IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 вер 2019
  • IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA''
    MKUU wa jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mkutano na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya nchini wenye lengo la kupanga mikakati ya namna ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza hivi karibuni pamoja na usalama wa raia na mali zake nchini.
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App

КОМЕНТАРІ • 649

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 роки тому +17

    JE, una habari ungependa wana You Tube waijue? Tutumie au tupigie WhatsApp No: +255 657 955825 au +255 784 888982 - GLOBAL TV ONLINE.

    • @tangaoldtv1067
      @tangaoldtv1067 4 роки тому

      Safi sanaaa hii iko poa

    • @jobboniphasi1161
      @jobboniphasi1161 3 роки тому

      Mmmmh vzr vzr vzr good good umeleweka kamanda huu mwaka kweli umebadilika siro ni hiyo hasa ndo Kaz yako udumu kamanda jesh lilipotea xana kushabikia wanasiasa komesha siro tunakwamini umeonesha uzalendo wa nchi yako than k u

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 4 роки тому +128

    Some military values can be seen from this Man..., one clap for him 👏🏿

  • @kingkazeba9205
    @kingkazeba9205 4 роки тому +269

    Misajawai kuona ushamba kama huo kama nawewe umesikia hilo mwaga like yako hapo

    • @imamuhemedi4387
      @imamuhemedi4387 4 роки тому

      king Kazeba

    • @sharonpaulo8149
      @sharonpaulo8149 4 роки тому

      Aisee huyu kamanda anajielewa Sana sna sna na anajua maadili na mipaka ya kazi yake Kuna wale makamanda wachache wanao lichafua jeshi kma kushabikia vyama na kulazimishwa watu washabikie chama flani wakat ni kinyume cha maadili ya jeshi hao pia angepita nao hv. Wapo na wanafahamika na hawaachi

    • @gasperwiliam7712
      @gasperwiliam7712 3 роки тому

      Asante

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 4 роки тому +68

    Una practice Usomi wako ...Graduated Commander big up

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 4 роки тому +42

    This is a statement of commander ...big up..IGP Siro...tumepita National Service Mujibu wa sheria huwa tunawashangaa Sana. Lakini sasa uko super Big up

    • @habarikazanzibar3667
      @habarikazanzibar3667 3 роки тому

      Mstaafu, Wanaojua Jeshi wanawashangaa Polisi

    • @esteredward6980
      @esteredward6980 3 роки тому

      Dafi

    • @stn4873
      @stn4873 2 роки тому

      Sasa Mujibu wa sheria na wewe umecomment🤣🤣🤣🤣

    • @AhmedZahor-z8e
      @AhmedZahor-z8e 9 днів тому

      Bora ulivyo wapa ukweli maana hao wanajiskia kweli so masihara

  • @danieljames3017
    @danieljames3017 4 роки тому +90

    Kumbe huyu jamaa Ana akili kiasi hiki.👏👏👏👏👏👏👏

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 4 роки тому +52

    Hamna siku kaongea point kama hapa yani 👏👏 everybody is innocent till proven guilty🙌

  • @jojoekiza5400
    @jojoekiza5400 4 роки тому +25

    Show off sir kweli God bless u. Wakumbuke Tanzania 🇹🇿 inatazamwa na dunia sio local.

  • @nicolausnicolaus734
    @nicolausnicolaus734 4 роки тому +90

    Hata ulipokuwa mwanza ulituongoza vzr kwenye uchaguz mshindi alitangazzwa bila kutumia nguvu siro ni mwamba sana

    • @sadicktony9725
      @sadicktony9725 4 роки тому

      Trafic zako mzee wamekuwa wezi deleva wa tanzania ana uhulu wa kuendesha gari nchi yenye siyo yake kuliko kwake

    • @marrymafwa6458
      @marrymafwa6458 3 роки тому

      @@sadicktony9725 nadi

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 роки тому +41

    IGP you have spoken sense to these dudes

    • @kiwangodaniel1302
      @kiwangodaniel1302 4 роки тому

      Kamanda Mimi Ni local people Ila Leo umeongea ukweli kelikweli. Umesoma ukaelimika. Safi sanaaaaa.

  • @francismkenda
    @francismkenda 4 роки тому +20

    Mkuu mm tangu nimepata akil ya kujua majukumu ya IGP ilkuwa kipind cha rais Mkapa ila wewe umewazid wotee aisee heshima yako mkuu Sirro

  • @queensadick5910
    @queensadick5910 4 роки тому +32

    Umeongea point sana Siro, big up

  • @boniphacetabu2903
    @boniphacetabu2903 4 роки тому +43

    Ukweli ni ukweli na siku zote ukweli unauma na msema kweli hapendwi. IGP uko vizuri JPM hakukosea big up tuko pamoja na wewe tunakuombea sana huku kwetu MWITONGO -MUSOMA

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 роки тому +1

    IGP Siro, you are a leader & Manager , thanks for enlightening your juniors on how they should conduct themselves as professional police officers love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @chalodavid4537
    @chalodavid4537 4 роки тому +24

    Surely your good enough to be you SAIMON SIRO

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 4 роки тому +54

    Siku zote madini haya ya speech uliyafichaga wapi kamanda wangu???

  • @finiaswanguba7688
    @finiaswanguba7688 4 роки тому +8

    Skujua siro unajua kiasi hiki., nimependa sana hii, and am very much proud of you soldier.

    • @evenievarist9475
      @evenievarist9475 3 роки тому

      Safi kamanda huo ndio uzalenda wa kijeshi ,"waz,wazi mkuu.

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 4 роки тому +10

    Siro yuko Smart sana!
    Big up!!

  • @omerakisum
    @omerakisum 4 роки тому +3

    I like you IGP Sirro....keep it up....very honourable man....you deserve to be IGP.....love and respect you.

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 роки тому +35

    E bwanaaeee Leo umeongea fact kabsa,tushaelewa

  • @sayman158
    @sayman158 4 роки тому +11

    Dah SIRRO mungu akuongoze na akulinde...very inteligent Officer...unajua ubinadamu baba...

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 4 роки тому +7

    I Understand you very clear, let see what will be the next move comes from reactions

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 4 роки тому

    Your the really IGP the Republic including myself will have a pleasant night.
    May God bless your and protect your position.
    Big up

  • @frashconnect.1
    @frashconnect.1 4 роки тому

    One of the best Tanzania IGP speech of all time. Big up Police Team. Sema tu tatzo la intelenjensia ya wapinzani life basi, walindwe na wafanye siasa safi. Mkizua watu kuongea, mnatengeneza matatzo. But all the best, siku hizi tunalala bila ata kelele za mbwa.

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 4 роки тому +8

    Kweli tunawaona tofaiti sana u a true Mr siro fika pale Hai kunakijana anasumbua sana na kuzalilisha jeshi la pls kisa mkuu wa w

  • @ibrakadabra8298
    @ibrakadabra8298 4 роки тому +1

    Yani kaniosha sana kiongozi wetu IGP sirro kuanzia leo nadumisha kukupenda zaidi na zaidi kukufatilia kazi zako

  • @mkalihanzuruni4924
    @mkalihanzuruni4924 4 роки тому +2

    Siku zote ukweli haufichwi kwakupaka rangi, Hongera sana IGP Sirro kwautendaji wako mzuri wa kazi pia nakupongeza kwakuwakumbusha makamanda wako taratibu na mipaka ya kazi yao. Kiukweli kuna baadhi ya Makamanda wanapenda saana showoff ili aonekane anachapakazi, Nimefurahi sana kama umeliona hilo!

    • @rithaurassa
      @rithaurassa 3 місяці тому

      Nchi hii inatakiwa tuu watu wanye. HOFU ya MUNGU KAMA HUYU UBARIKIWE KAMANDA MUKUU BARIKIWA SANA

  • @jacksonsendama9458
    @jacksonsendama9458 4 роки тому +20

    Hadi Mimi nimekuelewa
    Daar umeongea point
    Mambosasa alikua amezidi
    Kiherehere

  • @godsongodson6087
    @godsongodson6087 4 роки тому +14

    Jambo Afande!!! Naelewa sana kitu,, CHAIN OF COMMAND,, Mm nilijua mnawatuma kumbe ni maamuzi yao binafsi,,😎😎

  • @robertakello1666
    @robertakello1666 4 роки тому +1

    I appreciate your wisdom Mr IGP

  • @princeerick372
    @princeerick372 4 роки тому +2

    Nimekuelewa sana Mkuu, WORK ETHICS is very important for any organisation

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 4 роки тому +24

    Hongera IGP umewapa ya ukweli wakinuna wawe na sababu!!
    Daah RPC anaitisha waandishi kumtangaza mwizi wakati hata mkuu wa kituo anaweza!! Lakini kiupelelezi wenzie si watakwenda mbali

    • @unambwenaiman5355
      @unambwenaiman5355 4 роки тому

      Safiiiiiiiii Sana waambie Mana Baadhi ya MARPC wameingia kwenye siasa

    • @Missionary_work
      @Missionary_work 3 роки тому

      Unaakili Sana Namba yangu iyo +255-744-191-671 unafaa kuwa rafiki yangu.

    • @stukiaally4690
      @stukiaally4690 3 роки тому

      @@Missionary_work ahsante

    • @Missionary_work
      @Missionary_work 3 роки тому

      @@stukiaally4690 so can you find Me on Whatsap for that my number. Have a good evening. My sister stukia Ally

  • @beatricelucas1454
    @beatricelucas1454 4 роки тому +1

    Nimekuelewa sana mheshimiwa Ongera sana Mungu awe nawe katika kazi yako

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 роки тому +16

    Mmmmmmmh hatari , Makavu s hayo. Hadi shida, msingi Police nikufuata maadili kutoka uvaaji Hadi utendaji wake.

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 роки тому

      Hapana binadamu tuko tofauti pls viongozi wa Tz cheo ni dhamana hata wewe Naona huna makosa km alikua hana uwezo kwanini ulimpa hiyo nafasi na wewe uliyoyaaongea sio ustaharabu hiki kitu ni very sensitive baba ukupaswa kuyaweka wazi tunachekwa sana hapo pengine huko sawa lkn hilikua sio sehemu yake ungeyachikulia kiheshima kwa kulinda hathi ya nchi yetu kumbuka vidole ktk viganja havilingani lakini uadahidiana mimi hilo sikuu GI mkono umemudhahilisha nafikiri kafanya mambo mengi mazuri na yeye ni binadamu km wewe piga moyo kond

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 роки тому

      Piga moyo konde u jitafakari hongera kwa kz nzuri lkn mimi sipendi maonevu mimi ni maskini jeuri wote tuko pamoja tusaidia e kwa mapungufu yetu

  • @cpabonnychris6315
    @cpabonnychris6315 4 роки тому +2

    This man is very clever, Katika watu wazuri rais wetu aliochagua This Igp alicheza sana ,,hongera mkuu nimeipenda speech yako.

  • @sospetermartin9811
    @sospetermartin9811 4 роки тому

    That is very important Mr Simon siro they should be looking differ as a mirror of a society

  • @mohamedmohamed614
    @mohamedmohamed614 4 роки тому +24

    Lakini huyo wa dodoma mhhhhh hapana bora umeongea ukweli mh igp

  • @aloyztv8434
    @aloyztv8434 3 роки тому

    Your right

  • @championshahidu2465
    @championshahidu2465 4 роки тому +2

    Mh. Magufuli ameonesha kila mtu/kiongozi na jukumu/wajibu wake. Asante Mh.Magu na Siro.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +3

    kweli hii ni tanzania mpya hata sifa pia hazitakiwi hahahahah safi I.G.P wetu

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 4 роки тому

    Yaani kaka yangu, umeongea ukweli mtupu. Big-up sanaa. Watu walifikia hatua ya kuwachukia mapolisi na magwanda yao ya jango!! Afadhali umeliona hilo, nadhani umeeleweka. Hotuba yako iliyojaa busara imenifanya mwili mzima usisimke kwa furaha. Mungu akubariki IGP wangu.

  • @mustafagaula3166
    @mustafagaula3166 4 роки тому +2

    Nimekuelewa sana kiongozi mkuu.....! (BIG POINT BRO)

  • @barickprogrammer
    @barickprogrammer 4 роки тому +1

    Yes SIR...big up

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 роки тому

    Saluted!

  • @allanmedi1333
    @allanmedi1333 4 роки тому +3

    For sure Mr nyakoro u deserve this position bro,enokwi agwitabhiri kaka

  • @akihose9835
    @akihose9835 4 роки тому +5

    Wewe upo vzr sna IGP yni umesema ukweli mtupu MUNGU akulinde na akupe Moyo wakusema kweli daima.

  • @nelsonrogers8532
    @nelsonrogers8532 4 роки тому +48

    Your Totally fit for that Position

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 4 роки тому +1

    I G P nimemwelewa Sana big up Mzee kwa kusema ukweli

  • @Sangaadam
    @Sangaadam 4 роки тому +6

    Cheo cha uwaziri wa Mambo ya Ndani kingekufaa sana IGP Siro you've Great vision on how to be a Leader.....!!!

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 4 роки тому

    Wow!

  • @emmanuelwilson482
    @emmanuelwilson482 4 роки тому

    well said Commander

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 місяці тому

    Ila alipelekwa Dar Mara zote watenda haki wanaandamwa na wasiopenda haki❤❤❤❤❤bigup Sirro

  • @shedrackhm2204
    @shedrackhm2204 4 роки тому +10

    Professional Police Officer. Nakubali ....

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 роки тому

    Mungu akuzidishie hekima kiongoz..Simon Sirro our IGP

  • @sakayamolel5167
    @sakayamolel5167 3 роки тому

    Mweshimiwa mungu akulinde

  • @labanhezekiel5627
    @labanhezekiel5627 3 роки тому

    Nice

  • @morgankalima5824
    @morgankalima5824 4 роки тому

    This is a real policeman officer very intelligence keep it up.

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 4 роки тому

    Safi.

  • @freshtiff1265
    @freshtiff1265 4 роки тому +1

    IGP SIMON SIRRO NAMKUBALI SANA HUYU KAMANDA 🙌🏻🙌🏻 YAANI ANAENDA SAMBAMBA NA UONGOZI WA MH.RAISI HAPINDISHI MANENO .. HALAFU SIKU ZOTE ANAONGEA POINT TU 🇹🇿 🙌🏻🔥

  • @mtatirorotale2119
    @mtatirorotale2119 3 роки тому

    Mungu akulinde kiongozi siro nasikia raha Sana. Napo onaga viongozi wenye maono naupeo mkubwa Kama huu kizuri zaidi tena hupatikani Kanda yaziwa japo watu kuambiwa ukweri huchukia Ila Acha wambiwe ukweri magufuli mungu akulinde nakukupa maisha malefu mungu ibariki Tanzania nawatu wake wote

  • @isayasewe7296
    @isayasewe7296 4 роки тому +4

    Nakukubari sana MKUU SIRO.MUNGU AKULINDE MKUU WETU.

  • @irenepeter8702
    @irenepeter8702 4 роки тому +1

    Safi sana makamanda ichi ni kubwa kuliko chama

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 4 роки тому

    Amen Amen. Mungu awape hekima yake.leo nimekuelewa. Mungu atusaidie .Amen.

  • @canaljamali9036
    @canaljamali9036 4 роки тому +4

    Dodoma,dar,arusha umewapta apo salute kwa IGP

  • @francisnyaji5000
    @francisnyaji5000 4 роки тому

    Yani sana

  • @seifchembela4346
    @seifchembela4346 3 роки тому

    Alhamdulilah mwenyez mungu akujalie heli ktk maisha yako kamanda

  • @lordrichreuben1446
    @lordrichreuben1446 3 роки тому

    Safiiii I.G.P.Ww ndyo boss wao watakuelewa sisi hawawezi kutuelewa,point kamanda unatakiwa uwe smart na ujue kufaa unform kulingana na wakati. safiiii sana

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 4 роки тому +4

    Mimi sijaona ushamba kama huo jeshini.🤣🤣🤣

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 роки тому

    Asante boss. Ni vzr kumwamsha alie lala. Akilala sana atakoroma atachafua na hali ya hewa. Asante Magu raisi muona mbari.

  • @Phonce-ei2pn
    @Phonce-ei2pn 3 роки тому

    Safi sana

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 роки тому +1

    Umeongea maneno kuntu kbs hongera mkuu kazi njema

  • @ebaraniathomas4750
    @ebaraniathomas4750 4 роки тому

    kwakweli kamanda Siro upo vizuri nimekuelewa sana polisi wengi wamekuwa wakiwaonyesha watuhumiwa kabla ya upelelezi na pengine siyo mwizi mungu akupe miaka mingi

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 4 роки тому

    Good

  • @georgedominick9405
    @georgedominick9405 4 роки тому

    Well spoken speech

  • @officer1208
    @officer1208 4 роки тому +2

    Some Dudes wataona kama you hate them but truth never die. Moja kati ya watu makini sana hapa TZ.

  • @remigiusmwageni6274
    @remigiusmwageni6274 4 роки тому

    Safi

  • @abdallaabeid4251
    @abdallaabeid4251 4 роки тому +2

    Well said IGP👏

  • @allenclemence
    @allenclemence 4 роки тому

    Wise man speak the truth hi five there

  • @yunuskomba510
    @yunuskomba510 4 роки тому

    Kweli

  • @evanswinston5102
    @evanswinston5102 4 роки тому

    Ah leo umetishaaa

  • @josephinengoda2858
    @josephinengoda2858 4 роки тому

    well said IGP Sirro

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 роки тому +4

    IGP hii spech ya leo ndio nimejua kumbe ilo jesh liko na standard km ya europe.
    Ila usipiqe kelele sana mkuu askari wenu wenqi mnaajiri kw kujuana na sio kw viqezo va elimu

  • @ebenernnko3339
    @ebenernnko3339 4 роки тому +3

    Safi hapa kidogo unaturudishiya moyo kuwa tuna IGP mwelewa vizuri lkn shida ya jeshi liko linaendeshwa na wanasiaasa

  • @ramadhanhassan4188
    @ramadhanhassan4188 4 роки тому +1

    Siro uwaga nakuku bari sanaaaaaaaaaaaaaaa safiiiisana father ake

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 роки тому

    Safii

  • @isaackiwelu1458
    @isaackiwelu1458 4 роки тому +19

    Tell them Sir, I suspect is innocent till proven guilty by the law. This habit of show off it's only in Tanzania. Mostly by the police .it's a big shame shame shame.

  • @narashaolomi991
    @narashaolomi991 4 роки тому

    Safi sana mkuu.mungu akujalie maisha marefu ili uendelee kukemea yasio faa.

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 роки тому

    Nakupenda saana silo mungu wa mbinguni akubariki naakufishe mbali

  • @athmanissa9264
    @athmanissa9264 4 роки тому +3

    Kweri kamanda cheo ni dhamana mungu akuongozeee simamia kwenye ukweri

  • @innocentsmartbarnabas7597
    @innocentsmartbarnabas7597 4 роки тому

    Babaa ulikuwa wapiii mudaa woteeee.....Mbona unaongea vituuu Konkiiiii afandee DA aah....Salute mkuu

  • @kimchi-91
    @kimchi-91 4 роки тому +14

    ILa kamanda sirro ni moto 😀😂😂

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 3 місяці тому

  • @abdulrahmandola4872
    @abdulrahmandola4872 4 роки тому

    Salute

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 3 роки тому

    Ditto safiiiii

  • @saidikambi9597
    @saidikambi9597 3 роки тому

    Kweli baba

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 4 роки тому +11

    Binasfi tangu nikufahamu ukiwa Mwanza sijawahi kuwa na shaka juu ya utendaji wako. You are very very smart, umesema RPC wanapotumia jukwaa la jeshi la Polisi kufanya siasa hunufaika wao binafsi lakini hapohapo jeshi hubaki limechafuka na kuzalilika kwa kiasi kikubwa sana! Uko sawa kabisa.
    Tangu kuanza kwa utawala huu ndiyo kuliibuka haka katabia ka ma RPC kufanya siasa za wazi mbele ya camera saaa mimi nikazani labda na hiyo nayo ni moja ya ajenda za utawala wa kipindi hiki na labda na wewe kama IGP labda unaridhia huo ujinga kumbe ulikuwa unakeleka kiasi hicho! Hongera sana mzee wangu IGP Siro natamani katiba ya nchi kama ingekupa nguvu zaidi ya hizo ulizonazo.

    • @hamismnyaya1276
      @hamismnyaya1276 4 роки тому +1

      Rock City Native unadhn tatzo liko wapi mpaka wameamua kupiga siasa?

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 4 роки тому

      hamis mnyaya Mimi sielewi lakini huo ujinga ambao IGP Siro anaupiga vita ulianza baada ya 2015 labda hapo tusaidiane kuumiza kichwa kujua nani ni chanzo Ila mimi tangu mwanzo nilikuwa simuhusishi kabisa mzee wangu kamanda Siro na huo ujinga na leo kadhirisha wazi hayuko pamoja na ujinga huo.

    • @hamismnyaya1276
      @hamismnyaya1276 4 роки тому +1

      Rock City Native Ndugu short and clear kwenye maisha ukiona mtu ana kiburi, majivuno, dharau, kujiona na mengne meng ambayo sio mazuri jua nyuma ya pazia ana vitu vinavyomsukuma au anawatu fulani wanaompa nguvu ya kutenda na kufanya lolote. Mfano anaweza akawa na pesa, elimu, mafanikio, madaraka na n. k, Tafakar hii kauli sijaongea then naamin utakua umenielewa.

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 4 роки тому

      hamis mnyaya Exactly

  • @zubeirkhamisabdallah9627
    @zubeirkhamisabdallah9627 4 роки тому +3

    Mashaalah kamanda ww ni really police officer na unajua wajibu wa police na kazi yake ongera mkuu

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 4 роки тому +1

      Zubeir Khamis Abdallah ,Ongea kamanda wetu,hao wanaojidai ni miungu watu,Makamanda watendahaki waliopita Omar Mahita,Seleman Kova,Rashid Hemed,hoyeee!!!

  • @godfreymhochi6206
    @godfreymhochi6206 4 роки тому +1

    safi sana mkuu proud of Mara regions proud of tanzania

  • @shammahlupon7945
    @shammahlupon7945 4 роки тому

    Bigup commander

  • @ojasoojaso9479
    @ojasoojaso9479 4 роки тому

    Thanx kamanda naamini wamesikia na kwenye clip wanaonekana imewaingia kweli.
    Lkn pia tuwakemee waandishi wa habari wanaogeuza ofc za ma Rpc sebule zao ,wakiamka wako huko.
    Tena wanarusha.kila kitu bila kuzin gatia maadili ya uandishi. Yaani wao na vyombo vyao na hao makamanda wachache wapenda kiki wamekuwa mahakama,kila mtuhumiwa kwao tayari wanamhukumu bila ya kuckilizwa.
    Pia JAJI mkuu akemee tabia hii ya kuingilia uhuru wa mahakama ,kwani ni mahakama tu inauwezo wa kuhukumu cyo chombo kingine ,mahakama zetu zisikae kimya uhuru wake unapoingiliwa.