MWIJAKU AMPIGIA MAGOTI ALIKIBA NYUMBA YALE BILLION 5 ALIYONUNUA DIAMOND HANA UWEZO WA KUNUNUA/MARIOO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 99

  • @supertallone1902
    @supertallone1902 11 місяців тому +8

    Cha msingi mwijaku anaongea ukwel thou anapamba san😂😂😂 sijui wambeya watasema nn kings wametishaaa♥👑💣

  • @abdulkadirnagib9639
    @abdulkadirnagib9639 11 місяців тому +5

    Hata marioo ni sapota wa liverpool kweli alikiba ako na influence

  • @baysadam235
    @baysadam235 11 місяців тому +5

    King ametisha snaaa ✊✊🇲🇿🇲🇿

  • @YusufuJaphal
    @YusufuJaphal 10 днів тому

    Mwijaku

  • @philippemukandama2960
    @philippemukandama2960 11 місяців тому +3

    Nice property, big congratulations to alikiba. You doing a great job. We are so happy and proud of you.

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh 11 місяців тому +4

    Mwijaku koo itakuuma jamani 😂😂😂😂pole pole

  • @Issayusuph-mq2fz
    @Issayusuph-mq2fz 11 місяців тому +2

    Njaaa mbaya

  • @user-dq9bx1qf9e
    @user-dq9bx1qf9e 11 місяців тому +2

    Mashaaalah

  • @user-tk3pe8rm5i
    @user-tk3pe8rm5i 5 місяців тому

    Mwijaku unaweza

  • @Kengele
    @Kengele 10 місяців тому

    Nyumba mzee sana tafadhali rangi muhimu jameni

  • @LuciahHero-yc1iv
    @LuciahHero-yc1iv 11 місяців тому +2

    Alikiba kweli umeeza may God bless you 🙏 🙏

  • @missindependent1893
    @missindependent1893 11 місяців тому +2

    Uzuri wa kuna nimzuri sana simtu kumuonyesha kila anachofanya watu wakuongea ooh hana Hata ofisi haya kesho angusheni jipya 😅😅😅😊😊kimewaramba na bado

  • @audreyirakoze7807
    @audreyirakoze7807 10 місяців тому

    King kiba😘🇧🇮

  • @user-cu8be5jo4u
    @user-cu8be5jo4u 11 місяців тому +4

    Huyu mzee duu Hera anaipata Kwa shida kweli

    • @hamisShaban-kj8zm
      @hamisShaban-kj8zm 11 місяців тому

      Alikiba ni mwamba sasa nyie mashoga mchongoe midomo

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 11 місяців тому +3

    Mmh mwijaku mwongo hekta 5 anasijua lakin au analopoka tu

  • @user-gd3zw7xb4i
    @user-gd3zw7xb4i 6 місяців тому

    Big patro kiba

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 11 місяців тому +2

    Kwan Alikiba mwenyewe anasemaje

  • @specialminds23
    @specialminds23 10 місяців тому +2

    😂😂😂😂 mwijaku anakazi nzito saana

  • @omanmct135
    @omanmct135 11 місяців тому +1

    😂😂😂mashalllah

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 11 місяців тому +4

    Sipati picha miye kwa huyu kiumbe nyinyi je

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 місяців тому

    Uko kazini kaka😂😂😂

  • @user-ki9ru8gk7h
    @user-ki9ru8gk7h 10 місяців тому +1

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 11 місяців тому +2

    Mwijaku ishala gani izo mbona ushakua freemason

  • @damianmbunda9310
    @damianmbunda9310 2 місяці тому

    Chawa

  • @user-ki9ru8gk7h
    @user-ki9ru8gk7h 10 місяців тому

    ❤❤

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 5 місяців тому

    Huyu kachizika au ni Alikiba kapangisha kapige kelele subhanallah

  • @doctorukia
    @doctorukia 10 місяців тому

    Mwijaku ana tabia za kishirikina

  • @user-dq9bx1qf9e
    @user-dq9bx1qf9e 11 місяців тому +3

    Kwan huyu nichawa Wa Ali

  • @user-rl6bi2zn8t
    @user-rl6bi2zn8t 10 місяців тому

    Umeweza Alikiba mfalme

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 11 місяців тому +1

    Ebu tazmeni ivo vidole vya mwijaku akionesha ishara za ki freemason

  • @Admin-wh2ex
    @Admin-wh2ex 11 місяців тому

    Duuh chawa Kama chawa nakuba mwijaku

  • @rahimaidd
    @rahimaidd 11 місяців тому +5

    Hivi unafikiri billion 5 makaratasi unajua kuitaja sijui kama unajua kuandika haki wanakucheka ulivyo ongopa herka 8 😂😂😂😂 uoñgo tu

    • @nellymtambo8432
      @nellymtambo8432 11 місяців тому +2

      😂😂😂 jumba jumba ila c kwa billion hizoo 😂😂😂 atuache kidogo

    • @Unity6663
      @Unity6663 11 місяців тому

      Ni katika harakati za kutafuta ugali,mueleweni tu jamani 😂

    • @davidluangisa4515
      @davidluangisa4515 10 місяців тому

      Kwa bei za mikocheni...mimi namuelewa ata kama ni chini ya hapo lakini inakarbia hapo....

  • @alexandertanzania9932
    @alexandertanzania9932 11 місяців тому +2

    Bilioni Tano .watu wa valuation wakiona wanaelewa gharama watwambie

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 місяців тому +1

      Hata bilioni moja hapo haivuki. Nyumba,inaongezeka gharama kwa wingi wa floors. ambapo Nondo nyingi kokoto zege hutumika lakini si hiyo ya ghorofa moja eneo LA kawaida
      Hapo yaweza kua milioni 200 mia tatu

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk 10 місяців тому

    Yaani mwijaku nikama upepo kilaupande yupo

  • @tkalestz9320
    @tkalestz9320 10 місяців тому +1

    Dar es salam kupata eneo lawazi pale mikochen unapata wapi naukipata nshngapi utauziwa ndonuangalie afu angalia mazingila yanyumba yenyew sio kila kitu kupinga watu awaagiz maisha jumba lapili ilo roho ztawauma wakina kwevo

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 місяців тому

      Unapokadiria gharama ya ujenzi angalia na ukubwa wa nyumba na wingi wa floors au ghorofa kwani ndio husababisha nondo nyingi kokoto nyingi na Zege kutumika. Sasa hiyo nyumba ya ghorofa moja kubwa ya kawaida vifaa gani vya ujenzi vikafika huko bilioni tano .

  • @solomonjohn8103
    @solomonjohn8103 11 місяців тому

    Wewe njaa zitakuuwa bwege achakumsifia mwanaume mwenzako kubwa jinga

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 5 місяців тому

    Nyumba gani hiyo ya bilioni 5 ,

  • @PeterPaul-pj2vi
    @PeterPaul-pj2vi 11 місяців тому +7

    Jamani njaa izi duuh mwanaume mwenzio unamfagilia kiasi icho

    • @nadzuwaMkala-cq7jp
      @nadzuwaMkala-cq7jp 9 місяців тому

      mwijaku msenge hajielew kelele zisizo isha utazan alipewa kazi aionyeshe atalipwa😏😏😏😏

    • @IshmaelLuyagaza
      @IshmaelLuyagaza 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂 Sio mchezo

    • @user-sw5yb7cm6d
      @user-sw5yb7cm6d 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-nj5sf5hz9v
    @user-nj5sf5hz9v 11 місяців тому +1

    Kunawa2 wanamawe sio lzm utmb n mgr y bei gali

  • @user-dl8sb7ph2p
    @user-dl8sb7ph2p 5 місяців тому

    Jaamaa yuko kazini wewe kalia kusema njaa

  • @mwahejaporongdt1766
    @mwahejaporongdt1766 11 місяців тому +2

    😂😂

  • @angelfalleh-wb9rg
    @angelfalleh-wb9rg 10 місяців тому

    Kwahiyo umeamua kushandaraise .. (kunena kwa lugha?) Mwijaku jmn

  • @user-ov8hr8sz4c
    @user-ov8hr8sz4c 9 місяців тому

    Bondiya Ali kiba tudu MBE eu so cambici de mozambic

  • @immanuelKibett
    @immanuelKibett 9 місяців тому

    mtu mjinga hii dunia ni mwijakuu

  • @hassanosman3824
    @hassanosman3824 11 місяців тому +2

    Mwijaku achaa kelele mpumbavu hiyo sio socia media ni ujinga

  • @ibrahimkatana7513
    @ibrahimkatana7513 3 місяці тому

    😂😂😂 huyuu adamawa na nini

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 5 місяців тому

    Hata bilioni hapo haivuki

  • @jacksonhafashimana3603
    @jacksonhafashimana3603 11 місяців тому +3

    😂😂fou de mauvais goût😂😂

  • @salimmwakaribu942
    @salimmwakaribu942 11 місяців тому

    Hyo Kwa diamond nmtoto sna afanya mziki miaka inshirini na bdo ako zero diamond Royal media😂😂😂

  • @TheTickingAges
    @TheTickingAges 6 місяців тому

    Bangi zote hizo. Mwafrika niajabu kua na magari na nyumba kubwa. una gala gala chini kwa nini sasa. penginepo ni wiivu ndo unamfanya hivyo.

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 5 місяців тому

    Hiyo ikiwa bilioni tano na ile ghorofa pale jirani itakua bilioni ngapi?

  • @shabansued
    @shabansued 11 місяців тому

    Oya lwijaku unazingua .makelele mengi .😂

  • @alisaidahamed8065
    @alisaidahamed8065 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😮😮😮😮

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 5 місяців тому

    Aielewek

  • @user-gy9uf5wm1c
    @user-gy9uf5wm1c 5 місяців тому

    Kiba ni rei

  • @the_carstar
    @the_carstar 11 місяців тому +1

    Kaangalieni ya aristotee , david sport. Alafu eti billion 5 na 3 star hotel ijengwe kwa bei gani 😂 ...hatuoni wivu ila BOQ. Inakataaa ... Ma engineer watusaidie

    • @daddieeddie5057
      @daddieeddie5057 11 місяців тому

      Hapo sio property value ni land value ndio kubwa

    • @tkalestz9320
      @tkalestz9320 10 місяців тому

      Angalieni nasehem ya eneo niwapi jmn

  • @martinmula1329
    @martinmula1329 10 місяців тому

    We mwinjaku shida ya kwako umbeya punguza bwana we mwanaume

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 місяців тому

    huyu alioa mschana toka Mombasa ivo eeh?

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 10 місяців тому

    Ukistajabu yamusa utayaona yafilauni

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk 10 місяців тому

    Mwijaku ananena kwalugha

  • @misanamohamedi8438
    @misanamohamedi8438 11 місяців тому +3

    Aacha bangi wewe hio nyumba hata bilion moja haifiki

    • @homesaickofficial7407
      @homesaickofficial7407 11 місяців тому

      Kwakua ujielewi

    • @JumaKuola-ir7zg
      @JumaKuola-ir7zg 11 місяців тому

      Wewe wajua garama ya nyumba pia?

    • @n7428
      @n7428 11 місяців тому

      Umeingia ndani ua unavyo dhani thaman ya hizo nyimba Ina zidi wapi google basi kisha ujue

  • @ThobiasToto-os4mf
    @ThobiasToto-os4mf 10 місяців тому +1

    hiyo nyumba kwa sisi mafundi haiwezi kufika bi

    • @tkalestz9320
      @tkalestz9320 10 місяців тому

      Hahahaha et kwassi mafund wakat unajenga vbanda unatakiwa uanalgalie naeneo niwapi kiwanja kmepatkanka sio unakall tu apo nmikochen ndugu

  • @ThobiasToto-os4mf
    @ThobiasToto-os4mf 10 місяців тому

    wewe unacheza na b5 hiyo nyumba siyo samani yake

  • @moudys
    @moudys 11 місяців тому

    Nyumba imechakaa

  • @Ezra_55
    @Ezra_55 11 місяців тому

    Damn old house 😂😂

    • @pascojm6816
      @pascojm6816 11 місяців тому

      Yako mpya ikwap mzee

    • @Ezra_55
      @Ezra_55 11 місяців тому

      @@pascojm6816 🇺🇸🇺🇸

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 10 місяців тому

      @@Ezra_55umaskini mbaya kijana utakufa vibaya mno

  • @abdallahhamic3586
    @abdallahhamic3586 11 місяців тому +1

    Huo mtupu nyumba sio yake

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 10 місяців тому

    Nyumba ya kawaida ila sio ya billion 5 ni uongo
    But km anaimiliki congratulations asitudanganye km ile ya Harmonizer na Diamond maana mmiliki ni mmoja nyumba zote na tunamjua

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 5 місяців тому

    Bilioni tano ni ghorofa refu si kama hill MTU anataja tu akidhani watu hawajui gharama za ujenzi

    • @Blacksoul_tz
      @Blacksoul_tz 5 місяців тому

      Jenga yakoo sasa

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 5 місяців тому

      @@Blacksoul_tz Wengi tumejenga vigorofa vya hivyo na tunajua gharama ya ujenzi wa ghorofa huletwa na nini. Kama hujui urefu wa ghorofa ambao huhitaji mondo nyingi zege lingi kokoto nyingi na vinginevyo ndio gharama hua kubwa hako kagorofa kamoja gharama zisababishwe na nini? Bilioni unaijua au unaisikia tu

    • @officialsbjovea5822
      @officialsbjovea5822 5 місяців тому

      Umejenga au fundi ujenzi​@@hashimchaoga9566

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 11 місяців тому

    Hata hakili ww huna mpumbavu ww

  • @user-ef7wb9ds7z
    @user-ef7wb9ds7z 4 місяці тому

    Mwijaku acha ushamba kila kitu unaona ajabu ,acha ulimbukeni Luna watu wana majumba mzuri kulikov hiyo yako wala hawjisifu acha masifa ya kijinga

  • @hamadyasin7429
    @hamadyasin7429 11 місяців тому

    Unamtia aibu tu mwenzio nyumba gani hyo kama makumbusho

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 5 місяців тому

    Anamtaja Mungu Kwa viatu kijinga