@@tomsijohnime mwenyewe namkubali sana japo cyo mtu wa kigoma mtu inabidi asifiwe akiwa anafanya vizur lakini hapa Tanzania Ni wivu umetuzidi hatutaki kumsapoti mtu anaefanya vizur hasa sisi tusiokuwa na hera wala hatujulikani popote tunawivu sana😃😃😂😂
Lukuga sio upepo ni mto ambao ukokalemie unanguvu zajabu chemuchemu yake inatokea kwenyezuwa Tanganyika unanguvu sn ukichafuka basi nyote nikifo tu ndoivyo
Huku Kenya namkubali Sana diamond nyimbo zake iko poa he's making major hits
Kwa kuongea positive things kwa alikiba ninafollow b levo sasa💯i love it
Baba Levo namkubali sana. Tanzania tunajivunia Diamond Platnumz. Bongo Fleva to the World
Unamukubali kwa sababu na wewe ni mutu wa kigoma
Tunamkubali
@@tomsijohnime mwenyewe namkubali sana japo cyo mtu wa kigoma mtu inabidi asifiwe akiwa anafanya vizur lakini hapa Tanzania Ni wivu umetuzidi hatutaki kumsapoti mtu anaefanya vizur hasa sisi tusiokuwa na hera wala hatujulikani popote tunawivu sana😃😃😂😂
Sema Huyu Jamaa nilichogundua anamprespect sana Kiba wana man safi sana nimependa
Asante baba Levo angalau umejua Alibaba pia anaweza futa upanga tena wakaaza vita
Vipi show ya Uganda baba Levo video ziko wapi😅😂😂😂😂😂
Kwan ww hukuziona??
Mbona babalevo akimuongelea kiba anamuongelea kwa heshima ila mwijaku anamuongelea simba kwa kukosea heshima
Mwijaku hujuwi kapata hajali akashonwa kichwa 😂😂😂 ule ni mwehu
ile ajali ya kichwa ndo ya msumbua mwijaku
@@alliancendabarushimana4570 🤣🤣
Mwijaku simwelewi jamaa anapayuka tu
Kumbe hii Rick media Niya hamonize😅😅😅
Bluu chawa ana point
Lukuga ni mtoni ipo Congo si upepo uo upepo unaitwa mulula
like zangu jaaman
Iyo ni uwongo baba levo lukuga ni mutonyi unaishi congo kalemie acha kudanganya watu
Rick Boss wake x Hamonaizi🤣🤣🤣🤣bila kupepesa hyo
Enjoy, diamond tz
Diamond ndio kila kitu na anawatu, wengine wote watoto, akina mwijaku wanatetea ujinga Kaa mashoga
Sema munapumuliwa
Yaan baba levo nilishaga acha kufungua interview zako ila sasa ntaanza kukusikiliza maana sasaiv unaongea kama mtu mzima sasaiv umeacha pumba
Simba❤
Saw baba yake nalevyo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Diamond mtu wa collabo. Hamna nyinbo anatoa mwenyewe. Madogo wakitunga tuu yeye anaingia😮
Yatapita zuwena mbwa wewe
Akiimba peke yake tuu mutasem anajiskia hataki kushirikian na wenzake huwez kumridhisha binadamu
Ukweli mtupu
Uwo ni usogora bin uboya!! Bro !! Jiangalie!!Wakitunga eti Yeye anaingiya!!!?? No sens Anashirikishwa Ili watoke!! Coz Ili nyimbo zao zifike mbali!!
Acha wivu kenge wew tafuta hera ukaimbe wew😊😅😅
mbuzi tu umoja akaja mbele hangu ila naamini kua ni wapili burundi
Kwani enjoy ya jux au mond
Huy kihere here ni nani😅
Siku zote unakuwaga unaongea ukweli ila leo umesema uwongo bhanaaa😅😅😅😅😅
show yanini fanya yakwako
Lukuga sio upepo ni mto ambao ukokalemie unanguvu zajabu chemuchemu yake inatokea kwenyezuwa Tanganyika unanguvu sn ukichafuka basi nyote nikifo tu ndoivyo
Huyu jinsia gani
Sasa mbona diamond kaondoshwa na jux😅😅😅
Jamaa anafanya balaa huku kwetu Uganda
baba anaongea utumbo
Kumbe harmonize na yeye ana media😂
Pesa ndogo uongo mwingi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hhhhh
😂😂😂😂
Lukuga
Hung lako mama levo 🌚🌚👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽
Ni siku mbili kenge wewe acha uwongo