KAULI TATA YA KIJANA ALIYECHOMA PICHA YA RAIS SAMIA BAADA YA AACHIWA HURU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 352

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 11 днів тому +39

    Sasa fain iyo kalipwa samia au nani 😢😢😢 picha tuu milion 5 shikamoo tanzania

    • @talibsaid8096
      @talibsaid8096 10 днів тому +2

      Sheria ni sheria tu ingekuwa we we Mzee wako katukwanwa na mtu bila sababu ungesikiaje pia maisha magumu lakini kila usiku mko bar hamtaki kujishughulisha watanzania wacheni kuchezea amani waangalieni kenya ilivyo vurugu la muda mfupi lakini litawarudisha miaka kadhaa nyuma na Jawa mawakili hawana la kufanya

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 10 днів тому

      @@talibsaid8096 tusi gani alio tukanwa pengine kachora vibaya picha kaamua kuunguza,, kusema wa tanzania hatu ji shughulishi unatulidha weye,, ukome labda wewe una maisha magumu mwenzio nishajenga na maisha yangu tuu

    • @user-wi8og3sv4j
      @user-wi8og3sv4j 6 днів тому

      Kwahio wakenya wote wameshindwa baa?

    • @user-wi8og3sv4j
      @user-wi8og3sv4j 6 днів тому

      Alitukana tusi gani

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 6 днів тому

      @@user-wi8og3sv4j hapo sasa ana njaa huyu mkenya

  • @iddidandodando6063
    @iddidandodando6063 11 днів тому +44

    Safi Sana mliosimamia kuhakikisha chaula yupo huru,Hali ya maisha ni mbaya Sana.

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 11 днів тому +32

    Kuna mijitu ipo serikalini mijizi ya pesa za umma lkn hawakamatwi wala hawashtakiwi, huyu mnyonge amechana picha tu na kusema ukweli kuwa maisha magumu amefungwa, yaani nyinyi mahakimu mtakwenda kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea wanyonge

    • @RechoMzava-gt7so
      @RechoMzava-gt7so 11 днів тому +3

      Kabisaaa na watahukumiwa kama wanavohukumu wenzao

    • @user-wi8og3sv4j
      @user-wi8og3sv4j 6 днів тому +1

      Anaetukana na mlarushwa nani mwenye madhara zaidi?

    • @SKY-fk3fz
      @SKY-fk3fz 4 дні тому

      TRA ni moja ya wahalifu

  • @Amirimwashembe
    @Amirimwashembe 7 днів тому +4

    P1 na koment zte nzur za kumpongeza kijana au kuwapongeza waliomsaidia ila mm namuombea dua ya maisha yke usalama wake kua Allah amhifadh aise

  • @user-lu8ny2gu7t
    @user-lu8ny2gu7t 11 днів тому +34

    Wacheni ujinga kwani amechoma picha ya Mungu mnaacha kushughulika na mambo ya maana kuna mijizi huko serikalini mbona hamuishitaki

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya 10 днів тому

      Iyo pesa ingeenda mojakwa Moja kusidia wananchi

    • @KASSIMMHILU-oh5ch
      @KASSIMMHILU-oh5ch 7 днів тому

      Yani 😀😀 MIMI ndio mana Adi umeme nimeweka wangu tu mana serikali Hamna kitu

  • @dulaabdallarashid
    @dulaabdallarashid 11 днів тому +20

    Kenya twachoma hadi bunge na hafungwi mtu nyie picha tu raisi amepanik

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 11 днів тому +23

    Huu ni ujumbe mwenye akili na aelewe watu wanaumia maisha magumu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 11 днів тому +2

      Ni kweli yy kasema kweli maisha magumu shida ni ipi hata huku ulaya maisha magumu juzi tumepiga kura tumechagua kiongozi mwengine muhindi tumempiga na chini juu maisha magumu 😢

  • @CeciliaShauri-vc7up
    @CeciliaShauri-vc7up 10 днів тому +5

    Kweli maisha ni magumu mno. Kuna baadhi wanakimbiwa na waume zao, mama wanabaki na watoto kwa mateso makubwa. Mungu tusaidie hatujui kesho yetu.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 11 днів тому +25

    Kuna wezi wa CAG mnawaacha mnaenda kufunga mtoto

  • @pyerinajilatu2884
    @pyerinajilatu2884 8 днів тому +2

    Mbarikiwe sana mnaojitoa kusaidia watu Kwa moyo wa upendo
    Atawalipa Mungu

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 11 днів тому +25

    Uyo kwaza. Sio raisa alipigiwa kura lini uchanguzi ulifanyika lini mimi naamini tuu tazania akuna rais rais alikufa atujachagua bado

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 9 днів тому +2

      Kwa muujibu wa katiba ya Tanzania anapokufa raisi makamu wa raisi anachukuwa uraisi bila kupiga kura nyengine, kwani kawaida ya kura Tanzania mgombea wa urais na makamu wake wanachaguliwa pamoja kwa iyo ukisema hukumpigia kura unajidanganya,INSHA ALLAH mitano tena hata kwa shari maana kinachowauma ni asili ya huyo mama si jengine lolote wala hamukutarajia kuona raisi kutoka zanzibar lakini Mungu mkubwa ameficha tusivyovijuwa,kitawauma sanaaaaa na bado

    • @mariakabonga2
      @mariakabonga2 9 днів тому +1

      😂😂😂😂 yaani uko sawa kabisa

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 днів тому

      We ni mijnga sana hatakama ujui kusoma hata picha huni​@@jumahamadomar9124

    • @emanuelnisetas7510
      @emanuelnisetas7510 8 днів тому +1

      @@jumahamadomar9124 huyo mama hafai

    • @DottoMussa-ro6rw
      @DottoMussa-ro6rw 8 днів тому

      yes,,nakuunga mkono na ndio maana Hana uchungu na ardhi yetu ama nchi yetu

  • @harshkirit6780
    @harshkirit6780 11 днів тому +17

    Safi sana. Hongereni watanzania wenzangu kwa kumsaidia ndugu yetu.. kuna mijitu serikalini wanatunyanyasa wananchi. Haya sasa wajiandae 2025 kama watapita hayamajitu PIPOZ PAWA...HAPO SAWA

    • @jaybajay9973
      @jaybajay9973 10 днів тому

      Watapita maana wasanii wa sanaa totauti tofauti eanampigia Debe

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 6 днів тому +1

      Ingelikua Samia ni mama yako mzazi ungekuj kupongeza watu km unavyofanya juu ya mama w mwengin

  • @HappyBooks-dj6oy
    @HappyBooks-dj6oy 11 днів тому +19

    Watu wananyea Mavi picha ya Samia kwenye kanga mbona hamuongei.Sio kila mtanzania muoga.Safi sana bro.Salute

    • @nancolower_8032
      @nancolower_8032 10 днів тому

      Ujinga

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 6 днів тому

      Na ya mama Yako ikifanyiwa mbele yako utasemaje samia ana familia yake

    • @HappyBooks-dj6oy
      @HappyBooks-dj6oy 6 днів тому +1

      Uyo sio Mama yako ukilala njaa hawezi kukuletea chakula ila Familia yake hawezi kuacha walale njaa.Sio Mama yangu ni raisi tu kama Marais wengine

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm 6 днів тому

      @@HappyBooks-dj6oy nakuuliz ni rais Lkn n mzaz wa mwenzako je angekuwa ni mama yako mzazi ungefurahia

  • @user-do2id6pp4g
    @user-do2id6pp4g 7 днів тому +2

    Mwinyi alipigwa Kofi lkn alisema mwacheni huyo mtu asifanywe chochote hivi jamani viongozi tuangalieni nafasi zetu no mitihani tu wala sio raha kuwa hapo

  • @user-ex4rk2yx4s
    @user-ex4rk2yx4s 11 днів тому +23

    Musiwatukuze marais kama manabii

  • @EliaShirima-rh4wq
    @EliaShirima-rh4wq 4 дні тому +1

    ❤❤tumechoka utawala wa kikoloni watupe katiba utawala huu ni wa utumwani

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 11 днів тому +6

    Anayeona ni vurugu ana maisha mazuri. Tunaoshindia buku tunafurahi sana

  • @Mona-pn2pv
    @Mona-pn2pv День тому

    Pole watanzania kwaku kosa uhuru wenu mpaka picha piya 😢 Allah awasamehe na viongozi wenu

  • @barakanyanchama4297
    @barakanyanchama4297 5 днів тому +1

    Msionee watanzania kwani hiyo picha ariyo choma niayamwenyez Mungu au niyamwanadam

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 11 днів тому +4

    Hakimu rudisha pesa za fain kwani kamchoma rais au picha wizi ulokithiri tanzania yetu

  • @BasiliClement-ql1yg
    @BasiliClement-ql1yg 6 днів тому +1

    Napenda tu kutoa hongera kwa makanda wenye uchungu na nchi yao mawakili wameonyesha uzalendo juu ya nchi yao na wananchi kiujumla

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 11 днів тому +23

    Mama samia umeona nguvu ya watanzania ndo ujue tumekuchoka

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 11 днів тому

      @@SalmaAthuman-hp3en nguvu Ujinga huo wangechoma ya Mama yako na kukashifu ungeshabikia hivi umechoka na Nani? Kwa nini mnakuwa mnapenda kuwachanganya watu kwenye mambo yenu ya na fikra zenu wewe na wenzio saw usifikili wa msifikili Kila unachoona sawa wewena wengine ni hivyo hili mnalo sifu ni Jambo la hivyo kabisa subili wazazi wenu waanze kuzaliliswa ndio mtajua

    • @NuruJuma-zv3yz
      @NuruJuma-zv3yz 7 днів тому

      Umemchaka wewe,

    • @AbdallaMpambika-bp6ub
      @AbdallaMpambika-bp6ub 7 днів тому

      Acha ujinga wewe rais mwenyew hameifanya kesi iwe rahisi kama angeonesha amechukizwa uyo jamaa angekaa jera

    • @SalmaAthuman-hp3en
      @SalmaAthuman-hp3en 7 днів тому

      @@AbdallaMpambika-bp6ub milembe iko wazi muda wote muhimbili sibishani na vichaa

    • @SalmaAthuman-hp3en
      @SalmaAthuman-hp3en 7 днів тому

      @@NuruJuma-zv3yz tumemchoka ndiyo wewe anakusaidia nini 😂kichaa ww

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 11 днів тому +14

    Uzuri amechangiwa na chenji imebaki amepata na kianzio

  • @TeleziaMwaipopo
    @TeleziaMwaipopo 4 дні тому +1

    Safii Sana kijana Kwa kumchamba MTU xxxx😅😅😅

  • @danielkanso
    @danielkanso 11 днів тому +9

    Hawa watu wameshindwa kutatua mahitaji ya wananchi kazi kufuatilia mambo ya picha si ichorwe tena kwa raisi au ndiyo tuseme raisi amechomwa short mind

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 10 днів тому +2

    Ugumu wa maisha ni kweli jamani kadi kwenye umeme kodi kubwa sana

  • @karimmveyange2558
    @karimmveyange2558 11 днів тому +9

    ASANTENI SANA WASHIRIKA. MBALI KIDOGO. LAKINI UMOJA NI NGUVU, NA MUNGU YUPO PAMOJA NA WENYE KUPAMBANA KWA HAKI

  • @MsJuniormjunyhandsomeboy
    @MsJuniormjunyhandsomeboy 10 днів тому +1

    Mubarikiwe sana wapendw

  • @zulekhamohamed3431
    @zulekhamohamed3431 9 днів тому +4

    Mume wangu amechoma picha yangu nimshitaki??

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 16 годин тому

      Fanya haraka iwezekanavo ila ujue asipochangia fain humpati tena 😂😂😂

  • @RajaaRajaa-id5wx
    @RajaaRajaa-id5wx 6 днів тому +2

    Mm binafsi huyu rais cmpend

  • @LeloJonas
    @LeloJonas 4 дні тому +1

    Hauna adabu kabisa una choma picha ya raisi

  • @user-os8qc7pl1g
    @user-os8qc7pl1g 11 днів тому +3

    Mama umeshachokwa achiangazi

  • @zulekhamohamed3431
    @zulekhamohamed3431 9 днів тому +1

    Watanzania Wana njaa

  • @user-it4uh7vu5c
    @user-it4uh7vu5c 5 днів тому

    Picha Tanzania bunge Kenya

  • @MomyMomt
    @MomyMomt 2 дні тому

    Kasema kweli bwana maisha magumu

  • @AmaniLukumay-wk6zm
    @AmaniLukumay-wk6zm 4 дні тому

    Mungu awabariki sana

  • @ShaahenAbas
    @ShaahenAbas 11 днів тому +2

    Mimi niulize kwamba kwanini aliamua kujirikodi kama picha kachora yeye na kaona hana haja nayo kwanini ajirikodi ? Kwanini aongee kwamfumo wa hasira kivile mbona hapo anaonesha mpole kama sio yeye au siku anajirikodi alilewa ? Mipaka ya wanasheria ikoje hata kutete ujinga nakooo ?
    Kwanini watu wamemtumia hela ili atoke kama hajafanya kosa kwa fikra zao ?
    Maneno ya atakaye taka kuelewa
    Jee wee uko tayari kuchorwa ama kupigwa picha na mtu kujitokeza na kuchoma picha yako hadharani na kuitupa hivo jee wanao ndugu jamaa watakuona wee picha yako iliyochomwa ni kama siiichochote wala lolote
    Jee rais wetu picha yake ya kuchora ama laa kuchomwa moto ni sawa na kwa kejeli ya maneno kama yale ?
    Akiiachiwa hamuon tatizo litakuwa kubwaa wengine wataiga ujinga zaidi ya huo
    Kuchomwa picha ya mtu ni sawa na kuchomwa mtu kweli ,kwakuwa picha ni nusu uhalisia wa mtu
    Kama anatumika kisiasa hatuwezi kuamini ?
    Jeee mtu akiiba kwako ukakuta picha imeanguka kwa kumfukuza mwizi jeee hatua ya kuanza kumtafuta mwiz utaanzia wapi ?
    DNA inaonesha damu na mtu husika kwanini isiwe picha pia inaonesha uhalisia wa mtu

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 10 днів тому

      Wao wanakosea wanaiba pesa za uma wanafanywa nini Hao viongozi mtu anachoma picha kesi mungu ndio mtoa hukumu

  • @DottoMussa-ro6rw
    @DottoMussa-ro6rw 8 днів тому

    hongereni sana watanzania hongereni sana sheria wetu,hamjawah kufeli

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n 4 дні тому

    Ndo wajue wananchi wanechoka maisha magum serikari imeka kimya tu watanzania sasa tumechoka

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 11 днів тому +2

    Una bahati angelikuwa mwamba sa hz ingelikuwa historia

  • @AbdalahMtambuka-rh1dp
    @AbdalahMtambuka-rh1dp 9 годин тому

    nyinyi munao Pinga faini kweni yeye mtuumiwa kufanya vile lengo lake nini sikujiamin na kumzalilisha rais kweni cheo. Cha rais nikikubwa sana ata kama aumpendi. Aina aja umzalilishe kama ingekua Mimi u uyo mtoto ange potea kama walio potea wengine .uyo jeuli kweni nchi Ii yababayako .Mimi mbona magufuli nilikua simpendi ila sikusubutu kumzalilisha nilituza .ishima yake

  • @user-py9jj5yr9l
    @user-py9jj5yr9l 7 днів тому

    Kwakweli mungu azidi kuwa barick sana

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 8 днів тому

    Safi sana,ni uchawa tupu wote huo unao sumbua,yaani achore yeye afu ahukumiwe,mahakama zetu ni shida sana

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 8 днів тому

    Asante sana kwa kumsaidia huyu kijana.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 днів тому +10

    Mchanganyiko kiakili maisha magumu wachache wanakula maisha, maumivu ya ndani kwa ndani mpaka mtu anaona liwalo naliwe

  • @user-bx3kl4hn6j
    @user-bx3kl4hn6j 11 днів тому +10

    Jamani jamani inamaana Samia anahadhi kubwa sana kuliko Muumba watu wanamtukana Muumba mchana kweupe hatujackia hata kufikishwa kwa mjumbe

  • @fotunatusiMsongole
    @fotunatusiMsongole 10 днів тому

    Mungu mlindee na wasiojulikanaa. Mungu anasamehee na wewe samehe

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 9 днів тому

    Tanzania 🇹🇿 sheria zinawagusa masikini tu mijizi ilitajwa na CAG ipo tu CCM hatari sana kuchoma picha kesi inachukua siku moja na kifungo hapo hapo

  • @AmaniLukumay-wk6zm
    @AmaniLukumay-wk6zm 4 дні тому

    Amepewa nani

  • @NuhuOmar-wx2ym
    @NuhuOmar-wx2ym 11 днів тому +2

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 6 днів тому

    Tupunguze kukata miti na kuchoma mkaa lakini umeme na ges vimeeeeee

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 11 днів тому

    Dogo yupo freshi mama hatumwelewi kabisha Maisha Magumu

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 6 днів тому

    At least huyu sio mnafki

  • @RashidMohamed-j9p
    @RashidMohamed-j9p 9 днів тому

    Mwenye inch kashaga kuf

  • @HasanooTozzy
    @HasanooTozzy 4 дні тому

    Mbona kama bado amjamuachia awo jamaa sina imani nao

  • @fetyalmas698
    @fetyalmas698 10 днів тому

    Na yeye alisema kbs anachoma kwa sababu Ana mungi, na kweli Mungu kamuona

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 10 днів тому

    Nchi hii naishangaa sana na kwa kweli inakwenda kubaya kwani imeacha maadili ya kwanza ya binadamu na kurukia madili ya kutetea viongozi na haki za binadamu zitokanazo na wazungu waliopotoka. Taasisi zinazoendesha mambo ya ushoga na upinzani dhidi ya maagizo ya Mungu hazichuliwi hatua kali. Ushoga na uinua juu wanawake dhidi ya wanaume ni uovu mkuu kuliko kuchoma picha ya Rais, japokuwa hilo nalo ni vyema. Miziki ya ovyo ipo huru kwenye mabasi na mitaani na kwenye TV; Wasichana na wanawake wanavaa mavazi ya uchi mitaani na maofisini lakini hakuna sheria au hatua zinazochukuliwa!!! Mfumo jike uko kazini duniani kwa matakwa ya shetani akiwatumia wazungu ambao nao hutumia wale wasiopenda kutawaliwa na Neno la Mungu.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 11 днів тому

    Huyu ndo ameukataa umsukule. Kila mtu awe huru kukataa kufanywa msukule na ccm

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 6 днів тому

    Mnamtania Mungu

  • @DormanDorman-jm3dz
    @DormanDorman-jm3dz 2 дні тому

    WAMELIPIA KODI KUPITIA PICHA .😂😂

  • @stevenkatani3047
    @stevenkatani3047 10 днів тому

    Ay mgeeni kichwa hiii serikali xo Kama mzaniavo

  • @fridagustaphmwenda6658
    @fridagustaphmwenda6658 9 днів тому

    Funzo kwa wengine maana kama hali ngumu na hiyo milioni tano je ni ndogo? Tupatiwe Mikopo tufanye biashara tu inatosha.

  • @mmungajieanpirre4655
    @mmungajieanpirre4655 2 дні тому

    🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️💯💯

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 7 днів тому

    Utashangaa anakua chizi kshachomwa sindano huyo

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 9 днів тому

    CCM wengi wezi tufanyeni tuitoe mdalakani maisha magumu kweli tena kweli

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 7 днів тому

    Tunaomba huyu kijana arudishiwe pesa zake,afanye mtaji,hali ni ngumu kweli,vitu vimepanda kila mahali

  • @KamiliLyimo
    @KamiliLyimo 11 днів тому

    Hapo.sawa.

  • @malimilandegemabunhi8528
    @malimilandegemabunhi8528 9 днів тому

    Kweli hii nchi,usipokuwa makini unawezapelekeshwa Kama kuku,watu wanacheza na media siku hiz,huyo kijana ni askar,wanatuchezea filam tuu yaani ni maigizo tuu,

  • @JacksonThobias-wc6ml
    @JacksonThobias-wc6ml 7 днів тому

    Nacho shindwa kuelewa unaelezea sana sisi tunataka tumsikie mtuhumiwa

  • @nathanpangjanda2734
    @nathanpangjanda2734 11 днів тому +1

    Wanyakyusa hao

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 11 днів тому

    Mmemlopia 5mls...je yeye ana sh. ngapi mfukoni yakuanziaa maisha...hatari HAWA ndiyo wasomi wetu wa Sheria tz.☹️☹️

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 7 днів тому

    Af nikajua syo mtanzania😅 maana ii nchi mazee

  • @RechoMzava-gt7so
    @RechoMzava-gt7so 11 днів тому

    Kwani afungwe amekosea nini kaongea kilicho moyoni mwake na ukweli mtupu maisha ya watanzania ni magumu

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 9 днів тому

    TANZANIA 🇹🇿 NDO ILITAKIWA KUANDAMANA KULIKO KENYA 🇰🇪 ILA WAPO KIMYA 😂😂😂

  • @user-lx2yc8tj5h
    @user-lx2yc8tj5h 11 днів тому +2

    Mwamba

  • @user-do2id6pp4g
    @user-do2id6pp4g 7 днів тому

    Ila hii nchi kuna sura ya mapinduzi huko mbele dalili hizi na coment hizi inaonekana watanzania wamechoka kwa kweli

  • @user-ec8zv7lq8y
    @user-ec8zv7lq8y 7 днів тому

    Safi sana mawaziri wetu

  • @MedsonUlendo
    @MedsonUlendo 3 дні тому

    Wakati fulani wanao haribu taswila ya Rais ni watendaji wake wanao chukulia kila jambo kisiasa ushauri wangu watendaji waserikali kuna jumbe nikuzifanyia kazi kwa kuhojiana nao ili wajue namna yakumshauri Rais kwa faida ya nchi yetu na utawala bora

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 11 днів тому

    Kama Raisi Samia hataingilia jambo hili na akaliwacha lifanikiwe maanayake Mama kweli kuleta mageuzi ya kidemokrasiya nchini na jakubali hukumu ya mahakama bila ya kujali lolote lile

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 9 днів тому

    Kwan kuchoma picha
    Kuna shida gan
    Hii nchi some inaendeshwa kidictetaa

  • @mosesmaduhutv7985
    @mosesmaduhutv7985 9 днів тому

    Mtu wa Mungu Mungu huyoooo

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 9 днів тому

    Sasa ukarudie tena upuuzi wako uone kama hao watapata hata hiyo nafasi ya kukulipia faini.
    Ukirudia tena unapotezwa kabisa mazimaa.
    Wewe rudi nyumbani ukajidai shujaaa😅😅

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 4 дні тому

    Kwa hiyo mtamtuma akamtukane baba yake, mama yake au viongozi wake wa dini? Huyo dogo alikosea Watanzania hatujafika katika hali ya kuwadharau watu wazima achilia mbali kiongozi wa nje

  • @user-yw7ud9th2l
    @user-yw7ud9th2l 10 днів тому

    Wanalazimisha etiserekari ya awamuyasita izokura. Kupiga nani wemarizia miakairiyobaki ya makufuri raisi. Wawanyonge

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 11 днів тому +6

    Dogo wa Tz tumekuelewa na tumekupenda kwa udogo wako message imefika ila imegusa panapouma tuombe Mungu kwamba hawajakudhuru afya yako.

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 11 днів тому

      Hebu usiwasemee watanzania semea wenzio na wewe Mliofurahi Mama kutukanwa na kuona ni Jambo lafahali na furaha Mama Samia KUTUKANWA mjiandae Mama zenu nao KUTUKANWA au kuzalishwa Kama huyu alivyomfanyia Mama nasi tutafurahi na kuchangia pesa kwa ajili ya sherehe

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 11 днів тому

      Anajitambuà huyo kijani.

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 11 днів тому

      Uchawa unakusumbua wewe sio bure.

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v 11 днів тому +3

    Umoja Ni NGUVU moja

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h 11 днів тому +1

    Kachome tena

  • @user-do1ug7de3g
    @user-do1ug7de3g 9 днів тому

    Mie ninashida nitampata wapi mwanasheria kuna mtu amenizurumu shamba

  • @JoshuakaruJoshu-pk3es
    @JoshuakaruJoshu-pk3es 9 днів тому

    Ongera chaura umemshinda shetani ulikuasawa

  • @user-pv2jh5wb1o
    @user-pv2jh5wb1o 11 днів тому +1

    Kwani alichoma mchoro au

  • @umranim5854
    @umranim5854 10 днів тому

    Ina maana huyu kutumiwa na wana siasa na ndio maana wamekimbilia kumtoa kutetea ujinga na kesho atatokea mwingine hata ogopa kufanya hivyo anajua atatetewa

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 11 днів тому

    Barikiwe

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 11 днів тому +4

    Umoja ninguvu

  • @DouglasMkude
    @DouglasMkude 9 днів тому

    Itafika kipindi watajua awajui

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 9 днів тому

    Mbona msiwapeleke wa-MWIGULU NCHEMBA MAFISAD

  • @RANKMANTANZANIACOLTD
    @RANKMANTANZANIACOLTD 9 днів тому

    Mawakili mmeshindwa kumtetea. Bwege huyo anajitafutia umaarufu

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 11 днів тому

    Labda alikoseakuchora vizuri

  • @Oswaldpaulkimario
    @Oswaldpaulkimario 10 днів тому

    Tunaomba wasio julikana sasa watamuwinda achungwe jamani

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 8 днів тому

    Duh! Maisha magum?? Ss ni wanafki xna anza Kumlaumu mtanguliz aliyebana ajira ndiposa umuhukumu mama! Mama anajitahid kufungua milango ya ajira lakin hamuoni ungejua kaz anayofany mama usingethubutu unajilaan mwenyewe kwa ujinga. Yan ww kaa ufkir vizur hom beywer msamaha kwa kejel zako hizo kwa MPakwa mafuta wa tanzani Samia Suluhu Hasan

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 8 днів тому

    hawa wapumbavu wanamtia ujinga huyo dogo mbona wawo hawachomi hawo mawakili kwani kunagharama gani wachome nao