DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #Diamondplatnumz #FOA

КОМЕНТАРІ • 769

  • @alawithebestconcept-as1005
    @alawithebestconcept-as1005 2 роки тому +3

    Nice interview with the Truth thinkings mr SIMBA . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 роки тому

    Jaman weweeeeeee diamond......love u haki
    ..💞💕💞💕

  • @OphoroTube
    @OphoroTube 2 роки тому +72

    Sawa SIMBA 🦁

  • @imankanyonyi3786
    @imankanyonyi3786 2 роки тому +1

    King kiba noma🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Lando_Anthony
    @Lando_Anthony 2 роки тому +1

    King kiba

  • @morishohamim6907
    @morishohamim6907 2 роки тому +9

    Hungemtaja Kiba katika ep yako sijue sura yako ungeiweka wapi kwa sababu kiba njo kiki yenyewe

  • @adamshaban7647
    @adamshaban7647 2 роки тому

    Bwege anajikosha

  • @mikaanzuruni5469
    @mikaanzuruni5469 2 роки тому +1

    Basi mfanye Ngoma

  • @michaelljackson1652
    @michaelljackson1652 2 роки тому

    Ndio maana nakubali sana mond

  • @bognames6570
    @bognames6570 2 роки тому +1

    Kumbe bado hajakua huyu

  • @nehzreal7445
    @nehzreal7445 2 роки тому +17

    Umenipendeza kwa kumpa heshma the king of bongo flavour #Alkiba since 2003 likes for kiba zije

  • @delimachesa4916
    @delimachesa4916 2 роки тому +65

    KINGKIBA THE CROWN IS YOURS 👑😂😂😂

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 2 роки тому +25

    Ali kiba is a generational singer....since he came out 2007 he has still maintained....much respect from Kenya 🇰🇪 2022

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 роки тому +9

    Mnafk mkubwa wew asiyekujua nan wew kwenye Media mtu mzur lkn nyuma yakamera nyoko

  • @lanafelix8649
    @lanafelix8649 2 роки тому +17

    Diamond bila kumtaja Kiba Ep yake haina mfuto wowote

  • @morishohamim6907
    @morishohamim6907 2 роки тому +7

    Bila Kiba wewe ni Bure tafuta kiki kama zoezi lako Bali Kiba yupotu na atabaki kua mfalme Wa bongo fleva

  • @chripinejodo3379
    @chripinejodo3379 2 роки тому +14

    Wacha majivuno kaka....the songs in Ali's album are all heat songs...ww sai Hadi utumie wasani wenye nyota Yao inangaa kama Zuchu na Mbosso....

  • @peterkerenge9207
    @peterkerenge9207 2 роки тому +28

    "siku nikifaa bado mtabaki na umoja?" strongest line ever,kama mna boss anawawazia wafanyakazi wake mambo haya basi is da best place to be.

  • @guzomc255
    @guzomc255 2 роки тому +51

    Simba kwenye Ep.yako umejitaidi sana ila kuhusu album ya king ni fire ilekinoma. ..mule nyimbo zote zimenyooka yote kwa yote mnastaili sifa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @immuramadhani4414
    @immuramadhani4414 2 роки тому +29

    ama kweli sisi ngozi nyeusi akili hatua diamond kamuongelea alikiba kuwa ni kaa ake pia kaanza mziki kabla yake kwahio anampa heshima ila sasa kwa mashabiki maandazi wanaongea vitu vya kipuuzi kweli kweli yaan hadi mnaboa 😀😀😀

    • @ibradx3029
      @ibradx3029 2 роки тому +4

      Cc nyani mwanangu hatunaga jema hasa bongo kuna majitu masenge hatar

    • @elfromusic8259
      @elfromusic8259 2 роки тому +2

      Pamoja dangote

    • @immuramadhani4414
      @immuramadhani4414 2 роки тому +1

      ndo maana sisi watu weusi kila kitu cha hovyo tunaletewa sisi kwa sababu ya akili zetu haziko sawa sis tunachojua ni comment za mitandaoni tu

    • @chelseafcinafrica4313
      @chelseafcinafrica4313 2 роки тому

      .

  • @boblamasmage305
    @boblamasmage305 2 роки тому +7

    King kiba moto yao mkubali uyo nihatari

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 2 роки тому +144

    Album ya Kiba ni kali kwa kweli nyimbo nyingi zitadumu kwa muda mrefu, japo zuri kwa Ali hajisifu kokote kuhusu mauzo kuhusu pesa, na huo ndo utu wenyewe

    • @zanifarabdullah5756
      @zanifarabdullah5756 2 роки тому +8

      Umeongea vizuri sana

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +5

      Mauzo hayaihaji kujisifu bali ukiingia kwenye digital platforms streamings kila kitu kinaonekana, hiyo ujisifu au usijisifu hakuna siri linapokuja suala la mauzo.

    • @bongoupdatestv9322
      @bongoupdatestv9322 2 роки тому +6

      Hata asipojisifu watu watamsifu kama angeuza sana coz namba zinaonekana tu huwez ongopa

    • @rosemaryisdory9861
      @rosemaryisdory9861 2 роки тому +1

      Your 💪

    • @frankdzombojun1343
      @frankdzombojun1343 2 роки тому +4

      Siku zote pesa hazihitaji kelele. The king must be respected.

  • @aliyulukiza8857
    @aliyulukiza8857 2 роки тому +15

    Alikiba ni Alikiba tu huwezi kumpata popote,anaweza kukaa kimya hata miaka mitano na akirudi bado atahit tu.

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 роки тому +24

    Ingawa ww ni mnafki mkubwa, na unapenda kujifanya usionekane mbaya, kama unaujua ukubwa wa king kiba nisaw kbxxx

    • @millhamissa7490
      @millhamissa7490 2 роки тому +1

      Punguza makasiriko

    • @owenmutale6691
      @owenmutale6691 2 роки тому +1

      Makasiriko hayo

    • @zaujiajuma8260
      @zaujiajuma8260 2 роки тому

      🤐🤐

    • @eshasozy69
      @eshasozy69 2 роки тому

      Tena nyoka mkali sn uyo harmonize awezi kumuongopewa yale maneno yte arf smuezi yle kaaga kwao arf kutoka wsb alikuwa amejipanga

  • @yusuphbotea2951
    @yusuphbotea2951 2 роки тому +18

    ila uyu jamaa mbele ya camera unaweza sema mtakatif kumbe hit zoteee za dogo ujasikia kwel unaonekana una chuk kweny moyo wako

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +2

      Ametumia kipimo cha mauzo kwenye digital platforms na haangalii kelele za mashabiki mandazi, hit songs hazihitaji kelele bali streams za kwenye digital platforms ndiyo zinakupa majibu.
      Sasa wewe ingia huko ndipo ubaini kama amesema ukweli au amedanganya.

    • @mariyammariyam6584
      @mariyammariyam6584 2 роки тому +1

      @@unclepwechnov1381 inahusu akwende

    • @yakwetutv8525
      @yakwetutv8525 2 роки тому

      Juma natural nae?

  • @marymuna5810
    @marymuna5810 2 роки тому +6

    Hivi unaweza kufananisha albam ya kiba na huo uchafu wako ulioufanyia kiki mwezi mzima kama ww ni bora usifanye kiki uone kama utatoboa unazungumzia wasanii wenzako vibaya mwanaume hutakiwi kuwa.mswahili sifa zimekutawala

  • @sunshinemusic9327
    @sunshinemusic9327 2 роки тому +37

    I always respect this guy by the name diamond if you also love him just like my comment.

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 роки тому +6

    nimekuj kuwasababu ya mfalme Albamu yake ni hater nasio hii yako ya kiki kuimba wenzio

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      Ili hit kwenda wapi?

    • @mariamseleman4631
      @mariamseleman4631 2 роки тому

      @@009biafra8 acha bangi

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      @@mariamseleman4631 Ndo unambie kuma lako wee kwamba il hit wap m siongei kama Mpumbavu mwenzako.. we have to talk statistically

    • @mariamseleman4631
      @mariamseleman4631 2 роки тому

      @@009biafra8 Kuma la mamaako mara10000000000 acha bangi msenge baridi ww

  • @onestkasmir1534
    @onestkasmir1534 2 роки тому +5

    Linataka kusema foa pamoja na a boy from tandale kuna nyimbo zilzozd albam ya king kiba mmmmh aaah wapi na cku zote ukiona mtu anajisfia mwenyew hivo anza kujua kaogopa hahahaa gemu inabdlika kunayo sasa hivi harmo ali kiba kunayo marioo wanataka kiti sadal wapishee maana foa nyimbo kumi ni moja ya kutaja majina ndio inackikaa

  • @khanifakhalfan9500
    @khanifakhalfan9500 2 роки тому +14

    Mm sina ushabiki wa timu yyte lkn kwa hili mond tuache maaan unajiproud sana na hakuna cha maana unchofanya mm ninachoamn kiba na harmo wanaimba mziki mzur tena wenye mafunzo ila wew uNatoa nyimb sizizo eleweka all in all kinachokusaidia wew au tofaut yenu nyny ni kwamba wew unajua kupromot kitu japo kwa fos ilimrad kiende wao wakitoa wanaacha fans zao ndio waendeshe acha mambo ayo fanya mziki km ulokua unafanaya zman si sasa bro

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 2 роки тому +4

    😂😂 mondi bna bil kumuongelea kiba mamboyko hayaend

  • @bingobilaly7808
    @bingobilaly7808 2 роки тому +4

    Jiulizeni mbona kachukiwa na professor jay kwanini tofauti na wasanii wengine🤔🤔🤔

  • @mwajitajunior7633
    @mwajitajunior7633 2 роки тому +38

    Ali kibaa ni legend kwnye mziki Tanzaniaaa...si kumzidii diamond Tu Bali wengi Kati ya wasaniii alipoanza mziki alikiba walikuwa hawatambuliki wala hawakuwa wanatarajiwa

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому +2

      Yupo kwa kiki ya Diamond ila huwezi linganisha Diamond na takataka hizo

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 2 роки тому +2

      Anamzidi mond na nn nambie plz nijue

    • @mwajitajunior7633
      @mwajitajunior7633 2 роки тому

      HAKUNA ANAYEKTAA....KUWA RECENTLY PLTINUMZ IS ABOVE DA REST.....LKN WHAT Am saying yaan kiukomavu kimziki anafaa kumpa respect

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 Рік тому

      Pia kiba asingonekana kama siyo kina dully so tamaa ni taji la ufalme wapewe kina dully k8n mr blue hukoo

  • @nestorymethew5314
    @nestorymethew5314 2 роки тому +6

    Kwa hyo tunakubaliana kuwa alikiba kashindikana😆😁😁

  • @morishohamim6907
    @morishohamim6907 2 роки тому +2

    Tumeisha kuzoea Bwana kikitu huna lolote ulimkuta Kiba na utamuacha kama ulivyo mkuta na bado utapotea kabisa

  • @K25795
    @K25795 2 роки тому +98

    SASA DOMO ANATAKA KUSEMA KWENYE ALBUM YA KIBA NI UTU TUU NDO ILIYO HIT SI UKOROFI UYOO ALBUM YA KING KIBA NI HIT 🔥

    • @jastinjustus6878
      @jastinjustus6878 2 роки тому +2

      Kwel ilo

    • @svt3
      @svt3 2 роки тому +11

      Kytet Mackam: Diamond ndio msanii pekee mwenye maendeleo ya kuonekana Tz msanii mwenye media yake sio wakuomba airtime Clouds na EFM heshima saana kwa Simba

    • @slimmuhabesh2400
      @slimmuhabesh2400 2 роки тому +10

      Hajataja Ni Album Ya Msanii Gani.. Huo ni uchonganishi mzee

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 2 роки тому +1

      Mbona in lia Sasa😂😂😂😂

    • @jaffarsaid8344
      @jaffarsaid8344 2 роки тому +1

      @@slimmuhabesh2400 we hujamsikiza kaa usikilize alafu ndio ufungue kinywa

  • @chodohbbway2843
    @chodohbbway2843 2 роки тому +26

    Nyimbo zote kwenye album ya alikibaaa kali sio utu pekeeeee niteke

    • @AlekyzTheGreat55
      @AlekyzTheGreat55 2 роки тому

      Kuna kitu kinaitwa hit song..
      Utu ndio hit peke yake ata kwenye hii FOA mtasuburi inasonga zaidi ya zote

    • @herikaniugu
      @herikaniugu 2 роки тому

      Utu Moja > FOA yote

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 2 роки тому +205

    King is to be respected by everyone 👑 Kiba

    • @mankarichard5851
      @mankarichard5851 2 роки тому +1

      Alafu wat did he meant kwamba kwa ali nyimbo iliyohit ni mojA ktk album yake??

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +5

      @@mankarichard5851
      Ndiyo wimbo ulio-hit kwenye album, nyingine zilipotea lakini huo bado una-trend.

    • @zanifarabdullah5756
      @zanifarabdullah5756 2 роки тому +1

      @@unclepwechnov1381 wewe unajua maana ya nyimbo

    • @mankarichard5851
      @mankarichard5851 2 роки тому +3

      @@unclepwechnov1381 mhhh sio huo tu albamu ya kiba ina hit nyingi aseh sio utu tu

    • @mankarichard5851
      @mankarichard5851 2 роки тому +3

      Tukiachana na ushabiki albamu ya alikiba yani nyimbo zake zote n mziki mzur mziki utakaoishi.sio utu peke ake aseh zipo nying

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 2 роки тому +5

    Toka wewe huna lolote mshamba wewe hata useme nini nipe mkono tushindane kwanza

  • @zedennjate548
    @zedennjate548 2 роки тому +14

    King of bongo flava alikiba ni Kama Maji.

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 2 роки тому +19

    KingKiba is Utu na utulivu that's say👑👑🙌🙌

  • @rameckgototv4397
    @rameckgototv4397 2 роки тому +4

    Husemi ukweli tatizo ndo kinachomuuzi muuni hata hapo umedanganya

  • @benjaminimisuwi1883
    @benjaminimisuwi1883 2 роки тому +7

    Alikiba atabk 👑 king t na n mwanamuziki sio msanii wa muziki km diamond ngoma moko inakonga myoyo kila kukicha utadhani verse mpya respect for king kiba

  • @Jaxon_7
    @Jaxon_7 2 роки тому +17

    King Kiba Noma....🇰🇪 🇰🇪

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 роки тому +1

    Acha unafiki mwambino pritending aikusaidiii😝😝😝😝😝😝😝😝😝

  • @WORDOFMYCREATOR
    @WORDOFMYCREATOR 2 роки тому +5

    Huyo ndo Kiiini.Atupishe.Tangu aoneshe kuchukia Harmonize, ndo tukarudi kumpenda kaka yetu Tembo.He Was my WORLD Favorite.But now personally I hate how he tries so hard to bring Harmonize down which infact shows how bad he is.When he came out,we held his hand as funs so why go mad on onother's growth.East Africans musicians so talented but they have LOCAL MENTALITY WHICH WON'T WORK/RHIME WITHTHE WORLD speed/hour

  • @worldstartz
    @worldstartz 2 роки тому +56

    Album ya King Kiba ni classic nyimbo zote Aache ujinga huyo boya

    • @frankkunambi5794
      @frankkunambi5794 2 роки тому +3

      Upo sahihi unachoongea lkn je unajua maana ya hit song? Hit song ni nyimbo pendwa zaid au inayozungumziwa zaid ktk album, kwa mfano wizkid alivyotoa ile album yake hit song ilikuwa ni essence,, ndo ilikuwa gumzo kwahyo hta album ya king kiba gumzo ilikuwa ni utu 🙌🙌🙌

    • @kibokoyaotz4509
      @kibokoyaotz4509 2 роки тому

      Na huyo boya album yake ana nyimbo gani ambayo ni hit

    • @rogathjmrema2221
      @rogathjmrema2221 2 роки тому

      Hujamuelewa mond vzur ajasema mbovu amesema tu kwamba ametoa album na amepata hit song mfno utu ssa ajasema kwamba et ndio utu moja 😂😂

    • @kibokoyaotz4509
      @kibokoyaotz4509 2 роки тому +1

      @@rogathjmrema2221 mm hta jina la ep yake sijui

    • @nyeurakibura4791
      @nyeurakibura4791 2 роки тому +2

      Boya mama ako

  • @ayshamohamed8208
    @ayshamohamed8208 2 роки тому +29

    Kiba NI musician
    Diamond NI msaniii !! Nawapenda wote, ila umemongelea kiba kinafiki Sanaa,

    • @eltndice7381
      @eltndice7381 2 роки тому +2

      Asa kuna unafki gani shabiki ww.. mbn unakaza kichwa

    • @ayshamohamed8208
      @ayshamohamed8208 2 роки тому +1

      @@eltndice7381
      Komaza ubongo !! Usikurupuke Siyo kila comments NI za kishabiki

    • @eltndice7381
      @eltndice7381 2 роки тому +1

      Asa ushabiki umetokea wapi nawe... kwan ww ndo unajua siri zao nn

    • @eltndice7381
      @eltndice7381 2 роки тому

      Ila yaishe bhn dada tuwaache maana sisi tubabishana wao wanapata na hela kabisa ... so beat it lady😂😂😂😂😂

    • @claremoha9818
      @claremoha9818 2 роки тому

      Wivu itawaua

  • @frankakuno.9511
    @frankakuno.9511 2 роки тому +3

    Huyu jamaa ni matako eti utu ndoo hit pekee

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 2 роки тому +5

    Yaan diamond wallah we haumuwez kiba kwa kila k2

  • @khairunmustafa1610
    @khairunmustafa1610 2 роки тому +12

    Tunajua kwamba unaipapromo album yako.
    Ila king simuongeaj sana. Nasisi ndotunaokijua kipikizur ambachokinaish mudamrefu.
    So kiba yupo vizur sana.
    Ila diamond maneno unarejea sana kaka

    • @rahimtactic1544
      @rahimtactic1544 2 роки тому

      sio album ni EP

    • @eshasozy69
      @eshasozy69 2 роки тому

      Uyo nyimbo zake za kitambo ndo nzur sio sasaiv sk 2 tu azinautam

  • @chidymswti3604
    @chidymswti3604 2 роки тому +5

    Unafiki mtupu.....

  • @abeidathuman9218
    @abeidathuman9218 2 роки тому +9

    Alikiba kumzidi pesa sema ni mtu asiye ropoka

  • @issahkindende5225
    @issahkindende5225 2 роки тому +26

    Piga kazi kwenye watu hawakosi nyani mungu humuweka juu alie sahihi

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 роки тому

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @peterkanyotu2564
    @peterkanyotu2564 2 роки тому +5

    Wasafi bila Kutaja King Kiba hainogi😂😂🚮

  • @joaotiago4235
    @joaotiago4235 2 роки тому +30

    King Kiba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mozambique 🇲🇿

  • @joghindahsingh8420
    @joghindahsingh8420 2 роки тому +4

    ".....na nyengine za kizungu" Our African artists 😂😂😂whats the problem with western languages😆😆is kizungu so hard our broder

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 2 роки тому +1

    ETI UTU NDO IMEHIT PEKEEEE AISEEEE WE JAMAAAA UNAONGEA VITU GANI NOW DAYS ...

  • @mtetezytv9647
    @mtetezytv9647 2 роки тому +10

    Album ya King unasema utu imehit only? Album nzima ngoma zote fire umepaniki! Crown ni ya King Kiba

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 2 роки тому +10

    Mimi sijamsikia Ali kiba kuzungumza diamond na hata ikifikia kwenye interviews anaulizwa swali kuhusu diamond pia hua anasita maswali yanayo mhusu diamond lkn kila diamond anapo kua kwenye interviews lazima atajitetea kua yeye mtu mzuri kwa kila mtu wskati watu wanalia kuhusu.

    • @bevelykadesh67
      @bevelykadesh67 2 роки тому

      Binadamu buana😂😂😂

    • @delimachesa4916
      @delimachesa4916 2 роки тому +1

      Watu wabaya ndivyo walivyo😅

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +2

      Kaangalie interview yake kwenye Sporah show, tena alimsema vibaya sana. Huo nimekupa mfano mmoja tu wa fasta ili ujibaini usivyomjua Kiba.
      Ziko interview nyingi sana amemzungumzia.

    • @betrue33
      @betrue33 2 роки тому +2

      @@unclepwechnov1381 Niliangalia na hajajibu vibaya. Aliulizwa kwanini hawaelewani Ndiyo Ali akaeleze nini kilifanyika mpaka wakakosana...Ndiyo hii swali Diamondi anajaribu kujibu saa hii lakini Mondi alivyo mjanja amejibu kiujanja...Ukweli ni kwamba Mondi anajua alikosea ila hawezi kukumbali.......

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому

      @@betrue33
      Hii wao kuwa against each other ilikuwa engineered na Clouds media(late Ruge to be precise).
      Kiba wakati wa comeback yake ndiyo Ruge na Diamond walikuwa wamezinguana, Ruge ni business genius hivyo akaona kumpaisha Kiba fasta na kutengeneza rivalry between the two and for sure it worked.
      Ruge alihakikisha hakuna mainstream TV au radio stations zinazopiga nyimbo za Diamond and remember it was before this social media era lakini tatizo la Kiba hayuko aggressive katika biashara ya muziki. Biashara ya muziki si rhymes na sauti nzuri peke yake.
      Kipindi hiki cha laiti kama late Ruge angekuwa hai Harmonize jinsi alivyo mgalalizi angepata mtu mwenye akili ya strategies kama late Ruge ujue Diamond angepata challenges haswa.

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 2 роки тому +9

    Kwanini unamuongelea sana mtu kakausha

    • @bevelykadesh67
      @bevelykadesh67 2 роки тому

      Nashangaa

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +4

      Kwahiyo agome kujibu maswali? Kuna wanaopenda kusikia hizo issues na kwa asiyependa channels za kuangalia zipo nyingi.

  • @tatuomary2008
    @tatuomary2008 2 роки тому +12

    Huwez kuwa kama Ali.kiba miaka buku

  • @davidluangisa4515
    @davidluangisa4515 2 роки тому +8

    Alikiba is a world class artist,,,and ever shall be,,Much respect

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 2 роки тому +7

    Mnafki mkubwa uyu mmemfanyia allykiba mabaya mengi sana

  • @officialkassimu7791
    @officialkassimu7791 2 роки тому +17

    Hiyo ni tabia ya harmonize anatoa album haina hit hata mmoja and then anatoa ingine bado ni bure tu

    • @mastermbarak254
      @mastermbarak254 2 роки тому +2

      Mmh!! Teacher Konde. 🔥🔥🔥

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 2 роки тому +3

      Waaaah ngoma gani ya harmonize haikuhit mbona watu mna wivu na harmonize

    • @officialkassimu7791
      @officialkassimu7791 2 роки тому +1

      @@whitetigerprincy5882 tunazungumzia album ya high school niambie ngoma hapo ina views 1M audio si videos

    • @sholdaniemmanuel8684
      @sholdaniemmanuel8684 2 роки тому +1

      @@officialkassimu7791 kaangalie Tena ww kilandege

    • @AlekyzTheGreat55
      @AlekyzTheGreat55 2 роки тому +1

      😂😂😂

  • @zaynabjaabir1791
    @zaynabjaabir1791 2 роки тому +14

    King ni king tu kibaaaaa♥️♥️

  • @delimachesa4916
    @delimachesa4916 2 роки тому +15

    KINGKIBA ♥️

  • @manasseninteretse8510
    @manasseninteretse8510 2 роки тому +3

    Hapo sawa kwakuona kwamba Alikiba ndo mtu mukubwa kimziki, tena, ndio anaheshima yake, but I like all you guys. Hongereni sana nawapongeza kwenye kazi zenu nzuli, Alikiba ni mtu mkuu katika mziki! 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @goliaticlips
    @goliaticlips 2 роки тому +51

    diamond platnumz is phenomenal at what he does, but all he said in this interview ia hypocracy at its best.

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 2 роки тому +6

    Harmonize anakutesa sana sadala ukweli kinachokubeba sasa ni jina tu huna jipya umekimbia kujificha ku copy wanigeria

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 2 роки тому

      Mwambie makonde ache kiki apambane na muziek ,anatumia nguvu lakini wapi 😁😁

    • @paulojalango898
      @paulojalango898 2 роки тому

      Unalijua nazani unaumia

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 роки тому +18

    Badala ya kuwaza ukifa amali gani nzuri itakusaidia kaburini unawaza shetani wa mziki. Innalilah

    • @salumkalou90
      @salumkalou90 2 роки тому +2

      Ss ww kwnn ukaangalia

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +2

      Na wewe huku kwenye hii channel umefuata nini, kwanini usitumie muda unaopoteza huku kwa 'mashaitwan' ukawa una-recite Quran.
      Unafiki si jambo jema.

    • @owenmutale6691
      @owenmutale6691 2 роки тому

      Mnafik wa taifa choko wewe

    • @lucysanga9660
      @lucysanga9660 2 роки тому +1

      usikute umewahi kuwaza kumtoa kafara mama yako uwe tajiri

    • @edinaedward8985
      @edinaedward8985 2 роки тому

      Hauna akili mbwa wew

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 роки тому +4

    One love kïng. Kiba ni mkubwa kuliko wewe

  • @dukegates2314
    @dukegates2314 2 роки тому +11

    I learn that...to be a star it doesn't mean you need to always work with stars... it needs motivation and the push inside you, always be humble and learn..

  • @omarmohammed6946
    @omarmohammed6946 2 роки тому +8

    Hii interview ina unafiki kibao. Ivi huyu dogo anamaana kwamba kwenye Album ya King ni nyimbo moja tu Hit. Aache ushamba. Alafu, mbona mmakonde anasaka tonge bila kunyali mtu. Alafu King amekita hii miaka yote 20 sababu ya kutoa hit ilo nalo ajue.

    • @sullehtz9327
      @sullehtz9327 2 роки тому

      Kwa alikiba umeongeya ukwl kwmba album haina hit moja ina hit nyngi kwl...lakn kiukwl kwa mmakonde hapo kk haupo sahii yen konde ndo anatafuta tonge bila kunyali watu??...sio kwl

    • @omarmohammed6946
      @omarmohammed6946 2 роки тому

      @@sullehtz9327 ishu ni ivi kaka, Konde wanamtafutaga hawa jamaa ndio maana akimind sana anawajibu. Ila we chunguza utaona nani anaanzaga ugomvi. Wamuache dogo apae kivake, kwani ilikuwa ni lazima abaki WcB? Mbona ni kama wanaogopa sana mafanikio yake.?

    • @eshasozy69
      @eshasozy69 2 роки тому

      Anajipya uyoo

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 2 роки тому +2

    Haka kajamaa nikahongo sana

  • @delimachesa4916
    @delimachesa4916 2 роки тому +35

    Kwenye album ya Alikiba make yote ni HIT iyo album yako kaka sjaona hit😂😂😂

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 2 роки тому +12

    Icho kipande alichosem kuna wasanii walitoa album haikuhit nyimbo hata moja wakaaanza kuhahaa na kutoa nyimbo nyingine🤣🤣🤣🤣

  • @karimfazil388
    @karimfazil388 2 роки тому +10

    Kama Hana cuki kwanini hataki wangine wapite anakaa anakataza watu wasifanye kazi nawengine ..mnafki

    • @zou7470
      @zou7470 2 роки тому

      Umeona

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 роки тому

      Hio ndio strategy ya kazi huwezi kukubali kushindwa kinyonge kazi ni kazi Ni sawa na Mungu amuache Shetani ashinde kisa tu Mungu ni upendo 🤣🤣

    • @khalifamahondo191
      @khalifamahondo191 2 роки тому +1

      Hasa anawazuiaje!?....

    • @karimfazil388
      @karimfazil388 2 роки тому +3

      @@BigZhumbe Dai mnafki sana
      ..na ndo mana nasema ivi beef la Dai na harmonize nilakimatabaka eti uyu katokoea Milimani sisi wa mjini ...,mimi nasubiri nione ..hakuna mwanzo usokuw na mwisho ...

    • @slimmuhabesh2400
      @slimmuhabesh2400 2 роки тому

      @@karimfazil388 hivi kwann usimshindanishe msanii wako na msanii wa nje kama burna au wizkid

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 2 роки тому +8

    DIAMOND YUPO KWA ALLY KIBA,HARMONIZE YUPO KWA ALLY KIBA,ALLY ANABAKIA NI MTU AMBAE YUPO NEUTRAL

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      Alaf hana mafanikio

    • @mariamseleman4631
      @mariamseleman4631 2 роки тому

      Ali kiba Hana mafanikio hata ww unamshinda

    • @Machafukoyajiji
      @Machafukoyajiji 2 роки тому +2

      @@009biafra8 mafanikio gani ambayo kiba kakosa kweny mziki? Kwani nn maana ya mafanikio?

    • @009biafra8
      @009biafra8 2 роки тому

      @@Machafukoyajiji Ndo unambie marehemu kibamia ana kitu gani? Mafanikio ya kazi za mziki wake umefika wapi internationally? Financially etc. Maana Diamond haina haja ya kukueleza

    • @Machafukoyajiji
      @Machafukoyajiji 2 роки тому

      @@009biafra8 Ndomna nimekuuliza nn maana ya mafanikio katk Muzak. Maana ana international collaboration, Album yake ni miongoni albamu zina stream nyingine, Na tuzo za kimataifa mfno km Mtvema ambayo mondi nayo, show nje nchi hayo c mafanikio?au Unatak akauonyesh kiasi chake cha fedha benki acha kukaza fuvu

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 роки тому +10

    Umetumia kejeli nyingi kumzarau kiba ila huna cha kutumia kuuzika mziki wake

  • @aramamisamatime3183
    @aramamisamatime3183 2 роки тому +2

    Acha ushamba kiba Yuko vizuri Wala ana tambo

  • @alhajiFashions7563
    @alhajiFashions7563 2 роки тому +15

    King 👑 Must be Respected!!!! If you can't Beat him Join Him

  • @storizakaka
    @storizakaka 2 роки тому +2

    Kujua mengi kwenye maeneo ya Muziki, Chakula, Filamu na Matembezi.
    Pitia UA-cam yangu!

  • @samsonidelya9658
    @samsonidelya9658 2 роки тому +2

    Ali kiba albam yake nyimbo zote nzuri ,🤐🤐 Ila ww mwenyewe albam ya boy from Tandale mbavu tuu.

  • @BigawaTv
    @BigawaTv 2 роки тому +3

    Mshamba tu album nzima ya King ni mawe hatariii tupu. Labda yeye hio EP yake ni vichekesho kwakwel kuna nini humo 😂😂😂😂

  • @benzaykenya6504
    @benzaykenya6504 2 роки тому +16

    WOOOOW I love Simba's maturity 💓💓

    • @deboraezekiel784
      @deboraezekiel784 2 роки тому

      Hujakua ukimwelewa huyu mimi huwa sifungui hata chochote mpaka nilipofikia hapa

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 роки тому +4

    Mziki wa bongo ni majungu over talent

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 2 роки тому +13

    Kwaiyo Ngoma za ticha zimebuma😁😁😁😁😁album ya High school

  • @Harryking001
    @Harryking001 2 роки тому +4

    After Alikiba anafwata Jeshiiiii 😂😂😂😂🇰🇪

  • @abdallahajiomari9525
    @abdallahajiomari9525 2 роки тому +2

    King kiba atabaki kuwa king yebaba

  • @hemedzidane8927
    @hemedzidane8927 2 роки тому +3

    kila siku omy una muliza kusu Ally kwani hauna maswali yengine alafu Ally kiba amshukuru wema sepetu mana baada ya kuachwa na mondi ndio akawa ana tapa tapa aka kugombanisha na ommy na uyu Ally

  • @Waminala-id6kr
    @Waminala-id6kr 7 місяців тому +2

    King kiba100 mungu akulinde napenda song zako zote

  • @ngoshazedon4085
    @ngoshazedon4085 2 роки тому +8

    Only one king imehit na sio utu tuu!!

  • @monikakimath3810
    @monikakimath3810 2 роки тому +6

    Huyu baba anapenda kiki;bila kiba we ovyooooo;mwenzio ata akuongelei

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 2 роки тому +3

    King amekuxidi kila kitu mbwaaa weee

  • @abdiaziz2978
    @abdiaziz2978 2 роки тому +24

    Album yako yakisenge sana haijahit hata moja yaan we jina tu ndio inakubeba saa hizi lakini huna jipya...unayemsema album yake haijahit ndo kwanza yupo on fire hadi unamtolea maneno ya mafumbo kumbe anakuumiza kichwa.

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 роки тому +5

      Jina ndiyo linambeba? Hao wengine wanafeli wapi mpaka washindwe kubebwa na majina yao au wao ni underground?
      Bila kuwa mkubwa kimuziki hauwezi kuwa na jina kubwa lakini jina peke yake kama nyimbo zime-flop haliwezi kumsaidia.

    • @haithamyahya6722
      @haithamyahya6722 2 роки тому +5

      Katoe yako nzuri

    • @gezaulole7501
      @gezaulole7501 2 роки тому +3

      Album gn tenaa sio ep jmn

    • @millhamissa7490
      @millhamissa7490 2 роки тому +3

      Nawewe yafuta jina pia nakushauri punguza makasiriko dear

    • @khafsayahya4066
      @khafsayahya4066 2 роки тому +4

      😅😅😅kwani jina ni la nani?Hadi limbebe? comment nyingine bhana

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz 2 роки тому +1

    Diamond Platnumz 🔥🔥🔥 ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
    ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
    ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @zanifarabdullah5756
    @zanifarabdullah5756 2 роки тому +12

    King kiba ❤️

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 2 роки тому +3

    Album yko umewaza waza tu 😂lakini Kuna utu na utulivu kma utaendelea kuwaza waza kaskilize utu na utulivu upate🥰

  • @omaryahya337
    @omaryahya337 2 роки тому +2

    Simba nimekulewa sana umeongea ukweli NAWAZA Imetisha 🇹🇿🇹🇿