Maua Sama: Alikiba ni Mwanaume Mzuri Anavutia | Nipo Tayari kwa Lolote
Вставка
- Опубліковано 30 вер 2024
- " @officialalikiba ni mwanaume mzuri anavutia pia ni kaka yangu hivyo sikuona shida kurekodi video ya wimbo wangu wa #Zamani huku nikicheza naye kwanza nipo single na yeye yupo single" @mauasama
😂😂😂 eti kaka ndo umkalie vile kwenye mapaja alafu yeye alikiba uso wake anakugusa kwenye ziwa lako maua wewe jiangalie sisi watu wazima tumeona vzr ile video eti kaka we
Amesemaa ukwerii wakee jmn mwijaku nn lakini
Dah maisha haya demu anamtaka Ali kiba kilazima
mmmhh sasa wew maua sama mbona ali kibaa sasa mzuri kuliko wew itawaje?
ww bwege c tumempenda shemej le2
Suala la Nyumba Maua limekujaje kwenye hii mada😆
Mwijaku hilo pala lang'aa
Mauwa anampenda alikiba hawezi ficha hisia zake tena
Huyu dem mbaya bhna hata bure me ctaki
❤ kila mutu iko huru kama anapenda alikiba iyo ni isiya yake siyo kumulaumu
Ukweli nayo ni kua Alikiba anavutia kw wote. Kwanza hananga pupa mingi 🎉❤
Dunia tyuu wacheni wenzenu msiwajadili kwani maisha yanaenda kwa bahati
🔥🔥🔥🔥
Tafadhali naomba munitafutie number ya maua sama
Njoo kwngu mm
❤❤❤
mauwa nichek DM
❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂maua me napenda ivyo
😆🤣
New hit loading
😂😂😂
Tatizo huna uzuri wowote Kabisa
Wew ndo mwenye uzur
Koma wew😏
Mhhhh maua sama kiba huyo n mtu wako na mpo kweny mahusiano
Washaingia kwnye mahusiano hakuna haja ya kuanza kuzunguka hapa
MAUA SAMA mwenzio nipo tayar kuuza FIGO ili niwe nawe.I LOVE YOU ❤
😂😂😂😂😂😂
Dooh