КОМЕНТАРІ •

  • @user-bc2wd1sq3k
    @user-bc2wd1sq3k 2 дні тому +9

    Kweli chama si mwamba tu wa lusaka!na tanzania pia,sasa inatakiwa tuunganishe lusaka na dar,tupate tupate jina moja kisha tumpe chama.

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 День тому +1

    sai unaenda kupoteza tu uchambuzi wako ulikua Bora vip fei kipnd anaachana na yanga akufanya usaliti dube ndo anaonekana msaliti na uku yanga ulikua adi kimataifa @mfalme wa soka? usifate usimba na uyanga ama kiki utaaribu ubora wako

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk День тому

    Azam hawafanyi kiprofeshno. Wangefanya kiprofeshno wasingefanya uhuni waliofanya kwa Fay

  • @BenjaminiPastiani
    @BenjaminiPastiani День тому

    Kaka una jitetea sana kama umeandika kubali tu yaishe acha mambo mengi

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 2 дні тому

    Baazi ya wachambuzi wanahalibu soka letu wanazitia joto timu na wachezaji wakati wa usajili

  • @KasukuluMwenbungu
    @KasukuluMwenbungu День тому

    Unatafuta kazi kwa mo dewj

  • @EstomiMoshi
    @EstomiMoshi День тому

    Mshabiki wa Simba hiyu

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 День тому

    Ila FEI naye aliwasaliti wepi???? Mbona ni mulemule😅😅😅

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 2 дні тому

    Mtakua waongo hatutawaangalia kwenye media zenu

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 2 дні тому

    Pasco fei hajawakosea yanga kwani si azam waliyoyafanya yanga ndo waungwana juu fei amatolewa bure

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 День тому

    Nyie wachambuzi wote mpk mnatia kinyaa....!! Friji bovu wewe mwnyewe umeshasema mara nyingi kuwa Chama Yanga kishasaini !acheni upumbavu

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s День тому +1

    Huyu nae dishi limeyumba😂 eti mo akiamua aamue mara ngapi??? Kaamua na ameshindwa kufika dau...mara njoo Dubai mara namtuma mtu Lusaka. Jana pia watu wamemsubiri airport lakini wapi😅😅 Shida tajiri kutoa hela hadi aombe kwa ndugu zake😂😂😂😂

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 День тому

    😅😅😅 hy kweli huyo friji

  • @AlfredMwakabana
    @AlfredMwakabana День тому

    Hivi mwandishi wewe umekosa kazi kumhoji huyo ana hana taaluma ya uchambuzi

  • @user-gs2ir3bg4j
    @user-gs2ir3bg4j День тому

    Awezi kwenda yanga kwani yanga wanadaiwa na wachezaji pesa kibao

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 День тому

    Huyo ni Mtu mbona Majeruhi sana na Hamusemi ukweli wachambuzi?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana День тому +1

      😂😂😂😂😂 atapelekwa kwenda kutubiwa ....

  • @evaristgaspa6074
    @evaristgaspa6074 День тому

    Chama akibaki Simba atajuta mbereni ataanza kuchareweshewa maripo yake kwssababu warikuwa hawamtaki ira wamemchukua

    • @user-iz2jq8vk7l
      @user-iz2jq8vk7l День тому

      Tofautisha R na L then nd uandike maana naona kama mganga ajae, wakat bado ww kijana

    • @bonifacealphonce490
      @bonifacealphonce490 День тому

      Watu mmeanza lini kuwa wanajumu?Nini kinafanya useme atacheleweshewa malipo akibaki simba hali hajawahi fanyiwa hivyo wapi atawahishiwa?Maadamu yuko simba na hajawahi kucheleweshewa hapo ndio kwenye uhakika kwingine nikubeti tu.

  • @LUIAABDALAJAMALDINELUIA
    @LUIAABDALAJAMALDINELUIA День тому

    wandishi wa tz ni wajinga sana

  • @simonmbai8140
    @simonmbai8140 День тому

    Uwa hukumbuki unaongea nini