ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA SIMBA DAY 2023, MASHABIKI WAITIKA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • SIMBA DAY: Hivi ndivyo Mfalme wa Bongo Fleva King @officialalikiba alivyoingia katika dimba la Benjamin Mkapa …
    Tupo #LIVE kwenye UA-cam Channel ya UFMRADIOTZ na 107.3 UFM Radio
    #UFMUpdates #SimbaDay #TamashaLaSimbaDay #SimbaSC #UnyamaMwingi #Unyama #SikukuuYaSimba
    @simbasctanzania @ahmedally_

КОМЕНТАРІ • 389

  • @jseventz
    @jseventz Рік тому +13

    me nilikuwa team mond ila saiv nimehamia team kiba umekuja simba umetisha sana

  • @AnishaPaulo
    @AnishaPaulo Рік тому

    Hakuna Kama kiba wanna simbaaaaaah

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr Рік тому +3

    🎉saf sana mnyamaaaaa

  • @gracekimaro538
    @gracekimaro538 Рік тому

    Ila mwijaku jamaniii kama kweli vile

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 Рік тому

    Mfalme ni mfalme

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 Рік тому

    Mfalme Wenu Simba mmemuona sasa na Yeye aimbe ka nyimbo ka Kumliwaza Kaka R Kelly kuhusu kushutumiwa kwa zile tabia mbaya kule na wao wako huku kufanya hivyohivyo wapelekwe maporini hao wakae na simba OG wanyama wa nyika

  • @elisharaphael8680
    @elisharaphael8680 Рік тому

    Yanini ushuke na makamba wakati wewe sio bondia Wala komando bana, hivyo hivyo tumekuelewa king wetu unyama mwingi

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Рік тому +1

    AIBU NAONA MIMI, ALIKIBA HAKUITENDEA HAKI SIMBA DAY... KAZINGUAAAAA😢😢😢
    WATU 60,000 UNAENDA KUWAFANYIA UJINGA HUU..
    KUNA WATU WALIPATUMIA HAPO VIZURI, ILA BRO UMEZINGUA..
    ME NILIKUWA NATAZAMA HUKU NAONA AIBU😢😢

  • @olicendayihimbaze4074
    @olicendayihimbaze4074 Рік тому +26

    Mfalme wa bongo freva Mungu akulinde kipachi chako 🔥💥💥👊🇹🇿

  • @batatukatotolabikay5296
    @batatukatotolabikay5296 Рік тому +10

    The really star for bongo flavor.
    Mtu apendwaki na kila wanadamu.
    Ongera ndugu ali, allah azidi kukuzidishiya.

  • @chagaboy255
    @chagaboy255 Рік тому +37

    Mfalme Wetu❤️❤️🦁..Uyu Ndio Msanii Kipenzi Chetu,Msanii anayemueshimu Mungu na Kumuabudu pia.Hababaishwi na strehe za Dunia.Ndio maana Hana tattoo Wala hajatoboa pua.Nampenda na Moyo wngu Wote❤️❤️❤️. Allah Akujalie Kila la kheri mfalme Wetu🦁❤️

    • @mozasalum8742
      @mozasalum8742 Рік тому +1

      Kumamamayo Angelikua anamheshimu mungu angefanya yotehaya haramu

    • @chagaboy255
      @chagaboy255 Рік тому +4

      Kasikie vibaya Uko Kwenu wewe.Kama Umekasirika Jitie kidole unuse,kudadeki zako

    • @christianmwashala9760
      @christianmwashala9760 Рік тому

      Apo peny kumueshim mungu unajuaje na unajuaj kua ababaishwi na stareh za Dunia,,yaaan tumpend kweny music ila sir ya mtu msogeleee na kuish nae utajua mengi

    • @reganringo9058
      @reganringo9058 Рік тому

      @@mozasalum8742 matusi ya nini

    • @mussamussa8181
      @mussamussa8181 Рік тому

      Umesemq point nying umesahau tu mzk nao ni ushenzi 😅😅😅😅😅

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +12

    Tanzania 🇹🇿 Raha sana I'm proudly to be a tanzanian

  • @amaniiyaka8468
    @amaniiyaka8468 Рік тому +2

    Jamani mwiJaku wewe mkali ndani ya team kiba 😂😂😂😂 nakupenda toka DRC bwana wewe noma wacha niseme

  • @chandehamisi1863
    @chandehamisi1863 Рік тому +2

    Kweli ww ni mfalme wa bongo freva ila kwa hili ubunifu nakupa 0 ya 100😂😂

  • @GivenTobago
    @GivenTobago Рік тому +2

    Haya mambo ya ali kiba na diamond ni drama mi sidhani kama wako serious labda siku mtu akichapwa risasi ya goti na mwenzake ndipo nitajua this is serious beef but to me this is crap Holy crap

  • @bonifacemfaume9788
    @bonifacemfaume9788 Рік тому +3

    Ali kiba ni MYAMA kweli Show yake hii mpaka Mh. Rais Samia alihuzulia kulishuhudia LIVE. daaah #Kingkiba MYAMA #MYAMA🎵❤❤❤ #KINGKIBA👑 #SUMU🎵❤

  • @ahmedkhamisi857
    @ahmedkhamisi857 Рік тому +4

    The one and King in Tanzania kuongezea ni mfalme wa East Africa....kipenzi Cha wote pole na mkarimu...kipaji Cha kuzaliwa hakina mfano wake...big up Bro

  • @FrankDéfránz
    @FrankDéfránz Рік тому +4

    Anapendwa Sana kiihalisia

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 Рік тому +14

    Unyama 4ever 🦁🦁🦁🦁🦁

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 Рік тому +1

    Afu huyu kiba si alilkuaga yanga

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 Рік тому +1

    Mnawakilishaga Taifa vizuriiii kwa nyimbo nzuri na mic zao nzuri,,,ila sasa kutetea waafrika ndo hamuwezi,,,,mleteni kaka R Kelly atufundishe sisi watemi ,,Michael Jackos si hayupo???Tunamtaka MWALIM R KeLLy tunifunze maunyama mengi ya nchi za watu

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s Рік тому +6

    Hv hamjaona alovaa kijani na mzuka balaa😂😂

  • @ezenaboniface2519
    @ezenaboniface2519 Рік тому +7

    Pita kelele king mnyama umetishaa🎉🎉🎉🎉🎉 l love you

  • @FarajaMisago-wy7bs
    @FarajaMisago-wy7bs Рік тому +19

    Once a King always a King

  • @BlesslineFlowers
    @BlesslineFlowers Рік тому +3

    You guys in Tanzania you care for your talents in Kenya we never such large multitudes of people just for football big up TIZI(TZ)

  • @godfreychaba9673
    @godfreychaba9673 Рік тому +6

    Waganga wa kienyeji katika ubora wao

  • @issakassimmwirawivu2641
    @issakassimmwirawivu2641 Рік тому +3

    Mwijaku 😂😂😂 🔥🔥🔥🔥

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Рік тому +1

    Hapo. Hapana. Usimba. Mmoja. Uyo. Kiba. Anamuiga. Platinum. Ayo. Ni. Mafumbo. Kwa. Nasb. Tu

  • @zainabukhamis3667
    @zainabukhamis3667 Рік тому +1

    Mfalme katembea sn mgempa atafalac au kigari frani ivi

  • @Abiba-u8w
    @Abiba-u8w Рік тому +2

    Kuazia leo mm nitimu kiba unyamaaa mwingi sana

  • @godymaster8727
    @godymaster8727 Рік тому +1

    Tuko tunangoja ngomajipya lamondi la wananchi

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Рік тому +1

    Mfalme. Munamjuwa. Kumbe. Ni. Wanyama. Nyie. Sio. Binaadamu. Tunaishi. Na. Wanyama. Duuhh

  • @MasudiMwinyi-sz2mv
    @MasudiMwinyi-sz2mv Рік тому +11

    Unyamaaaaaaa💕💕

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Рік тому +4

    Wenye nchi hao🦁🦁🦁❤❤❤

  • @GaudentusWillium
    @GaudentusWillium Місяць тому +1

    Alikiba kadamshi kinoma huwo ndo ubaya ubwelaaaaaaaa

  • @CharlesFacile
    @CharlesFacile Рік тому +4

    Mwijaku juu sana

  • @FarryMissago
    @FarryMissago 5 місяців тому +1

    Once the King 👑 always the King 👑 Simba nguvu moja❤️🤍

  • @neemaalphonce3701
    @neemaalphonce3701 Рік тому +3

    Nakukubali sana alikiba na ulivohamia simba ndo kabisaaaaaa❤❤❤❤❤

  • @nasorhaji3064
    @nasorhaji3064 Рік тому +3

    Ata asiimbe inatoshaa iyo style tu

  • @eva-patrick0816
    @eva-patrick0816 Рік тому +4

    Mnyamaaaaa🦁🦁🦁🦁🦁❤❤❤❤❤❤

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx Рік тому +3

    Yes mfalme wa Bongofleva ndio huyu sasa❤ KingKiba n balaaah na nusu

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 Рік тому +3

    Yani King uyo jama tu muche tu na ufalme wake

  • @AishaAlly-do4bu
    @AishaAlly-do4bu Рік тому +2

    Mwanjku akitoka hapo kesho hawez kuamka sio kwa uchov huyooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @majapelinho
    @majapelinho Рік тому +2

    Kiba nae mnyama unyama ni mwingi unyama 🎉

  • @NeemaPaschal-kr2ue
    @NeemaPaschal-kr2ue Рік тому +1

    Unyama mwingi Love ❤️❤️💋

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 Рік тому +6

    Mwijaku ❤❤😂😂😂😂

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 Рік тому +1

    Muke wa mwejaku kweli amueshimu sokwakutafuta pesa kweli mwejaku afagigilia hatari

  • @naryzmalilo571
    @naryzmalilo571 Рік тому +7

    Unyamaaa mwingii big up

  • @AnnalisaFrank
    @AnnalisaFrank Рік тому +4

    Salute kibaaaa umetisha

  • @CesiliaAlex
    @CesiliaAlex Рік тому +5

    I love you simbaaaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 Рік тому

    KAKA KIBA MNYAMA KING sasa kaka Yetu R KELLY zile tabia za unyama walimfundisha wao then wakampiga ma Picha wakamfunga au???wewe kaka MNYAMA mteteee mkubwa wako sasa siyo tuimbe WE ARE THE ONE WE ARE THE CHILDREN kumbe wengine kule ndo kina NELSON MANDERA wakombolewe

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 Рік тому +1

    Dc Mwijaku chawa International umetisha sana

  • @DambweRama
    @DambweRama Рік тому +12

    Asante DC Mwijaku🎉🎉

  • @isaacwgcgmelicomWGC-po5qv
    @isaacwgcgmelicomWGC-po5qv Рік тому +3

    😅😅😅 kiba oyooooo mond pitakulee

  • @kiya0910
    @kiya0910 Рік тому +5

    Yeeeeeeee babaaaaa ❤️💯💯💯💯💯💯

  • @OfficialTizoEmpire
    @OfficialTizoEmpire Рік тому +1

    kiba kafanya pw sn acheni wivu king is king

  • @JohnboscoAgustinoMassawe
    @JohnboscoAgustinoMassawe Рік тому +1

    Mm3tisha

  • @gabradonmdee4526
    @gabradonmdee4526 Рік тому +2

    Kajulaaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 Рік тому +2

    Huyu ni king lion

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 Рік тому +7

    Mambo ni moto

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Рік тому +2

    Wenye nchi yao simba tamasha lao Lili fana sana❤

  • @meshack3266
    @meshack3266 Рік тому +2

    Mwijaku kama id Amin dadaaa😂😂😂

  • @SuleimanBaluch-et7et
    @SuleimanBaluch-et7et Рік тому +1

    Simba haitak watu wapole bwana aha mi team yng simba ila msanii mmefeli

    • @WinnieMwanteba-on5lc
      @WinnieMwanteba-on5lc Рік тому

      Mbona unatusemea jisemee ww nenda kachangamke kwenye documentary uko

  • @Megabrother987
    @Megabrother987 Рік тому +6

    King Kiba 👍

  • @anakissiya8675
    @anakissiya8675 Рік тому +1

    Achen makasiriko king kiba mmoja tyuuu unyama mwingii

  • @خديجهالبلوشي-د4ك

    mimi macho yangu yapo kwa mwijaku tu😂😂😂

  • @soilihisaoudata1554
    @soilihisaoudata1554 Рік тому +4

    Kiba a bien assuré le show
    Vive le roi

  • @lionboy287
    @lionboy287 Рік тому +1

    Ni busti baba mfalm

  • @teddysananga
    @teddysananga Рік тому +4

    Ila kanoga bhnaaa❤❤

  • @rashidchibaya1736
    @rashidchibaya1736 Рік тому +1

    Fanya kazi king kiba zuhura nimshamba2 wa Sanaa

  • @magrethringo7158
    @magrethringo7158 Рік тому +10

    Piga kelele Kwa Simba akee❤❤❤❤

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Рік тому +4

    Simba day Excellent 🔥🌹🌹

  • @VickyMachaku-bi9dl
    @VickyMachaku-bi9dl Рік тому +3

    Jamani aliwetu amependeza saaaaa

    • @khadija5761
      @khadija5761 Рік тому

      ❤❤❤❤❤sanaa yani mm najitekenya mwenyewe

  • @janekaloi8704
    @janekaloi8704 Рік тому +1

    Kuna Simba arafu kuna mnyama unamjua mnyama wewe ❤king 👑

  • @KulwaAudax
    @KulwaAudax Місяць тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 Рік тому +1

    Mwiiijaaakuuuu😂😂😂😂😂😂

  • @HamisBonel
    @HamisBonel Рік тому +3

    Unyama sanaaaa

  • @SaidiMiwhela-yw2ti
    @SaidiMiwhela-yw2ti Рік тому +2

    ❤simba unyama mwing

  • @tonycrassic7050
    @tonycrassic7050 Рік тому +4

    🔥mambo ni fire

  • @nyakwarshotT
    @nyakwarshotT Рік тому +2

    Mzee mnyama kwa kweli🙌🙌

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola Рік тому +1

    😂😂😂 jamaa anaga swaga sema sifa tu

  • @AngelMarthn
    @AngelMarthn Рік тому +4

    Unyama mwingiiii❤❤❤

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 Рік тому

    Mbona ata yeye nyimbo aijui na ndio alieimba sasa umeona ubaya wakuandikiwa nyimbo 😅😅😅

  • @akatendaambrosio4579
    @akatendaambrosio4579 Рік тому +1

    Mwijako we nouma brother 🤝👍

  • @MasingaKoshongaa-t9u
    @MasingaKoshongaa-t9u Місяць тому +1

    Sidai naleng'🎉

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 Рік тому +6

    King ❤

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 Рік тому

    Sema mm ni Simba lkn kiba hanaga maubunifu flan hivi sas ndio uingisj gan hua ata show Zak lazma iwe flan iv haiwag na unyama mwingi

  • @KwineMwikwabe
    @KwineMwikwabe Рік тому +1

    Mnyaaamaa! Nice performers ❤ simba

  • @richtv3280
    @richtv3280 Рік тому +1

    Jamani team waganga haoooooh😅😀😃😄😄

  • @saidilindukwa
    @saidilindukwa Рік тому

    Jamani hizi Ni jezi au nyanya? Rangi km nyanya Za moshi,au waganga wa matunguli

  • @SoniaAbdala-w7s
    @SoniaAbdala-w7s Рік тому +6

    Boa sorte kiba,❤

  • @naranadia2421
    @naranadia2421 Рік тому

    King first think twice before showing off , ask urself y did diamond (Simba) leave Simba , actually diamond is topper than u coz he uses IQ more than brain , diamond left Simba because he wants u to be 😢😢😢😢

  • @husnaalsee4854
    @husnaalsee4854 Рік тому +4

    Unyamaa ni mwingi❤❤❤❤❤

  • @stephenmasha8623
    @stephenmasha8623 Рік тому

    Kipenzi cha watu king kama kiba

  • @rabiamwapesa5008
    @rabiamwapesa5008 Рік тому

    Mwijaku yuatafuta unga kwa mbinde 😂😂😂

  • @Abdulrahman1971Abdulrahman
    @Abdulrahman1971Abdulrahman Рік тому

    Namkubali Sana Vituko vya Dr.Mwijaku...nakukaribisha...kenya 🇰🇪K🇰🇪E🇰🇪N 🇰🇪Y 🇰🇪A...

  • @danielmucwiri9354
    @danielmucwiri9354 Рік тому +2

    Tanzania always entertaining 😂🎉

  • @NuuSophia
    @NuuSophia Рік тому

    Big brother una shobo wala majivuno

  • @DeeDan-zr7ri
    @DeeDan-zr7ri Рік тому

    Angekua nanii angewekwa kwenye kiota apo ila kakaang anatmbea mwnyew tu

  • @anzurunindume
    @anzurunindume Рік тому +2

    Toka Congo hongera sana