JAMAA ALIYEWASINGIZIA POLISI KUMPA KICHAPO ANASA KWENYE 18 ZA KAMANDA MUROTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2019

КОМЕНТАРІ • 211

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 роки тому +6

    Wangp Wana Amin Kama hapo jamaa kapigwa mkwala wa Hali ya juu

  • @kidodosimichael349
    @kidodosimichael349 4 роки тому +9

    Kama kasema uongo au ukweli Mahakama ndiyo itaamua wewe Mrotto acha kujitetea!!
    Baadhi ya polisi ni vibaka na majambazi

  • @godchanssshirima7055
    @godchanssshirima7055 4 роки тому +9

    KUNAKITU NASHINDWA KUELEWA MWEZ ULIOPITA KAMANDA SIRO ALIKATAZA KUWAONYESHA WATUUMIWA KWENYEVOMBO VAA HABAR KAMA IVI INAMAANA AJAELEWAKA AU NINI NDUNGU ZANGU EBU TUAMBIZANE APO

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 4 роки тому +7

    Okay
    Hata kama n mimi lazma nitubu hapo😂😂😂

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +5

    Uchinguz uwe unafanyika kabla habari hazijaletwa kwenye media

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 роки тому +4

    Wazee Wangu. Mi naomba Mumsamehe sana,Kama mmeshagunduwa Alikunywa pombe Naye kakiri Basi Akuna sababu yakuangaika Nae Limeshakuwa Fundisho kwa Wengine walevi na Wasiokuwa Walevi.

  • @cosmeticchages1816
    @cosmeticchages1816 4 роки тому +9

    Dingi ushachanwa namjomba sirro. Mbona huelewi? Mmemtisha

  • @2pacshakur912
    @2pacshakur912 4 роки тому +1

    Si jambo zuri kamanda kujitangaza kwenye media kuna maisha baada ya kustaafu

  • @jimmycatamollel8217
    @jimmycatamollel8217 4 роки тому

    Kamanda siro your so smart Fanya kumtumbua huyu bwana mtuumiwa hapaswi kudhalilishwa..

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 4 роки тому +4

    Inaonekana kalazimishwa kuongea uwongo mpeni pesazake nasimu acheni wizi nyie

  • @hamdanhamdan5870
    @hamdanhamdan5870 4 роки тому +12

    Mwongo mkubwa namjua mtu Alipigwa Dodoma bila sababu polis Dodoma waonevu sana.

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 4 роки тому

      Dah!

    • @selemanimadeha4658
      @selemanimadeha4658 4 роки тому

      Kamanda keshathibitisha hizo taarifa za kupigwa na polisi na kuporwa simu na pesa sio za kweli wewe unabisha nini ?

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 4 роки тому +1

      @@selemanimadeha4658 je wanaotumbuliwa lukwa kwa ajili ya maonezi ,dhuluma Na kumbambikizia watu kesi za uwongo mpaka Mzee akawalalamikia.Tunawajua mapolisi ndo chombo cha maonezi Na ndo vibaka nambari moja.

    • @joelyahaya8663
      @joelyahaya8663 4 роки тому

      Kesi. Ya. Nyani. Atasema. Yariwe.

    • @joelyahaya8663
      @joelyahaya8663 4 роки тому

      Karazimishwa. Kusema. Askari. Wezi. Mbona. Sim.imeretwa. pesa. Ziwapi. Kama. Muongo. Mbona. Sim. Imerudi

  • @qadinacci
    @qadinacci 4 роки тому +3

    Kamanda Muroto, Mbona Unaongea haraka haraka sana tofauti na siku zote...

  • @johnfocus9880
    @johnfocus9880 4 роки тому +6

    Tangulini police afanye upelelezi Kwa police mpelekeni mahakamani tuone Kama nyie ni wakweli.

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 4 роки тому

    Subuhanallah

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 4 роки тому +1

    😂😂 tukutane kwa mama Eliza ..

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 роки тому +2

    Kwa uoga tulio nao watanzania, atakataa,jeshi la polisi na Serikali mmetujengea hofu, hakuna uhuru wa kujieleza.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 роки тому

    Hahaaaa jamani vyombo vya habari mna kazi

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 4 роки тому

    Mmmmmh,, bado tu! Tusilaumiane😎

  • @tanzaniasafariadventure3635
    @tanzaniasafariadventure3635 4 роки тому +3

    Muroto unafaa zaid kwny siasa maana anapenda vyombo vya habari kupita kias

  • @larckybinhaider6050
    @larckybinhaider6050 4 роки тому

    🙆

  • @kopoluwiko6013
    @kopoluwiko6013 4 роки тому +26

    Tutaaminije pengine wamemtisha ili akubari

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 4 роки тому +1

      Hapo sasa

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 4 роки тому

      Duuh sijui binadamu tufanyiwe nini kukubali mbona ni clear kila kitu ila kama mtu unazowea uongo huwezi kuridhika na hii

    • @iddyprod3187
      @iddyprod3187 4 роки тому +1

      Una maana mashahidi nao wametishwa....?

    • @kassimumuhija2874
      @kassimumuhija2874 4 роки тому

      Ww kama hutaki kuamini hulazimishwi kuamini.

    • @iddishabani7225
      @iddishabani7225 4 роки тому

      Tatizo una negative attitude about police ukiondoa hio utaelewa

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 роки тому +1

    Mtu hawezi kuwasingizia tuu mmemtisha kweli

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 роки тому +1

    Acheni kuwatisha RAIA wasiseme ukwelii

  • @weremawangwe6922
    @weremawangwe6922 4 роки тому +1

    Au kingine labda jamaa alivokuwa amelewa asubuhi akajikuta kituoni akajua askali ndio eamempiga pombe hio

  • @jimmycatamollel8217
    @jimmycatamollel8217 4 роки тому +1

    Bado hujamuelewa IGP?

  • @vicentkatemi4251
    @vicentkatemi4251 4 роки тому

    Poce mnaonea sana raia ndiyo ukweli

  • @mwelekapinde5332
    @mwelekapinde5332 4 роки тому +1

    Mtieni ndani kwanza anaadabu

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 роки тому +1

    Nendeni huko mmempigaaa kweli na mmemtishaa

  • @mbwanahussein2014
    @mbwanahussein2014 4 роки тому

    Kazi Na umri bwana 😎

  • @emmanuelmataba5997
    @emmanuelmataba5997 4 роки тому

    Hayo Mambo yapo afande ata mm nilwahi kupigwa na police nilikua na cm mbili na wallet nilipofika kituoni niliwekwa ndani na baada ya kudhaminiwa cm yangu moja haikuonekana asikali walijifanya kila mtu Hana na wallet yanguilikua na pesa baada ya kutoka haikua na pesa yyte nilipo uliza zaidi nilitishiwa tu ckuwa na jinc zaidi ya kuondok na walio tenda hayo yote nawajua kwa majina yao na sura tendeni haki jaman.

  • @jchuwatv1890
    @jchuwatv1890 4 роки тому

    Baadhi ya polisi sio wahadilifu Kamanda Muroto acha kutetea uhalifu, polisi tunawajua baadhi yao ni waporaji

  • @gwajimagwajima
    @gwajimagwajima 4 роки тому +18

    MJOMBA SI MMESHAKATAZWA NA AFANDE SIRRO KUONYESHA WATUHUMIWA ACHA UJINGA WW

  • @shedrackhm2204
    @shedrackhm2204 4 роки тому

    ...ngija ngija...

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 4 роки тому +1

    Maisha magumu jamani

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 4 роки тому +2

    Mhhh!!! Sijui kama mm nilimuelewa Tofauti IGP!!!!!

    • @jimmycatamollel8217
      @jimmycatamollel8217 4 роки тому +1

      Huyu anatakiwa atumbuliwe anakosea sana, IGP Fanya mambo

  • @mwajumakoshuma5417
    @mwajumakoshuma5417 4 роки тому +1

    Jamaa alilewa hakujua cm kaacha wapi kumbe alikuwa nayo huyo rafiki take. Duuu jamani wabongo Ni shida

  • @hubbihubbi869
    @hubbihubbi869 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Dah

  • @abdalaalmas2535
    @abdalaalmas2535 4 роки тому +1

    Ilikuaje DC kuita vyombo vya habari ofisini kwake ilihali yeye ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya kwani si angeweza kumwita ocd ofisini kwake na kujadiliana nae juu ya suala hilo sasa ona fedheha kama hizo mimi nadhani uongozi ni busara na si kumfedhehesha mwenzako ili wewe uonekane wa maana

  • @zittotv9972
    @zittotv9972 4 роки тому

    Yani huyu mroto nifala sana duuuuuuuh

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 роки тому

    Ik la kwa maelezo hayo ni kweli labda polisi walichokuwa hela ila maulevi yake

  • @judithtibandebage3227
    @judithtibandebage3227 4 роки тому

    Wewe police siulizuiliwa na Siro gauche kuonyesha watuhumiwa kwenye camera jamani Siro atakutumbua

  • @richardrogers8776
    @richardrogers8776 4 роки тому +1

    Huyu jamaa kichwa ngumu sana...

  • @saidechokozasaidechokoza3371
    @saidechokozasaidechokoza3371 4 роки тому

    Police wako sio watu wazur huwa wanyang'anyi sana tatizo njaa zina wasumbuwa police ni wezi acha kuwa beba matukio ya police kila kukicha daa mnatia aibu sana

  • @lightm2225
    @lightm2225 4 роки тому

    Hapo ni Mungu ajuae. Watuwanapingana halafu wanasema tupingepicha makubwa

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 4 роки тому +3

    munamlazimisha sirro kuwatumbua mlishakatazwa kucheza na media muda wote 'alafu taarifa ni zakweli mbona jamaa kajifikilia xana

  • @saidykipande4977
    @saidykipande4977 4 роки тому

    duuuh nchii hii sasa mmhmh

  • @mbwanahussein2014
    @mbwanahussein2014 4 роки тому

    Mzee silisha katazwa Na boss wako hii tabia au?

  • @isayachisanza7748
    @isayachisanza7748 4 роки тому +1

    kweli afande umesahau kuwa afande wako alisema nn?

  • @fatmamwinyi8102
    @fatmamwinyi8102 4 роки тому +1

    Mmetengeneza movie nzurii Dodoma mnaonea sana wananchii nyiee mnajisafisha tu sabb ameenda kwa mkuu wa wilaya sahv ndo kimbilio LA RAIA wa Dodoma lakn mroto ww unafuga maovuu hamtendii hakii hata kidogoo

    • @aminanoor5637
      @aminanoor5637 4 роки тому

      kwer kabisa tena wengi wanapenda rushwa me nipo ombolo lkn ktk magari ya ombolo tunapakiwa km ndizi na wanapita kwa matrafiki

    • @fatmamwinyi8102
      @fatmamwinyi8102 4 роки тому

      Amina Noor we acha tu half ukisema unaletewa media ukanushe mroto anapenda sana media mbn wenzake wanafnya sana kaz lkn hawana sifa za media wallah ukiona hvyoo ujue ufnyajii kaz hafifu only sifa tu watu wamuone anafanya kazii

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 4 роки тому +1

    Acha sifa wewe mmempiga ndio muache kuonea hasa wewe muroto unapenda sifa wewe na umeshakatazwa na mkuu igp ila bado huelewi

  • @kiddomafiaso6916
    @kiddomafiaso6916 4 роки тому

    Sasa hapo mahakamani anasomewa mashitaka au sielewi ukweli si unajulikana mahakamani au

  • @suleimanbakar6097
    @suleimanbakar6097 4 роки тому

    Sasa mshamtisha atasema mini?ama kweli tz soldier ni matatizo

  • @petermushy9883
    @petermushy9883 4 роки тому

    Kwani ungewapa izo taarifa ofisini wakaenda isingetosha meku IGP atakupiga makofi siku moja maana usikii mbona ni wewe tuu hausikii??alilewa pombe zimeisha kaenda hadi kwa mkuu wa wilaya bado mnasema alilewa .apo sio yeye tena kashaapangwa yani Tz bhana

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 4 роки тому +1

    Kamanda SIRO hi ni sawa?

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 роки тому

    Mnakanusha nini?

  • @mshamyusuf6332
    @mshamyusuf6332 4 роки тому

    Kuna kamchezo kamefanyika hapo

  • @barakajambery563
    @barakajambery563 4 роки тому

    Huyu LPC hufai,nimekwambia staff hiyo kazi,kuna kuogopa alfu asiongee ukweli,sasa hayo yanatuhusu nini,ungeyamalza kwenye office yako

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому +1

    Mtu mzima hovyo

  • @hajihaji6351
    @hajihaji6351 4 роки тому

    Weshampiga mkwala ila kwa kweli Kuna baadh ya police sio waaminifu

  • @mariuscyprian1235
    @mariuscyprian1235 4 роки тому

    Wewe jomba kumbe ufai hata kuwa mjeshi maneno yote hayo kumbe kukaza uwezi umezingua kweli

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 4 роки тому

    Hapa naona kuna maigizo tu

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 роки тому +2

    HUYU MPUMBAFU VIP? NILIPO PATA HIYO STORY NILIWACHUKIA SAAAANAA POLICE, KUMBE LILILEWA!!

  • @omarkiki3224
    @omarkiki3224 4 роки тому

    hapo kuna uwalakini huyo keshatishwa hata uongeaji wake unaonekana wa kufundishwa

  • @gregoryadriano724
    @gregoryadriano724 4 роки тому

    Wanapenda kudhalilisha wengine

  • @REHOBOTHFURNITUREINVESTMENT
    @REHOBOTHFURNITUREINVESTMENT 4 роки тому +2

    @diomarco furniture njoo Instagram tufanye biashara whtspp no 0656753962

  • @josephpesa5192
    @josephpesa5192 4 роки тому

    Sirro njoo umuone amerudia tena hajakoma huyu jama tumbua inaonekana anadharau

  • @baseonline4178
    @baseonline4178 4 роки тому +1

    HIZI MEDIA MNALIPWA NA HUYU JAMAA MAANA HAKIKAMATA HATA MWIZI WA KUKU LAZIMA HAMUANIKE

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 роки тому +1

    Nginjanginja kakuacha.mwenyewe

  • @franciskipara5312
    @franciskipara5312 4 роки тому

    Bado hamjakoma tu kujionesha kwenye mitandao mbona hamumuheshimu mkubwa wenu siro

  • @daudpius8591
    @daudpius8591 4 роки тому

    Hapo kunamchezo aliekuwa nasimu kwann asikuereze make yeyealikuwa analekod tukio

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 4 роки тому

    Wamemupiga na kumutisha huyu.

  • @zuzhabsia3852
    @zuzhabsia3852 4 роки тому

    Hapo hapaeleweki

  • @johnbusansa1502
    @johnbusansa1502 4 роки тому +6

    Kikubwa HAYANA MASHIKO 😂😂😂 Bw Elisha bhana 😂😂😂😂

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 4 роки тому

    Jaman mbona kama unamuelekeza jinsi ya kusema?? Mbona taarifa ya mkuu wa wilya inaonyesha malalamiko mengi hapo kwa askri wako mkuu?? Mapungufu nimapungufu tu,,hata kma nikidogo,,kuna kitu nyuma ya pazia hapo

  • @winfridmligo9802
    @winfridmligo9802 4 роки тому

    #MzeeeaTutakuaminiVpWakatiPoliceWanatumiaNguvuKubwa

  • @kamalissabig8649
    @kamalissabig8649 4 роки тому +1

    Na nyinyi muna mkandia mwenzengu hamna akili

  • @abdurabmsuya244
    @abdurabmsuya244 4 роки тому

    We mmemsimamia kooni hivo atacha kuogopa

  • @samoramdemu2834
    @samoramdemu2834 4 роки тому +3

    KAMANDA HUYU NAMKUBALI SAAANAA, GILES MUROTO PIGA KAZI BABA.

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 роки тому +1

    Pombe sio maji dogo kuwa makini

  • @alisonngaila9827
    @alisonngaila9827 4 роки тому

    Watu wanataka ukweli kama tukio lilivyokuwa limerushwa mtandaoni hivyo basi hata siro aliongea tu bila kufikir. Kufanya hivi ni sawa tu. Sasa wangewafikishia vip taarifa wananchi ambao walipata habar toka kweny hivyo hivyo vyombo vya habar.

  • @claudemmbaga1918
    @claudemmbaga1918 4 роки тому +2

    Duh, mbona kama bwana Elisha amelazimishwa kuongea jambo flan ili upande mmoja uwe msafi

  • @festomlowegypsum8214
    @festomlowegypsum8214 4 роки тому +1

    Apo panamchezo uperezi ifanyike mh igp

  • @castokasekenya467
    @castokasekenya467 4 роки тому

    hapo kuna walakini

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 4 роки тому

    polisi nyinyi tuwajua mambo yenu acheni kujikosha
    kuna polisi baadhi ni zaidi ya vibaka au majambazi mi nilishaingia kwenye 18 zao wala huniambii kitu
    muone sura yake kama anaoga oil !

  • @sultankivumbi9941
    @sultankivumbi9941 4 роки тому

    Kamanda kasemaje?ataki ago mambo.

  • @hamzamwilaphy2902
    @hamzamwilaphy2902 4 роки тому +1

    Huyu ni mchonganishi

  • @sabinaviolet805
    @sabinaviolet805 4 роки тому

    Chezea askali kaporwa maskini anaogopa

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 4 роки тому

    Mbona kama wametishiwa wakubar ya muroto

  • @masterdaveprojections
    @masterdaveprojections 4 роки тому +2

    Huyu jamaa haachi kujiproud kwenye media licha ya kupigwa mkwara na kamanda wake

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 роки тому

    Si amtaje polisi huyo

  • @robertmahiri2983
    @robertmahiri2983 4 роки тому

    Huenda ni shuruti

  • @barakajambery563
    @barakajambery563 4 роки тому +5

    Wewe siyo askali kabisa,Kama unakatazwa na boss wako kutangaza watuhumia wewe bado hausikii,mzee umezeeka achia vijana hicho cheo

  • @khaithamrubea5109
    @khaithamrubea5109 4 роки тому

    Jaman mm nimempenda alokaa nyuma ya muroto tu

  • @pambasr2345
    @pambasr2345 4 роки тому

    Huyu ni mtuhumu polic ndio waliotuhumiwa kamanda yupo xahihi .jamaa aliongopa

  • @puregamers4215
    @puregamers4215 4 роки тому

    Uyu katishwa

  • @engamidulutta1496
    @engamidulutta1496 4 роки тому +5

    Kama mnamlazimisha ivi ila kuna siri ipo imejificha

  • @mudigames5479
    @mudigames5479 4 роки тому

    Kamanda wa nchi hii ni SIRO tu...Hemu chomoa betri Mheshimiwa lile tatizo limejirudia tena

  • @paschalewamtaa726
    @paschalewamtaa726 4 роки тому

    hayupo huru uyo
    kuhusu uporaji police wanao

  • @eliakimemanuely4998
    @eliakimemanuely4998 4 роки тому

    Majizi

  • @barakamarmo8104
    @barakamarmo8104 4 роки тому

    Makubwa!!? Haki IPO kwa mungu tu but duniani huwezi ipata!!!but ukweli ni kwamba maaskari ni waonevu sana na adhabu mtaikuta kwa mungu!!! Ujanja ujanja ni mwingi sana kuliko ukweli!!!