huu jama watu wana munuku vipaya tu ila anachokesema ni sahii sana nata mimi nilimu owa mke wana na kumukuzia mtoto yake wa kike ila kiukweli ujiga ule wa harmonise ..sita fikiha hata kidogo ..nimemukuza mtoto kama wangu sasa ana mihaka kumina sita ....uleniwanagu kama mwanagu wa mwili wakiume nimezaa na mamake naku elewa sana .. harmonise hanaufu kweli nakupenda sana mwijaku unaofuna mungu sana ..nakufata toka Capetown kesington
Waaah mwijaku una msiba mkubwa moyoni. Konde boy amekunyosha kama rula. hivi ww ile scandal yako na Menina ilishia wapi vile 🙄 na tamani Konde ukuchukue mzobamzoba mpaka kituo cha police ukaeleze vizuri.😂😂
Kwakweli mwijaku unamchafua sana harmonize amekukosea nn jaman hebu mwache afanye kazi, unatumia mdomo wako na ushawishi kwa watu ili tu umpoteze harmonize, Mungu ndio kamuweka hapo alipo acha kumuhusisha Mungu katika uongo,ww utabaki kua ww na yy atabaki kuwa yeye
Mwijaku nakuomba uache kuingiza dini yetu katika mambo ya kipumbavu hii mara ya mwisho nakuonya kama unafikir huwez kufanywa kitu endelea ila tusije kulaumiana acha kuingiza uislam kwenye mambo yako ya kipumbavu☝️ACHA NAKUFUATILIA
Penye ukweli turuhusuni kusemwa ili tujirekebishe makosa yetu ushabik mzuri ni kumuambia ukweli rafiki yako harmonize kakosea na kajala ni mtu mzima kama kweli hakupendezwa na alicho kifanya harmonize asinge rudiana nae tena ni kwa sababu yeye na mwanae hawa heshimiani hata kidogo na hawana hofu ya mungu
This guy(Mwinjaku) walai knows how to promote his account. Anyway, harmonize is still in charge and always will be the top topic in your mouth for now...one love harmo🤞🤞👌👌
Mwijaku ndugu yangu, uliyoyasema inaonyesha ni sahihi kwasababu unadai umeyaona kwa macho yako.. Lakini, haukufanya vyema kuyaweka hadharani mambo mazito kama haya. Ulitakiwa ufanye taratibu za kurekebisha makosa hayo kwa njia za dini.. Umekosea sana dah. Fanya taratibu za kutubia kwa Allah. Dhambi kubwa umefanya. Umewadhalilisha hao masikini mama na mtoto wake.
#mwijaku hakika unafkri anguko la #harmonize litakuw kwaajili ya unafiki wako? Lahasha! Mungu mara zote ni mweny nguvu na uwezo mkubwa san na ajawai mwacha pekee awaye yeyote mja wake, kwa hili utaushuhudia ukubwa wa harmonize adi uzeeni mwako na kuadisia wajukuu zako. Na pekee uyu unaemwona nyoka mbele zako ndiye mfalme na mtetez wa kizazi kipya cha music industry at sikulazimishi ulikubali hili lkn moyoni mwako unalo na utakuwa nalo tuu!
Natamani tuongelee muziki pekeake wala sikukatalii Harmonize is super good artist but not the best na ukiisha zungumzia kizazi kipya Harmonize hayupo huku unakutana na kina Marioo Benson Jay Melody Kusah Mabantu Lord Music Cheed Ki2ga Dayoo na wengine kibao na mfalme wa hii new generation ni Marioo japo hata chukua muda mrefu saaana kwasababu yuko na watu wanaojua nini wanafanya
Huyu mnafiki na mchonganishi anataka kuachisha penzi la watu isitoshe kama alivomfanyia nandy ndo anataka kumfanyia huyu yaani kwa nandy je abgepanda presha a kajifungua mda sio wake kukatokea tatizo 7bu yye angesema je vile alivomfanyia kulzushia huyu watu wakimsikiliza ataachish sna watu
@@victormartin1696 Kaka uwez elewa yuko ktk angle ipi lkn uyu jamaan harmonize ana Play part kubwa san ktk awa new generation ivyo atkuw mkubwa wao kaka
@@jareengeorge5478 harmonize hajawahi kutembea na paula,ila alimuonyesha tu sehemu zake za siri..ila hawakufanya tendo..ndio alikua anataka kulisanua ndo paula alimwambia mamake ndio wakaachana.
Ukweli ni kwamba Harmonize anajipoteza mwenyewe ila haoni kwasababu pesa zimemlevya kiasi kwamba haoni matendo yake na kujiondolea baraka zake ambayo ndio mafanikio yake.
Much love from Kenya. Ningependa kumhoji Mwijaku one of this days, kaka ana elimu yule, kuna chaneli naanzisha ya EA vibe yani wanangu tunapiga story tu mambo tusioyajua kwenye circle ya East Africa, tutapiga hii na itaweza sana
@@allybakari8558 yaani kwa kumsikiliza tu ndo hujagundua km anatunga. Imagine mara Harmonize akishikwa kifua na Paula akitokea kajala anakimbia. Mara ohh mama na mwana wanamfanyia massage pamoja wakiwa hawana nguo mh
@@BREEZY882. ukweli gani hebu tuambiae ulikuepo hayo anayo ongea ukayashuhudia au unamfata måneno tu hebu vuta picha alivomfanyia nandy kisa hakumpa pesa
Ww muongo kama ingekuwa ivo mwijaku mbona ukusema mwanzo hamo alipokosea na Ndiokwanza ulikuwa unamkuadia adi kwenye msiba wa maunda zoro ww roho inakuuma hamo kachoka kukupa pesa kama mwanamke wake Bora ungekaa kimyaa
Ogopa Allah kwa yale unayoyasema pasina ushahidi, ulikua kitandani wakati hayo yanafanyika? Nakupa ushauri kama muislam mwenzako acha huu upuuzi omba radhi kwa wale unaowazushia, hii itakucost sana ndugu yangu muislam kumbuka kuna kifo na hakipo mbali ndugu yangu.
@@carinamatt1031 Inawezekana Mwijaku anatia chunvi story zake lakini haya mambo yapo na hufanyika sana tu, hivyo kauli ya kusema hakuna wayafanyayo hayo labda ni wewe tu haujawahi kuyaona ila yanafanyika sana tu.
#TRENDING_NAMBA_5 ME NI KING MUSIC 🎵 LAKIN HAPA MWIJAKU UMEZINGUA SANA MWIJAKU MBONA UNAKUWA MTU MUONGO SANA UNABUNI VITU VBAYA ILI KUMKANDAMIZA HARMONIZER SIO VZURI ACHA IZO FOCUS NA MAISHA YAKO MBONA BABA LEVO SIO MNAFKI KAMA WEWE KWANZA UNATUMIA NGUVU KUBWA KULIKO AKILI KWENYE KUONGEA
Mbn makasiliko broo sula yako tu inaonesha umeumia sana kupunguzwa konde gang kama katembea nao wote si makubaliano yao we inakuuma nini tafuta yako acha shombo na maisha ya watu kila mtu na maisha yake kakojoe ulale
We ndo umepunguzwa, umempunguza nan shangingi wewe?? We si ulikuwa unalia machozi harmonize anavita kubwa?? Unalia kbsa. Leo imekuaje?? Huna shukran wew, af usiwe unamuhusisha Mungu kwenye interview zako za kipuuzii.
Mwijaku unaongea yote ayo ila changamoto za maisha zisi kufanye uongee ujinga ambao mwisho utakuja kujutia mungu ana kuona Mwijaku jirekebishe tabiaa yako
Hiyo kasoro yake umeiona leo? Siku zote ulipokuwa ukimsifia hukuiona? Kulikoni? Watu tuna akili ya kupembua mambo ni bora unyamaze kuliko kujivunjia heshima, hasa ukiwa na familia kama unavyodai.
Napenda maongezi ya Mwijaku sana although am from Kenya 🇰🇪 but this guy gives good advices 💪🏾
Eeehe kime fukuzwa hata hivo🤣🤣🤣🤣🤣
Kinini
The guy is a hypocrite
Nayamakwaza unawonge maneno mazuri
Y say although ur from Kenya?
Umeongea point nzuri kabisa brother Mwijaku🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Hapo kwa kutema mate tumboni sasa😂😂 khaaa Mwijaku banaa🤣… kwani kuapa haitoshi hadi mate bana🤣🤣🙌🏻
Mwijaku hatujasahau uliyomtendea MENINA ujue 😄🤣
Alifanya nini 😂😂
Kajisahaulisha huyu kajizima data
Imagine ndomana lana ya menina inamuandama huyu 😂
Mnafiki wewe, tunakumbuka mpaka leo ulivyo mzalilisha menina
Umeonaa Kasahau 🤦🏾🙆🏽♀️Bado Yatamkuta Alivyomfanyia Menina☝️🤲Malipo yanakuja.
Kenya hakuna mambo ya machawa sijui machawi ya kulipwa pesa kusifia wasanii huu ni umbwakini tu Kwa huyu zuzu mwijaku much love @Harmonize from 254🇰🇪
Anaongea ukweli hapa sio umbwakini
@@souvenirweber7169 kwann hakuongea wakat akiwa chawa...au kwakua ameachwa
Hatuwez fanana kwa kila kitu jamaa kenya sio tz
Katika mashoga wa Tanzania nahuyu ni miongoni mwao
Skutegemea Kama mwijaku leo ataongea hivi kwel ubinadam kazi😭
huu jama watu wana munuku vipaya tu ila anachokesema ni sahii sana nata mimi nilimu owa mke wana na kumukuzia mtoto yake wa kike ila kiukweli ujiga ule wa harmonise ..sita fikiha hata kidogo ..nimemukuza mtoto kama wangu sasa ana mihaka kumina sita ....uleniwanagu kama mwanagu wa mwili wakiume nimezaa na mamake naku elewa sana .. harmonise hanaufu kweli nakupenda sana mwijaku unaofuna mungu sana ..nakufata toka Capetown kesington
Uyo ndo mwijaku 😄😄😄amemfanya mtangazaji ajitemee mate
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂🤣🤣🤣🙌🙌
😂
😂😂😂😂
😅😅
Waaah mwijaku una msiba mkubwa moyoni.
Konde boy amekunyosha kama rula. hivi ww ile scandal yako na Menina ilishia wapi vile 🙄 na tamani Konde ukuchukue mzobamzoba mpaka kituo cha police ukaeleze vizuri.😂😂
Huyo mnafiki anazingua sis bdo team konde💞💞💞💞💞
Hajakwambia uache
Msema kweli mwijaku anasema ukweli katibuka mwijakuu uchawa umekwishaa subhannaallah 🥺🥺
Hana akili ujinga tu na fitna zimemujaa
Ukweli gani dada angu hizo zote ni kukosa kitu alicho kua ana pata
@@naslee1010 K
Muongo huyo kataka kutu hajakipata ndo mana kumbuka alivomfanyia nandy
Mwijak kaongeea poent xan keep it up bro ningepend kupat hat namb zak media nixaidien niongoe na mwijaku
Kama unaona anachokisema huyu niuongo weka like
Hili boga leo naona limeongea point dah poleni sana kajala na binti yake
Pont gan na ww
Unauhakikaaaa na anacho ongea?
mmh!!
Nimekuelewa sana bro mwinjaku unapoongea vitu vya msingi unanyooka kama inavyotakiwa big up kwa hilo
Leo nimekuelewa jaku,,huo ndo ukweli
#Mange kimambi alikutabili.kwamba iposiku.dadanmange ongelawewe jembe laah🔥💪
wewe ,wojaku ma h bb n bb levo mnauwa vipaji tazania
Kwakweli mwijaku unamchafua sana harmonize amekukosea nn jaman hebu mwache afanye kazi, unatumia mdomo wako na ushawishi kwa watu ili tu umpoteze harmonize, Mungu ndio kamuweka hapo alipo acha kumuhusisha Mungu katika uongo,ww utabaki kua ww na yy atabaki kuwa yeye
Hakuna kitu mbaya kwa hii dunia kama ulimi wenye unafiki , umezidi unafiki Allah akuongoze
ua-cam.com/video/WWLysrZ6vTw/v-deo.html
Haujui maana ya unafiki wewe
👍👍👍👍👍👍👍
@@Wamoyothenumberone wacha uchawi ndugu
Bro usiufungie macho ukweli kisa ushabiki ati unafiki unajua unafiki ww
Mwijaku nakuomba uache kuingiza dini yetu katika mambo ya kipumbavu hii mara ya mwisho nakuonya kama unafikir huwez kufanywa kitu endelea ila tusije kulaumiana acha kuingiza uislam kwenye mambo yako ya kipumbavu☝️ACHA NAKUFUATILIA
Huyu jamaa ana lopokaga lkn kwa hili la nyuchi za mama na mtoto😂😂😂,, ameongea point sn zenye akili timamu,, mwijaku on it.
Kwel bro
Una uhakika gani mbona yeye alimuadhiri mtoto wa watu menina na huyo menina alikuwa na mtoto pia uongo bwana
Mbona hukuonhea wakati ule.Nafiki sana
@@joscamwoshezi2986 Bahat nzuri sana wewe umeelewa vzr nilicho comment,, alaf bahati mbaya sana cjaelewa ulichoandika ndugu.
Weumejuaje kama hiki anakionge anaropoka
He is intelligent..literate👏👏👏it's call survival 💪
Mm n fan mkubwa San w MWIBA leo mwijaku umenifungua San,mm nakusupport katka hilo msaad usiwe manyanyaso
duh mwijaku umeishia kabisa tafuta maisha yako acha ujingia
Penye ukweli turuhusuni kusemwa ili tujirekebishe makosa yetu ushabik mzuri ni kumuambia ukweli rafiki yako harmonize kakosea na kajala ni mtu mzima kama kweli hakupendezwa na alicho kifanya harmonize asinge rudiana nae tena ni kwa sababu yeye na mwanae hawa heshimiani hata kidogo na hawana hofu ya mungu
Hiii ni mass media kuna watu wanapitia haya katika jamii na wapo kimya maisha yanasonga mwacheni kajala mna ushahidi katoka na pau
mwijaku unaaibisha watu walio soma wa dree kwan uliesomea umbea tafuta kazi usiaibishe wasomi
@@missykalele5520 tofautisha mtu maarufu na asiye maarufu konde ni msanii maarufu kutembea na mama na mtoto aibuu
Umaarufu si 7bu ya kuona haibu Bali 2natakiwa na hofu y mung na tabia njema Allah a2epushe
Uko sahii mwijaku kajala hakupaswa kurudiaa na harmo coz ya kumtakaa paula
This guy(Mwinjaku) walai knows how to promote his account. Anyway, harmonize is still in charge and always will be the top topic in your mouth for now...one love harmo🤞🤞👌👌
Mwijaku unaongea na uchungu sanaa. Natuambie kuusu melina..ukasambaza uchi wake tanzania nzima.tupe dhambi zake..
Dhambi kubwa ni USHIRIKINA MWIJAKU
ALLAH ATUTHIBISHE KAULI THABITI
NA UTURUZUKU TOBA YA KWELI KABLA YA MAUTI🤲🏻.Amiin
Hujui kitu
Kama anachosema mwinjaku ni kweli harmonize anakosea sana
NI KWELI
😂😂😂😂 uchawa umeisha sasa umekuwa mchawi 😂😂
Hahahahaaaaa htr sanaaaa
Mwijaku ndugu yangu, uliyoyasema inaonyesha ni sahihi kwasababu unadai umeyaona kwa macho yako.. Lakini, haukufanya vyema kuyaweka hadharani mambo mazito kama haya. Ulitakiwa ufanye taratibu za kurekebisha makosa hayo kwa njia za dini.. Umekosea sana dah. Fanya taratibu za kutubia kwa Allah. Dhambi kubwa umefanya. Umewadhalilisha hao masikini mama na mtoto wake.
#mwijaku hakika unafkri anguko la #harmonize litakuw kwaajili ya unafiki wako? Lahasha! Mungu mara zote ni mweny nguvu na uwezo mkubwa san na ajawai mwacha pekee awaye yeyote mja wake, kwa hili utaushuhudia ukubwa wa harmonize adi uzeeni mwako na kuadisia wajukuu zako. Na pekee uyu unaemwona nyoka mbele zako ndiye mfalme na mtetez wa kizazi kipya cha music industry at sikulazimishi ulikubali hili lkn moyoni mwako unalo na utakuwa nalo tuu!
Ameeen
Ameeeeeeeeeen
Natamani tuongelee muziki pekeake wala sikukatalii Harmonize is super good artist but not the best na ukiisha zungumzia kizazi kipya Harmonize hayupo huku unakutana na kina Marioo Benson Jay Melody Kusah Mabantu Lord Music Cheed Ki2ga Dayoo na wengine kibao na mfalme wa hii new generation ni Marioo japo hata chukua muda mrefu saaana kwasababu yuko na watu wanaojua nini wanafanya
Huyu mnafiki na mchonganishi anataka kuachisha penzi la watu isitoshe kama alivomfanyia nandy ndo anataka kumfanyia huyu yaani kwa nandy je abgepanda presha a kajifungua mda sio wake kukatokea tatizo 7bu yye angesema je vile alivomfanyia kulzushia huyu watu wakimsikiliza ataachish sna watu
@@victormartin1696 Kaka uwez elewa yuko ktk angle ipi lkn uyu jamaan harmonize ana Play part kubwa san ktk awa new generation ivyo atkuw mkubwa wao kaka
Nimekuelewa sana Mzee...
Harmo nilikua namkubali ila kama ndo hivyo hapanaaaa 🙌🙌
Tatizo wanamwabudu shetan ili wapate pesa na umaarufu..usimkubar mwanadam umkubari Mungu
ila hamonize anapigwa vita sana ilo siwe kuku bali sizani kama kajala anaweza kukubali hayo mwijaku muongo wew
Kuhusu konde kutembea napaula nikweli.nandiomaana kajara akaamua Bora waachane.lkn mwijako anampenda kuongelea sana.yale yalishapitaaa.
@@jareengeorge5478 harmonize hajawahi kutembea na paula,ila alimuonyesha tu sehemu zake za siri..ila hawakufanya tendo..ndio alikua anataka kulisanua ndo paula alimwambia mamake ndio wakaachana.
Ukweli ni kwamba Harmonize anajipoteza mwenyewe ila haoni kwasababu pesa zimemlevya kiasi kwamba haoni matendo yake na kujiondolea baraka zake ambayo ndio mafanikio yake.
mwijaku....wewe ni mnafiki...mnafiki saana... Khaaaaa mchwwwwww 💔
😁
Mbaya zaidi anajua dini mnafki sana huyu
Ukwel utabaki kuwa huru
Unajuaje Kama ni mnafiki
@@shanelmbunga1301 mbona hakuyasema Kabla ya Kufukuzwa
Hiyo pua ya mwijaku tuu mi hoi 😄😄😄😄😄😄😄😄🙌🙌🙌
😂😂😂🔥🔥🔥🔥 MWIJAKUUUUUU ON FIREEEEEE😂
Ustadh ndio angetangaza pombe il
Alipwe mshahara? Mnafiki tu. Meng anayoyafanya yakisheitwqn kabsaa
Mwijaku mungu awamdanganyi alafu ukiwa mnafki mwisho wasiku unafki wako utakuludia mwenye na utazalilika Apo mjini mungu anakuona
No mutters what you can say about @Hamonaize Hakuna mwenye atamuweza
Tunampenda saaana
Unampenda ww na nani?? Mbona unatusemea na sisi??
@@kassimrajabu7805 @Hamonaize ni kiboko yawo
Kama haya anasema yana ukweli, basi mmakonde ana hali mbaya sana. Kutweza utu wa mtu kwa sababu ya hali zao si haki mbele za Mungu.
👯💂Mwijaku apewe tuzo😂😂😂kwa maneno mazuli ya dini
Anaongea
Ni kharaaaamu 😂 daaah, mwijakuu😂
Mwijaku ni fun Sana 😂😂😂Much Love from Kenya
Yec
Much love from Kenya. Ningependa kumhoji Mwijaku one of this days, kaka ana elimu yule, kuna chaneli naanzisha ya EA vibe yani wanangu tunapiga story tu mambo tusioyajua kwenye circle ya East Africa, tutapiga hii na itaweza sana
Sema kweli mpenzi wangu mwijaku💋😂
Ukweli gani huyu kataka kitu hajapewa ndo kaamua kuharibu
@@fatmamansour676 we ulijuaje mkiambiwa ukwel mnatfta pakutokea😂
mwijaku anaongea facts lkn je how can we believes him? inaweza kua kick
A. Person who can market you is also capable of de-markerting you
Absolutely 👍 ttZo huyo jamaa anayoongea hapo anawwza akawa anatunga tu
Harmonize hakuwa promoted na huyu kimziki ila ni jitihada zake km unakumbuka interview kibao kafanya hata hizo nyimbo hazijui za Harmonize
@@allybakari8558 yaani kwa kumsikiliza tu ndo hujagundua km anatunga. Imagine mara Harmonize akishikwa kifua na Paula akitokea kajala anakimbia. Mara ohh mama na mwana wanamfanyia massage pamoja wakiwa hawana nguo mh
This is heavy
Wote wampondao diamond, saiz wanabadilika, kwel daimond asemwi vbaya😂😂😂😂😂
15:36 shiii natoa kamasi kidogo😂😂🤣
Fata yako acha kufatilia watu unao wasifia leo kesho utawasema pia machawa hizo ndo stori za kila siku mwanaume hutakiwi kuwa mmbea
Sasa wew mtu anaongea ulweli unachukia umelogwa ww
@@BREEZY882. ukweli gani hebu tuambiae ulikuepo hayo anayo ongea ukayashuhudia au unamfata måneno tu hebu vuta picha alivomfanyia nandy kisa hakumpa pesa
Huyu mnafki San lära aende kW alikiba mara harmonise sahv hiyo kubet ishamuingia ndo anataka kwenda ssa si aende tu hu'o asikae kumchafua mwenziwe
Mwinjaku upo sahihi nyuchi mbili za mwana na mama laana kubwa kofi la Mngu lipo tayali Kwake
😀😀😀😀👌🤸🤸🤸 hii inaitwa akuanzae mmalize 💪🔥🔥🔥🤸🤸🤸
Fact, vita ni vita Mura.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kachokoza pabaya
Conde for life 🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anavongea ukweli mwijaku
Unaongea ukweli mtupu mwijaku
😂
Mwijaku mnafiki sana,
Haya kalale NA mkweo
@@زيتونتنزانيا hujui unachoongea
Njaaa zinakupereka vibaya ila tafuta maisha kwanjia nyingine
Mwijaku ako right kama nmuelewa
mwijaku Leo nimekuelewa sana
@@irenejoely5589 hivi mnamuelewa je huyu jamaa
Njaa tu hizo kama unajua dini mbona unasapoti kamali na angalia utakuja kuwekwa ndani
@@mwishehe2067 kabisa
Ww muongo kama ingekuwa ivo mwijaku mbona ukusema mwanzo hamo alipokosea na Ndiokwanza ulikuwa unamkuadia adi kwenye msiba wa maunda zoro ww roho inakuuma hamo kachoka kukupa pesa kama mwanamke wake Bora ungekaa kimyaa
Hawa yye na hbaba walifanya bwege mtto w watu kila wanapotaka pesa anawapa ssa kagoma wamekaa kusema vibaya
@@fatmamansour676 ndio walikuwa wanafanya chumio washenzi kweli wanajenga wanakula kwa pesa ya mtoto mdogo zuruma zimewajaa wapambane na Ali zao
kajala atakuwa kampunguza jamaa😂😂😂
From Uganda 2
🇺🇬 but I follow this guy
Bro umeongea point sana 💪💪💪💪
Mwijaku msengee tuu wew kuishi vizuri kwa njia za kualibu utu wawatu si vizuri muache wee ushauligi family yako tu☹️
#harmonize let them do each and everything wrong for you, but you'r the champ and remain be the top of all the time!
Wajifanya una diiini, na unasport kamari (Wasafi bet)
We jamaa ni mnafiki Sana ila tofauti na hilo ni muigizaji mzuri sana
Jamani makubwa
Mwijaku upo sahii Sana kaka wamakonde washamba Sana kaka
Mnafik hajawahii kutoka salama mbele ya Allah ole wako mwijaku
Kweli aisee huyu jama mbele ya Mungu awezi kutoboa uongo ambao anaouongea ni zambi kubwa sana aisee
Tuchunge ndimi zetu anavyoongea subhanallah
Ogopa Allah kwa yale unayoyasema pasina ushahidi, ulikua kitandani wakati hayo yanafanyika? Nakupa ushauri kama muislam mwenzako acha huu upuuzi omba radhi kwa wale unaowazushia, hii itakucost sana ndugu yangu muislam kumbuka kuna kifo na hakipo mbali ndugu yangu.
Ukuwai kuwa mchafu unajisaulisha ulichomfanyia menina ila kumbuka menina alimuachia mungu ss yatakukuta2 mengi maana ujaenda kumuomba msamahaa
Kajisahau 😄 🤣 😂.
@@zamibrahim3014 walimwengu ndio tunamkumbusha balazuri uyu kaonga pesa mahakamani na amerga kesi imefutwa
Good advice Mwijaku
Nyuchiiii ya mama Na mwana kondeboy
Muongo huyu mwijaku hakuna mtu anaweza kufanya uchafu km huo mbele ya watu huyu mnafiki
@@carinamatt1031
Inawezekana Mwijaku anatia chunvi story zake lakini haya mambo yapo na hufanyika sana tu, hivyo kauli ya kusema hakuna wayafanyayo hayo labda ni wewe tu haujawahi kuyaona ila yanafanyika sana tu.
@@monstermonster3649 duh basi hatari km ndo ivyo
Punguza uongo mwijaku acha maisha ya watu kama mama karidhia
@@salmayusuph227
Kuridhia mama na mwana kufirimbwa? Au sijaelewa kuridhia kitu gani?
Daaaa adi nimejisikia vibaya kama nikweli harmonize mungu atakulipia na huyu paula siaende kwababayake
Kama ni kweli harmo anazngua
Wanawake jamani tufanye kazi...mtazalilika kwa ajili ya kutegemea hawa wanaume wenye pesa
Wewe mwijaku muogope mungu wako basi😏😏😏😏
Mwijaku,kwenye ukweli ananyooka.hilo namkubali sana.sema baba,sssema.
Dhuuuuu mwijaku Mnafk saana jaman
Muhongo muhongoooo mwijaku nimekuita mara ngapi...
Umemwagwa tulia
#TRENDING_NAMBA_5
ME NI KING MUSIC 🎵 LAKIN HAPA MWIJAKU UMEZINGUA SANA MWIJAKU MBONA UNAKUWA MTU MUONGO SANA UNABUNI VITU VBAYA ILI KUMKANDAMIZA HARMONIZER SIO VZURI ACHA IZO FOCUS NA MAISHA YAKO MBONA BABA LEVO SIO MNAFKI KAMA WEWE KWANZA UNATUMIA NGUVU KUBWA KULIKO AKILI KWENYE KUONGEA
Wacha kula hela ya kamari ili uwe salama ama chako kimotoni siku moja BWEGE sanaaaaaa
Mwijaku unaongea point, Ila Babalevo nimcheshaji.
Ila
We mshenzi Sana mwijaku unapenda Sana kufuatilia maisha ya konde vp njaa inakusumbua
Kwakweli laana ya diamond inawatembelea😂😂 hatimae mwijaku nae anatema cheche🤗
Mbn makasiliko broo sula yako tu inaonesha umeumia sana kupunguzwa konde gang kama katembea nao wote si makubaliano yao we inakuuma nini tafuta yako acha shombo na maisha ya watu kila mtu na maisha yake kakojoe ulale
Kabisa,aaache shobo...yeye kinamuuma nini
Mwijaku mnafiki sana😅si ni yeye alikua anashabikia kajala arudiane na harmonize😂😂😂
Mwijaku sio wa kumualika sebuleni 😂🙌
😁😁😂🤣
We ndo umepunguzwa, umempunguza nan shangingi wewe?? We si ulikuwa unalia machozi harmonize anavita kubwa?? Unalia kbsa. Leo imekuaje?? Huna shukran wew, af usiwe unamuhusisha Mungu kwenye interview zako za kipuuzii.
Kwahyo anaenda maseblen mwa watu kuchunguza maisha yao
Mwijaku unaongea yote ayo ila changamoto za maisha zisi kufanye uongee ujinga ambao mwisho utakuja kujutia mungu ana kuona Mwijaku jirekebishe tabiaa yako
Nimekwama hapo kwa kutema mate😂🙌
H baba sasa mwijaku... Mmakonde jirekebishe
Nahamia Kenya jaman bongo nimechoka
Nauli unayo? 😂😂
Mi nip airport hapa nakusubil tugo ote
@@masala04official22 😄😄
Karibu
@@dushdollshow Asante nishaanza kupata wenyeji
Leo hataki ata kumtaja jina🤣🤣😂
😂😂😂😂😂😂Comments za leo fire🔥🔥🔥🔥. itakuwa hamjui 😂😂
@@joycendanundanu9218 vathei🤣🤣😂
Ndo binadamu hawa...mwezi uliopita alikua na konde, leo anamkejeli😄😄
Hakuna dhambi Mungu hasamei,ndio maana tuliambiwa tusihukumu kwani hakuna ajuaye hukumu ya Mungu.
Uchawa unapofika tamati na mirija ya pesa inapokatika hugeuka uadui..Wasanii mjifunze kuwaweka karibu washikaji kama hawa..mwishowe wanavua nguo..
Wasanii wajifunze mwijaku hafai hata kidogo.
Hawa watu diamond ndy anawez pekee wasinii wengin wot hawajui kuish na hawa watu
Umepunguza au umepunguzwa falaa ww izo nyuchi ndo umeanza kuziona Sasaiv mbn mwanzo ulikuw husemi hakuna jipya Hapo kajipange upya hahahha
Jamani mwijaku Jaa itakuja ikuponze ufungwe jela Acha kukosea Boss
Mwijakuuu chaaawaaa chawireeee duuuh kila kazi na faniii yakee ila mwijaku umetushaaa
Muongo sana mwijaku unaaibu looh
Kama umeolewa bac toka na baba mkwe wako
Hunaakili Wewe. Ndio nyinyi mnaolala NA baba zenu
Leo yamewafika nyinyi Konde Gang ndo mmeamin huyu ni muongo
Mmechelewa xana acha mchambuliwe na nyie, Sisi WCB tumezoea kero za huyu
Daaaah congore kaka
Safii mwijaku semaa wakati unamsema diamond walkuwa wanafulahi sasa now ni m makonde watulie tu
Mpenda tu wili kamoja kame mponyoka. Wewe ka H baba mnatanganga saana !!!
Mungu atakugeuzia si unamarichui utaaibika sana
Hana Akili hayawani 😂😂😂 Huyu Sheikh / Ustadh Mwijaku leo sina na kusema... الحمدلله
Hiyo kasoro yake umeiona leo? Siku zote ulipokuwa ukimsifia hukuiona? Kulikoni? Watu tuna akili ya kupembua mambo ni bora unyamaze kuliko kujivunjia heshima, hasa ukiwa na familia kama unavyodai.
Njia ya mwongo ni fupi katahayari huyo baba 😝😝😝
mazuri anasifia mabaya anakosoa uyo ndo mwijaku,