifu wa yesu.. Kama ilivokuwa sku ya Dominika ya 25/6/2023 mbele ya father Faustin kamugisha PhD 👋👋👋
Asanteni sana Malkia wa Mt. Kizito - Makuburi. Saudi zenu kwenye wimbo huu ni baraka kutoka kwa MUNGU. -Neema zinitiririkie, -Rehema zinitiririkie, -Naomba furaha yako bwana -Naomba daraja yako bwana, -Ninaomba bwana utajaze baraka maisha yangu
I thank God for the gift of Singing and Music in Tanzanians. May God bless you for evangelizing through music. Do it from the heart and for God only and for His glory and you will blessed abundantly Amen
Mungu aendelee kuwapa Afya njema siku zote kwa kuijilisha neno la mungu kwa njia ya kuimba nawapenda sana 🙏🙏 nijazie baraka EE MWENYEZI MUNGU Maisha Yang yote 🙏
29th October 2024 Im leaving this comment here so that everytime someone likes it I come back to listen to this beautiful song
Come and watch,
Here in 2025 repeat mode
2 days to 2025 nijalie baraka mwaka mpya ujao mungu wangu 2025 neema zinitiririkie.🙏
Niko hapa 2024❤❤ baraka tele kwenu
Baraka pia kwako. Hugs from Singapore
😂🎉@@malaikajabali-oj2fh
Asante Mungu 🙏
M vgccccccvIjnliâjiiioioioajakaLpa
Aaaal@ka(@h@@malaikajabali-oj2fh
2024 AMEN
Who's is here in October 2024🙏
Me ♥️
Me
Can't believe it's some yrs ago, still a hit
Present as always
👋👋👋
Wale tunaosikiliza 2024/06
Gonga like 😊
Hata July tuko
imeweza
September 22/24
Tunaosikiliza mwezi huu wa sita like hapa❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Neema zinitiririkie🙏
Neema zinitiririkie🙏
Naomba furaha Yako Bwana🙏
Naomba faraja Yako Bwana🙏
Mi naomba Bwana uyajaze baraka maisha yangu🙏
Safi
11111
First line is Neema zinitiririkie
Second line Rehema zinitiririkie
Nyimbo Bora Kwa wote
❤
naomba umiminie watoto wangu baraka na nehema🙏🙏🙏
Amina😢😮
2025 ikawe mwaka wa baraka kwangu na kwako kupitia wimbo huu, like hapa Kama unataka baraka
Huu wimbo Kila siku unakuwa mpyaa, umejaa baraka, unavutia, una Kila kitu. Mungu azidi kuwaneemesha Mt. Kizito
Nikweli
Je suis fière d'être catholique depuis la RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Naipenda kanisa langu katolik ya mitume maaskofu mapadre watawa na waamin kwa ujumla mung tuzidishie imani tuweze kumkiri yesu kristo adharan kam watakatifu wako
Ukisema Ivo unatubagua mtu wa mungu
In heaven the Catholic will be the one leading us in worship song ...they are number one
Rehema zinitiririkiee 😘😘😘✨✨✨✨✨✨✨✨✨✨bwana ninaomba ujaze baraka maisha yangu✨✨✨✨🙏Kama nyota za angani🙏❤️
Dari Jakarta saya kirim salam sayang untuk kamu semua nun jauh di tanah seberang.. TUHAN YESUS BERSAMA KAMU
Hongera sana mpiga vigelegele ni maajabu ya Mungu kumpa sauti inayopanda na kushuka kwa mtiririko mzuri. Neema ziwatiririkie na furaha tele maishani mwenu waimbaji wote
Wimbo ni mtamu unajieleza wsmsma hongereni
This song is just a vibe sauti tamu sana cant get enough from 🇰🇪 naomba siku moja mkuje kenya 💜💕💕💕💕💕💕💕💜💜💕💕💜💜💜💜💜💜💞💙💙💙💙💙
Traduzir em Português
I remember we sang this song in our choic i really appreciate it
Mungu bariki wazazi wangu🥺🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤I want to make thm prouc
Na mungu ayasikie maombi yako
@@magdalenegakii8934Amina 🙏🙏🥺🖤🖤
But the black heart🖤 meas evil, give your parents♥️ for love,and white 🤍 for peace, samahani kama utanielewa vibaya
Amina 😢😢😢😢
Amina 😢😢
Ooh God bless me as I wait for my end of university exam on jan-feb
Bless me to pass🙏
My sister who introduced me to this song passed away last year,RIP siz,thanks a lot for your support while here
Take heart. May her soul rest in peace
😂
Naomba Baba uyajaze baraka maisha yangu, nipe nafasi ya kukuabudu niondolee hii kifungo cha kufanya kazi siku yangu ya kuabudu. 🙏🙏🙏
Kila wakati naomba rehema, neema, faraja na baraka zako Mungu maishani mwangu
Nyimbo hii nabalikiwa Sanaa mungu ucku kuchaa tuumalize mwaka huu salama mm na familia yanguu
Am 21yrs old I leave this comment here I know when am 41yrs old someone will like this comment and I'll listen to the song again
Here in October 2024 ❤ ni salama rohoni mwangu 😊
I have been looking for this song for long..finally got it . This song is such a vibe🥰🥰
Very fine...i like the song...
I don't understand Kiswahili but this song is a blessing to my life.
Thank you St Kizito Makuburi👏
I listen to these song every morning. I love it
This song is really a blessing! Whenever am down, I listen to it! It lights up my spirit! May you live to witness God's greatness!
Amuna
Huu wimbo ni mzuri sana Mungu atubariki wote
Amen
Asanteni sana kwa wimbo huu unatubariki na tumpongeza sana mtunzi pamoja n'a kwaya yote kwa ujumla Mungu awazidishieni heri na baraka tele !!!
❤❤❤
love this amazing song i feel am relieved
Kwa kweli nyimbi zenu zinanibariki sana.
Neema zitutiririkie. Ahsante kwa Wimbo mzuri❤❤❤. Napenda Sana. May God bless us this month of October.
katika kuimba Mungu husiliza mara mbili ya sala! may you be bleesed!
Who is here to praise God today 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo tamu sana my Lord blesd you all❤❤❤. Hii wimbo inaniogeza nguvu here in Sweden 🇸🇪🇸🇪🇸🇪
TikTok brought me here❤❤❤this song is a viiiiibe🎉🥰💯🤩🔥🔥🔥lights up my world/life
❤❤❤hii kwaya wanaupiga mwingi sanaaa
Tunaosikiliza Leo tar21 mwezi wa12 tujuane hapa Ili tumiminiwe baraka❤❤🎉
Nyie usijekuta sabato ndio kwaya kuu itayaoimba kule mbinguni , hakika wanaimba vizuri mno kwa utulivu wa hali ya juu , Mungu awabariki sana kwa kumtumikia 🙏
BAraka za nana kwetu Amina...myumba 2025 AMEN
Naomba mermaid zinitirike .Thank God for this far
Nawapenda wote MUNGU awabariki
Tunajivunia kuwa wakatoleki Mungu mbele siku zote ❤
Neema sinitiririkie,,naomba furaha yako bwana❤❤❤..nice song
In love with this song ❤ whenever am down it really ignites my spirit
My favorite song nilikua nafutanga Leo nimepata
I've been struggling for years to get enough of this song😭😭 Baraka tele❤❤
Mzidi kubarikiwa wote mnaosikiliza hii nyimbo🎉
Ameen❤
Mungu atubariki sote
Mungu Naomba Ujaze Barak Maisha Yangu na kizazi Changu Pamoja na Family Yangu😭😭
Amen 🙏😊😊
Tuombe kwa Imani tukitumia ROSARY Mtakatifu wa Bikira Maria.
Wanakwaya akina mama wa Makuburi Mungu awabariki. You have made all women Christians proud.
Thank you my Jehova God for constantly blessing me all along my life thid year. Thank you thank you
Jaman mrudi tena parokia Manzese-Dar es saalaaam moyo mtakatifu wa yesu.. Kama ilivokuwa sku ya Dominika ya 25/6/2023 mbele ya father Faustin kamugisha PhD 👋👋👋
Najivunia sana kuwakuta wazazi RC unyenyekevu kila kitu mpaka kwenye kwaya
Mungu awabariki St kizito
Eeeh Mungu wambinguni kupitia wimbo huu 2024 Naomba umponye mama yangu 😢🙏🙏
MUNGU NIJALIE WATOTO, BIASHARA NA UWALINDE WAZAZI NA WAPENDWA WANGU WOTE🙏
Safi sana nimeipenda toka moyon kwakwel
Naipenda sana mungu awaongezeye vipaji🙏🙏🙏
Congratulations! You are in your own class. Very beautiful melodies. All the voices are very clear.
Naomba mwenyezi mungu unijazie baraka kwa maisha yangu Alf ombi langu Kila siku ni ubadilishe maisha yangu
Very inspiring song my dear sisters, melodious mubarikiwe mno.
Naomba bwana uyazajaze baraka maisha yangu na familia yangu pia kazi zetu.
Mungu awabarikisana wote mnaofanya utume kwakuimba vizuri hongereni mt kizito makuburi mpovizuri kwakwer nawajua tangu nipo mtoto ❤️🌹💯
Ninaomba bwana uyajaze baraka maisha maisha yangu🙏🙏🙏😢
Naomba baraka zako bwana nibariki Mimi na familia yangu yote ndugu jamaa na marafiki🙏
Asanteni sana Malkia wa Mt. Kizito - Makuburi. Saudi zenu kwenye wimbo huu ni baraka kutoka kwa MUNGU.
-Neema zinitiririkie,
-Rehema zinitiririkie,
-Naomba furaha yako bwana
-Naomba daraja yako bwana,
-Ninaomba bwana utajaze baraka maisha yangu
Kama ulivyo wingi wa nyota angani, naomba Bwana uyajaze baraka maisha yangu
Proud Catholic 🥰🥰🥰from Catholic Diocese of Machakos
Safi kila mwenye pumzi amsifu Bwana
Hongera sana ment nzur sanaa nimeipenda❤
Mungu bariki familia yangu pamoja na wazazi wangu wote. Wabariki hata marafiki, ndugu, dada, jirani nao adui zangu.
Love the song let the almighty God bless us always let the blessings come to our lives lord remember my family ❤❤❤❤
2024naomba furaha yako bwana you're so faithful God 🙏🙏🙏🙏
naomba bwana uyajaze baraka maisha yangu.neema zininitiririkie .Amen
A blessing song indeed,gun up to high level Queens,,join you soon from Kenya
I thank God for the gift of Singing and Music in Tanzanians. May God bless you for evangelizing through music. Do it from the heart and for God only and for His glory and you will blessed abundantly Amen
Though I don't understand kiswahili, I love this song and other swahili catholic song❤❤❤
Ee Mungu bariki mzazi wangu, watoto wangu na mume wangu
Munqu naomba huyajaze baraka maisha yanqu ❤❤❤❤❤❤
29th Nov 2024🤍..praying for peace amongst our families friends hearts ..praying abundance and overflowing blessings .Amen
Hongera sana kipenzi, Mungu baba awatunze nyote.❤❤
Maomba imani na baraka zako Ee bwana.Barikiweni kizito choir
Asante kwa hii sala njema. Kweli kuimba vizuri ni kusali mara mbili
Who is here 25 Dec 2024?
Amen, Hallelujah glory to God
Nice song much love from Kenya
Tumsifu Yesu kristu ndugu zangu ktk Bwana hongereni sana kwa kumtukuza Mungu nawakubali sana msalimieni ndugu Zakariya
Pia nimewakumbuka
Mungu aendelee kuwapa Afya njema siku zote kwa kuijilisha neno la mungu kwa njia ya kuimba nawapenda sana 🙏🙏 nijazie baraka EE MWENYEZI MUNGU Maisha Yang yote 🙏
Nmerud tena kusikilza tenaaa
Sweet vibes !!! May these blessings flow to my home too ✝️💃🙏💯
Mungu naomba huibariki familia yangu.
Hui wimbo n mzuri Sana mungu atubariki wrote🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙏
amin
Wow I love it
This Song always makes me remember VRC Thika daily, 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Together, praising our Lord.
Mungu wangu naomba unijalie na mm Baraka
❤me naomba Bwana uyajaze baraka maisha yangu🙏