Watuhumiwa wa ukahaba walivyoingia kwenye 18 za Kamanda Muroto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2018
  • Jeshi la Polisi mkoani Dodoma likiongozwa na Kamanda wake Gilles Muroto limeendelea na Operation maalum ya kukamata wahalifu mbalimbali ambapo limewakamata watuhumiwa 29 wa biashara ya ukahaba wakiwemo wanaume wanaodaiwa kuwanunua pamoja na wamiliki wa maeneo yanayofanyikia biashara hizo.

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 5 років тому +66

    Kama unamkubali Muroto gonga like 😂😂

    • @musarichard2934
      @musarichard2934 5 років тому +1

      uko so mmwwaa

    • @musarichard2934
      @musarichard2934 5 років тому +1

      nipe hista tukufollow mama...maana siku mingi sijakuona!..hahahaaa

    • @shodristvtv6121
      @shodristvtv6121 5 років тому

      Musa Richard thank you

    • @musarichard2934
      @musarichard2934 5 років тому

      +Shodris TV ..so check me on hista..tanzanian 9069.I will follow u back

  • @emmymwasyeba3647
    @emmymwasyeba3647 5 років тому +97

    Kma na wewe ,, mzee wa chabo kwenye comment za watu, Weka like hapa

  • @pendonziku8731
    @pendonziku8731 5 років тому +8

    Safi sanaaaaa mroto Njoo na iringaaa hapa maana hao ndio wanao tuharibia hata ndoa zetuuu wotee fyeka ndani wakajifunze huko

  • @oswardmwaipaja9469
    @oswardmwaipaja9469 5 років тому +3

    Asante sana kamanda Muroto kwa kazi unayoifanya pamoja na vijana wako,Mungu awarinde

  • @froliangrevigian9213
    @froliangrevigian9213 5 років тому +20

    ,,,,,,Ahaaaa 😂😂😂 Daaaah Cheza na Operesheni #Hekaheka Kitaani ukione Cha mtema kuni #Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mpya....

  • @merrymjema9022
    @merrymjema9022 5 років тому +4

    Kama umeskia angalia kule gonga like tuende sawa

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 5 років тому +141

    Hhahah ghafla bin vuu umemuona demu wako kwenye hyo list ya hao makahaba

    • @mohammedabdallah6390
      @mohammedabdallah6390 5 років тому +7

      Hahahahaha umenichekesha aisee hapo lazma utatamani uizoom video

    • @yohanamollel2335
      @yohanamollel2335 5 років тому +5

      Saimation Mabula# unaweza uka review mara mia ukazooom ukamatch na picha za kwenye simu yako picha zake ukampigia simu ukitaka kudhibitisha alllohhhh unaweza ukachanganyikiwa

    • @kamalmohammed3206
      @kamalmohammed3206 5 років тому +2

      Hahaaa kummke wallahy

    • @hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326
      @hyzuhuranaombanoyakoplzhus3326 5 років тому +1

      Saimation Mabula# 😅😅😅😅😅😅😅

    • @sophiejuniedy1277
      @sophiejuniedy1277 5 років тому +1

      Saimation Mabula# 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mudimadebe8267
    @mudimadebe8267 5 років тому +101

    Muroto anavo kuhoji kama vile atakwambia haya Nenda nyumbani kapunzike, kumbe ndo safari ya jela imeiva.

    • @ALIALI-uy5ob
      @ALIALI-uy5ob 5 років тому

      mhaa&hahahahahaaahahaaaaaa

    • @ibrahimkisesa8340
      @ibrahimkisesa8340 5 років тому

      Haaaaaaaa haaaaaaaa

    • @tadeymdota8480
      @tadeymdota8480 5 років тому +2

      Huyu atakuja kupewa u IGP.

    • @rehemaahamadiahmadi566
      @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому

      Mudi madebe😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @ibrahimaziz7158
      @ibrahimaziz7158 5 років тому +2

      Hhhhhhhhh aiseee yani kweli kabisa unahic km mwisho wa mahojiano atakwambia nimekusamehe usirudie tena eeeeeeenh

  • @georgemafayo2797
    @georgemafayo2797 5 років тому +53

    😂😂😂😂 punguza mdomo we Dada unakwenda mahakamani sasa hivi😂😂😂😂😂 ulitaka tukukamate saa ngapi😂😂😂😂 Afande Mroto .....hiyo ni #hekaheka yani unakimbia huku na kule😂😂😂😂😂🤗🤗

  • @elinaikeandrew1377
    @elinaikeandrew1377 5 років тому +37

    Malaya fyeka
    Wapenda vya Bure fyeka
    Mashoga fyekelea mbali😂😂

  • @givensrhoden5647
    @givensrhoden5647 5 років тому +18

    😂😂😂punguza mdomo utakwenda mahakamani sasa hivi 😂😂😂😂😂

  • @josephsanga474
    @josephsanga474 5 років тому +68

    Kama umemwonaa dem mzur coment like twende sawaa

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 років тому +40

    Jaman nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂punguza mdomo dada utaenda mahakaman 😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому +7

    Mwili mkubwa mzuri 😂😆😆😜😜 wewe mbona hutumii, Kamanda Mroto harembi, mtanyooka safari hii.

  • @marcomasanja9763
    @marcomasanja9763 2 роки тому

    Nawashukuru jeshi la polisi kwa kazi nzuri tuko pamoja

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 5 років тому +2

    Well done kamanda ukweli mnachapa kazi mnastahili pongezi.

  • @shaimamabrouk9937
    @shaimamabrouk9937 5 років тому +40

    Nampenda MUROTO.ananifuraishaga sana.huyu kamanda.Noma sana ukiingia kwenye18zake lazima uisome number

    • @ugaboy4736
      @ugaboy4736 5 років тому

      Kamanda huyo maraya anaekujibu unge mkata kofi hsna adabu

    • @gaspafredi7437
      @gaspafredi7437 5 років тому

      Safi San'a kamanda chapa kazi ivo ndivo inavo takiwa kazi njema

  • @MUKHUSINI
    @MUKHUSINI 5 років тому +16

    Big up sana Kamanda wa dodoma

  • @veronicasamson7121
    @veronicasamson7121 3 роки тому +2

    KAMANDA.. NIMEPENDA SANA ULIVOWAHOJI MHESHIMIWA KAMANDA.😀Jamaa wamejibu kwa kukiri 100%. Yani umemrahisishia Hakimu. Safi sana Kamanda wetu tunakupenda!!!

  • @allenalex.8779
    @allenalex.8779 5 років тому

    Good officer nice talk tank you

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 років тому +15

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani huyu polisi ananiua mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti mwili mkubwa

  • @salehalisaleh7685
    @salehalisaleh7685 5 років тому +4

    Nimecheka sana ila ni wkt wa kubalika maana maradhi ni mengi lkn pia Allah hakuhalalisha hii kitu kifanyike

  • @ibrahimshilinde6129
    @ibrahimshilinde6129 4 роки тому

    Hongera afande,kazi nzuri saana,wapeni shamba na majembe walime zabibu miaka (3)

  • @allenalex.8779
    @allenalex.8779 5 років тому

    Good Job officer thank you

  • @ashadimpls495
    @ashadimpls495 5 років тому +4

    Poleni kina dadapoa

  • @datiusdidace2173
    @datiusdidace2173 5 років тому +7

    😁😁😁😁😁😁😁😁
    Nimechka sana nimemuona #JIRANi yangu Aisee...Operation Saka #DadaPoa

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 років тому

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 polen madada tafuteni kazi mungu yupo pamoja nayii

  • @rosejoseph9378
    @rosejoseph9378 5 років тому

    Afadhaliiii maaana iliylkuwa shida tupu ukipita saa moja2 jioni unayakuta kibao yamejipanga kujidhalilisha2 afadhali jamani Dodoma yetu iwe safiii jmn hongera kwa jeshi la polisi la Dodoma kwa kazi nzuri

  • @jumannechapembe8280
    @jumannechapembe8280 5 років тому +5

    Lakini faida Yao ni kwamba wamepunguza ubakaji kwa kiasi Kikubwa na madomo zenge hamtowatendea haki kabisa

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому +21

    Fyekeleeni mbali kamanda, watatuharibia watoto wetu, Safi sana, Njooni msugue hamamu Oman, wengine soon tutamiliki vibanda vyetu kwa kazi halal kabisa na Allah ataibariki kwa sababu tunatafuta kialali kabisa.

    • @aishaqasim2679
      @aishaqasim2679 5 років тому

      kabisa saumu hassan hao ni wavivu wa fikra

    • @smaihsmaih2815
      @smaihsmaih2815 5 років тому

      wasugue hamam wacha wee hiyo ni busara

    • @afiaaaa755
      @afiaaaa755 5 років тому

      😀😀

    • @denickomba5058
      @denickomba5058 5 років тому

      Fyekelea mbali hao mkuu!Watapata tabu sanaa

    • @mohameddamka922
      @mohameddamka922 5 років тому

      Kusugua hamamu ndo kufanya nini naomba unielekeze dada

  • @utaani1
    @utaani1 5 років тому

    Nawapongeza polisi kwa kazi nzuri muloifanya

  • @cleopatraefatha3859
    @cleopatraefatha3859 5 років тому +6

    Yaani we Kamanda nakupenda bure huyu ndio mwenye kujua asaidie vipi wananchi wake juu ya uhalifu

    • @hajivuai3454
      @hajivuai3454 5 років тому

      Hio ndo kazi askari polisi na sio kupika raia waso na hatia

  • @felixgwalala8574
    @felixgwalala8574 5 років тому +3

    Dah!!! Jamaa anarudi kupika jera tena!!!

  • @ishamaliq5575
    @ishamaliq5575 5 років тому +1

    Safi Sana afande MUROTO tunakukubali Sana baba £ndelea kuisafisha Dodoma....

  • @abdallahrunwa1886
    @abdallahrunwa1886 5 років тому

    Hongera kamanda watu mnatakiwa kufanya kazi mda was unjanja umepitwa na wakati hili ni jeshi la mzee JPM halitaki mchezo mtakoma...!

  • @ericksangajr7173
    @ericksangajr7173 5 років тому +4

    Daaah malaya wa dodoma wapo vizuri wanaonekana hawajatumika sana

  • @carbon1435
    @carbon1435 5 років тому +6

    Huyu afande huwa ananikosha na style zake

    • @daudyernesty2512
      @daudyernesty2512 3 роки тому

      ukixikiya polis anae penda kiki ndio uyu Tanzania

    • @daudyernesty2512
      @daudyernesty2512 3 роки тому

      halafu katiba ya jamuuli ya muugano wa Tanzania haitakiwi ivyo ww muluto punguza xifa ww

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 5 років тому

    kazi nzuri sana kamanda...

  • @gracesiyon7976
    @gracesiyon7976 5 років тому +1

    Nakuunga mkona miguu na kichwa kila kitu,viva mroto viva

  • @omanioman8952
    @omanioman8952 5 років тому +13

    Wengine sio machangudoa wamewachanganya tu
    Kutaka sifa

    • @emanuelmlowe6854
      @emanuelmlowe6854 5 років тому +2

      Omani Oman kamwambie mamako anataka sifa

    • @omanioman8952
      @omanioman8952 5 років тому

      @@emanuelmlowe6854 ASTAGHAFILULAHI
      ASTAGHAFILULAHI
      ASTAGHAFILULAHI
      KWA MAMA YANGU KUMETOKEA WAPI
      SI UNIJIBU MM NILIOCOMENT
      SAWA ASANTE 🙏🙏🙏

    • @khannasiba8942
      @khannasiba8942 5 років тому

      Kama yupi aliechanganywa? Acha serikal ifanye kazi yake

    • @lugendondayanse4910
      @lugendondayanse4910 5 років тому

      Kwani unawajua wote hapo?

    • @suzanfelix8857
      @suzanfelix8857 4 роки тому

      @@lugendondayanse4910 hahahaaaaaahaaa umenifurahisha aiseee

  • @hakunamatata8065
    @hakunamatata8065 5 років тому +22

    hahaahahahahaha uyo mtu wa mwisho kiboko kaona bora hamchome mjomba wake kuliko akanyee debe peke yake

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 5 років тому +1

    Safi sana. Allah awafanyie polisi wetu kwenye operesheni hii

  • @paiwanjara3502
    @paiwanjara3502 5 років тому

    piga kazi kamanda muroto nakukubari sana kwa kazi yako mkuu MUNGU akulinde

  • @hassanmirambo5671
    @hassanmirambo5671 5 років тому +4

    Jamani hizo sukari mnazipeleka wapi jamani ukikubaliana nae anafanya na kukuuliza unataka styre gani KHAAAA,Ndio maans MH JPM katuambia tuongeze wake maana hapo kuna visu vingine vimesimama hasa

  • @georgepeter5481
    @georgepeter5481 5 років тому +12

    itakua vizuri kufanya ivyoo maana wanachofanya hao dada zetu sio poa

  • @lugendondayanse4910
    @lugendondayanse4910 5 років тому +1

    MUROTO Mungu anakuona, , atakukaribisha kwake, , mana hufanyi kwa kiki kama baadhi ya wengine. RECEİVE JESUS CHRİST

  • @KhadijaNgozi-ln4ww
    @KhadijaNgozi-ln4ww 29 днів тому

    Vizuri.sana.wakafanye.kazi

  • @gentlethegentle9607
    @gentlethegentle9607 5 років тому +5

    Kwanini unaumiza afya za wenzio afu wewe hauvuti😂😂😂

  • @mokhimji
    @mokhimji 5 років тому +8

    Hao akina dada ndio wanapunguza frustration huko Dodoma. Bila wao watu wangerushana mingumi kila siku bungeni hahaha

  • @udaudaa4051
    @udaudaa4051 5 років тому

    Napenda movies zko camanda ata sikumbuki hii sehem yangapi😍😃

  • @adamkiba8082
    @adamkiba8082 5 років тому

    Very nice strong leader

  • @elisanteshedrack2018
    @elisanteshedrack2018 5 років тому +13

    Muuza bangi imebd ajichekeshe tu.......hd kamchoma anko wake
    😂😂😂😂😂😂
    Mwili mkubwa mzuri lkn muhalifu wa madawa ya kulevya kuharibu afya za wenzako

    • @hongeramgaya714
      @hongeramgaya714 5 років тому

      Huyu kamanda kiboko huwa anichekesha sana.anyway good job tho

    • @allykazoa7065
      @allykazoa7065 4 роки тому

      Elisante Shedrack Nimecheka Mqaka Basi.Mjomba Ake Ndo Anamletea😁😁😁

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 5 років тому +5

    Hizo KAMATA KAMATA Utakuja Kukutamo Na Wake Zenu Halafu Hapo Ushahid Unakuwa Nn Wale Wanaojiuza

  • @petrojacob3509
    @petrojacob3509 5 років тому +2

    Mroto njoo Geita,wizi wa pikipiki umezidi sana huku

  • @Bigboy-nx3nc
    @Bigboy-nx3nc 5 років тому +1

    Wish this could also happen in Kenya

  • @mako331
    @mako331 5 років тому +28

    Afande msingewaleta kwenye public kabla hawajathibitika kweli ni makahaba, tusiwadhalilishe dada zetu hivyo, wanaume wako wapi? Kwani hao wadada hawakuwa na wanaume?

    • @ashaahmed819
      @ashaahmed819 5 років тому +2

      makoiga mg kweli kabisa wasisahau kua hao ndomama zetu kuwaleta hapo pia niudhalilishaji tosha sio poa

    • @iskiji5584
      @iskiji5584 5 років тому +2

      Huu ni udhalilishaji mkubwa sana. Sasa mtu akikutwa hana hatia mbele ya mahakama watamlipa fidia kwa sababu wamemuaibisha

    • @yunusdilunga4049
      @yunusdilunga4049 5 років тому +1

      Msijifanye ninyi ndo mnajua sana haki za kibinaadam.
      Kuna mtu asiyejua madhara ya Makahaba hapa? au na ninyi ni kazi zenu? Pumbavu wakamatwe na hata kama kuna adhabu ya kuwaua wauliwe tu.

    • @pielefrank7208
      @pielefrank7208 5 років тому

      makoiga mg uyu jamaa anatafuta u IGP kwa nguvu sana. Uyu anatakiwa mtu akifika mahakamn ashinde alaf amrudie kwa kes ya udhalilishaj

    • @elishaaugustino7899
      @elishaaugustino7899 5 років тому

      Nawewe mteja nn

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 5 років тому +3

    Nilimiss kinoma

  • @zikomlowe9850
    @zikomlowe9850 5 років тому

    hongeren sana jesh lapolice kwakaz nzur hao ndiyo wanatuletea maradh mtaan

  • @ombenikisunga5059
    @ombenikisunga5059 5 років тому

    kama umecheka maelezo ya muuza bangi like hapo,

  • @veronicagerald2493
    @veronicagerald2493 5 років тому +4

    Hao madada poa wenyewe😂😂wanaonekana wana hali mbaya. Hivi nani anawanunua🤣🤣🤣

  • @bahatimatiku4294
    @bahatimatiku4294 5 років тому +4

    Ghafula bin gafula unamuona Mke wako au mumeo hahaha huyo mkurya hafaiiiiii

  • @hamzachande8198
    @hamzachande8198 3 роки тому

    Sawa baba ubarikiwe sana tena sana Mzee wangu

  • @hadijampita3666
    @hadijampita3666 5 років тому

    safi sana

  • @Micpiu
    @Micpiu 5 років тому +4

    Hahahaha 😂kwanini unauza bhangi na wewe hutumii!??

  • @allylibaku5233
    @allylibaku5233 5 років тому +3

    Sukuma ndaniiii

    • @estermayaya9320
      @estermayaya9320 5 років тому

      Wachen wasomeshe watoto wao mmeshidwa kurida majabaz vibaka mnashika madada pow askar unachutwabia rais warusu madada pow wafanye kazi yao

  • @hamisijuma464
    @hamisijuma464 2 роки тому

    Kamanda kazi nzuri

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 років тому +5

    Hivi niulize mwili nao ni wa serikali, hauruhusiwi kujiuza

  • @edsonmwambokela2865
    @edsonmwambokela2865 5 років тому +21

    Kwa hilo nawapongeza sana jeshi is polis

    • @raymondmhimbano4459
      @raymondmhimbano4459 5 років тому

      Edson Mwambokela kwani tanzania kuna Shelia ya kukamata wanao jiuza je na wanunuaji wakuapi

    • @molenikamunya5799
      @molenikamunya5799 5 років тому

      Hapa kazi tu,ni wajasiriamali Kama wengine,hakuna changudoa hapa

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 років тому

    Vizuri sana asie fanya kazi asile napia mkawapime atakae patikana na ugonja azidishiwe kichapo

  • @enosh22wanyeche45
    @enosh22wanyeche45 5 років тому

    Kaz zuri sana mkuu, ila waheshimiwa watapata tabu sana vyakula vyao vinaenda jela,

  • @baragatimaingu5623
    @baragatimaingu5623 5 років тому +10

    Mtu papa lake mwenywe, wangewacha tu wanasaidia sana ata ubakaj umepungua sababu ya hao viumbe

  • @jackrinaman7521
    @jackrinaman7521 5 років тому +63

    Chakula cha wa bunge hichoooooo

  • @jeremiahsengasu6595
    @jeremiahsengasu6595 5 років тому

    Mzee hongera sana wanyooosheee

  • @gideonmbata83
    @gideonmbata83 5 років тому

    ahsante kamanda Mroto Mungu akutangulie

  • @devetgoodness2697
    @devetgoodness2697 5 років тому +25

    First to comment gonga like kam unakubli ayo TV

  • @mengibarbel5679
    @mengibarbel5679 5 років тому +3

    Hawana kazi ya kufanya hao wanatumia vitega uchumi vyao

  • @paulojoseph2176
    @paulojoseph2176 5 років тому

    Very nice

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 роки тому

    😀😀😀😀punguza mdomo dada utakwenda mahakaman sasa hv...safi sana kamanda kazi kazi mwanzo mwisho ila wachunguzwe wakosaji wafungwe kbs 😀😀😀😀

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 5 років тому +5

    Me ananikosha hapo anapouliza na kushika mtu bega

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 5 років тому +13

    Jamani wadada wazuri tena mnanguvu kbs , kwanini muuze miili yenu? Ndoo kazi rais iyo yakujidharirisha polen na mkomeshwe tu.

    • @wakwetukabisa3150
      @wakwetukabisa3150 5 років тому +1

      Muroto namkubali sana

    • @davidonesmo7024
      @davidonesmo7024 5 років тому +1

      Kamata tu haina namna

    • @hanifajumla1492
      @hanifajumla1492 5 років тому

      Waacheni wajiuze selekari wasiwahukumu wadada ao kwani Hakuna namna maana ukifungua biashara hatayakusuka tu unaambiwa ulipie mapato lakitatu unusu kwamwaka sasa tufanyaje wadada nibora kazi iyo yakudanga watuache tutafute kwajasho maana kama nipato walipe wafanyabiashara wakubwa sasa tunabanwa hatasisi vidagaa

    • @AliM-di8dz
      @AliM-di8dz 5 років тому

      @@hanifajumla1492 mmmh maisha sasa magum kwa mtindo huu watu wataishije?? Serikali ilahisishe wafanya biashara wadogo2

  • @jumavuai2967
    @jumavuai2967 5 років тому

    Asante Sana kamanda mtoro

  • @diwanilemomo4182
    @diwanilemomo4182 5 років тому

    Safi sana hii opereshen ianza kufanyika mikoa yote wanao lewa wakati wa kazi nao wakamatwe wakashulikiwe vya kutosha

  • @exaverymchilo5721
    @exaverymchilo5721 5 років тому +12

    Jeshi la polisi kumbukeni kutenda haki kamata wote hao wamezoe wanatuua mjini hapa

  • @noelammari7850
    @noelammari7850 5 років тому +3

    Kaz kwelkwel wauze nyanya

  • @tuliajuma7101
    @tuliajuma7101 3 роки тому

    Safi Sana wafanyie kazi

  • @lilakhhassan6896
    @lilakhhassan6896 5 років тому

    Safii sana mzee safi sana sasa mfindishe kazi na huyu wa dar huku kwa sokota wako kama nyuki

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 Рік тому

      Yaaani apaaaaa husipite na boyfriend wako ni wanakutukana matusi atari aixeee uwa nawaona aixeee

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 років тому +8

    kama demu wako umemuona 😀😀😀 aibu

  • @geofreyndibalema6882
    @geofreyndibalema6882 5 років тому +3

    Mimi binafsi naona bora muache maana wana tuseidia sisi ambao atujui kutongoza yaana (domo zege)plz naomba

  • @lucyzakaria1800
    @lucyzakaria1800 5 років тому

    Peleka ndan hao wasiopenda kufanya kazi wamezoea dezo kwanza wanatuzaririsha wanawake peleka ndan hao wakarime mbogamboga na matunda gerezan

  • @fundingome3096
    @fundingome3096 5 років тому

    Still can't find any definition...

  • @annachesco1288
    @annachesco1288 5 років тому +3

    malaya wakubwa nyie ndo mwatuibia waume zetu... looooooooooh msiye na haya wala mcyeona vibaya..... looooooooooooo.... mroto fyekeleaaaaaaaa mbali hao

  • @lewiswanyama2596
    @lewiswanyama2596 5 років тому +6

    Mara paa unamuona bi mkubwa wako duuuh cyo poa
    666™

  • @saidbakongo4662
    @saidbakongo4662 5 років тому +1

    Huyu kamanda angefanya kazi na Makonda ingekuwa safi sana,

  • @mustaphahassan589
    @mustaphahassan589 5 років тому

    walipe kodi hao.hhhhh utani jmniml.huu ni.mtihani sana ndugu zangu polisi hongera kwa hilo

  • @pambanomwadia4946
    @pambanomwadia4946 5 років тому +17

    kamanda wafikirie hao madada poa wanasaidia kiasi flani ubakaji umepungua ukiwa na kiu wanapatikana fasta

  • @goodnessexcellence707
    @goodnessexcellence707 5 років тому

    Very good

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 4 роки тому

    Safi tukemee dhinaa Allah atatunusuru na maradhi. YARABI MJALIE KAMANDA WETU.

  • @Respicius
    @Respicius 5 років тому +3

    Mhhh hivi hiyo nikweli au anatafuta kiki tu huyo kamanda

    • @dogohemed9629
      @dogohemed9629 5 років тому

      Respicius Revelian Chief kama kawaida yenu wazee wa kupings

    • @davidandrew9575
      @davidandrew9575 5 років тому +1

      Ina maana huelewi au hujui kama watu wanajiuza au ndo upinzani hii sio siasa

    • @raymondmhimbano4459
      @raymondmhimbano4459 5 років тому +1

      mbona haonenkani wanunuaji msipende kuhukum bila ushahidi maaan hata maandiko yana sema ukimkuta mtu anazini apigwe hadi kufa lakini kuna kipengere kinacho sema uwakute wakifanya dendo tena kwa ushahidi swali je muliwakuta je mtu akisema akikua na mpenzi wake utasemaje

    • @davidandrew9575
      @davidandrew9575 5 років тому

      @@raymondmhimbano4459 usitumie maandiko vibaya.

    • @davidandrew9575
      @davidandrew9575 5 років тому

      @@raymondmhimbano4459 we unaweza kwenda kusimama na mpenz wako sehemu wanapojiuza dada poa. Haya mambo yapo we jaribu kupita hayo maeneo yao utachoka yaani kuna wamama huwez amin kama wanajiuza mm nafanya kazi masaki njoo mitaa ya maisha club ya zamani hapa dar uone yanayofanyika au leaders. Hata neno linasema ole wake ataebadilisha neno la Mungu au kulitumia kwa faida yake

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 5 років тому

    Ongera sana

  • @anethlule4732
    @anethlule4732 5 років тому

    Big up sana