KILICHOTOKEA BAADA YA JAMBAZI KAJISALIMISHA MIKONONI MWA KAMANDA MUROTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 бер 2019

КОМЕНТАРІ • 271

  • @KeyKassim-pw1cq
    @KeyKassim-pw1cq 10 місяців тому

    Najivunia kuona polis wakifanya kazi nzuri sana rpc dodoma respect to you

  • @tempolo9964
    @tempolo9964 5 років тому +12

    Kipigo chake ni cha mbwa kokoo😁😂😂😂😂😂

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 5 років тому

    👏👏👏👏👏Muroto nakukubaliii mnoooooo..Mungu akupe uhaii mrefu kwa manufaa ya wengiiiii..

  • @adinanimuhidini5894
    @adinanimuhidini5894 3 роки тому +2

    Mzee wa Kiki kama kawa

  • @mariamukajiru2302
    @mariamukajiru2302 3 роки тому +2

    Sasa Kama kaacha uhalifu mbona unamnadi hivyo? Nakumbuka ulishaambiwa na G.P siro hacha kunadi watu peleka kesi mahakamani

  • @aligmoha9015
    @aligmoha9015 4 роки тому +2

    +254 uwa nakupendaga sana mzee

  • @jenipherpaul8710
    @jenipherpaul8710 4 роки тому

    Mkuu afande nakupongeza sana kwa kz nzuli ambayo mnaifanya hapo dodoma na sikuzote kazi nzuri upongezwa ila kwa ushauli wangu uyo jamaa aliacha ujambazi nakujisalisha aachiwe hulu uku uchunguzi ukiendelea dhidi yake pia kama kunanamna yakumlinda uyo bwana kuna mengi atatusaidia kutokomeza uhalifu ktk nchiyetu

  • @kambiibrahim415
    @kambiibrahim415 5 років тому +6

    Duh kuna watu ni noma sana wanaiba hadi Lori! Ahsante sana Kamanda. #watapatatabusana

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 2 роки тому

    Big up Tz police .. Hongera sana kamanda, Kenyan police corrupt, ...

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 років тому +11

    ila baba una sifa mpaka basi.

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 5 років тому

    Mungu Awatie nguvu Awape Afya tele .mtekeleze majukumu yenu kwa Ukamirifu Na mtangulizeni mungu mbele kwa kila jambo.InshaAllah.

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 роки тому

    Afande mroto na afande silo msistafu mapema kazi mnaiweza mungu awalinde. Hammoei mtu pasu kwa pasu

  • @lawrencehezronmwakalebela2738
    @lawrencehezronmwakalebela2738 3 роки тому +1

    Bastola ina muda mrefu hiyo. Alafu kuhusu loli kuibiwa n kiki uongo mkubwa iliwezekanaje iibwe iendelee kufanya ruti za mizigo mikoani kweli acheni maigizo ya viwango vya kati

  • @zephaniahvitus5540
    @zephaniahvitus5540 5 років тому +4

    Naomba riport ya Tundu Lissu walio husika achana na mambo hayo kwanza Mzee

  • @mariamlupatu5907
    @mariamlupatu5907 5 років тому +2

    Hongera kamamda kwa kazi unazozifanya

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 4 роки тому

    Askari msisite kuchukua hatia hata Kwa viongozi wetu wajingawajinga tuko pamoja nanyi . salute.

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 4 роки тому

    Asante Askari wetu Kwa kutuakikishia usalama wetu .

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 роки тому

    Sawa sawa Wachu, piaga kazi! Waharifu watapata taabu sana!!

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 5 років тому +2

    Aicee huyo aliyeiba gari kubwa na kuligeuza kwa ajili kubeba mizigo ya wizi katisha kama komando john,

  • @rizikeyernest9260
    @rizikeyernest9260 5 років тому +5

    Jambazo ameogopa kipigo cha mbwa koko

  • @barackpeter.3852
    @barackpeter.3852 5 років тому

    Hongera sana kamanda. KAZI nzur rr

  • @rucaserasto8154
    @rucaserasto8154 2 роки тому

    Kalee wajukuu we mzee

  • @gililwise
    @gililwise 5 років тому +8

    Wakamateni wale watu wasiojulikana wanaoteka na kupoteza watu kwanza hapo nitajua mnafanya kazi maana uhai wa watu ni bora kuliko hayo magari.amina

    • @samirasleman4163
      @samirasleman4163 3 роки тому

      Nawewe uso wambuzi unasemaje watuwanazungumzia mchuzi we we unaletamaada zamavuzi

    • @gililwise
      @gililwise 3 роки тому

      @@samirasleman4163 kama matusi ndo dini yako Mungu na ashughulike na wewe.mimi siwezi amina

    • @samirasleman4163
      @samirasleman4163 3 роки тому

      @@gililwise maana mnakera mnaifundisha serikari utendaji wakazi wewe ukitaka upateshida hapaduniyani letakidomodomo nakuikosowa serikari utaishia kuburuzamguu kama tundulisu

    • @gililwise
      @gililwise 3 роки тому

      @@samirasleman4163 kwani kusema

    • @gililwise
      @gililwise 3 роки тому

      @@samirasleman4163 ukweli utabaki ukweli mbele za Mungu aliye hai.mi ccm no one tena niliyesomea .ila mimi kuwaonea watu sipendi.napenda kuwa na amani na watu wote.kama nimekukera nisamehe mi ni binadamu

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 років тому

    Amen amen. Ualifu siyo dili ndugu . poleni. Amen.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 5 років тому +3

    Kamanda muroto hongera sana

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 2 роки тому

    Kama umemuona board guard wa muroto cheka kidogo 😁😁😁😁😁

  • @jamesngingo4607
    @jamesngingo4607 5 років тому +5

    Sisi wananchi tunaomba utuambie waliomshambulia lissu walitokaje maana hapo ndiyo tutajua dodoma sio salama

    • @mahamoudgwahula6445
      @mahamoudgwahula6445 5 років тому +2

      Majibu ya swali hilo analo Mbowe na Dereva wa lissu

    • @mariaalenge2106
      @mariaalenge2106 3 роки тому

      Umuulize tundulisu dereva wake yukowapi?ukishajuwa aliko dereva naakikubali kurudi tanzania dipo utapata jibu sahii

  • @mgogomgogo7266
    @mgogomgogo7266 4 роки тому +1

    Huyu kamanda anafanya good job

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 5 років тому +2

    uko vizuri mroto

  • @wilsonmtomo3280
    @wilsonmtomo3280 9 місяців тому

    Pongezi kwa kazi njema.wahalifu jisalimisheni

  • @ayoubmwanawima6380
    @ayoubmwanawima6380 5 років тому +64

    Sasa wale walio mshambulia mbunge Tundulisu walitokaje dodoma jaman

    • @dicksonulotu9717
      @dicksonulotu9717 5 років тому +2

      Swali zuri

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 5 років тому +4

      Ayoub Mwanawima chadema walimshambulia

    • @teddykassinde4608
      @teddykassinde4608 5 років тому +2

      Hilo swali gumu hawana jibu hahaha

    • @samsonmwijage1602
      @samsonmwijage1602 5 років тому +7

      Muulize dereva wa Tundu ana majibu ya swali lako. Kama risasi nyingi hivo iweje hata moja ya kukwaruza?!

    • @ayoubmwanawima6380
      @ayoubmwanawima6380 5 років тому +1

      @@samsonmwijage1602 we ndo kenge kweli Sasa walishindwaje kumkamata

  • @mamusam2202
    @mamusam2202 5 років тому +1

    Nimeshakumiss jaman yani hakuna siku uliyonifurasha kama leo nakupenda bure na soon narudi bongo najua tutakuta kule kule Zanzibar b.o.t kwa mchina mwanzo

  • @mamusam2202
    @mamusam2202 5 років тому +1

    Baby imma jaman kweli umeacha iyo kazi

  • @mlasinyongolo3256
    @mlasinyongolo3256 3 роки тому

    Serikali kama Serikali, Mtu kama huyo apewe kazi ya SECURITY kwa kuwavua wengine wao. Hapa kazi hakuna kulala. TZ Oyeee, Mwe. JPM Oyeeeee. Mungu azidi kumpa mkono wabaraka wa Uhendeleshaji wa kazi.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 років тому

    Huyo inamaana hata jamii ilikuwa tayar imemtenga na mitaa huenda pakitokea wizi alifikia kutajwa yeye....Sasa ili asijekufa mapema kaona ajisafishe....hongera sana

  • @suzzanapatrice1703
    @suzzanapatrice1703 2 роки тому

    Nawapeni hongera maskari wetu

  • @florasimonmwale129
    @florasimonmwale129 4 роки тому

    Barikiwa sana sana Kamanda Muroto kwa kazi tukufu ya kuilinda nchi yetu. Muroto hoyeeee!hoyeeee!hoyeeee!Muroto juuuu!juuuu!juuuu!

  • @dankirahi7462
    @dankirahi7462 4 роки тому

    Big-up kamanda Mroto

  • @miagielangoi3272
    @miagielangoi3272 4 роки тому +1

    Habari ya tundu lissu ishapitwa na wakati

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 2 роки тому +1

    Safi kamanda

  • @catherinemassawe34
    @catherinemassawe34 Рік тому

    Mungu awape nguvu zaidi

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 4 роки тому +1

    Jambazi amepata shibe vizuri...atakuwa anaiba vyakula

  • @stephenmgema2208
    @stephenmgema2208 5 років тому +2

    Inakuwaje dreva awe na leseni mbili wakati finger print zinatumika?

  • @doreenmichael3673
    @doreenmichael3673 5 років тому +13

    We jamaa uwanga mnafiki ulixhinda kuwamata waliomshambulia lissu una2letea umama wako hapa WA kinafiki

  • @shaniashani7026
    @shaniashani7026 2 роки тому

    Ana wapumbaza2

  • @isayaupson7712
    @isayaupson7712 5 років тому +2

    Tunapeleka fire kubwa mitaani 😂😂😂

  • @priscamwita.mtotoniwakeham9126
    @priscamwita.mtotoniwakeham9126 4 роки тому +2

    Mbona hamuwasemi waliomshambulia tundu lisu

  • @hadija846
    @hadija846 5 років тому +5

    Tukamatieni waliompa kilema Mh. Tundu Lisu😂🙏

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 5 років тому +1

    Moto kwa waarifu uendelee

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 років тому +25

    Ewe mwenyez MUNGU mkuu enderea kuyapa nguvu majeshi yetu yote

  • @saidpalamsemaukwelilazimaa814
    @saidpalamsemaukwelilazimaa814 5 років тому +7

    Muheshimiwa sifa nyingi. Mbona kwa risu hamja wakamata wale askari wenu waliogetini

  • @eliudkibona3740
    @eliudkibona3740 3 роки тому

    Hongera sana kamanda

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 5 років тому +2

    Mkuu wa kituo anateneza jina

  • @joramkimario2666
    @joramkimario2666 4 роки тому +1

    Kwa huo mwili wa huyo alojisalimisha kweli akikupiga ngeta utatoka

  • @halimamohamedy3571
    @halimamohamedy3571 5 років тому +5

    Kazi nzurii ila jamn kunakipind ap nyuma ilikua ni shida yaaan ndugu zetu walikua wanabebwaa hatarii ukikutwA umekaa kaa tuu unabebwaa hasa wakaka

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 5 років тому +5

    Ila mkulu hana imani na nyie tena😂😂😂,mkulu kawa na mawazo km yangu Sasa,toka zamani sina imani na police kabisaaa

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      waukweeli nikkon yani ni hivyo tena kusema kupeleka moto mitaani ndo watakusanywa bila hatia ili kutoka kwa peas,

  • @abubakaryomary9304
    @abubakaryomary9304 5 років тому

    Kazi kazi kamanda tuna kuwaminia kamanda wetu wa dodoma

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 років тому +1

    Mtu anaibaje gari kubwa hivyo jamani duh. Watanzania wamekua jambazi hivyo

  • @djiboutidjibouti6570
    @djiboutidjibouti6570 4 роки тому +1

    Watanzania ni waibaji wengi wao

  • @wazirisukari5178
    @wazirisukari5178 5 років тому +7

    Broo bora umeacha ujambaz fungua biashara sasa unajua ukiacha ujambaz unakuwa ni rafiki na polise ila jee ulinz wako unakuaje wenzako c wanaeza kukuua maana lazima mlikuwa group

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 років тому +2

    Tunapeleka moto...hekaheka ni nyingi

  • @wilondjahamisi5309
    @wilondjahamisi5309 4 роки тому +1

    Huyo kamanda ni chapa kazi hao waje niwafunze kazi za mikono kama kuchora chereani ujenzi na seremala

  • @scollorpatrick7214
    @scollorpatrick7214 4 роки тому

    Safi sana dodoma mkojuu

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 5 років тому +4

    watapata taabu sana!

  • @ramadhanimsemo4426
    @ramadhanimsemo4426 5 років тому

    Daaa noma sana

  • @salimsalum7796
    @salimsalum7796 5 років тому +1

    Kwani tindu lissu nani???mwenye uwezo wa kweli ni m'mungu tu hata angewekea ulinzi kiasi gani m'mungu angeamua kumchukua angemchukua tu lakini kaamua kumnusuru mpaka leo bado ya hai

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 5 років тому

    Hongera kwa kujisalimisha inaashilia umeamua kuacha hayo mambo, ubarikiwe sana, okoka kwa Yesu Kristo kuna Raha na amani tupu

  • @godmanmullar4154
    @godmanmullar4154 5 років тому +2

    Kamanda unatuongopea sasa waliompiga risasi lissu mbona walitoka

  • @mrsramadhani2400
    @mrsramadhani2400 5 років тому +5

    Mtuambie.Alie.mpiga.lisu

  • @wiseriziki2433
    @wiseriziki2433 5 років тому +10

    kama rais anatilia shaka stori zenu nani atakae waamini hata mkija na watu mnao waita majambazi?

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      wise riziki big up bongo muvi tuone na mastaa wengine

    • @nicksonjonson1692
      @nicksonjonson1692 5 років тому

      Huko ni kupoteza muda hakuna wa kuona Kuna ukweli hapo

  • @nuwayakubu5337
    @nuwayakubu5337 5 років тому +1

    Huna lolote kama walotaka kumuua tundu lisu.acha poropoganda

  • @barakaramadhan3867
    @barakaramadhan3867 4 роки тому

    Mkuu Upo vizur

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 5 років тому +9

    Kaka keke KIKI koko kuku

    • @agaaah6697
      @agaaah6697 5 років тому

      Hata mm naona ndugu KAKA KEKE kiki KOKO KUKU

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂 kiki

    • @misheri6574
      @misheri6574 3 роки тому

      Hongera baba kwa kaz nzur hongera sana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 років тому +2

    Kumi na kenda ni kumi na mbili au

  • @adrianvandervalk6734
    @adrianvandervalk6734 5 років тому +1

    babu hii mushafeli mwenye akili zake timamu atajua hii cinema ya kihindi mtu gani aje kuwambieni kastaafu uhalifu.

  • @jeremiahminango4100
    @jeremiahminango4100 5 років тому +6

    safi sana kamanda mroto

  • @tumainimchaki6477
    @tumainimchaki6477 5 років тому +4

    wewe mzee subili tuko kutoa taarifa. i😂😂😂😂😂 huyo mzee aliye jitokeza hapo mwishoni

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 роки тому +1

    Jasho la mtu Haliliwi😒😒

  • @Raymosimauki4367
    @Raymosimauki4367 3 роки тому

    Mbona kama maigizo

  • @kelvinkimisha5518
    @kelvinkimisha5518 5 років тому +2

    Tambuen hata shetan anapendwa kuliko jehova , tundu ni zaid ya shtn hilo mtalijua si muda

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 4 роки тому

      Wewe si mkiristo mwenzio yule unamuitaje shetani kisa siasa mhhh

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 років тому

    Hapa kazi tu

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 5 років тому +1

    Na Tanzania kwa ujumla wasifanye.

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 4 роки тому

      Wengine wasiojulikana Mbona hamuwaongelei na lisu alipigwa Dodoma unaposema hawataki Mbona wa lisu walitoka na huwaongelei uhai wa mtu kwanza magari baadae

  • @Ambweneonlinetv
    @Ambweneonlinetv 5 років тому +14

    *Sasa kama mnajinadi hvo kwann tundu lissu alipigwa risasi*

    • @josej9888
      @josej9888 5 років тому +1

      Hapo sasa ndio ujue kuwa utawala huu unasarakasi nyingi sana.

    • @samwelmabula73
      @samwelmabula73 5 років тому +1

      JD online hahaaaaa

    • @kiabosaid8366
      @kiabosaid8366 5 років тому

      JD online 😀😀😀 hapo sasa

  • @abdulkareemseif667
    @abdulkareemseif667 4 роки тому

    Unajitahidi baadhi ya mambo afande ,,fanya kazi

  • @straitnews3441
    @straitnews3441 5 років тому +3

    Heka heka

  • @khadijaserenge2945
    @khadijaserenge2945 Рік тому

    Ludlow

  • @gumbalutonja1404
    @gumbalutonja1404 3 роки тому

    Gumba

  • @banzimaestro3472
    @banzimaestro3472 5 років тому +2

    Izo juhudi zote mngefanya kwa tukio na Lisu ingekua poa ila apoo naenda kuleee

  • @benardzephania7728
    @benardzephania7728 5 років тому +1

    Mbona huwapandishi vyeo vijana wako, wanafanya kazi nzuri

  • @mdyoung5163
    @mdyoung5163 2 роки тому

    😅👍

  • @machasofficialsite6221
    @machasofficialsite6221 5 років тому +2

    Jibu maswali kuhusu kushambuliwa kwa lissu hayo mengine kawaida sana mzee,ila uko vizuri nakukubali

  • @arthurfesto9026
    @arthurfesto9026 5 років тому +3

    Izo gari watajeni wamiliki

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Arthur Festo kamanda kasema wahalifu hawatoki Dodoma sio kama ni lazima wakamatwe ila tu hawatoki

  • @georgegaspar6285
    @georgegaspar6285 Рік тому

    Unachekeshaga

  • @jumasaimon8652
    @jumasaimon8652 3 роки тому +1

    MAmae watu wanaiba Hadi rori

  • @blackmaradona1891
    @blackmaradona1891 4 роки тому

    Nakukubali nakukubali ww mno

  • @gg-fq4mf
    @gg-fq4mf 5 років тому +1

    Kalibuni wageni mtokao nje ya jiji la Dodoma, lakini mjue mkiingia Dodoma hamtoki

    • @ackshuba8679
      @ackshuba8679 5 років тому

      It's me forever mbona wa Tundu lisu walitoka

  • @robertdaud9894
    @robertdaud9894 5 років тому

    Ha ha haaa,kwamba tutawanyanganya harakaharaka

  • @karangwajoseph1015
    @karangwajoseph1015 5 років тому +8

    Gonga like kama ulikua umemiss afande Muroto akihoji!

  • @dennismalima5365
    @dennismalima5365 4 роки тому +1

    the coming IGP.. Anadeserve.. God bless this RPC

  • @albertoarcangel5859
    @albertoarcangel5859 5 років тому +2

    Kazi nzuriiiii