VIDEO:Alikiba Aijibu kauli ya DIAMOND kuhusu Kutrend/ Unaweza Kununua/Kujidanganya
Вставка
- Опубліковано 12 лип 2023
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Alikiba #Diamondplatnumz - Розваги
Team kiba for life ❤️😘no mara waaaaaaaaaa...ila mwijaku nampenda ivyo ivyo😅🙌🏻
Tuache masihara enjoy ya mond na jux ni noma sanaa
We only have one G.O.A.T
🦁 of Africa
Sisi tunafurahi ila Ile kauli ya julai 😂😂imeleta impact tunainjoi sasa good music 🔥🔥🔥
😂😂😂😂
Can only be one king , long live the king kiba
🤣😂😂😂😂😂😂😂Duh Mwijaku nakuaminia yaani Mungu akupe maisha acha wenye midomo michafu wakuchukie lakini mimi nakupa bigUp
🔥🔥🔥🔥
Song nikali alikiba ft marioo
Amirazor
Wimbo Mpya 🎉🎉🎉🎉mzigo poowa Ila nakuombea mfanye Na diamond moja but nyimbo nimeikubali ❤❤❤
kazy zur, Ni mependa Marioo&Alikiba. Mozambique cabo delgada. Força
King kiba you Will me king for ever
🔥🔥🙏🙏 sumu song Kali sana alikiba ft marioo
AMIRAZOR
Mwijaku alisoma lakini hatumii elimu yake aishi bali anatumia ujinga wake kuishi maisha mazuri... Nakupenda mwijaku yang ww hufata upepo ulipo
Kasikilize ngoma ya jux na mond utajua kua Simba ni nomaa sanaa
Yes
Enjoy ni nyimbo qalii Sana😁
Mwijaku unasifa sana
Jahjjjjjjhhhhhhhhbb, et mond anaweza kununua trending. Pigen magoti simba nd king in music east Africa
Nawashangaa2 sana mkisema Lion 🦁 analipa kutred hvi sisi mashabiki anaeza tulipa kweli nimeamini sio bure yule mkaka kapost fb kasema king 👑 ana kiburi ..... enjoy lazima itred
King 👑 ni King tu itoshe kusema ivo tu
Dah! Ngoma kali kinyaaama King
Mwijaku On Duty all in all Mziki mzuri
ALIKIBA
Yani mmependezana sana marioo ft kiba
Aisee Jux na mond wameua sana
TUKAAngalie na SUMU# mario&kiba
@@sarahmuhammed6872enjoy ya jux n Kali zaidi
Ila Ngoma ya Enjoy ya jux na mond ni moto
Hauna kazi ya kufanya
Wewe alikiba ,Mario na mwijaku huyo Diamond platinumz siyo level yenu nyinyi hamuna lolote mbele ya platnumz ,na kweli itabaki kuwa kweli Diamond is the best in Tz and in east Africa
Twambie ubest wa mond mana yuko pale pale walio anza nae wako mbali wakina banaboy ila yeye bado analilia kuka namba moja youtub😂😂😂
Best wa kiki
@@babiddi8620mwache aendelee kukariri shoga huyo
Mwijaku utafika mbinguni ukiwa hoi maana unajua kula na kila mtu😅😅
😂
Mwijaku atafika mbinguni amechoka sana😅😅😅
Mwijaku the smal IQ man
TEAM MWIJAKU TUKO WAPI JAMANI
Niko hapa😅😅😅😅😅
Mwijaku muacheni basi Alikiba apumuwe jamani mkono wako unamulemea 😅😅😅😅
Hhhhhh Ako kwnye kutafuta Ugali
@@chiragahmbura9523 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunawaheshimu Wote Mnapeperusha Bendera🇹🇿🇹🇿🇹🇿
We tz ina amapiano sepa wanapeperusha kusini huko😊
Mwijaku kaharibu Interview
Mwijaku auna baya umetisha
Mario mpole alafu anahadabu nzuri
Mwijaku vip upo team gani
Kabisa ipo king 👑👑💖👑👑👑👑👑 mumefavizurikabisa
Mmmhh haya ni yadunian mnajitahidi kuyajenga kweli mnakumbuka hata kujenga huko kwa mungu juhudi za duniani mnajitahidi Sana mungu atusamehe Sana 😭😭😭
Ally na marioo noma san❤
Mwijaku ndo msemaji wa Taifa😂😂😂😂
Ila Mwijaku anazingua asee...
being diamond is not easy kmmyee tulieni julai iwaaingiie😂😂🦁
Daangote🔥🔥💯
Ego Zitakuja Kumuua Huyu Kijana
Huyu mwijaku ni Mshamba sana anapenda kujikweza
Mwijaku pale nyuma ana recodi tu badae utaskia umepaa! umepaaa!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Siku moja mtakuja kumuamini kiba😂watu wanalipia wakae trending alafu unataka ukae trending kwa nyimbo za utumbo😂😂
Kuwa chawa mbaya sana
Amapiano yenye ujumbe ndani yake na wapenda kweli.
Bongo piano iyo
Uyu mwijaku izi bahati alizitowa wapi oba jinsi anavyo mshika ali na marioo sio jambo lakawaida 😢😂😂😂😂
Kabisa🤣🤣🤣
😂😂😂
Mwijaku bana
Mwijaku mwana mama
SIMBA ALAFU KIBA REALITY BT ALL IN ALL KAZI ZOTE KALI🙏
mwijakuu taratibu shekhe punguzaa jadhbaa w3acha mwana aseme umevalia njugaaa
Mwnyjaku bn
Fanya collabo na jeshi na zuchu pia niwadogo zako😂😂😂
Ukorofi😂😂😂
Alikiba kumbe kashakua
Mwijaku utamvunja mwenzio bega
Without diamond platnumz name there is no kiba😅😅😅😅
Akuna tatizo
Hahahahaha kwel ujakoxea
Nakuamini dady.tangu ulipochipua Mac Muga kwangu ulibaki kuwa mfalme anaye dumu
Mfalme ni mmoja2 tu
Kali
Mwijaku dah angekuwa mume wangu sijui
Sumu ni noma kiba ww mkali
Hii amapiano ina ujumbe sio pombe shuuuuu shaaa shoooo tumelewa sisi walevi 😂😂😂😂
Amapiano haitaji usiriaz
Jamaa kazeeka kuwa kama dj kali mzee sasaivi naona mnapitiya upepo wa simba laleni tu wazee piyano wapi bhana nakumbuka ulisema piano uwezi kuimba LEO unasifiya 😀😀
0:14 0:16
Mwijaku the G.O.A.T😂
Na mkubali mwijaku kwa usha huri kwa alikiba azidi kuwa bega kwa bega na ali
❤❤❤❤❤😮
Mwijaku sometimes kama dem😂😂😂😂
Hivi mwijaku nimavii mbona ananuka kila kona
Jamani alikiba ameanza kuzeeka
Mwijaku nini Mbaya na wewe Lakin si uwe mbali kias Juu inteview si yako .....
0:36
Kiba ila nyimbo hiyo he aigusi hata kidogo ya jux na Diamond
Mwijaku uta F
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂 Eti! Wewe unamziba asiongee
😂😂Wewe una kitu Sai unatembea na nyota y Marioo sai Wewe ushazeeka Baba 😂😂😂
Uyo mwijaku shoga aache sengemusengewewe
Mwijaku nae😂
Mwijaku mkono😂
Shoga uyu
Jamani wandishi mpeni maiki na uyo mwijaku anatia uluma
Mwijaku wasanii wataku F
Whats the song at 2:02? Anyone? 🤠
Kweli mwijaku mbinguni hufiki kote upo
nyimbo imebuma jamaa wameikataa wanasema sio nyimbo hii ni nyingine ndio tulisema itrakua kali, Simba la Masimba Dangoteeee 😂😆😂😆😂😆😂😆😂😆😂😆
😂😂😂
Tanzania eti Alikiba na Harmonize ,Marioo wanatafuta soko ya kutrend wakati Diamond Platnumz anatoa ngoma after ngoma duniani🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Duniani gani😅😅Kama ata ngoma Kama calm down aikutrend duniani sasa diamond ni nani kwa dunia😅😅ata Africa ajukikani sana wa west Africa wamempiku almost 20 artists
@@Slattgzsasa kama Rema na Diamond unawasema hivyo, je hao kina Kiba na Marioo si ndo kabisa uchafu mtupu.
@@kilungahamis1270 wote wako ligi moja...
@@kilungahamis1270 robot followers and subs and views very fake generation...
@@Slattgzacha kulewa mapema bro kitu kizuri kinajiuza bro
Hello
Hii ngoma ya sumu hamna kitu hapa
Mwijaku basi
Mbona umekua ueleweki
Alikiba amna kitu tena 😃
We Ulo na kitu uko wapi
Kwan kuna ubaya gani he has been there for twent years....Hara akishukuka sasa duh mpumzishenj
Sasa Mwijaku si aondoe huo mkono, anamfanya asiwe confortable .....uswahili ni mwingi sana
Naona comment za watu wanasema nyimbo ya dai na jux ndo ngoma mzuri alfu unakuta Mimi sijui kama kunanyimbo imetoka zaidi ya king na marioo 😂
Hahahahahaahahahahaha
Huhuhuhuhu
Mwijaku semaji la dunia
😂
Mwijaku eti ukiona umefunikwa 😂😂😂😂 umemdisi mwambino 😂😂
😂😂😂
Hili Mwijaku yaani kila sehem lipo mpka ktk interview kinaingilia kama senge vile! Huyu baba anakera aisee
Huyo n chawa wa Mario anayetumwa kumtukana mondi