NABII TITO KUMBE CHIZI, JIONEE KAMANDA ALIVYOMTOA NISHAI!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2018
  • Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Onesmo Machibya maarufu kama Nabii Tito kwa kosa la kuenzeza chuki dhidi ya dini nyingine anaoufanya kufatia kusambaza vipande vya video mitandaoni.
    Nabii Tito amekutwa na kosa la kuvunja kifungu cha sharia namba 129 cha kanuni ya adhabu sura 16 na marekebisho yake ya mwaka 2002.
    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema walimfikisha mtuhumiwa huyo Hospitali ya Rufaa ya Magonjwa ya Akili, Milembe mjini Dodoma na baada ya vipimo alibainika ana matatizo ya akili lakini wamedai bado wanaendelea na uchunguzi kubaini iwapo ana akili timamu au anafafanya makusudi.
    Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 377

  • @edrickbyamaka4950
    @edrickbyamaka4950 6 років тому +33

    Asanteh Mungu,,, Nashukuru sana jeshi la polis kwa kumkamata uyu mtumiwa yan anadhalilisha dini weka ndan

  • @fatumaal4988
    @fatumaal4988 2 роки тому +10

    From Kenya,, am not a Christian but am not supporting any one to go against any other Religion in bad ways like this, he did a very bad act and that should be a Lesson to other's who are doing the same from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @emmanuelyohana8787
    @emmanuelyohana8787 2 роки тому +5

    Kazi nzuri hongereni sana

  • @denisontheonest8755
    @denisontheonest8755 4 роки тому +3

    Thank you

  • @frankkikanda1813
    @frankkikanda1813 4 роки тому +1

    Asante sana jeshi la polisi wakamatwe na kuchukuliwa hatua hasa wanaochafua kitabu cha Mungu kwa maslai yake au ya kundi lake,

  • @mathayowilson79
    @mathayowilson79 6 років тому +16

    asante sana Mungu kwa kukamatwa kwa huyo mgonjwa.. amekuwa akiongea utumbo usio faa.. asante kamanda wa polisi.

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 4 роки тому +10

    From Kenya I support Tanzania police good work hakika Tito alikosa maadili

  • @maishakimakini6259
    @maishakimakini6259 2 роки тому

    Kazi nzuri sana jeshi la tanzania. Huyu alifaa kushikwa kuanzia zamani. Mi mkenya lakini nilipomuona kwenye mtandao nilijua huyu hajui anachokifanya si nabii huyu ni kichaa anayetaka viboko vingi sana..

  • @olaisalphayo1854
    @olaisalphayo1854 5 років тому +5

    thanks for the updates

  • @andreajames6748
    @andreajames6748 6 років тому +2

    Kazi nzuri

  • @elizafabian6734
    @elizafabian6734 3 роки тому +2

    Asante mungu

  • @ibrahimmasanja9097
    @ibrahimmasanja9097 5 років тому +7

    Safii sana polisi

  • @merrykazikazi3752
    @merrykazikazi3752 4 роки тому +1

    Safi sana Bb Fanya kazi yako

  • @godfreymabwayi3459
    @godfreymabwayi3459 6 років тому +1

    Asante mungu kwauwezo wako

  • @oliviampilimi2464
    @oliviampilimi2464 3 роки тому +4

    Jamn uyu kmanda anajitahidi hongera

  • @mwambaebwatelogilbert6630
    @mwambaebwatelogilbert6630 2 роки тому

    Good job

  • @digostjafety6070
    @digostjafety6070 3 роки тому +1

    Safii mungu awalipe huyu anaharibu dini ,,,ila hapo Kuna karushwa mmekula sababu anapesa

  • @maheligati2936
    @maheligati2936 4 роки тому +1

    Ahsante mungu kwakukamatwa Hugo mweu muongo

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    Hongera kamanda

  • @anitajoseph2487
    @anitajoseph2487 2 роки тому

    Asante Mungu

  • @petrojacob1133
    @petrojacob1133 5 років тому +49

    Kama umesikia neno MILIMBI kutoka kwa mkuu wa mapolisi gonga like hapa 😂😂😂

  • @olaisalphayo1854
    @olaisalphayo1854 5 років тому +8

    Appreciated with news

  • @josephmolle
    @josephmolle 6 років тому +3

    Nabii ni noma sana uyo

  • @frankkivuyo3942
    @frankkivuyo3942 2 роки тому

    Jamani mwacheni mungu afanye kazi yake

  • @stephanominja8927
    @stephanominja8927 3 роки тому +4

    Afunguliwe mashtaka!!

  • @happyeliya2981
    @happyeliya2981 6 років тому +5

    Asante mung sababu umeona hill mung wet hajawah kulala wala kusinzis

  • @danielmwanthimuthui644
    @danielmwanthimuthui644 3 роки тому +2

    Congrats kwenu polisi

  • @citystones2233
    @citystones2233 6 років тому +3

    mbaya sana

  • @eliasadriano3667
    @eliasadriano3667 5 років тому

    Wakumpa pole sana

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 6 років тому +4

    jamani ashughulikiwe maana anayiyafanya jamani hapana hayampendezikilam2

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 роки тому +1

    Chiziii!!!😳😳😳🤔🤔😂😂😂

  • @izzi198
    @izzi198 6 років тому +3

    Kuna sku mtajua democracy mloikubali ina upuuz mwingi tu. Huyo mtu umoja wa mataifa hana kosa... Liberty ndo hyo . Kna ktu kinaitwa religious tolerance.... tumekubali upuuz mwng n utatucost mbeleni

  • @doricyaudax7288
    @doricyaudax7288 6 років тому +1

    Safi Sana kamanda..kazi nzuri

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 2 роки тому

    Mrotooo uko vzr sana staafu salama

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 5 років тому +11

    Pengine sii mzima jamani mchungaji kavaa eboebo😬

  • @omarathuman5813
    @omarathuman5813 2 роки тому

    Mungu anamuona

  • @comedytv4719
    @comedytv4719 3 роки тому +2

    Mimi hiyo nilimuona chizi Sikh nyingi sana aidha kweli anatumiwa sweka ndani

  • @markjoseph7975
    @markjoseph7975 6 років тому +3

    jmn huyuuu akiil haikooo sawaa jmn aende kabx kisangaaa akakae hukooo

  • @doricyaudax7288
    @doricyaudax7288 6 років тому +10

    Kajichubua..usoni...😂😂😂😂😂miguu na mikono ziko tofauti na uso

  • @godfreytarimo3336
    @godfreytarimo3336 6 років тому +3

    la ana hii

  • @ramadhanijohoiddi2899
    @ramadhanijohoiddi2899 4 роки тому +10

    kama umesikia neno JOHO HAPO kwa sauti ya mkuu gonga like

  • @olestanton4309
    @olestanton4309 5 років тому +1

    eti amejikilim hahahaaa jaman

  • @bihizaclement9868
    @bihizaclement9868 6 років тому +4

    Safi sana afungwe

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 роки тому

      Kweli kbs tuone km akili azita rud ye sianajifanya chize

  • @johnonkoba895
    @johnonkoba895 4 роки тому +1

    Hongera kamanda moroto👍👍👍👍

  • @ayoubabdul6152
    @ayoubabdul6152 2 роки тому

    Duuuh kazi ipo

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 2 роки тому

    Kabisaaaaaaa

  • @joycjames7362
    @joycjames7362 6 років тому +4

    anaitaji viboko kwanza

  • @maryndullu1288
    @maryndullu1288 2 роки тому

    😂😂😂😂😂 uwiiii...

  • @lushilemmanuel768
    @lushilemmanuel768 6 років тому +2

    Hicho kingeleza cha kamanda sijamuelewa kabisa ila huyo nabii sio kwa kujichubua hivyo. Ahahahaha

  • @demetrykisiya1396
    @demetrykisiya1396 6 років тому +5

    huyo sio kichaa ana akili zake timam

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi5950 6 років тому +6

    Hayo yalitsbiliwa pia ndvyo watu wengi wanakoenda maana wame badly maandko nakusema kunywa kidogo usilewe Mara wanakata mauno ovyo tu

  • @mwasitially1030
    @mwasitially1030 6 років тому +2

    Safi xana

  • @happysaid127
    @happysaid127 6 років тому +7

    ananipa hasira huyuu

  • @sadamkimandu3917
    @sadamkimandu3917 2 роки тому

    Daaah

  • @cathyntakama5919
    @cathyntakama5919 6 років тому +4

    anavyohangaika sasa😂😂😂asante kamanda

  • @boludewa
    @boludewa 6 років тому +1

    Pls can some interpret this statement or summarise this.
    Pls

  • @khadijajuma9962
    @khadijajuma9962 6 років тому

    hongera jeshi la police kwa kaz nzuri

  • @ayubuhenry5426
    @ayubuhenry5426 6 років тому +12

    aise taifa la leo c la zaman, asante mungu

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +1

    Chunguzeni kwa makini jeshi langu wengine Huwa wakikamatwa kwa makosa Yao ndugu jamaa zao Huwa wanakimbilia Hospitali na kununua vyeti kwa kisingizio ndugu yetu ni chizi Ili aachiwe na kiendeleza ujinga wake mchunguzeni sana huyo ikiwezekana apelekwe milembe kule ndio watajuwa ni chizi kweli au anapotosha jamii.

  • @salmaobed2708
    @salmaobed2708 6 років тому +3

    Sasa kama daktali kasema mgojwa wa akili kwa nini mnamfunguli mashitaka hiyo ni sawa?

  • @maishakimakini6259
    @maishakimakini6259 2 роки тому

    I wish Kenya ingekua kama tanzania. Kenya wamejaa pastor wanaofanya mabaya zaidi ya huyu..

  • @hussinbashir380
    @hussinbashir380 6 років тому +6

    Chizi hahukumiwi mpelekeni hospital akili zake zilud ndo solution

  • @kiumanursingtv1647
    @kiumanursingtv1647 6 років тому +10

    kwa sisi wakufunzi wa mental health including psychiatry, kama mtuhumiwa awe wa mauwaji au amefanya kosa linalopelekea kutokana na matatizo alokuwa nayo ya akili (mentality sick) na uchunguzi wa madaktari as been certified kwamba ana shida iyo under written document, basi uyo asiwepo mkononi mwa sheria bali aludishwe milembe akaendelee na dose as mentally sick, kwakuw sio kwaatakwa yke bali ni afya ya akili

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 роки тому

    Hahahaha nabii tito ametusumbua sana

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 років тому +21

    Huyu nabii Tito ni noma kwanza amejichubua usoni, miguu na mikono nyeusi halafu nabii kavaa yeboyebo jamani halafu anamtaka Wema Sepetu awe mke wake fyuuu huyu nabii kweli apelekwe akakae Milembe kbs.

    • @isakamasulya1143
      @isakamasulya1143 6 років тому

      huyo anaye jiita nabii tito anamkejeri mungu hajui kama amegusa mboni ya jicho la bwana jenahanam inamsubiri

    • @isakamasulya1143
      @isakamasulya1143 6 років тому +1

      pole sana dada angu wastara juma usinung'unike hicho kikombe ulichokinywa ni kwamapenzi ya mungu

    • @ambokilemwakajila4976
      @ambokilemwakajila4976 6 років тому +1

      +Isaka Masulya mav we

    • @amissihamadi4837
      @amissihamadi4837 6 років тому

      Elizabeth Mwandu

    • @kassimabdallah2028
      @kassimabdallah2028 5 років тому

      Elizabeth Mwandu

  • @danielelias6826
    @danielelias6826 4 роки тому +1

    Kabisa mtie ndani akanyee segerea

  • @estampesi854
    @estampesi854 6 років тому +1

    amelaniwa na mungu wake

  • @naimumwahu8574
    @naimumwahu8574 6 років тому +1

    atapata tabu sana😁😁😁😁😁

  • @paulolauranceoresi7889
    @paulolauranceoresi7889 6 років тому +2

    kwel chz

  • @pipiroizalmk9937
    @pipiroizalmk9937 5 років тому

    Mungu ata muhukumu ila bina dabadamu hamna haki ya kwazibu bina dana ile ilikua agano lakale

  • @jacksonkalokola859
    @jacksonkalokola859 6 років тому +1

    afungwe maisha

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 2 роки тому

    Hahahaha anamatatizo ya akili kumbe 🤣🤣🤣🤣

  • @azizabond8242
    @azizabond8242 2 роки тому

    Dokta ashasibitisha kichaa nyinyi mnamuweka ndan subiri awazuruu sasa

  • @agnessemmanuel8434
    @agnessemmanuel8434 4 роки тому +4

    Duuuuuh! Dunia simama nishukeeeee

  • @agnesayubu8526
    @agnesayubu8526 6 років тому +20

    duuuu moyo wangu ulikuwa unaniuma sana nikiona anafanya mambo yake yale, bora mmemkamata asante mungu

    • @zakiamaungazakia720
      @zakiamaungazakia720 6 років тому

      Sasa mbona kama analia USO umepwaya na yeboyebo zake uwo msalaba bonge jiti

    • @alima7862
      @alima7862 6 років тому

      Agnes ayubu naliyo andika iyo bibliya vizr akamatwe nayepiya afungiwe

    • @bakarimbonde4052
      @bakarimbonde4052 6 років тому

      mkojo wangedere

    • @stevemwakihaba3804
      @stevemwakihaba3804 6 років тому

      Agnes Ayubu daaa uyu mchungaji ata ukumiwa na mungu ana cheza na mung

    • @rahmaabid447
      @rahmaabid447 3 роки тому

      @@stevemwakihaba3804 🤣😂😂😂😂

  • @husseinsalum187
    @husseinsalum187 6 років тому

    kweli ni kichaa

  • @enockjeremiah8138
    @enockjeremiah8138 2 роки тому

    Hizi lugha za subtitles ni lugha gani maana kiingereza si kiingereza haieleweki

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 6 років тому +5

    Safi sana nafurahi kuiona serikali ya awamu ya tano ikicgukua hatua Mara moja kwenye mambo yanayotaka kutuabisha kama taifa walizoea kufanya vituko bila kuulizwa!

    • @jasminlwande811
      @jasminlwande811 6 років тому

      mke vipi?je naye ni mgonjwa?mbona wapo pamoja?

    • @elizabethabed9850
      @elizabethabed9850 6 років тому

      MUNGU tusaidie

    • @stewartmoshi4613
      @stewartmoshi4613 6 років тому

      +Elizabeth Abed naalaniw

    • @happymtui2890
      @happymtui2890 6 років тому

      I wish nimuone huyu police nimpe soda nilivyofurah asante mungu kwa kuliona hili

    • @andrewjoram1344
      @andrewjoram1344 6 років тому

      Andrew joram
      Tito inatakiwa afungwe kifungo cha miaka 40

  • @harunamtwiku4278
    @harunamtwiku4278 6 років тому +2

    Baba askofu mungu anakuona

  • @robysamwel918
    @robysamwel918 6 років тому +1

    Kweli dunia imeisha huyo si wa kuachiwa

  • @twinaweloyceissack6076
    @twinaweloyceissack6076 6 років тому +5

    Hana ugonjwa wa akili huyo , akafungwe spate adabu

  • @rajiblahmuna9643
    @rajiblahmuna9643 6 років тому +2

    Mi naona ana akili timam kabisa uyo

  • @kisoukejothame210
    @kisoukejothame210 4 роки тому

    Kama ni Chiz ni bora arudishwe tu uko uko Milembe,Akaendelee na tiba,asiharbu watu na kusababisha uvunjfu Wa amaniiii!!!!....

  • @jacquilinemahumbi5950
    @jacquilinemahumbi5950 6 років тому +3

    Makanisan mnacheza viduku mkdai mnamwimbia Bwana mmedhalilshwa nn?mmezoea shanglieni ndo zenu Tito ni mwenzeni unganeni tu kganya yenu

  • @kasenenevictorprosper5253
    @kasenenevictorprosper5253 6 років тому +2

    Huyo nabii mfungeni maana a maxima such dini nyingine

  • @philimontv187
    @philimontv187 6 років тому

    Anajihita ikomando

  • @hassanwanje7373
    @hassanwanje7373 4 роки тому +1

    C kunauhuru wa dini?

  • @rashidjumamohamed3437
    @rashidjumamohamed3437 3 роки тому +1

    Afande uko vizur

  • @jumahassani6165
    @jumahassani6165 5 років тому +1

    Eeee

  • @doliceraulent9943
    @doliceraulent9943 2 роки тому

    Zekomed
    i

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 роки тому

    Jamani huo nimsalaba au bango lakanisa

  • @neemamichael2569
    @neemamichael2569 6 років тому +2

    Serikaliiii haina dini ilaa kosa la tito ni kukashifu dini ya kikrosto

    • @sikitu8957
      @sikitu8957 5 років тому

      aja kosea yeye ana sema anachose ki amini kwani wale wislamu wanao tumia biblia kwa ku kuikashufu mbona awaja chukuliwa atuwa naona uyo kamanda ana tafuta sifa tu

  • @jumasaiga7996
    @jumasaiga7996 6 років тому

    Hongereni sana kwa kumkamata huyo mshenzi

    • @musangelela2870
      @musangelela2870 2 роки тому

      Wengi wamekosea kutafasiri maandiko ya mungu ndo maana kunadini nyingi naiman tofauti kwan hakuna madhehebu yanayo ruhusu pombe na wanakunywa nahuyu anahitaji mafundisho ya bblia kama wengine wala siyo chzi

  • @jaafarmsakwa4657
    @jaafarmsakwa4657 2 роки тому

    Hayo anayoyasema huyo Nabii Titto yangekuwa ni dhidi ya uislam asingechukuliwa hatua hiyo na maoni ya madaktar yangezingatiwa

  • @anethmafue4997
    @anethmafue4997 6 років тому

    asley

  • @challengechallenge856
    @challengechallenge856 3 роки тому

    Huyu nabii kabisa

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 роки тому +4

    Leo ni kada mwenzenu wa CCM 🤣🤣🤣 chizi mwenzenu msiojitambua mnaounga juhudi za magu.

  • @fortportalbulletgangilonga6817
    @fortportalbulletgangilonga6817 4 роки тому

    kumbe

  • @clementbankuwiha8877
    @clementbankuwiha8877 6 років тому

    kuna kitu hapa chini ya pazia

  • @neemajohn2525
    @neemajohn2525 6 років тому +9

    Huyo nabii ni mgonjwa wa akili na hao wanawake pia ni wagonjwa wa akili? huyo ni mzima daktar sema kwel