КОМЕНТАРІ •

  • @benedictomb
    @benedictomb 11 місяців тому +7

    Mariooo ana adabu mpaka nime anza kumpenda kinoma noma

  • @OmegaKingKas
    @OmegaKingKas 11 місяців тому +2

    Kazi njema watu wetu ❤❤❤❤❤

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 11 місяців тому +1

    Ali kiba kama muhammed Ally ❤

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 11 місяців тому +1

    KingKiba kama Ashraf Hakimi😂😂😂

  • @pizzaz4333
    @pizzaz4333 11 місяців тому +1

    Safi King, hakuna kama mama

  • @babap-dn7wq
    @babap-dn7wq 11 місяців тому

    Dah Brother king eti mama Ali ana mijengo mingi 😂😂😂😂

  • @zakariamachibula1776
    @zakariamachibula1776 11 місяців тому +1

    🔥🔥🔥

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 11 місяців тому

    Sawa😂 Ashraf Hakimi wa Tanzania😂😂😂

  • @dogoshazzy9050
    @dogoshazzy9050 11 місяців тому +2

    Duuuh😂😂

  • @user-yn7mt4mh8n
    @user-yn7mt4mh8n 11 місяців тому +13

    Zachini chini kabisa nikwamba alikiba ameandikisha Mali zake Zote kwa jina la mama yake ili aende Sasa Kenya kutoa talaka kwa Amina ili amina akianza mambo nakugawa Mali ajikute kiba ahana chochote

  • @meshackmwalongo9798
    @meshackmwalongo9798 11 місяців тому +1

    Sikunyingine nanyie wasanii wabadilikieni hao wanahabari waonyeshe nyumba zao kwanini watake kuyajua maisha yenu,akatiyao wanayaficha.

  • @emmanuelbarakajunior7482
    @emmanuelbarakajunior7482 11 місяців тому

    Mambo ya Hakim na KIBA

  • @erickmillanei4346
    @erickmillanei4346 11 місяців тому +2

    Yaani Huyu jamaa bhna Eti ile ni nyumba ya mama yangu Duuuuuuuuh

    • @ginimbifamily3995
      @ginimbifamily3995 11 місяців тому +3

      Umeshindwa kumuelew..amesema ile ni Family House..kwasas ahana nyumba coz pale nyumban kwake anaish na mama ake kwaiyo anaona ile sio nyumba ake atakuj kujenga ya kwake sas ambayo ataish yey kama yye ss

    • @emmanuelmagnus1014
      @emmanuelmagnus1014 11 місяців тому +1

      Uyo Ana mijengo mingi hapo kusema ni ya mama katutoa kwenye mstari tusimuelewe mjanja Sana uyu mshikaji

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 11 місяців тому

      Na jana ndio kaionyesha io nyumba yake mpya