Sasa mbona walivyopga kelele akutoka hata mtu mmoja kumsaidia hahaha si wote walikuwa ndani au ujamsikia akisema hapo nyie kazi yenu ni mashamban usijisifu hapa
Baba mheshimuwa sana Magufuli mpe ajira huyu kaka apate mafunzo awe kamanda ili iwe chachu kwa vijana wetu wajitume zaidi maana ameokoa silaha ya taifa alafu anapewa laki mbili sio poa
Kama baba watoto wangu alivyo watwanga wa 3 na kupokonywa siraha zao. Wanaume wa mikoani noma sana. Wake zao huwa tunawapikia misosi ya nguvu sio chipsi kuku dar
Huyu anaitwa Kasi Alikuwa Dar sinza anafanya sana mazoezi ya ngumi kasumbua sana mtaani alivyomaliza shule form 4 akaenda Moro kwao Hatari Sana huyu mtu kanifundisha fundisha kidogo
Hongera sana naomba serikali ingemchukua moja kwa moja huyo anaweza kz ya Jeshi sana.Mtangazaji maswali dah!! Hadi mlo ha ha ha Umenifunza kitu shukran.
Brother Mungu akutizame ombi lako ad kwa baba magu.... Hakika umefanya kitendo cha kishujaaa sana nimekuelewa respect sana brother .... Utaenda Jeshin lazima nasema Hongera kwa kushinda Tutashinda na zaidi ya kushinda katika yye atutiae nguvu....
Saidai....was one of the kiswahili words I was able to have understood in this story too. I am sure it has to do with some criminal activities... Kimbia means, to run. Kwa sasa...meaning, for now. I am try to understand this language but.....
@@greysonsimba5366 Wow... Worry out...nice one. My girlfriend in Tanzania loves to say, "worry out." So nice... I am sure you're from Tanzania too...right? Nakupenda wanawake katika Tanzania. Ninakuja kuoa mwanamke ya Tanzania.
@@greysonsimba5366 Please when will you help me with this my kiswahili learning? I am waiting on you. My cell..1 919 519 3682 If you're in Tanzania I want to be talking with you because I need to improve my Kiswahili...if you flash me I will call you.
hongera tena hongera sana yaani sijui nikusifu vp kwa kz yk uliyoifanya mungu akubariki kwa hakika hy m2 anafaa kuacha kz yk ya duka na kama itawezekana mheshimiwa raisi hy m2 aajiwe kweny kitengo cha polisi kwa kz nzuri aloifanya
Pole sana dogo kwa mtihani ulokukuta ombi kwa serikali imfikirie huyo kijana ikiwa inawezekana basi hao ndo vijana wakuweza kuwasaidia na kuijenga nchi yetu
Jamaa Hadi leo, awamu hii ya sita, ya mh samiha suruhu Hassan, bado yupo kitaa magomeni kilosa morogoro, anaendelea harakati zake za Duka lake, jamaa mi mkarakala tangu shule ya msingi lamlilo magomeni kilosa, nimesoma naye, na dar tulikuwa majirani sinza madukani Kwa mangara. Kati ya watu watata class huyo ni mmoja wetu. Huwa atuyumbi ukikaa relini.
Kwamtu asiyejipenda ndoanamvamia huyo cas lakin kwaanaejipenda hawez kujalibu nimtu atar sana ukifika kilosa ukiulizia cas kwanza lazima wakushangae unawezaje kumuulizia mtu huyo jamaa hagawanyik ni namba witri
WANAUME WA MIKOANI HONGERAAA
WA DAR WANGEJAMBA TUU,KAZI YAO MODO,TEAM MONDI NA UJINGA MWINGINE
Lakin izo karat kajifunza dar na ndio kilomsaidia iko kitu asa kwa nn unadharau wadar
Zainab, lkn jamaa amesema karat alifunza wakt yupo ansoma dar..asa ww unawadharau walimu wa uyo jamaa af unamsifia mwanafunz
Zainabu Ahmed - 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@UCFnh9KlC1qT9p6onFJBX1Mw Hahahaha,hapo umeuwaaa somo
Yaani ipo ipo tu
Hahahahahaha umenichekesha ni kweli kabisa
Serikali tunaomba mumchukue huyu kaka kwenye special force ni mtu extraordinary lazima mjue hazina zenu please msaidieni kaka yetu
Dada Salam pole sana .Huyu kaka (kajisalimisha kimtindo )ujambazi awamu ya tano si mchezo. Kwa njia hii poa sana
special force unajua maana yake au unaongea tu
@@dr.mgungo1429 mwambie
Haujui unachoongea 😂
ndokomando huyl
Wanaume wamikoani gonga like tuwapongeze
WANAUME WA MIKOANI GONGA LIKE TUJUANE HAPA 💪💪💪💪
Serikar chukua Hugo brother weka sehemu salama amesaidia jeshi letu
Sasa mbona walivyopga kelele akutoka hata mtu mmoja kumsaidia hahaha si wote walikuwa ndani au ujamsikia akisema hapo nyie kazi yenu ni mashamban usijisifu hapa
mikoan midume kwel
Hahaha. Noma sana bro
😎
Mzee baba pongezi kwako big up kwako, mungu ni mwema kwa kufanya muujiza huu mkubwa.
Amen Amen. Ukimtanguliza Mungu kwa yanayo kukabili kilajambo ni jepesi. Barikuwa. Amen.
Amen
Wanaume wamikoani 👏👏👏👏 ingekuwa mwanaume wa Dar hapo angeshauwawa
Ulivyo sema MP, umenikumbusha machungu broh
kwanini mr
Millard bro, habari zimfikie uncle Magu aiseeee, hugo kijana azawadiwe
Japo nasapot alichofanya jamaa ila ulichokoment ni upumbavu.
HONGERA MWANAUME WA MUKOANI
FROM 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪MUCH LOVE
Wanaume wa darrrrrrr. Ugari line bamia teketeke. Kama mnatazama habari hii gonga like
Ally Juma hahahahaa
Baba mheshimuwa sana Magufuli mpe ajira huyu kaka apate mafunzo awe kamanda ili iwe chachu kwa vijana wetu wajitume zaidi maana ameokoa silaha ya taifa alafu anapewa laki mbili sio poa
Apewe jamaa kazi ya jeshi. Kazi anayoipenda anaimudu.kuna asikari walevi tu hata nguvu hawana. Jamaa yupo vizuri.gonga kama anafaa.
Kasandra Ferous umenichekesha hata nguvu hawana jamani
haha
Wanaume Wa dar mbwa nyiwe
Ingekuwa ni nyiye Mngekojowa Mbwa nyiye,ziwapendi Maboy wa dar:::hongera jembe LA mikoani
Eti ooh siwapendi wanaume wa Dar! Utampendaje mwanaume mwenzako wewe? Au ndy unatafuta bwana
videoxxxx
Kama baba watoto wangu alivyo watwanga wa 3 na kupokonywa siraha zao. Wanaume wa mikoani noma sana. Wake zao huwa tunawapikia misosi ya nguvu sio chipsi kuku dar
Hahah...
Proud
muna kassim Hahaaaaa Baba watoto wako et
😂😂😂
🌽🥕🍆🥥🍇👍
🙄
Hard work payz bro watangazaji ni wengi lakini umewazidi brand mpaka saa 8 unakimbizana na habari 🤗👊🏿
Mtaki
Ninachompendea Mirlad Ayo yaani maswali yake kwa muhusika yanatoa majibu ya moja kwa moja kwa walengwa.
Hongera kaka umepambana kiume.
😂😂😂😂
Hongera aise bonge la shujaa
Huyu anaitwa Kasi
Alikuwa Dar sinza anafanya sana mazoezi ya ngumi kasumbua sana mtaani alivyomaliza shule form 4 akaenda Moro kwao
Hatari Sana huyu mtu kanifundisha fundisha kidogo
@ommie kweli unampata. Mtoto wa Sinza huyu
@@blackpanther4825 amecheza kareti mchezo gani chotkan, taikwond au gujuluu?
@@safinabakari9140 Shotokan, Taekwondo au Goju-ryu.
ommie马瑞
@@nyanjugusigira502 shwari
Oyooooooo!! Wanaume wa mikoani hoyeeeeeee!!!!
wapi likes za kenya
Niko apa wa kenya uyo kaka nimempenda bure amejaribu sana
Anco magu mpeleke jeshini huyu mtu bwana
Bro huyo nimfanya biashara na dream zakutoboa kimaisha fasta ni ktk biashara.sasa jeshini uko akafanye nini kaka?
Hongera sana naomba serikali ingemchukua moja kwa moja huyo anaweza kz ya Jeshi sana.Mtangazaji maswali dah!! Hadi mlo ha ha ha
Umenifunza kitu shukran.
Hongera sana bwana Mdogo nakufananisha na wanaume Wa Mkoa Wa Mara
Brother Mungu akutizame ombi lako ad kwa baba magu....
Hakika umefanya kitendo cha kishujaaa sana nimekuelewa respect sana brother ....
Utaenda Jeshin lazima nasema
Hongera kwa kushinda
Tutashinda na zaidi ya kushinda katika yye atutiae nguvu....
KIUSALAMA ZAIDI SIO VIZURI KUONESHA SURA YAKE KWA MEDIA.. je wakimrudia??? Tanzania bhn kiki zitatuua
Acha Uoga....
Baizo Boy mh
Hii haina shida ni endapo atakataa kuonyeshwa ila akikubali haina shida
Ww kwa mawazo yako unazani hawamjui hadi kumpaga mipango ya kumvamia???
Baizo Boy Ndiyo ñi kweli
Hongera sana Mungu ni mwema Jifunze kumiliki silaha.
Hama kwenye hiyo nyumba broo?
kiukweli police wabahili sana yan tukio hilo mnapa lakimbili na 60 tuu haaa vibaya hivyo jaman mngempa hata milion mbili
Uyu kama ningekuw m rais angepew mafunzo awe police kabsa mojakwamona
hongera bro mungu aendelee kukulinda inshallah
Hao majambazi wanamzoom tu apa😀😁😂😂labda.
Agnes
Km anamuhs mmoja lazima wakamatwe tu
Hongera sana Allah akufanyie wepesi utimize ndoto zako
Yan niuyo mimi sasa.. Naisi ningerud nilipotoka😂😂😂😂
😂😂 hahahaaaaaa
Ayo unakipaji cha habari, ukihoji yaani mtu habaki na swali. Ila hapo ya kuhisi mtu siyo pazuri wasije mdhuru mbaba wa watu.
Mungu akulinde maana wanakuzoom.
Saidai....was one of the kiswahili words I was able to have understood in this story too.
I am sure it has to do with some criminal activities...
Kimbia means, to run.
Kwa sasa...meaning, for now.
I am try to understand this language but.....
To learn more check me On whatsApp...lets be friends
Eric Tucker worry out I will explain it for you
Eric Tucker I will explain it for you
@@greysonsimba5366
Wow...
Worry out...nice one.
My girlfriend in Tanzania loves to say, "worry out." So nice...
I am sure you're from Tanzania too...right?
Nakupenda wanawake katika Tanzania.
Ninakuja kuoa mwanamke ya Tanzania.
@@greysonsimba5366
Please when will you help me with this my kiswahili learning?
I am waiting on you.
My cell..1 919 519 3682
If you're in Tanzania I want to be talking with you because I need to improve my Kiswahili...if you flash me I will call you.
nakubali sana mlad ayo unale habali nzuli sana
jamani jamani, ana kipaj cha kulinda wananchi tunaomba apelekwe jeshini.anaweza xana.
hongera tena hongera sana yaani sijui nikusifu vp kwa kz yk uliyoifanya mungu akubariki
kwa hakika hy m2 anafaa kuacha kz yk ya duka na kama itawezekana mheshimiwa raisi hy m2 aajiwe kweny kitengo cha polisi kwa kz nzuri aloifanya
Mwanaume amesoma Dar huko ndiko alikopata ulakamavu wa Mafunzo ya Karate akiwa form two 0level😁😁😁safi sana Shujaa mchiz
NAAMINI HII NI SERIKALI SIKIVU..! UYU NI MWANAJESHI WA VITENDO MSIMUACHE
Ila kwa.ushauri wangu tu ningeomba wamuondoe uyo kaka apo sababu wanaeza hata kurudi tena nakukamilisha malengo yake.
Maskini kama kuna kiongoz wa serikali kamsikia uyo kijana msimuache jamani myaka28 sio mingi
Pole sana dogo kwa mtihani ulokukuta ombi kwa serikali imfikirie huyo kijana ikiwa inawezekana basi hao ndo vijana wakuweza kuwasaidia na kuijenga nchi yetu
Hongera Sana Brother
kazi kazi.......working hard for what you interested in is not tired is a love...appreciated bro millard
Amamiiin saaana
Hongera Millard ayo kwahabar tamu nanzur
Hongera Mungu akulinde Ndugu yangu
Jamaa ata haangaliagi movies za mbele. Atashindwaje kutumia silaha👊👊
Na atafaa kuwa MP.
Nice work Millard.
Jamaa anabibi apewe nafas jwtz hyuu tnaa awe mp au htaa ukomando cz kaz ukipndaa wafanyaa vzr
Nilijua dar🤔🤔🤔maiii weee kmbe njombe nguv moja tunatuma nguvu mpka mikoan dar,tanga na Zanzibar free deliverer maan sio kwa minguv hyoo
mwangalieni kwa jicho la huruma huyo mtu apewe hata upolisi
Mwenyezi Mungu,,, ashukuriwe sana
Jembe, ww ni zaidi ya jembe. Hongera sana. Ila kuwa makini sana.
Hongera fundi nakubali mahojiano yko
Huyo aende jeshi hongera cna
hii ndo tafsili kuwa ya wanaume wa mikoani, mamaee angekuwa wa dar Angelia kama demu.
Grace Gilbert 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wee katoka dar huyoo mamae mkoan anaishi tu mbona wamkoan hamjamsaidia
Hahaaa Grace chizi we
Hahahahaaaa
😀😀😀
Magomeni hiyo Daraja la mto mkondoa kilosa Home sweet Home.
Kama mnamkumbuka Yule mhamiaji wa nchi ya Mali aliyemuokoa mtoto ghorofani na baadaye aliajiriwa kama polisi Ufaransa gonga like hapa
Gwala san mzee bab
Daah hongera Sana Kaka kazi nzuriii sana ila jamani tz tuangalie watu Kama hawa ndo inatakiwa wapate kazi
He is so smart
big up sana broo
Nakupongeza kaka sana kwa ujasiri ila nakushauri bure kabisa ongeza mazoezi ya mwili na ya kupigana yaani karate🙏
Wanaume wa dar mpoo, tatizo mmeendekeza viepee na vitaulo 😂😂😂
Happynes Charles Ila jamani ww huendi mbinguni eti viepe na vitaulo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asiatu mbwambo Mmmmm mbinguni naenda na ticket nixhakata zmn
🙌🙌🙌🙌👍👍👍👍
Hiyo ndo maana halisi ya Wanaume wa mikoani tupo.
❤safi mjeda
Huyo dogo apewe kazi jeshini ana faa
Millard ayo is good at habari
Homgera sana kaka hila uondolewe hapo jamaa angu plz kwaajili ya usalama yako kaka plz
Kuna mwanamke pia Musoma
dah safi sana kamanda
Daaaah mke analaha amepata mwanaume shujaaa
hongera bro kwa habar za nguv
Uko vizuri sana kaka Millard ayo
Ujambazi Moro sijuwi utaisha lini mimi nimewahi kutekwa mwaka 2011 maeneo ya Kihonda
Baada ya hapo niliichukia Moro na kurudi Kigoma
Congratulation bro:)
Nimefatilia comments zenu zote mawazo yenu nimeyachukua yatafanyiwa kazi na Majibu mtayapata hivi karibuni
NYAMBIRO KENYEKA hahahahahaah acha ujinga
Uko vizuri kak mungu akutetee maisha yako
Kila jambo mlione uyu jamaa anatakiwa komae jeshi ana fahaa
Kaka Millard na wewe uo usiku unao tembea mi nakushauli kama hauna chuma nibora utafute fasta mana binadam sio wazuri kabisa kaka.
Millard awezi akakosa chuma Ni mtu mzito uyo
Unahisi hana
Daah wewe Millard mmmh saa 8 usiku duuuh hongera sana
Jamaa Hadi leo, awamu hii ya sita, ya mh samiha suruhu Hassan, bado yupo kitaa magomeni kilosa morogoro, anaendelea harakati zake za Duka lake, jamaa mi mkarakala tangu shule ya msingi lamlilo magomeni kilosa, nimesoma naye, na dar tulikuwa majirani sinza madukani Kwa mangara. Kati ya watu watata class huyo ni mmoja wetu. Huwa atuyumbi ukikaa relini.
Kwamtu asiyejipenda ndoanamvamia huyo cas lakin kwaanaejipenda hawez kujalibu nimtu atar sana ukifika kilosa ukiulizia cas kwanza lazima wakushangae unawezaje kumuulizia mtu huyo jamaa hagawanyik ni namba witri
Wakina fortunatus hatuna mchezo 👊🏾😊
Mume na. Nusu good job kaka
mwamba noma sana nakubary
Mpeni kazi huyo dogo ako sawa! congratulations brother. Gym ni wanaume wengine juice tu ndio wanajui
Apelekwe kwenye ndiyo zake za kuajiriwa na jeshi.
Haaaaaaa hongera sana
😂😂😂😂 Dar hamna wanaume kuna wavulana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakukubaliii brow
Serikali utuangalie kamanikipaji tunyo ila pesa yakuji endelenza ndio atuna kama mimi natamani kweli mungu nitnglie
Mimi naamshauli aame bradher
Very brave ilove you so much
Daa aiseee
Ningekuwa Raisi ningempa chance awe mjeda
Nomaaaa sana safi sana ndio uanaume uo
Aajiriwe jeshini
Nafikiri akipewa mafunzo atafaulu vizuri sana.Hongera sana jamaa
Hata kama jamaa anamafunzo ya ngumi ila mwamba jasiri kwa vitendo
Natamani niwe Mimi🤣
Huyu jamaa Ni Kama mm japo kua sikusoma ningeenda jeshi
Dudo hoe naipendaa. Sana. Asiachwe jam an aende jeshh