Holy Trinity Studio - Nikushukuruje Bwana ( Official Music Video )
Вставка
- Опубліковано 4 жов 2020
- SONG LYRICS
SWAHILI & ENGLISH
Nikushukuruje Bwana
How should I thank you Lord?
Ee Mungu wangu nakushukuru
Oh my God, I thank you
umenitendea mema mengi Bwana
You have been so good to me, Lord
asante asante
thank you
Mungu wangu nashukuru
My God, I thank you
Ee Mungu wangu nakushukuru
Oh my God, I thank you
umenitendea ukarimu Bwana
you have been generous to me, Lord
asante asante
Thank you
Mungu wangu nashukuru
My God, I thank you.
Mungu wangu, Bwana wangu, ninakushukuru sana
Oh Lord, my God, I thank you enormously
kwa upendo na wema wako Bwana
for your love and kindness, Lord
sijui mimi nikushukuruje Bwana
I wonder how amply I should thank you Lord
kadiri ya wingi wa ukarimu wako Bwana
for the greatness of your generosity, Lord
Mungu wangu, Bwana wangu, ninakushukuru sana
Oh Lord, my God, I thank you enormously
kwa upendo na wema wako Bwana
for your love and kindness, Lord
sijui mimi nikushukuruje Bwana
I wonder how amply I should thank you Lord
kadiri ya wingi wa fadhili zako Bwana
for the greatness of your kindness, Lord!
1. Bwana Mungu wangu, Mungu wa Abraham
Lord my God, God of Abraham
uliyegawanyisha bahari ya Shamu, wana wa Israeli wakavuka salama
He who divided the Red Sea, made the Israelites cross safely
umedhihirisha wema wako kwangu Bwana
you have revealed your goodness unto me, oh Lord!
2. Unaninyeshea mvua ya Baraka
You keep me showered with blessings
na kuniangazia nuru ya uso wako
and shine upon me the light of your countenance
umenizungushia nyimbo za ushindi
you have surrounded me with songs of victory
wema wako kwangu hauna kipimo Bwana
your goodness to me is infinite, oh Lord!
3. Umenijalia familia bora
You have blessed me with a great family
ilojaa upendo na moyo wa Imani
full of love and a heart of faith
umenizawadia na marafiki wema
you have gifted me good friends
wanishikao mkono kwa upendo Bwana
who lovingly hold my hand, oh Lord!
4. Siku zote Bwana unanilinda vema
Lord, you always protect me well
chini ya mbawa zako Bwana niko salama
In the shadow of your wings oh Lord, I take refuge
nikukoseapo Bwana wanisamehe
whenever I sin against you Lord, you have been merciful to forgive me
na kunirejesha kwako kwa upole Bwana
and restore me to your good paths tenderly, oh Lord! - Фільми й анімація
Kama umewatch zaidi ya mara tano pita na like 🥰what a wonderful and nice song
Mm nimewatch Zaid ya mara 20 naomben like zenu
Ukishajua tu kwamba kuna Mungu maisha yako yanabadilika asee😊😊❤❤ nice mesage
Nasherehekea siku ya kuzaliwa kwangu...nakushukuru sana Mungu wangu kwa Yale umenitendea ❤❤
Hakika huu wimbo tokea nimeufaham kila ninavo amka asubuh naamka nawo Mungu awajalie nyote mlio shiriki katika wimbo huu awajalie wema na baraka na awaoneshe njia pasipo na njia katika utume wenu, najivunia kuwa mkatoriki jaman
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Amina
Nyimbo Nzuri Saana HOLY TRINITY Hamjawahi kutoa kitu Kibaya Hongereni Saana. Mbarikiwe Saana
Hakika, HT wako njema sana
Asante sana MUNGU wangu kwa upendo na wema wako kwangu,,,,,, UTUKUZWE MILELE MUNGU WANGU,,
Amina
Aisee hii nyimbo ni 🔥 🔥,
Dah aisee naona Kama nilichelewa kuusikia huu wimbo
Barikiwa sana
Paul Msoka MUNGU Ana onesha makubwa sana ndani yako
Amina, jina lake litukuzwe
Safii RC Ni Dini Bora Duniani.
Yeah
Kilicho bora ni wokovu siyo dini ndugu
Nice song God bless you benard mukasa
Mungu wangu ni kushukuruje Mana wewe ni mwema kila waKati,kila wakati wewe ni mwema
Amina
Tunapaswa kumshukuru MUNGU kwa yote anayotujaria MUNGU awabariki waimbaji kwa wimbo wenye TAFAKARI nzuri
Amina
Hakika huu ndio muziki mtakatifu,utunzi bora kabisa
Amen. Sifa kwa Mungu
My always favourite song naipenda sana
What do you always do with your friends,,,big challenge,,, God bless you for the good choir,,big up msoka's friends
Mungu Awabariki sana kwaya nzuri nimeipenda
Hongeren xna.kwa wimbo mzuri wapendwa wainjilishi wa.mungu
Safi sana.
Sichoki kuutazama huu wimbo..Mungu azidi kuwabariki
Amina. Nawe ubarikiwe sana
Nzuri iyo Brothers
Thanks
Sauti nzuri hizo Mungu awabariki
Amina
NIMEMPENDA HUYU DESPINA GAFLA MAJAMAA,,,,,,*CANT STOP WATCHING ...KAZI NZURI KWELI
Hongereni sana.waimbaji.
hongera sana mwalimu POUL MSOKA.
HONGEREN SANA HT 👍👍
Hongera sana na wewe Despina. Mungu azidi kuinuliwa kupitia kipaji chako
Amina
@@despinamdende9810 waiting for your videos on your cannel
graet song i just love it
Sauti, mpangilio, miitiko,vyombo, mixture yake ni kiwango Cha juu Sana, Baraka za Bwana ziwe pamoja nanyi. Tunamtukuza Kristo
Iko safi uimbaji wenye mvuto
This song remind me how far the lord has taken me.... Blessings zinamiminika .
Sauti ya pili ni hatari. Mungu azidi kutukuzwa
Mungu mwema abariki kazi njema ya kumtukuza Yeye.
Mziki Safi Kabisa Mungu Awabariki
Amina
Abarikiwe mtunzi na waimbaji wote walioshiriki wimbo mzuri sana.
Namshukuru bwana hata zaidi wimbo huu kweli ni wa faraja
Nimebarikiwa sanaaa jamani
Tuzidi kumshukuru Mungu. Asanteni sana.
MUNGU awabariki nakuwa linda Amen
Ushauri. Muwe mnaweka Mawasiliano ya kwaya husika au kikundi husika.
Wahoo...sijui nikushukuruje Bwana kwa wingi wa fadhila zako..mbarikiwe sana Msoka's friend
Amen
Kazi nzuri sana
Romani sihami
Matilda pamoja na
ayiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!nigushukuruje bwana!!!!!
Mungu wa mbinguni azidi kuwatumia kipekee muzidi kuieneza injil ya Bwana nabarikiwa Sana na huu wimbo
Amina
Hongereni kwa kazi nzuri na ujumbe mzuri
Wimbo mzuri sana kwa ajili ya tafakari ya ukuu wa Mungu maishani mwetu. Thanks mtunzi endelea kumtukuza Mungu kwa kipaji chako cha utunzi.
Amen
Nice song.
Yaan huu wimbo jaman sichoki kuusikiliza!! Barikiwenu sana
Congrat's team HT..keep it up
Aiaseeee nzuri kweli
Hongereni sana
Asanten kwa ujumbe wimbo mzuri mungu awabariki
Mungu awbaliki wimbo mzuli sana
Wimbo safi sana na una maneno yakutia moyo, kwa kweli yale Mungu ametutendea ni mengi, sijui nimshukuruje Bwana kwa kadiri ya fadhili zake
Amen
70
Hii nzuri Sana😍😍🤩😀🎅🧞
Yaani wimbo safi asante Mwenyezi Mungu wow amen🙏🙏
Naskia mbingu zafunguka ,, naskiza nikiwa Dubai mbarikiwe sana kwa kutubariki na huu wimbo ,,tunawapenda Sana
Amina
Mungu awabariki kwa nyimbo nzuriiii wenye ujumbe mzito ndani yake
Amina
Hongereni nyimbo nzuri sana huwa inanipa faraja
Safi
Tuzidi kuzifurahia nyakati..nyimbo imenikumbusha mbali sana... Mbalikiwe sana
Hongeren nyote mlioshiriki katika wimbo huu hakika nimzuri
Amen
Hongereni san bwan yu pamoja nanyi
Kalihiyo, Mungu azid kubariki kazizako by Mr simando
Oh haleluya Asifiwe Mungu aliye juu
Amina
Kristu, hongereni mnoo kwa kazi nzuri
Asante
Wimbo mzuri sana asanteni mbarikiwe Mungu azidi kuwatia nguvu
Amina
congradulations guys good job....mungu wangu sijui nikushukureje....thanks God
Hii nyimbo inanibariki sana❤❤❤❤ nataman hata Mungu aje apa nmuimbie
So smart , and amazing songs sweet voice 👍💪💞
Hakika Najivunia kuwa mkatoriki .asant sana wanakwaya kwa kazi nzuriiiiiiiiiiiiiiiiimnoooooooooooo .
Nami pia
Wah kwanza huonmpangilio wa sauti imependeza kweli
Huu ni wimbo mzuri.sana....naona wataalam wameunganisha Atlanta zao na director kafanya vyema kabisa.....salute
Wimbo huu nimeusikia tr 3/10/2022 nikiwa kwenye Costa tunaenda kumzika Bibi yangu Mwanza hakika ulinifariji ikabidi nitafute
Amen 🙏 Barikiwa sana Veneranda
Abarikiwa sana Msoka kwa utunzi bora
Amina mungu awazidishie kwakweli
Asante brother
@@msokasgallery8323 napenda sana kutoka moyon
@@yohanamethod7573 Shukrani
Mbarikiwe Sana wimbo mUzuri
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
Asante
@@msokasgallery8323 wimbio mutamu sana
Raha ya milelee uwapeee €££ee bwana na mwanga wa milelee uwaangazieee waendeleee kukusifu na kukuhimidi mungu wa majeshiii nawapenda xana wimbo mzurii unabariki kwa kweliiii,
The far the Lord has brought me till today I am grateful to God and for this song is a testimony
Mungu awazidishie nguvu na upendo yakumtumikia. Ahsante Kwa sauti na nyimbo nzuri.
Mbarikiwe Sana wimbo mzuri sana
Wimbo umejaa baraka nyingi. Naomba nota zake tafadhali
Zinapatikana Swahili Music Notes
Anasaut nzur Mungu ambariki sana ,wimbo mzur sana💞
Amen
❤❤🙏Mbarikiwe sana Kwa wimbo mtamu kuliko wali nyama😂😂
Am proud to be catholic kwa kweel,,hongeren wapendwa kwa kaz nzuriii ya uinjilishaji hakika nabarikiwa sana kusikiliza kwaya catholic
proudly kenyan!!!
NAMSHUKURU MUNGU KWA WIMBO MZURI, ASANTE SANA MARAFIKI WA PAUL MSOKA. HUYU NI MWALIMU WANGU WA KISWAHILI, NAKUKUMBUKA SANA MWALIMU. MUNGU AKUTUNZE!
watoto wa msoka wanaona aibu😜......wimbo mzuri sana asee
😆😆😅
Tuseme nini basi ila twashukuru! Kudos.
Pokea shukurani zangu bwana pia, kazi nzuri ni kazi ya ukombozi
Amen
Msoka am your friend too am singing along the voices are amazing sauti za mailaka.God bless you all.
Thank you Margaret. May God bless you too
Wimbo safi sana!
Kusema Asante inampendeza sana Mungu wetu.
Barikiweni sana. Mwenyezi Mungu anasikia masifu yenu. Sijakosea kuwa mkatoliki
this is good
Kazi safi Sana mafundi
Huu wimbo nautaza mara tano kwakutwa. Hakika unaujumbe mzuri barikiwa
Amina. Ubarikiwe zaidi
Amina
5times is not enough..add 5more pllse
Hii nayo imetetemesha
Hongera kwa kazi nzuri❤
Huu wimbo mzuri sana una ujumbe mzuri sana hongereni sana wanakwaya kwa utume
Kerp up and and
safi sanaaaaaaa
Bravo Msoka's friends! Loves the theme of the song, gives thanks to Almighty always for everything in our lives do not take it for granted. Lovely vocals praising our Creator.
Safi🔥🔥🔥🔥
Safi sana dini yetu nzurii sana wanakwaya mmeimba vizuri jamani endeleeni kumwimbia bwana
Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Rahasana kwa Bwana Mungu ashukuriwe kwa yote.
Amina
Mbarikiwe sana wapendwa
Amina sana Madam