Diamond Amgusa pabaya Alikiba/Watauwana hawa/Ametoka na Mke wa Alikiba?/Amwita Malkia

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лип 2023
  • Ni vuta nikuvute kati ya wakali wawili wa Bongo Fleva kati ya Alikiba na Diamond Platnumz kuhusu ushindani wao kwenye muziki. Diamond amemchana Alikiba kuwa hamzidi kwa chochote hadi kwa watoto wazuri na akamwambia kuwa Hata kwa swala la Amina analijua . Kauli hii imetafsiliwa kama Diamond alishawahi kutoka kimapenzi na Amina
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 50

  • @user-qv3eo5pb3g
    @user-qv3eo5pb3g 11 місяців тому +7

    Kwann umuongelee mke wa mtu bishana na mziki broo tumekumindi team kiba

    • @FestoReonadi-kq8kp
      @FestoReonadi-kq8kp 11 місяців тому +1

      Ww umesikia neno mke Apo Tim malikia mnajisahaurisha Sana nyinyi malikia malanyingi anamuandama Simba alaf hamusemi me nimefrahi kuona Simba kamtorea uvivu malikia wenu

    • @naufalmustafa565
      @naufalmustafa565 11 місяців тому

      wanajifanya wamjini kat bebezao tunakula chinichini

  • @adamshabanrashidi1003
    @adamshabanrashidi1003 11 місяців тому +1

    🤴🤴🤴🤴kiba for real

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 11 місяців тому

    Diamond katishaaaaa!!!safi kabisa

  • @jebbymnyama2379
    @jebbymnyama2379 11 місяців тому +3

    Hapo Mond kafeli sana angemshambulia kiba sio familia yake

  • @fadhilidoza5639
    @fadhilidoza5639 11 місяців тому +1

    Kwahiyo Amina ni mke wa Alikiba pekee au ni ushahidi wa kishamba

  • @kingaweys
    @kingaweys 11 місяців тому

    Ni Kenya we say hizo ni story za Jaba sasa mwingine ako biashara na mwingine anafanya vitu kwa ku enjoy tu 🤣 tafauti sana BIĞ up 👑👑 from 🇰🇪👊🏾

  • @user-os4pu7sd8s
    @user-os4pu7sd8s 11 місяців тому +2

    aaah diamond kamaind povu Kali yey mond kaend ulay au baye nindan ty

  • @ashadjumapilifuraha3850
    @ashadjumapilifuraha3850 11 місяців тому +2

    Wa ache maneno wafanye muziki

  • @kibslincoln
    @kibslincoln 11 місяців тому +2

    Si kwamba diamond si msanii mzuri ila aache kushambulia watu yeye ndiye analeta vita Tanzania maana wasanii wengi hawaendelei sasa mambo ya King 👑 Kiba inamhusu nini sasa Nkt! Siku hizi huku Kenya tunachoka na kelele ya Diamond si kwamba hatumpendi ila umbea wake. Wengi KENYA tunampenda KIBA kwa sababu mziki mzuri na umbea hana

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn 11 місяців тому +1

    Simba pekee ndo akiongea kitu nchi inatetemeka, kibakula kachanwa ukweli mtupu anabustiwa sana, bila modi tungemsikia kwa nadra sana kama akina belly black na white tuu, Na pia asiache kumshukuru aliyewatengenezeaga hii bifu..

  • @user-bu6ox6uk6o
    @user-bu6ox6uk6o 11 місяців тому +2

    Unajidanganya2 ww mke wa alikiba hawezi akatoka na ww nimtu na heshima zake sio mjinga yule tafuta jengine lakuzungumza

    • @xtashrayvash2996
      @xtashrayvash2996 11 місяців тому

      Mambo ya wanawake achana nayo huezi yajua

  • @hamadimatano4503
    @hamadimatano4503 11 місяців тому

    nisawa tena diamond ako sawa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @allysulymani1110
      @allysulymani1110 11 місяців тому

      Hapo minaona chuma itembee maana kutembea namke wamtu alafu unatangaza kwenye midia dah ifanyike kama walivofanya 2pac na Natorius b i g bac heshimaitapatikana Itakua fundisho

  • @user-mn9br4ky2p
    @user-mn9br4ky2p 11 місяців тому

    Kiba c mtu wakujionyesha mondi wachana na kibaaa🎉

  • @user-dx7pn9zc5k
    @user-dx7pn9zc5k 11 місяців тому +4

    Diamond na mpend sanaaaaaaaaaaaa ❤ tena sanaaaaaaaaaaaa nikit ambacho ajuwi t ❤️

    • @annabadru2352
      @annabadru2352 11 місяців тому

      Me 2❤️🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🎺🎺

    • @pendomarco8928
      @pendomarco8928 11 місяців тому

      Simbaaaa no1

    • @hassanamran1639
      @hassanamran1639 11 місяців тому

      Alikiba Atulie levo zake kwasasa ni akina mbosso na lavalava baasi nasio simba teena 🤣🤣🤣

  • @annabadru2352
    @annabadru2352 11 місяців тому +2

    Simba uko Juuuuu👊 achana na kimbo huyo ana jipwaaaaa 💃🏿💃🏿📢📢

  • @user-hb8eg4lp6x
    @user-hb8eg4lp6x 11 місяців тому

    Kwavo mshamba sana kiba is king na atabaki kuwa king kamzidi nini anakula kwake au analala kwake mond atakufa na ushamba wake

  • @joshuasanga9213
    @joshuasanga9213 11 місяців тому

    Jaman mke Wa mtu kaliwa kaliwa hahahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-mn9br4ky2p
    @user-mn9br4ky2p 11 місяців тому

    Diamond uwadharau wanawake

  • @samsonbizimana203
    @samsonbizimana203 11 місяців тому

    Alkiba is the one benefit ing from this beef, sababu yeye bila Mondi he is nowhere to be talked about.

  • @abuubakarikirungi
    @abuubakarikirungi 11 місяців тому

    Kweli uyu simba siku zote anazungumziwa lkn leo hii kuna kenge kayakanyaga mbona hana bahati uyo😅😅😅

  • @docilemutokambali6137
    @docilemutokambali6137 11 місяців тому

    But much easy dears... Fateni ton ex c'est ma femme ( your ex is my wife) ya Koffi.
    Ali ana mu enjoy sana bi Amina na ndio maana ameamua kumuowa. Hata kama tunaimba nonsense mara Hekima ao busara iwe na fasi yake kwenye misemo.

  • @omarykimamure7656
    @omarykimamure7656 11 місяців тому +2

    Ximbaaaaaa...

  • @abuubakarikirungi
    @abuubakarikirungi 11 місяців тому

    Kaka maji yakimwagika ayazoleki kiba kaingia cha kike😅

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 11 місяців тому +1

    We unaisaidia wanawke kuweka mimba

  • @allysulymani1110
    @allysulymani1110 11 місяців тому

    Nahisi chuma inatakiwailie

  • @noorapro3666
    @noorapro3666 11 місяців тому

    diamond atafuta kiki hajawai mla mke wa kiba wenda akawa yuwamtamani

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 11 місяців тому

    Kwahiyo diamond alihisha mla mke wa kiba? K, nishida Kweli Kweli 😁😁

  • @Msambyamashingwe
    @Msambyamashingwe 11 місяців тому +1

    Simba ❤

  • @am_theChange
    @am_theChange 11 місяців тому

    hii ndo ile alieuziwa cheni kapewa cheni bandia na alietoa hela katoa hela bandia...ngoma draw

  • @user-yo3yy7fx1i
    @user-yo3yy7fx1i 11 місяців тому +2

    Ah Wapi wewe Malkia Wote Wema, jokate Hamisa Na Wengine wamekushinda ndani wameondoka a ha za ovyo. Huwezi kiba kwa lolote Kamuoe Juma lokole mkeo yaishe acha ujinga

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 11 місяців тому

      😂😂😂lenu hilo hangaikeni nalo na mmpe Amina talaka

  • @kibslincoln
    @kibslincoln 11 місяців тому

    MBONA ANAPENDA KUMWONGELEA SANA MAMBO YA WATU HUYU DIAMOND SIO KIBA❤ TU ALAFU MNIAMBIE HIYO SI UMBEA MARA HARMONIZE MARA WIZKID MARA MARIOO MARA BURNABOY MARA JAY MELODY MARA MBONA YEYE NDO HUSHAMBULIA WASANII WENZAKE🤔

    • @FestoReonadi-kq8kp
      @FestoReonadi-kq8kp 11 місяців тому

      Ivi Tim malikia mnajisahaurisha kuwa mondi hajamjibu malikia siku nyingi malikia malanyingi anamsema Simba alaf Simba hua hawajibu nice Simba mwaka huu umeamua kimtorea uvivu kunya anye kuku akinya bada kaharisha acheni umaku

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 11 місяців тому

      ​@@FestoReonadi-kq8kp😂😂😂nashangaa

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 11 місяців тому

    Teja Mond ka feli kama Jigga na Nas. Enzi zile biff ilikuwaga ya Jigga na Nas mwisho wapo Jigga ali feli kwa ku mtaja sister wa Nas. Biff la mziki na biashara ni ingine !! Ikiwa personal una feli !! KingKiba mjanja saaana anatuma Teja Mond anavuka mipaka 😂😂😂

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 11 місяців тому

    Ila diamond ana tabia chafu kila mwanamke wa mtu anampitia

  • @sijaminijambo1859
    @sijaminijambo1859 11 місяців тому +1

    Diamond mpumbavu

  • @mussavasco
    @mussavasco 11 місяців тому

    Simba kula wote 😂😂😂😂 manina zao

  • @imrizzy9668
    @imrizzy9668 11 місяців тому

    Mpe lake D coz wasanii wake hawafiki kokote. 👊😄