ALIYEKUWA ASKARI WA JWTZ ASIMULIA ALIVYOFUNGWA JELA MIAKA 9 KWA KUSINGIZIWA TUKIO LA UJAMBAZI UBUNGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 1,5 тис.

  • @millardayoTZA
    @millardayoTZA  2 роки тому +106

    0742811182 NAZARETH AMULIKE MWAINYEKULE

  • @nazarethamulike8807
    @nazarethamulike8807 2 роки тому +119

    Narudi tena kuwashukuru wote mliotoa ushauri wenu kwangu juu ya utumishi wake Mungu aliowekeza kwangu naamini kwa msaada wa Roho Mtakitifu utaenda kuwa wazi.Pia nashukuru kwa sadaka zenu na pole zenu Mungu awabariki sana sana na awakumbuke kwa magumu mnayopotia,Amen amen.

  • @albertnyamwanji8890
    @albertnyamwanji8890 2 роки тому +6

    1) Nimeumia kusingiziwa kesi
    2) Nimelia kufiwa na mtoto na mkeo accidentaly
    3) Nimelia sana kumpoteza dada aliyebaki
    4) Nimeumia sana ulipopoteza hata kazi na mshahara wako nusu
    5) Mungu akutie faraja naamini ana mpango mwema bado ni kijana.
    MUNGU AKUBARIKI KAKA

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 2 роки тому +72

    Huyu mwamba kapitia changamoto kubwa sana, Bila Mungu asingeweza acha amtumikie Mungu. Binadamu wabaya.

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe 2 роки тому

      ua-cam.com/video/2b4NbwBg3NY/v-deo.html

    • @elizabethbusigara4568
      @elizabethbusigara4568 2 роки тому

      MUNGU nimwaminifu,atakama tunapatia Changa Moto nyingi,lkn Kuna wakati sahihi Mungu anaotuinua nafaraja yetu kurejea,,🙏nikumshukuru Mungu kwa Kila Jambo,,

  • @shafiunalibiga7364
    @shafiunalibiga7364 2 роки тому +6

    Ukiona mwanajeshi wa JWTZ anasema kunasehem ngumu nje ya jeshi,,,,daaah Fikilia kwa makini,,MUNGU AITWE MUNGU,,,,DUNIA TUNAPITA,,,TUKUMBUKE UMAUTI🙏🙏🙏

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 2 роки тому +29

    Daa dogo umeniliza mno stori yako, mtangulize mungu akusaidie katika maisha yako

  • @mohammedselemani205
    @mohammedselemani205 5 днів тому +1

    pole sana brother Mungu yu mwema ila malipo hp hp dunia

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 2 роки тому +94

    Nimeumia moyo. Allah akupe mema dunia na kesho inshAllah. Ulidhulumiwa nafsi ww, mtoto na mkeo. Utalipwa kwa Mungu.

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe 2 роки тому

      ua-cam.com/video/2b4NbwBg3NY/v-deo.html

    • @rickierunyota3613
      @rickierunyota3613 2 роки тому +1

      Kibeeeeeeeeeeeeeeeee.... Weeee huchapwii??

    • @aikandeshoo5354
      @aikandeshoo5354 2 роки тому +1

      Ni hakika utalipwa yote na kuzidi. Kumbuka kisa cha Ayubu ... alipita ... lkn alirudishiwa mara 2 zaidi

  • @mbolikop6419
    @mbolikop6419 2 роки тому +37

    Hakuna maneno ya kuweza elezea maumivu yako. Kama sio kumpokea Mungu kwakweli ni either ungechanganyikiwa kwa mawazo ama ungekuwa mtu mbaya sana kwa Visasi. Mungu amekupa neema kubwa ya kuweza kusamehe, Ni faida kwako na kwa wale ulio wasamehe na jamii kwa Ujumla. Binadamu tujifunze ubaya wa chuki na wivu na husda.

  • @felixhaule7071
    @felixhaule7071 2 роки тому +46

    Hizi ndio Changamoto za Mwanaume,Mungu akujalie Ndugu yangu

  • @jacksonbaitu2424
    @jacksonbaitu2424 2 роки тому +25

    Namfaham kaka yangu niliwahi kukutana nae segerea kaka hacha kapitia magumu sana tena kk Nazareth huyu kiukweli alitupa ibada na alisaidia wengi sana

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 2 роки тому +116

    Daa nakufahamu sana kaka tulikuwa wote Sangasanga, ngerengere.
    Pole sana kaka Nazareth,mchezaji hodari wa mpira

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 2 роки тому +8

    Kuna nyakati nyingine baraka inaweza kuja katika sura ya balaa. Huenda Mungu alikuweka mahali hapo ili kukuepushie mabalaa ambayo yangekukuta endapo ungekuwa huru. Huwa wenye imani tunasema shukuru kwa kila jambo !! Mimi binafsi nilishapitia kwa kipindi kifupi cha kukaa mahabusu kwa kweli ninamuelewa sana huyu ndugu hata mimi niliokoka baada ya kutoka mahabusu na chachu ya kuokoka ilianzia mahabusu tulikuwa tukimuomba Mungu na kusoma sana neno la Mungu. Ninamshukuru sana Mungu kwa sasa ninaishi katika wokovu na walionisababishi mimi kukaa mahabusu nimewasamehe na niko huru ninamtumikia Mungu wangu !!!

  • @paul1985ization
    @paul1985ization 2 роки тому +30

    Nimelia sana. Mungu wangu! Mungu yuko pamoja na wewe na kweli wewe ni mtumishi wa Mungu

    • @Gucci_tza
      @Gucci_tza 2 роки тому

      Hii stpry inaumiza sana aisee

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 роки тому +30

    Haki unaweza fika mahali ukaona ni Giza tele mbele yako huoni mwanga tena hauna msaada wwte unaona Mungu amekuacha kumbe hapana Mungu ana mpango naww anakupa funzo dah hakika Mungu ni mkubwa nimejifunza kupitia hili 🙏🏼😓 kumbe ambwene ndo aliimba kuhusu ww? Mungu akutie nguvu kaka umepitia mazito sana 🙏🏻

  • @ramadhanirashidkigoto8445
    @ramadhanirashidkigoto8445 2 роки тому +19

    Pole sana kaka kwa yote ulopitia,tuliishi wote Kurasini,ulikuwa mkarimu sana na mchezaji mzuri wa Mpira wa miguu,yalokufika yamepita Neema ya Mungu ikufike na akubariki ktk maisha yako mapya

  • @nazarethamulike8807
    @nazarethamulike8807 2 роки тому +17

    Nawashukuru wote mlioguswa na mapito yangu Mungu awabariki sana

    • @nyotastar102nyota2
      @nyotastar102nyota2 2 роки тому

      Pole Nazareth yote hayo mtumainie mungu pekeee utafika pale una popataka roho wa bwana akushukie ufiki mbari sana umenigusa sana kaka na mi nitatunga wimbo kwa ajiri yako kaka

    • @nazarethamulike8807
      @nazarethamulike8807 2 роки тому

      @@nyotastar102nyota2 asante ndugu yangu nimeishapoa,karibu

    • @nazarethamulike8807
      @nazarethamulike8807 2 роки тому

      @@otienojohn372 Amen amen

    • @calvinhints5819
      @calvinhints5819 2 роки тому

      Pole sana

    • @Collie19
      @Collie19 2 роки тому

      Very sorry brother 🙏 ,,,,

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 2 роки тому +7

    Pole sana Kaka ikiwa umeangushiwa jumba bovu na hukuwa na kosa Mungu atalipa kila tone la chozi lako

  • @victorchris5144
    @victorchris5144 2 роки тому +13

    Kaka Nazareth umeniliza sana sana ila nakiri neema ya Mungu baba haijawahi kumuacha mwenye kumuamini maana kwa utashi na maarifa ya mwanadamu nina imani ungeshawehuka kabisa kulingana na mabaya yaliokukuta,worst enough you are innocent per se😭.Lihimidiwe jina la Mungu aketiye mahali pa juu🙏🏻
    Kwa imani kubwa uliyonayo naamini ipo siku milango ya mafanikio makubwa itafunguka mbele yako na yote yaliyopita katika maisha yako yatabaki kuwa kama historia,
    More than painful life story 😭😭😭ila kwa kuwa uhai bado upo bas nafasi ya ushindi ipo pia,barikiwa sana kaka mkubwa 🙌🏻

  • @EdwardOkemba
    @EdwardOkemba 6 місяців тому +2

    binadamu wabaya sana ukinunua sofa jambazi ukikosa wanakucheka yaani mungu atakusaidia tena utapata maisha bora uzima

  • @marthamushi9390
    @marthamushi9390 2 роки тому +8

    Aiseee nimejikuta nalia😭😭😭 huyu baba ameniumiza sana🙌🙌 Yan hapo anaonyesha dhahiri anaongea huku moyon anaumia mnooo sema tu anajikaza kuongea,Pole sana kaka kwa kuondokewa na wapendwa wako na kwa yote uliyoyapitia hakika hayo yote yametokea ni kwa sababu tu Mungu alitaka kujidhihirisha kwako kuwa yupo anatenda na dunian hapa tujifunze kuwa kuna mengi mnoo jamanii muhimu kuishi kwa kumcha Mungu sana na tuishi kwa akili sana,upendo,amani na kwa kutokugombana yaan kupenda mabifu tuepuke mambo ya hila😓😓 Hongera kwa wokovu na hongera kwa kuoa tena, Raha ya milele uwape eeh Bwana na mwanga wa milele uwaangazie Mkeo na binti yako wapumzike kwa amani🙏

  • @AB-wm1zt
    @AB-wm1zt 2 роки тому +22

    Pole sana kwa hayo uliyopitia Bro. Kikubwa hongera kwa neema ya wokovu hakika zaburi ya 23 nimeiona ikithibitika kwako Bro. Mungu akusimamie na akufanikishe ktk kipindi chote cha maisha yako ktk Jina la Yesu Kristo.AMEN

  • @innocentmundekesye5617
    @innocentmundekesye5617 2 роки тому +26

    Mwakasege! man of God Hallelujah 👏👏

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 2 роки тому +23

    Ningekuwa tajiri ningekuita nikupe pesa nyingi sn uanze maisha mapya mazuri usahau hayo.

  • @saidalguhum1996
    @saidalguhum1996 2 роки тому +12

    Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali msaidie huyu kijana arudi kazini..Mungu akubariki Mama Samia wewe ni Mkuu wa majeshi na Raisi wa Nchi ...Shukran

    • @ngowidyness3464
      @ngowidyness3464 9 місяців тому

      Amsaidie jaman arudi tuu hata mm nataman angerudi

    • @melloelisha4630
      @melloelisha4630 6 місяців тому

      Kweli jamani,hata miaka 5 tu

  • @AsiaMkusa
    @AsiaMkusa 2 роки тому +54

    Hizi sheria zetu zinabidi zifanyiwe marekebisho umemuweka mtu mahabusu Kwa miaka 09 alaf huna ushahidi wa kutosheleza kumtia hatiani, then unakuja kumuachia Hana hatia, umempotezea vitu vingi,kazi,mke na mtoto inaumiza sana, na ni ngumu sana POLICE wetu kukubalika kwenye jamii

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 2 роки тому

      kweli...

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 роки тому +1

      Ndo nchi yetu hio hata zaidi ya miaka 20 unawekwa tu ndani hawana huruma

    • @jonathankyando2698
      @jonathankyando2698 2 роки тому +7

      Tukipiga kelele kuhusu Rule of law mnasema tunachukia Ccm😂

    • @amaniathumani6215
      @amaniathumani6215 2 роки тому +2

      Nchi ya hovyo sana hii

    • @muhammadalibhaz1390
      @muhammadalibhaz1390 2 роки тому +1

      maskini kaonewa inshallah mungu atawaadhibu waliomsingizia huyu ndugu anatia huruma sana machozi yananitoka

  • @mussatete2618
    @mussatete2618 2 роки тому +25

    Hivi me najionaga nimepitia maisha magumu kumbe napitia maisha rahisi sana tena sana. Mungu anisamehe mimi sipitii magumu

  • @moudboss846
    @moudboss846 2 роки тому +91

    😭😭 Historia yako na Sauti yko havitaacha kunikumbusha kuwa WAKATI WA MUNGU NI WAKATI SAHIHI.
    Nitakuwa naangalia Ile nyimbo ya Ambwene 😭😭😭😭

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel41 2 роки тому +7

    Mshukuru Mungu kwa kila jambo. Ni ngumu sana na inauma sana. Mwache Mungu aitwe Mungu atakutafutia kazi nyingine. Zidi kumtafuta Mungu atakupatia haja ya moyo wako.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +114

    Subhannallah, ata haya ninayopitia ipo siku Allah atanipa faraja ya hali ya juu, Pole sana ndugu yetu 😥

  • @saimonmloka8210
    @saimonmloka8210 2 роки тому +17

    Maumivu yanaonekana kwenye uso wako lakini mungu wetu ni muaminifu sana wewe ni kiongozi hongera sana kaka mkubwa

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 2 роки тому +56

    Such people, are the giants of the World. Man of God....Pole, na hongera kwa ushindi mkubwa. Wewe ni mtu mkuu.

    • @nurukitomary8087
      @nurukitomary8087 2 роки тому +1

      Pole sana baba.nimelia sana maana baba yangu alishapewa kesi na ndugu yake robari .haina thamana ..,tulifiwa na mama hakumuona wala hakuruhusiwa kabisa kumzika mama,,Baada ya hapo akafiwa tn na mdogo wake tumbo moja pia hakumzika.Ila Mungu alitushindia alishinda ile kesi .

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 2 роки тому

      @@nurukitomary8087 poleni sana.

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 2 роки тому

      @@nurukitomary8087 😭😭😭😭😭poleni sana wapendwa mungu azidi kuwatia nguvu

    • @nurukitomary8087
      @nurukitomary8087 2 роки тому

      Asnt sana.kikubwa tumuombee huyu baba sote ili Mungu azidi kumtia nguvu. Hata sisi Bila maombi tusinge mshinda shetani.

  • @godlistenurio6055
    @godlistenurio6055 2 роки тому +6

    Pole sana mpambanaji..hakika kabla dunia haijafika kikomo..wale waliohusika hata kukunyima haki zako..lazima watalipia ..Amini nakwambia..

  • @TommyLee-ib5pk
    @TommyLee-ib5pk 2 роки тому +27

    Mungu ana kusudi na maisha yako mtumishi wa Mungu na yote yaliyopita kwenye maisha yako ni kusudi lake kukutafuta hata mimi nimepitia mengi magumu yaliyonikutanisha na Mungu, ubarikiwe sana mtumikie Mungu baba

  • @busingyerehema472
    @busingyerehema472 2 роки тому +9

    Wewe ishi kwa imani Mungu ameshakuokoa na kukuweka mbali najeshi anataka umtumikie yeye na siyo Jeshi tena.Haiwezekani ukatumiakia mabawana wawili Jeshi la Kaisari.Mungu anataka upate uzima wa milele kwani tayari umeshapata Roho wa Mungu.Sasa unahitaji kuacha Jeshi ilimupate uzimz wa milele.

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe 2 роки тому

      ua-cam.com/video/2b4NbwBg3NY/v-deo.html

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 2 роки тому

      Uzima wa milele unakupa msosi?

    • @busingyerehema472
      @busingyerehema472 2 роки тому

      @@maujanjatv24h41 Uzima wa milele unakupa vyote.Na neno hili wanaweza kulipokea walio kusudiwa na Mungu sio watu wote.

  • @yusufm1
    @yusufm1 2 роки тому +15

    Kuna cha kujifunza Hapa, Mungu akutie Nguvu Kaka na In Shaa Allah atakufanyia wepesi.

  • @faridaf3923
    @faridaf3923 2 роки тому +5

    Sina lakuongea🙌🙌😭😭😭😭😭😭ila Mungu azid kukulinda,na akupe Afya njema wanao kwenda jela sio wote wenye hatia😭

  • @felistermichael7640
    @felistermichael7640 2 роки тому +14

    Hapo mwakasege Mungu ampe maisha marefu sanaa

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 2 роки тому +3

    Subhanallah baba kapitia magumu sijui lini maisha yatabadilika watu kubambikiwa kesi ht mungu hapendi ,, ila baba pole kwa yote na mshukuru mungu kwa yote sema alhamdullilah kwa mitihani uliyopitia namini kwa uwezo wake mungu atakulipia

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 2 роки тому +6

    Wenzetu ulaya huyu baba angelipwa fidia. Pia hawamuweki mtu ndani mpaka wawe na ushahidi kuwa ametenda kosa!!! Pole sana ndugu yangu.

  • @joshuazebedayo86
    @joshuazebedayo86 2 роки тому +1

    Dah! Pole sana kakaangu Nazareth Amrike Mwakasanga Mwenyezi Mungu akutie nguvu na akuponye na kila jeraha lililokupata, Sahau na samehe.

  • @olexanderj.6969
    @olexanderj.6969 2 роки тому +14

    Mungu amkumbuke ndugu huyo na amjalie neema.
    Watching & listening to his story has given a new fresh meaning to the word HOPE!
    I have a strong feeling that good things are in store for this humble, innocent & honest gentleman.
    Amen.

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 2 роки тому +119

    Daah pole sana bro, story yako imeniliza sana,😭😭 kwa yote uliopitia pole sana, ila mm nakuomba nikushauli achana na kesi wala wazo la kutaka kuendelea na jeshi ingawa umri unaruhusu, ktk janga hilo Umepoteza mke na mtoto ni maumivu ambayo uwezi fidia kwa kitu fulani, Umepoteza kazi na muda na mengine mengi yalio ndani ya ndoto zako, Nakushauri samehe kila kitu samehe kila mtu Muombe sana Mungu Anza maisha upya ukiwa ni mwalimu wa maisha bado unayo nafasi kushinda, ebu fikilia upo gerezani, nyumba imeungua Moto, na ndio chanzo cha kumpoteza mke na mtoto mara umeachishwa kazi kiufupi kila kitu cha zamani achana nacho pls pls Anza upya.

    • @nazarethamulike8807
      @nazarethamulike8807 2 роки тому +13

      Asante sana kwa ushauri wako

    • @olaripjonas290
      @olaripjonas290 2 роки тому +9

      @@nazarethamulike8807 Mungu ana makusudi makubwa sana na wewe. Endelea kumtumikia Mungu kwa uaminifu sana na Mungu atakuinua sana.

    • @sumadashsumadash7342
      @sumadashsumadash7342 2 роки тому +3

      Pole sana Mike..hii Dunia inamitihani mingi sana,Hakika umepitia Magumu sana uliipoteza familia mke na mtoto. Wacha Mungu aandae hukum hakika haki zetu Wanadamu anazo Mungu tu

    • @faizajuma8821
      @faizajuma8821 2 роки тому +6

      @@nazarethamulike8807 kaka naomba namba yako nikucheki watsap plz

    • @kazenmronga4163
      @kazenmronga4163 2 роки тому

      @@nazarethamulike8807 bro si umestaafu lakini kwa heshima?

  • @khalidomary1381
    @khalidomary1381 2 роки тому +8

    Pole sana kaka kwa matatizo uliyopitia najua kuwa machungu uliyonayo hakuna asiyejua mshukuru mungu kwa kila Jambo hakika mungu wetu ni mwema siku zote japo si rahisi kusahau pole sana wewe na familia kwa ujumla mungu atakusaidia na atakubariki

  • @TravisBoe-eo6pf
    @TravisBoe-eo6pf Рік тому

    Dahhh yn hii habar Kila Siku nairudia kuangalia yn jamaa Wamemuonea sana yn duhh Binadamu Sisi Ila all in all pole Sana kaka Nazareth...... Mungu Yupo pamoja na wew

  • @jacklineandrew5909
    @jacklineandrew5909 2 роки тому +26

    Pole sana Mungu hatakuacha, shida ilianza mkeo kuna mkubwa wako alikua anamtaka hapo ndio shida ilipoanza

  • @zakayochankicha7400
    @zakayochankicha7400 2 роки тому +2

    Pole sana mtumishi wa MUNGU, ameruhusu upitie hayo ili akupate umtumikie, nakushauri usihangaikie ya jeshi tena,bali kamtumikie Mungu utakula huko huko ktk madhabahu ya Mungu🙏

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 роки тому +10

    Mmmh kweli majaribu yanatukuta muda wowote bila kujua du mungu akupe maisha marefu na akutie nguvu.

  • @simbeyekingsministrytv9035
    @simbeyekingsministrytv9035 2 роки тому +2

    Pole sana ndugu... Binafsi siwezi vaa viatu vyako... Niseme tuu Mungu akubariki zaidi, samehe kabisa kwa ajili yako na walio kukosea. Yesu akutunze. Ayo Tv mbarikiwe sana kwa kutushirikisha hili.

  • @stephensandiko6049
    @stephensandiko6049 2 роки тому +20

    Braza namjua huyo alikuwa anacheza mpira kibaha kwa mbonde timu inaitwa fs Napoli pole sana

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 Рік тому +1

    Nimeskia pain sanaa ya Moyo, sio kila wanaoenda Jela wanamakosa, kesi zingine watu wanatengeneza, serikali msiwe wadwanzi Msaidieni uyu Father Arudi kwenye Ajira yake ya Jeshi, Asiporudi kazin uyu Father Aisee Mtapatwa na kitu kizito sanaa na izo Hila zenu God did

  • @jumajumanne4997
    @jumajumanne4997 2 роки тому +14

    Dah pole sana kaka ndo maana siwapendi police wanatabia za kusingizia kesi ovyo

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 14 днів тому

    Miladi ayo uko vizuri yaani huyu mzee kweli amaepitia magumu sana kwamba ni mkasa ambaye yaani ataendelea kuwa nae kichwani mpaka wakati wote wa maisha yake na yoote inasababishwa na sisi tusio kuwa na huruma na kuwa na roho mbaya kiasi ya kuipelekea maisha ya mtu mwingine kuingizwa kwenye majanga makubwa sana kama huyu sasa mpe pole yake kwa yaliyo mpata

  • @Calvogen
    @Calvogen 2 роки тому +19

    Hiyo ndio maana halisi ya misuli ya imani! Mungu hawez kukuacha atakujaza na atakulipa mara 100 ya uliyopitia

  • @expert5898
    @expert5898 2 роки тому +4

    Pole sana ndg, inauma sana! Unaacha mtoto wako mdogo! Na mke! Halafu unaletewa taarifa mke kafa! Mtoto kafa! Daaaa!!! Inauma sana!

    • @feisalally8912
      @feisalally8912 2 роки тому

      Very sad story. Polisi wanabidi wawe makini zaidi maana maisha ya watu ni dhamana kwao

  • @winicatewainaina4456
    @winicatewainaina4456 2 роки тому +8

    I'm from kenya 🇰🇪 but this is so painful 🥺... keep moving 🥺bro..you served 9 yrs for nothing 😭😭😭😭😩😩😩

  • @kuzimaster3399
    @kuzimaster3399 2 роки тому +1

    Yesaa kamanda salute zote kwako soja uwishii maisha malefu pia pole kwa mikasa uliyo pitia soja.👨‍✈️👨‍✈️👨‍✈️

  • @barnabasshemelelwa5730
    @barnabasshemelelwa5730 2 роки тому +3

    Nazareth, pole na Mungu akutunze, stori yako imetufunza mengi. Asante.

  • @remenmunis7729
    @remenmunis7729 2 роки тому +3

    Daaah Haya maisha yana mambo mengi sana ...Huyu Mwamba ana historia inayochoma moyo sana kaachishwa kazi ..mke kafa mtoto kafa ....kapteza mali ...kasamehe watu na Bado Analipenda na Anatamani jeshi ...watu wa aina hii ni wachache sana 😭😭😭

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 2 роки тому

      Aisee mimi nilijiona kama niko na matatizo ila baada ya kupitia hii simulizi nimejiona sina matatizo kabisa

  • @aloycechissanga5380
    @aloycechissanga5380 2 роки тому +21

    Wow! Glory to God! God is not done with you continue to serve him…

  • @fredmpondachuma8230
    @fredmpondachuma8230 Рік тому

    Majaribu uliyopitia ni makubwa sana, Mungu akuongoze kwenye neema zake. Ulichopitia wewe ni funzo kubwa kwa walimwengu lakini Nakupongeza Kwa ushindi mkubwa dhidi ya malimwengu. Yeshiva atasimama na wewe daima, na atakupa kilichochema kwa uhai wako. Ubarikiwe sana

  • @mwavitapastory8023
    @mwavitapastory8023 2 роки тому +4

    Kaka nimefurahi sana kukuona ukiwa huru, mwenyezi Mungu akukumbuke tena kamaalivyomkubuka ayubu

  • @janetsemahimbo8083
    @janetsemahimbo8083 2 роки тому +8

    Maisha ndivyo yalivyo. Mungu ana sababu ya hayo yote yaliyotokea. Wala usilaumu, wewe shukuru kwa kila jambo. Angalia Ayubu alivyopoteza watoto, mifugo nk. Lakini Mungu alimpa zaidi ya aliyokuwa navyo. Utapata watoto wengi na wazuri kama Ayubu alivyopata. Utakuwa juu zaidi kuliko ulivyokuwa kama Ayubu alivyokuwa. Hivyo mshukuru Mungu kwa yote.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +28

    Pole" sana nime. kuona kwenye wimbo? wa' ambwn 'UNIKUMBUKE!! Na, kweli!! ume kumbuka na MUNGU 😢🤦‍♀️

  • @Evelyn-gd5dv
    @Evelyn-gd5dv Рік тому +2

    Nimeenda jana Gerezani kuona wafungwa eeeeeh MUNGU nakuomba uwaone wafungwa wote waliofungwa kwa hatia na ambao hawana hatia maisha ya kule jamani 😢 Kuna watoto pia Bwana YESU naomba uwapiganie
    Mimi ni nani mpaka umenipa uhai na uhuru huu nilionao nakushukuru BWANA YESU 🙏🏻🙏🏻

  • @mwambatv5202
    @mwambatv5202 2 роки тому +33

    Kaka, hakuna kazi kubwa na nzuri kama kumtumikia Mungu, acha kufuata walichokunyang'anya, Mungu atakulipa stahiki zako zote, Mtumikie huyu Mungu asiyegeuka wala kuzulumu haki, hutawai kosa, Mungu amekuokoa, kwa sasa mtumikie kwa moyo wako wote

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe 2 роки тому

      ua-cam.com/video/2b4NbwBg3NY/v-deo.html

    • @adrophinakamugisha5014
      @adrophinakamugisha5014 2 роки тому

      Comment hii ina mashiko sana,kila likuepukalo lina kheri kwako,Muachie Mungu yeye anaejua sababu atakutendea mambo makuu usioyoyajua

  • @dunnybujaa540
    @dunnybujaa540 2 роки тому

    Hujayapia ayo kwasababu ya kazi uliyokuwa unaifanya but ni Mungu Alikuwa anakuandaaa kuwa mtumishi wa utukufu wake waweza jiuliza kwanini Mungu aruhusu upoteze kazi na watu wako wa maana katika maisha but elewa kuwa Ayubu aliyapitia but mwisho wake ulikuwa ni mzuri sana (Yeremia 18:1--> na Ayubu 42:12--->).

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +39

    Tujifunze kutokuyabeba maneno ya kuwambiwa na kuyasambaza bila utafiti wowote Mungu nisaidie nisiwe miongoni mwa kuyabeba mambo na kuyasambaza bila utafiti🙏🤲

  • @nassersoudjaen8280
    @nassersoudjaen8280 2 роки тому +5

    Pole sana ndugu yangu mungu akutrie moyo nimeumia sana kuckia matatizo yako...mama fanya huruma umsadie kaka huyu

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 2 роки тому +6

    Aisee pole sana sana sana yani umepata zaidi ya pigo ila maisha ndio haya haya na MUNGU wetu ni mmoja siku zote na habagui hata na ana sbb ya kutoa changamoto hizi kwako na kwetu kama binadamu pia...Amen

  • @filbertkapama7996
    @filbertkapama7996 2 роки тому +9

    dah pole sana bro inaumiza sana ila damu ya yesu ikulinde maisha yako yote.wapumzike kwa aman familia yako yote iliyotangulia mbele ya haki😥😥

  • @iddgubwe1662
    @iddgubwe1662 Рік тому +3

    Daaaa Allah akupe nguvu brother viatu vyako ni vikubwa mnooo😢😢😢 mwanzo na mwisho wa binadamu Mungu ndie ajuaye siri

  • @octaclement1872
    @octaclement1872 2 роки тому +1

    Daaah inauma sana kwakweli, hii dunia ina maswahibu mengi. Mungu akutie nguvu ,ni matumaini na maombi yangu kuwa Mama samia, atalifanyia kazi jambo lako na kukulipa stahiki zako za jeshi

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 2 роки тому +6

    Mama ni msikivu sana utarudi kazini mwamba pole sana

    • @melloelisha4630
      @melloelisha4630 6 місяців тому

      Yaan wamkumbuke tu jamani daah 💔..hata miaka 5 tu

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 2 роки тому +3

    Pole sana ndugu mitihan ni sehemu ya maisha yetu, na majaribu ni mtaji Mungu akuongezee Imani.

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +19

    Bongo jela ni kwa ajili ya masikini, angalau zama za Magu matajiri waliingia jela

  • @kevinbrightone8936
    @kevinbrightone8936 2 роки тому +13

    So sad indeed 🥺🥺
    Mola akupe nguvu 🙏🙏🙏
    Watching from Nairobi, Kenya.

  • @bettychungu138
    @bettychungu138 2 роки тому +8

    Ayseee Mungu akufanyie wepesi, urudishwe kazini na uendelee kumtumikia Mungu wetu.

  • @dianangailo9878
    @dianangailo9878 2 роки тому +2

    Mungu azidi kukupa faraja , mwamini Mungu yawezekana anakuepusha Jambo , usilazimishe kurudi kazini , muombe Mungu akupe njia na akuonyeshe kazi ya kufanya . Endelea kumwamini Mungu

  • @douglasmichael7494
    @douglasmichael7494 2 роки тому +10

    Hakuna wa kuweza kukulipia fidia au mafao yako tofauti na Mungu..umepoteza mke na mtoto na bado umesamehe😭😭😭hongera kwa moyo huu

  • @amosmallya3994
    @amosmallya3994 2 роки тому

    Jamaa Mstaarabu sana alafu ni mtumishi wa mungu kweli.. Anavyoongea tu ananekana haigizi.. Anaongea Facts.. Mi nnaamini siku moja utafika mbali zaidi ya ulivyotarajia. 👏

  • @tanzania2559
    @tanzania2559 2 роки тому +10

    Mungu wetu ni muaminifu sana, atakufanyia njia iliyo bora kwako

  • @omanmuscat6234
    @omanmuscat6234 2 роки тому +1

    Pole sana kaka Yangu kwa mangumu Huliyapitia ALLAAH Yupo pamoja nawe Insha Allaah Haki yako Utaipata tu kwa uwezo wake MOLLAAH Insha Allaah

  • @ummyjumaa4151
    @ummyjumaa4151 2 роки тому +26

    Hakika hak ya mtu aiwez kupotea Nazareth namfaham mm na familia yang sote tulipokea kwa masikitiko kuhus ilo tukio na pia atukuamin kama angefanya ayooo hakika mung achen aitwe mung!

  • @isaacjoseph9553
    @isaacjoseph9553 Рік тому +1

    Haki zetu zipo mbingun, Duniani mapito tu.Imani yako ni kubwaa sana br hata hili utashinda kwa imani hata kama itachelewa. Umepoteza vingi kila anayekusikiliza anaumia. Mtegemee Mungu asirudi nyuma.

  • @luizabahati5198
    @luizabahati5198 2 роки тому +8

    Eee Mungu...this is so touching...Natumai haki yake haizulumiwi. Mungu yupo kazini juu yako kaka. Viongozi wa nchi hii sikieni vilio na machungu wa wananchi wenu...daaa jamani..ni uchungu mkuu..hivi hawezikusikilizwa na hii kesi akashinda? Natumai wapo Lawyers hapa mnaweza kumpa msaada

  • @abelmsachi1943
    @abelmsachi1943 2 роки тому +1

    Pole sana kaka kwa yote yaliyotokea kwako. Hata jinsi unavyosimulia inaonekana uso una majonzi makubwa ni kwa sababu wewe ni mwanaume unajikaza. Mungu yupo pamoja nawe katika kipindi hicho cha majonzi

  • @mwankenjatv9330
    @mwankenjatv9330 2 роки тому +7

    Kwahy mke wake amekufa na kinyongo cha kujua mume wake amekuwa ndani kwa kusingiziwa aisee aliyemtendea huyu jamaa ubaya huu aende tu kumuomba msamaha huyu jamaa maana atapata shida katika maisha yake na atakufa kwa shida sanaa

    • @fidesbernard4835
      @fidesbernard4835 2 роки тому

      Na atapata na kizazi chake chote,akaomba kutoka moyoni na Mungu Atamsamehe

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 2 роки тому

    Pole sana kaka inaumiza sana yaliyokufika kusingiziwa kesi kufiliwa nä mkeo mtt nä dada yako kwa kweli siwezi kuvaa viatu vyako mungu ni mwema uko huru

  • @ramadhanisalum7476
    @ramadhanisalum7476 2 роки тому +10

    Inaniuma sana Hakuna haki hapa kwenye nchi hii ina mambo ya hajabu ya ajabu sana mtu akishauwa anacheo tu anajiona kama mungu mtu Mungu atakulipia Naza

  • @jonasjaphetthomas6434
    @jonasjaphetthomas6434 2 роки тому

    Daah aisee!
    Pole sana brother wangu! Aisee,umepitia magumu kweli yan kaka yangu, mungu akutie nguvu, yan unasingiziwa kesi daah!

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 2 роки тому +13

    Nimeamini hata uwe Nani sekunde moja inaweza kubadili maisha yako...pole jamaa mwenyewe mpole MUNGU atakujaalia yaliyo mema.

    • @nazarethamulike8807
      @nazarethamulike8807 2 роки тому +1

      Asante dada angu

    • @angelinatumaini5503
      @angelinatumaini5503 2 роки тому +1

      @@nazarethamulike8807 kaka pole sana acha Mungu aitwe Mungu

    • @nazarethamulike8807
      @nazarethamulike8807 2 роки тому +1

      @@angelinatumaini5503 asante sana ndugu yangu

    • @faridaaloyce7672
      @faridaaloyce7672 2 роки тому +1

      MUNGU anatupenda na anatuwazia yaliyo mema nimejifunza kitu kwako naamini yeye hututimizia kwa wakati sitalalamika Tena kwa Jina la YESU.

    • @ambweneobadiamwasongwe
      @ambweneobadiamwasongwe 2 роки тому

      ua-cam.com/video/2b4NbwBg3NY/v-deo.html

  • @Ibrahim-jj1er
    @Ibrahim-jj1er 2 роки тому

    Pole sana ndugu penyeheri pana shari ndani yake na penye shari panaheri ndaniyake hongera kwa kujaliwa ufahamu

  • @RachelFuiki
    @RachelFuiki 2 роки тому +8

    Mheshimiwa Raisi Samia hasani suruhu Mmpeni haki zake jamani. 😭😭

  • @bagathe1710
    @bagathe1710 2 роки тому +1

    Kwangu ww ndio mwanajesh kamili jeshi limekutenga upo nalo brooo kila la her salut god blees u

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 2 роки тому +4

    Isaya 43:2
    Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 2 роки тому +1

    Dah nimeumia sana kaka pole sana m mungu akujalie afya njema katika Maisha wivu ni mbaya sana katika Maisha

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 роки тому +5

    Pole sana ndugu yangu Mungu ana makusudi yake wapendwa wako walikuacha lakini atakurudishia kila kitu maradufu!!!!

  • @shelyboyshely2928
    @shelyboyshely2928 2 роки тому

    Pole sana mungu ni mwema kaka angu akufanyie wepesi brother

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 роки тому +5

    Pole sana mungu akutie nguvu! Hakika walio kucngizia wakapate malipo na yy tumtumainiye